NINASHUKA CHINI BY ANASTASIA KIATU KIVUE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @FennyKerubo
    @FennyKerubo 6 месяцев назад +9

    Mungu atakupigania Mum na tayarii umeshinda 💪💪

  • @muchinahnicholas
    @muchinahnicholas 6 месяцев назад +7

    I surrender all to yu my God...guza huyu mama yangu

    • @virginiahobule8387
      @virginiahobule8387 6 месяцев назад +1

      Glory to God because God is fighting for you'and you are going to a higher level you're comming out powerful i love you my sister as continue serving God you are a blessing to many powerful worship

  • @lister7027
    @lister7027 6 месяцев назад +75

    Because I know the tongue has power, I normally use it for the goodness of God. I never said anything good to anybody and it filled. Now i speak this," Anastasia will have total healing and announced cancer free in two years time from today in Jesus holy Name. Note: This word will come to pass through him who strengthens me.

  • @violetmwakoi5792
    @violetmwakoi5792 6 месяцев назад +9

    Healing is your portion , woman of God in Jesus Mighty Name!

  • @stellahmaweu2594
    @stellahmaweu2594 6 месяцев назад +6

    sijawai ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake kuombaomba barabarani...........Jesus said to Lazarus sisters the sickness is not unto death but for the glory of God.

  • @Margyrita
    @Margyrita 6 месяцев назад +6

    When I lost hope and i couldn't minister you visited me and you sat me down, came on serve God , i found strength again, I declear total healing upon your life.

  • @danielmwonga6751
    @danielmwonga6751 6 месяцев назад +9

    Receive healing, cancer must die in Jesus Christ mighty name

  • @Caroline-it2db
    @Caroline-it2db 6 месяцев назад +4

    God will do it for you, na itakuwa ushuhuda kubwa,He will wipe your tears mama.i my self I have a testimony in this world ningekuwa na uwezo ningeandika kitabu,in 2012 He heald me from blindness ,in 2019 He raised me from the death, nilikuwa already nmetolewa kafara ,na akaniponya pia kwa uwendazimu ,na mengine mengi, it was not easy, but the Breathing God, God of gods, the Final say ,He came and manifested Himself in my life ,through JESUS CHRIST
    I
    Can
    Smile again, He heald me completely
    from then He promised me nothing will happen to me nor my children, na yote Aliyoniagiza nayashuhudia kwa sasa.I believe what HE did for me, HE will do it for you, your song like kama si Mungu kuwa upande wangu,blesses me so much.May Great God heal you.

  • @AnnaMsigwa-b9h
    @AnnaMsigwa-b9h 6 месяцев назад +4

    Bwana yesu ninakausha kansa yaziwa kwahuyu mama ktk jina layesu

  • @joybettymathew2126
    @joybettymathew2126 6 месяцев назад +3

    Yeye ni MUNGU aponyae magonjwa yote,🙌🏿🙏🏿 Asante sana MUNGU maana wewe si mwanadamu hata useme uongo 😭🙏🏿🙏🏿

  • @RaelynnCollinsThechosenone
    @RaelynnCollinsThechosenone 6 месяцев назад +5

    Mungu yupo mtumishi wa mungu atakupigania mama,,, YESU analo jibu 🙏🙏🙏

  • @deborahmwangangi
    @deborahmwangangi 6 месяцев назад +4

    Mungu unaponya magonjwa yasiyo na timba, heal your servant dad. You are so faithful to disappoint her.

  • @RisperClement
    @RisperClement 6 месяцев назад +3

    Mungu na akupiganie na akuponye mtumishi.Mungu wetu anaweza kutenda zaidi yatuombavyo mwisho wetu ndiyo mwazo wake tunakuombe mungu atende🙏

  • @LutherkingKweka
    @LutherkingKweka 6 месяцев назад +4

    MUNGU ni tabibu wa kweli.. atakuponya Mama yangu ❣️. MUNGU Mimi nishuka chini nakuomba sana kwaajili ya Anastasia usijanyaze Mungu wangu....🙏🙏🙏🙏

  • @achiengjane354
    @achiengjane354 6 месяцев назад +3

    Mungu wa huruma Akuhurumie mama Annastacia ❤❤❤❤
    Yeye ni Mungu wa huruma na rehema tele, Mungu Akukumbuke dear,,,kama vile Alimhurumia Hezekiah kwa kukumbuka mema yake Kwake, basi leo naomba Mungu Akumbuke mema yote uliyomtenda nayo, Akupee uponyaji kwa jina la Yesu Kristo, na Akuzidishie miaka mamaaaa❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @magdalynemusyoka2001
    @magdalynemusyoka2001 6 месяцев назад +4

    Amen,wacha mungu akukumbuke na akupiganie.

