Avriih - Mmhhh ( Official Music Video lyrics )
HTML-код
- Опубликовано: 19 ноя 2024
- Spotify: open.spotify.c...
Boomplay: www.boomplay.c...
Audiomack: audiomack.com/...
Apple music: / mmhhh-single
Deezer: www.deezer.com...
Afrocharts: www.afrocharts...
Amazon Music: music.amazon.c...
Follow me on:
Instagram: / avriihsimba
Facebook: / stani.maonyesho.3
TikTok: / avriihsimba
Available on all platforms
Kaka yang wewe Niathari kweli mungu akubariki katika music ❤🎉❤❤❤
Bro umeridhisha moyo wg Sasa congratulations 👏 pata kitu icho
Wimbo wng pendwa kila siku narudilia✌✌
Avriih SIMBAA Nakupenda plz nakuomba uwe mme wangu 😭😭
😂😂😂😂
😂😂😂😂🙏🙏
Asante ninoma usikae kimya🎉🎉🎉🎉
Big up sana ❤❤❤
Nataka niwe kama wewe avriih 🦁 kama simba
Naamini kwamba nitafika
Big Up Xan Ndungu Yangu Kwa Nyimbo Kali ni 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Hii ngoma nikali aisee nimeikubali sana🎉🎉🎉❤.
Jamaa una kipaji kikubwa ila tafuta management tajiri na waku tengeneze katika kukaha kibiashara zaidi.
Fav for me 🎉🎉❤
Unajuwa kuimba sana mwanangu sema tamka vizuri Kiswahili
I'm Proud For This You Kill It Never Dissapoint Ximba🎉🎉🎉
Naeshimu sana kauli yako kaka
@@kingsonHusseinSikupingi Kihongoz 🎉🎉🎉
Aujawah Kufeli🔥🔥🔥👉
Unyama ❤❤
🎉 Congratulation 🎉
You'll remain an example to others
Avril unajuwa mpaka unakera 😍😍💔🫶
Mbona umeweka mbali
Wanao mkubali kaka tujuwajuwane
Unajuwa sana bro avriih
Haujawai kuniangusha Kaka tuko nyuma yako❤❤❤❤
This is my favorite song ❤
Bwana mkubwa nakupenda Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Favorite song ❤️😍
Nakubali sana by Champion boy❤
Ngoma kali San bro
Kizazi Sana 🙏🔥🔥🔥🔥
Huu wimbo naupenda sana kwel❤❤ ongera sana best
Kaka kama simba wana 🦁
Nakukumbali San Avriih ❤🎉🎉🎉🎉
Big up sna shemej la dunia 🌹🌹🌹👈
Big up blood 🩸
Keep up, do not never give up.❤❤️🔥🔥🔥
🎉❤❤
FIRE REAL APPRECIATE IT 💥💯
💯💯💯💯
Umeuwa sana kaka Kwa uwinbaji wako ni nzuri san pambana san mungu akusaidie kwenye music wako 🌹
Uyu kijana alienda U S A kufanya nini My God
wange kurudisha Africa ufanye kazi ulaya uwe naenda kuzunguka kama mimi 🩸❤️
Nakupenda sana❤❤❤❤🎉
poa san ❤❤❤
This shiii hit different bri 🔥🔥🔥
Seen M FROM DUBAI ✍️👋✅
U kill it bro🎤
Njoho uimbe na mtu wk kaka YORO 🤣🤣
Naona chawa baba levo 😂😂😂😊
Msapoti dogo anaweza 😂😂😂
Big Up San Simba This Is Another Banger 💯 🔥
Never disappoint us 🔥🔥
Goma Kali bro 🔥🔥🔥💯
Umeifanya... kwel
Kijana ngoma zako waga ni 🔥 sana
🔥🔥🔥🔥🔥
Weeeh Simba
Well done my GG
Big up sana man💪🙏
Tulisubili kwa mds mrefu sana na bro umefanya kweli yaan hii ngoma imenigusa sana 🎉🎉🎉
Kama nawewe ume umizwa kama ivi mwenzetu avriih hameumizwa piga like hapo
Kali kuliko daaaaah
Msanii namba 1 USA
in love with this song
Nakubali sana mwamba
My bro oaaaah Familia so poaahh ❣️
Amazing ❤sana
You killed my people man
Noma sana🔥🙌
Mapema ❤❤❤❤❤
Kawimbo kazuri kweli 🔥🔥
Unajua bro mungu aku bless
Go far 🙌
Umehupiga mwingi 🎉🎉🎉
Unajuwa sana bro
Unyama ni Mwingi sana
Ngoma...pendwa ambayo nilikuw nikisubir kwa hamu...
🎉nc san bro kaz mbele kwa mbele
❤❤❤ big up sana 🔥🔥🔥🔥
Nasubiri 🎉❤❤
Umehupiga mwigi saaaaaaaaaaaaana nakukubali sana mwanangu
🎉🎉🎉 bro uko nakipaji🎉
Nakukubali gee👏👏👏kazi kubwa sna
Keep up bro
🥺🤭💜 focus 🔥🔥🔥💯🎉
Nakukubali Bro....
Nakukubaligi sana brother
Big up sana bro ❤ 🔥🔥🔥
Ujawaiii feli kjn kazi nzur
Ukopoa sana brother
My blood
Unyama sana 🙌🙌🙌
Ngoma Kali sna
🔥🚀
Big up
Big up sana my king ❤
Dahh unajuwa sana brox ❤❤❤
😍😍😍
Big 🔥🔥🔥
Mwamba💪💪
Nakubali fanya kazi mwamba
Hongera Sana bro
Kali sana
Jamani mbona huyu mwana akoseagi. Much love from Finland
Kali sana bro nipo South Africa 🌍♥️💯
Kizenga moise
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ unajuwA kuimba kweli
Hingoma nikali nimeilewa🔥🔥🔥
Man nakuona 🦁🦁🦁🙌🙌🙌🙌
I'm so proud of you Avriih. Your big fan Akim Ayamba from Bukavu DRC 🔥