Yaani bro! Acha ni seme ya moyoni!! Mimi nakubali sana muziki wako.. Vizuri Kwanza, una swagga za usaani. Pili unajua kuimba.. Tatu ukisema utulie, ngoma zako lazima ziguse mioyo yetu.. !! Bro angalia sasa kuhupeleka muziki wako kimataifa maana, unaweza, anza na kubadili lugha, pia tafuta collabo na wasanii wengine ambao watakusaidie uhinuke zaidi.. Tunahitaji na sisi tusikie msaani kutoka fizi, #nyago_man akiwa nominated kwenye tuzo mbalimbali Afrika na duniani... Nikiangalia kipaji chako na bidii yako, unaweza kwenda mbali kimziki... Bro jikaze sana ubadili lugha na upunguze matusi,...
HIi ngoma akika umeimba kwa hisia zote pamoja na dukuduku zilipokua moyoni mwako, nahivyo ndo Walimwengu tulivyo ususani mashabiki sometimes tunakuwa atueleweki tunataka nini 😞😞 ….. ngoma Kali sana 🎄🌹
Jaman wasan walikuja wengi camp na walikuwaga Zamani wakina p boy wajuwe kwamba mwenye mziki wake Ndo nyago man na atutaki tunzo ahonewe bebero coz nyago ametupigiya wimbo wakukumbusha jinsi mziki unavyo henda king dala music nyago man bebero king 👑 bro nakuhongezeya jina ya (KING DELA MUSIC CAMP 1000%)
Umeuwa kk ukweli umeniteka 🎉🎉
Nyago man anaweza nipeni like basi
Kama umpenda nyago man like hapa ❤❤
❤❤😂😂
❤❤❤❤❤❤
Pambana tu bro ❤
Daah Hongera Sana bro Iyooh Ninyimbo Ambayo Imegusia Mambo Mengi Sana Ya muhimu Cema Unajua Sanaa Upewe Mauwa Yako Na Mungu Akuhinuwe Zaidi
Wakwanza nipe like zangu
Yaani bro! Acha ni seme ya moyoni!! Mimi nakubali sana muziki wako.. Vizuri
Kwanza, una swagga za usaani.
Pili unajua kuimba..
Tatu ukisema utulie, ngoma zako lazima ziguse mioyo yetu..
!! Bro angalia sasa kuhupeleka muziki wako kimataifa maana, unaweza, anza na kubadili lugha, pia tafuta collabo na wasanii wengine ambao watakusaidie uhinuke zaidi..
Tunahitaji na sisi tusikie msaani kutoka fizi, #nyago_man akiwa nominated kwenye tuzo mbalimbali Afrika na duniani...
Nikiangalia kipaji chako na bidii yako, unaweza kwenda mbali kimziki... Bro jikaze sana ubadili lugha na upunguze matusi,...
Ambao tuna rudilia uuu wimbo kama upo miongoni mwao gonga like 🎉
Nyago man Leo umetisha❤❤🎉
Umeimba kijana ❤
Yan bebero Akuna mwengine nime kupa jina lingine ili KING DELA MUSIC CAMP 100%KING 👑KING BEBERO KENGE
Umeimba kweli kabisa
Yani kwahii Atuwezi kupinga🎉🎉Ongera
Nakukubali sana diamond wa camp ❤❤❤
Umeanza Kuujua Mziki Sasa
Broo unajua san, ngom kal
Nakubali vanité from🇧🇮
Umeuwa bro mbuzi la ma mbuzi bebero
Nakukubali sana captn
Umenikumbusha mengi sana
Vizuri san
Iyo moja ume weza baba 🔥🔥🔥
Unajuwa sana nyang0 Man
Kazi nzuri nimepende sana ♥️♥️♥️♥️♥️
Meaningful song 😢😢 never give up nyago man. 🙏🙏🥰🥰
Hiyi ngoma nikubwa sana bro
Unyama broh
Kaka ngoma mzur jitaidi uimbe kiswahili Kweli achana na Ukabila
Director Khasi seen
Iyi koti umesha chuti nayo marangapi bro?