  • @alphamaginyo7461
    @alphamaginyo7461 6 месяцев назад +3

    We pray for your healing and everyone who is suffering chronic sickness in Jesus name 🙏🏽 Mama you're a blessing to many souls and God will never leave you will live more hundreds years 🎉

  • @hellennaliaka7757
    @hellennaliaka7757 6 месяцев назад +2

    Mungu wangu 😭😭kumbuka kazi huyu dada anakufanyia,,,Heal her,wipe her tears,,,hakuna linalokushinda najua unamuandalia ushuhuda mpiganie amesurrender kwako😭😭😭

  • @LUCYKADZO984
    @LUCYKADZO984 6 месяцев назад +3

    Mungu Wa majira yote Ameshakupigania Amen 🙏 🙏 🙏

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 6 месяцев назад +2

    😢😢😢baba Shuka chini,tunakuomba tu kwa moyo wa unyenyekevu,kumbuka dada yetu mukabwa,ulivyoponya magonjwa tofauti yesu,we surrender everything to you 😢, you are the only healer,we trust in you 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lilianjairoofficial
    @lilianjairoofficial 6 месяцев назад +2

    He is the breath of life Momy, His power is still working even now 🙏. Healing is your portion in Jesus name 🙏.
    Atakupigania 🙌

  • @QuincyCorazon
    @QuincyCorazon 6 месяцев назад +4

    He always comes in at the 11th hour....God is real and He listen to our cry. He will uphold you with His Righteous Right Hand

  • @SGIT-jd6fg
    @SGIT-jd6fg 6 месяцев назад +3

    Bwana Yesu kuumbuka utumishi wa mama huyu na ukaachilie uponyaji wako🙏🏻🙏🏻

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 6 месяцев назад +3

    Msemaji wa Mwisho ni Mungu atakupigania Mungu ana yaona upitiayo

  • @josephmlay2730
    @josephmlay2730 6 месяцев назад +2

    Mungu akujibu kwa kadri ya haja ya moyo wako...Hajawahi changanyikiwa Mungu wetu...Ni Ombi langu kwa Mungu akujibu...najua litapita akupe wimbo mpya

  • @tracynyamai432
    @tracynyamai432 6 месяцев назад +5

    I remember when we joint together for brother mwiti who was announced to have brain cancer and God healed him he was declared cancer free

  • @edithmalei
    @edithmalei 6 месяцев назад +2

    Mungu ashasikia kilio chako na ashapokea simu yako anakutendea sasa hivi na utapona katka jina la Yesu kristo

  • @carolinenthenya7240
    @carolinenthenya7240 6 месяцев назад +2

    Wewe ni mshindi, shujaa na mtoto wa Mungu,umepiganiwa tayari.. Mungu ni mwaminifu.very touching song indeed..

  • @brianekhalieofficial1388
    @brianekhalieofficial1388 6 месяцев назад +4

    There is God in heaven called Jehovah Rapha the healer. Keep faith tomorrow is big my mother 🙏

  • @teclawachia8146
    @teclawachia8146 6 месяцев назад +2

    Mungu ni dakitari yeye nimponyaji na anaponya mangojwa yote hakuna lisilowezeka kwake dadangu usiwe na hofu mungu yupo upande wako na nina imani mungu atatenda ile jina lake liinuliwe juu