aikusu bro
Kaza dogo ❤❤❤
Poa sana n iyo goma nimeipenda kinyama nyago man
Vue par baba boys 🔥🔥🔥 Kaka yangu unajuwa sana
Wimbo umeningusa kweli 😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bonge la ngoma keep going 💪 bro God bless you 🙏
Kweli kweli bro mungu akusahidie sanatu 🙏🙏🏻🙏🙏🏻🙏🙏🙏
Nakubali ❤❤
Good job
That's true broth
Iyo fers ya kwanza kaka ndo 😢😢😢
Bro unajuaga Sanaa Mr babutale wa family terra seen
Kama unamkubi NyagoMan Gonga like 🔥🔥
One love ❤️ ❤❤❤ big job kaka
Good song
Mungu a bless kazi yako kaka ❤❤❤
𝐍𝐞𝐯𝐞𝐫 𝐠𝐢𝐯𝐞 𝐮𝐩🙌
Bebero kEngE 🐐 La 🐐
Nakubali the writing 🎉🎉🎉
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 Big up 🔥 Nyagoman
Umetisha kk my true life akunaanejuwakesho 🔥🔥🔥
Real goat 🐐 🙌
Congratulations 🎊
Mmh nyago unajuw bro
nawashauri achenimziki
Unajuwa
Kazi kubwa sana kaka
International Bwoy Seen it 🙌❤️
Kwani wewe unaga nguho nyigine 🎉🎉
Ndugu ao ao... Umeuwa xna🖐️🍷
🔥🔥🇨🇩❤poa Sana
Congratulations bro , you sing the truth
By duże rapa from big star og❤❤❤❤❤
Kwa kweli unafahamu kaka
Big up🎉🎉🎉
King wa camp bebero❤
🔥 fireeeee congratulation brother 🙌
HIi ngoma akika umeimba kwa hisia zote pamoja na dukuduku zilipokua moyoni mwako, nahivyo ndo Walimwengu tulivyo ususani mashabiki sometimes tunakuwa atueleweki tunataka nini 😞😞 ….. ngoma Kali sana 🎄🌹
Kbs kaka Ahsante sna toka nilipo anza uko na mm mpaka mdahuuu Ahsante sna
@@nyagomangm nakubali bro pamoja sana Never give up ❤️
M'y brother unaweza, mshikamane wazani camp muache bifu. Hili mfike mbali.🎉🎉🎉🎉. good job 👍
Jama anajua mpaka anakera 🖐️🎯🖐️
Kk courage mingi najuwa ulilumusha kichwa kwaku taka fans zako wapate vizuri ❤❤❤❤
Kwann usiimbe ivyi kila siku❤
I like this creativity 😎
Bruh kweli hii ngoma imejaaa ukweli mtupu pia I like it, congratulations, man 🎉🎉🎉🎉
Mbuzi Lama Mbuzi 🎉🎉🎉
Kyaaaaa😂😂😂 toikye ye ni mbuzi la mambuzi 😂
Nyago man
Najihisi kulia
Kenge
Yaani maneno yameenda vizuri hadi mwisho hongera sana halafu sijasikia tusilolote
Jaman wasan walikuja wengi camp na walikuwaga Zamani wakina p boy wajuwe kwamba mwenye mziki wake Ndo nyago man na atutaki tunzo ahonewe bebero coz nyago ametupigiya wimbo wakukumbusha jinsi mziki unavyo henda king dala music nyago man bebero king 👑 bro nakuhongezeya jina ya (KING DELA MUSIC CAMP 1000%)
🔥🔥🔥🔥🔥 bebero ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🐐🐐🐐🐐la kibembe ❤❤❤
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Vyema sana
ndo nakukubaligi dogo langu
Brother wimbo wako umenigusa sana
Tunahelewa😢😢
Ngoma Kali 🙌✊
Bebero 🎉🎉
From THEUSE BOY MODEL 🇺🇸
Ihiii Nyimbo jamani Mungu too ❤🙏
Félicitations et bonne chance, va de lavant mon frère
Naingia youtube nakutana na hii uneongeza shabiki broo unajua ukwel acha tuseme big up
Nyago uhuwimbo umesha chukuwa tunzo tayari atutaki unyanya saji nazan uwo wimbo ndo wa Maeka atuwahi kusikia wimbo wahisia kama uwo kwahiyo wimbo waku chukuwa TUNZO NDO UHUUU❤❤❤ NYONGO NDO MWENYE ❤tunzo
Nyago 😢ume sahau “mi ni mbuzi lama mbuzi toto la alebe 😊”
Unyama 🎉sana bebero
My favorite sonG 2023❤
The best song
nyago man ninsani nkubewa sana hiii nyimbo ninzuri sana nili hirudiliya mara 5 kaka wewe ndo simba wa cempu una weza
❤❤❤🎉 kweli
Bembe girl 😢😢😢
Mindokwanza ku like nichiye fire 🔥 bro
Nyago man ❤❤
Nakubl sana kaka unatisha kaka
Nice🎉🎉🎉🎉 tupo amerca
Unyama sana ❤❤❤