  • @BeatriceEchusa-nh5cd
    @BeatriceEchusa-nh5cd 6 месяцев назад +3

    Yote itakua sawa dada mungu anaweza yote

  • @beatricegesare8655
    @beatricegesare8655 6 месяцев назад +3

    God ,let your glory be manifested,heal Anastasia in Jesus name I pray,Amen

  • @puritykambua996
    @puritykambua996 6 месяцев назад +4

    It is well.. He said it is finished on the cross..Your healed in Jesus Name🙏

  • @paulahndegwa2591
    @paulahndegwa2591 6 месяцев назад +3

    HAVE GREAT COURAGE MY DEAR SISTER.YOU ARE A WARRIOR 🙏

  • @wadavid561
    @wadavid561 6 месяцев назад +4

    God is to protect you and He will fight for you 🙏

  • @salomejelagatmuiruri5298
    @salomejelagatmuiruri5298 6 месяцев назад +3

    This song has really made me she'd tears....Soo touching!!! Our God is mighty and of power, is anything too hard for him? Absolutely nothing. My sister, God will heal you, and all glory will go back to Him. In my prayers.

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga 6 месяцев назад +3

    Aliye ndani yetu ni mkuu kuliko aliye duniani. God is with you mum, Mungu atasimama na wewe hata kwa hili.

  • @pettybrown2655
    @pettybrown2655 6 месяцев назад +2

    Nakupenda sana Mama MUNGU mwenyezi hakuponye hayo yote ni mapito ona uponyaji mbali sio ugojwa praying for you

  • @moraramaggy9506
    @moraramaggy9506 6 месяцев назад +2

    Yesu aliyemponya mama yule aliyelia kwa miaka mingi mkumbuke dada yetu annmpiganie baba ŵewe n mponyaji😢❤❤❤

  • @jardinemwasi8123
    @jardinemwasi8123 6 месяцев назад +3

    Atakupigania mana vita si vyako ni vyake Katika Jina la Yesu Kristo. FROM KENYA 🇰🇪

  • @SophilineMkangombe
    @SophilineMkangombe 6 месяцев назад +4

    mungu akuponye bado twakuhitaji zaidi na kazi yke bdo hujaimaliza

  • @jonathankyalo2853
    @jonathankyalo2853 6 месяцев назад +3

    😢😢😢oh my God,may the heaven respond to your cry mum😢😢😢

  • @IsaackMaro-hs5zp
    @IsaackMaro-hs5zp 6 месяцев назад +3

    Mungu mponye dada yetu

  • @janechege5645
    @janechege5645 6 месяцев назад +3

    Nakuombea sana Mungu akupiganie Mtumishi wa Mungu, utapona kwa jina la Yesu

  • @PerisMuthoni-h1f
    @PerisMuthoni-h1f 6 месяцев назад +3

    Lord is working on you woman of God, Mungu awezi jiaibisha, praying for you dear

  • @EmmahKwamboka-qj1tb
    @EmmahKwamboka-qj1tb 6 месяцев назад +3

    Mungu akuponye kwa jina la yesu Amen

  • @amlucyben
    @amlucyben 6 месяцев назад +4

    Thanking God because He hears and He answers. God Has remembered you. Jehova Rapha is His Name.

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 6 месяцев назад +3

    Mummy ❤ wish you quick recovery hakuna jambo mungu asiloweza madakitari wanaeza shidwa lkn kwa mungu kunauwezo shallom 🙏🏼🙏🏼

  • @virginiamusya4540
    @virginiamusya4540 6 месяцев назад +2

    Kumbuka yule mungu aliye kutowa shimoni still yuko. ,,God who was with Job, is with you qr my sister

  • @SinEphel
    @SinEphel 6 месяцев назад +2

    Pokea uponyaji mtumishi wa Mungu annastacia

  • @FridahSyombua-v1s
    @FridahSyombua-v1s 6 месяцев назад +2

    May Almighty God fight for you woman of God,,,may you receive healing in Jesus Name 😢😢🙏🙏🙏🙏

  • @silanzuki8627
    @silanzuki8627 6 месяцев назад +2

    Jesus your servant needs your hand for healing
    Heal her so that she will continue ministering to us

  • @TheRichWife
    @TheRichWife 6 месяцев назад +3

    God touch this soul ,I know you are faithful 🙏Amen

  • @rosendinyo2454
    @rosendinyo2454 6 месяцев назад +1

    Very powerful Powerful Mtetezi Wetu Yesu mupiganie chombo chako Yesu Aweza yote Utaishi kuimba sifa kwake Baba Wambiguni 💗🙏🙏

  • @elamnabugare8487
    @elamnabugare8487 6 месяцев назад +3

    Barikiwa sana nawewe tangu niko mdogo, mmekuwa walimu wazuri kwetu

  • @calebceleb
    @calebceleb 6 месяцев назад +3

    Oooooooh mom ,,,,mungu atafanya I believe in your God from the time I started working with you have seen difference in my life and my ministry ,,,,,,,,,mungu akupinganie

  • @violetndeda7046
    @violetndeda7046 6 месяцев назад +2

    Mungu ni mkuu utapona Kwa jina la yesu Amen🙏

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 6 месяцев назад +1

    Pokea uponyaji mumy huwezi fanyia Mungu kazi naq akutie aibu

  • @mishelvuhasio6237
    @mishelvuhasio6237 6 месяцев назад +2

    This song is powerful most people gave their life to Jesus thru your songs and for sure God will remember this and you shall be well

  • @evwilfredmoiruruki3506
    @evwilfredmoiruruki3506 6 месяцев назад +2

    Kama ezekiah Mungu naomba umkumbuke, , kumbuka hata kazi amekufanyia Mungu tu jibu itaji la moyo

  • @brysonmwakina
    @brysonmwakina 6 месяцев назад +2

    Mungu anakuandilia ushuhuda Mkuuu mum our God is a greater physician 😢

  • @agnesmurwa
    @agnesmurwa 6 месяцев назад +2

    Mtumishi wa Mungu Neema Ya Mungu Aliye Hai iwe Juu Yako Katika Jina La Yesu Kristo Aliye Hai... victory Is Your Portion
    Quick Recovery Mum

  • @terrynyare2653
    @terrynyare2653 6 месяцев назад +2

    Mummy praying for you.more grace on this journey 💞🙏

  • @shishiafricanaofficial325
    @shishiafricanaofficial325 6 месяцев назад +3

    Divine healing Mammy in Jesus' Name
    Nakupenda sana Mom more grace

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 6 месяцев назад +2

    Mama Mungu alimponya Rose Muhando akamrejesha nawe Akurejeshe Mum, We love you

  • @michaelmutinda3327
    @michaelmutinda3327 6 месяцев назад +2

    I heard the song today in Hope FM. Team worship Wednesday 🙌. May God intervene in your situation momma 😌

  • @liliarama4219
    @liliarama4219 6 месяцев назад +2

    healing is your portion mum,tunakupenda Sana♥️♥️

  • @RuthCuttie-hu6gf
    @RuthCuttie-hu6gf 6 месяцев назад +4

    This'song made me shed tears healing in Jesus name

  • @marykajuju6327
    @marykajuju6327 6 месяцев назад +2

    Mama today I knelt down crying for my Maker to heal you

  • @jecintaowino1846
    @jecintaowino1846 6 месяцев назад +1

    I'm a living testimony, the leaving God that I serve healed me from thyroidic cancer stage two, he did it for me he will do it to you. First treatment is acceptance, 🙏

  • @samogutu4709
    @samogutu4709 5 месяцев назад +4

    Ever proud of you Mum. Keep up the good work, praying for you and no weapon fashioned against you shall prosper!

  • @Hellenah_Sufii
    @Hellenah_Sufii 6 месяцев назад +1

    Amen 😭😭😭😭😭😭😭.
    Nishuka chini ,
    mikono nina inua juu,
    Alama ya ku surrender yesu unipiganie😭😭😭.
    Let it be so in Jesus 🔥🔥🔥

  • @justermulengeki6970
    @justermulengeki6970 6 месяцев назад +3

    Nimeshuka chini mikono nainuwa juu alama ya kusalenda🙏

  • @pollyarchie4449
    @pollyarchie4449 6 месяцев назад +2

    God please heal her....bring those finances she needs to go to India for treatment.If you don't come no one will...
    Nashuka na wewe...in my prayers.
    You'll be well mom.
    He is able.

  • @annkimani1459
    @annkimani1459 6 месяцев назад +3

    We raise our hands together sister,we surrender together God will hear our prayers.

  • @Lizzymulama
    @Lizzymulama 6 месяцев назад +3

    Pokea uponyaji in Jesus name 🙏🙏

  • @JoshuaSande-t7q
    @JoshuaSande-t7q 6 месяцев назад +3

    Asante kwa wimbo mzuri mummy.. Mungu akuinue hata zaidi🙏🙏

  • @carolawoi6412
    @carolawoi6412 4 месяца назад +3

    Mungu na akupiganie dadangu.tuzidi kumtumikia

  • @jecintaowino1846
    @jecintaowino1846 6 месяцев назад +1

    It is written that, something's happen in order for God's name to be Glorified, sister Anastasia healing is your portion, Cancer hasn't come to take you down, but it has come for God to Heal you and his name be Glorified Amen.

  • @EmanuelDennisWuodSayun
    @EmanuelDennisWuodSayun 6 месяцев назад +19

    Mungu akupigania mama🙏🙏

  • @mumbesh6961
    @mumbesh6961 6 месяцев назад +2

    Healing is your portion in Jesus Christ Name Anastasia...
    Congratulations

  • @febroniamukandi8150
    @febroniamukandi8150 6 месяцев назад +2

    May God do it for you WoG and give you a lasting testimony in Jesus name 🙏

  • @juliettali230
    @juliettali230 6 месяцев назад +1

    By the stripes of Jesus Christ receive healing .. His 39 strokes he took was bcz of us.. If it's demonic spirit from the put of hell may God destroy it in Jesus name.May God fight this battle for you and you be a testimony to many

  • @StevenPeter-uv8hl
    @StevenPeter-uv8hl 6 месяцев назад +2

    Pole mama utainuka Tena. Mungu yupo nawee

  • @vincentmwandiki5098
    @vincentmwandiki5098 6 месяцев назад +2

    Oh God heal our mother Anastasia...she has blessed many oh God 😢😢

  • @JudyPatience
    @JudyPatience 6 месяцев назад +1

    Healing is your portion mama,naomba Mungu akutende mema,asiowezekana kwa mwanadamu kwake yanawezekana,

  • @njukibeemusic
    @njukibeemusic 6 месяцев назад +2

    Amen. Kama alivyonipigania na akupiganie my sister❤

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 6 месяцев назад +1

    MUNGU KUMBUKA SADAKA ya Mtumish wako MUNGU akuponye akufanyie msaada toka patakatifu pake❤ Amen

  • @pychologistBeatrice
    @pychologistBeatrice 6 месяцев назад +2

    Neema ya Mungu yatosha..
    Yeye hashindwi kamwe..🙏

  • @rosemarynandi9969
    @rosemarynandi9969 6 месяцев назад +1

    Healing is your portion in Jesus name mama atakupigania ili iwe ushuhuda kwa utukufu wake mwenyewe

  • @mercyaphia7203
    @mercyaphia7203 6 месяцев назад +3

    Mummy you're a overcomer....you must overcame this....in Jesus name. ...you must arise again ..

  • @KhadijaWakesho-vt8bc
    @KhadijaWakesho-vt8bc 6 месяцев назад +1

    Healing is portion in Jesus Name ❤❤❤Mungu akukupinganie😢

  • @zoomonl
    @zoomonl 6 месяцев назад +3

    Healing is your portion in Jesus name amen 🙏

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 6 месяцев назад +3

    Mungu mkumbuke mtumishi wako mponye na maumivu yote

  • @miracleblessing2547
    @miracleblessing2547 6 месяцев назад +2

    Mungu wa Ibrahim isaka na yakobo..atupiganie..watumishi..tunapitia mengi,mengi hatuwezi ongea..mbele ya dunia..tunapita..tu..

  • @uiptv365
    @uiptv365 5 месяцев назад +2

    Mungu I put my auntie in your hands, please heal her . May she have quick recovery 🙏🙏😢😢🙌🏽🙌🏽🙌🏽💪🏾💪🏾

  • @linetmasitsa
    @linetmasitsa 6 месяцев назад +2

    God answers prayers by fire...may he heal you In Jesus Name

  • @Millyatienoo
    @Millyatienoo 6 месяцев назад +3

    Receive healing in the powerful Name of Jesus 🙏🙏

  • @markomolloministry7722
    @markomolloministry7722 6 месяцев назад +2

    Kwa kupigwa kwake tumepona...We love you mum anna

  • @EstherMongare-re7dj
    @EstherMongare-re7dj 6 месяцев назад +2

    Mommy God is working out ❤❤❤be blessed always. 🙏🙏🙏