Mtu akidhani ya kuwa anajua neno, hajui neno lo lote bado, kama impasavyo kujua. 1 Wakorintho 8:2 Lakini mtu akimpenda Mungu, huyo amejulikana naye. 1 Wakorintho 8:3 Ahsante Askofu Joshuan Mungu atusaidie watumishi wa Mungu
Barikiwa mtumishi,bahati mbaya redio.waliondoka hewani aijakamilisha hizi point saba,nakuja mtandaoni naona napo pameishia pa redioni,nawezaje kupata mwendelezo?!Mbarikiwe,Deby nko Pwani
Barikiwa sana pastor mafundisho yako yananipa hatua sana najifunza vingi MUNGU aendelee kukutumia❤❤
Yesu nikumbuke na Mimi kupitia neno hili amina
Wewe ni mchungaji mkuu kabisa wa tofauti unafundisha ktk kweli,unakemea dhambi,hakika wengi umetufungua mungu aione kazi yako hii kubwa mno
Sifa na utukufu ni kwa Mungu
Sikutegemea kama kuna wachungaji wa makanisa haya yanamtaja Kristo na kufundisha usahihi wa neno hivi.
Mtumishi wa Mungu Asante...ubarikiwe
Mungu nisaidie nikujue zaidi
❤❤❤❤ Ameeeni
Sijutii bando langu
Nakupenda sana mtumishi mafunzo yako yaninigusa mno
God Bless you Man of God
Mtu akidhani ya kuwa anajua neno, hajui neno lo lote bado, kama impasavyo kujua. 1 Wakorintho 8:2
Lakini mtu akimpenda Mungu, huyo amejulikana naye.
1 Wakorintho 8:3
Ahsante Askofu Joshuan Mungu atusaidie watumishi wa Mungu
Amen
Ubarikiwe baba
Hakika huyu ni mtumishi wa Mungu
Ameneee
This is very Powerful, Man of God be Blessed more and more. Thank you Jesus Christ 🙌🙏
Thats Powerful
AMINA
Mungu akubariku baba
Muendelezo mtumishi maana hii kitu imenigusa sana nahitaji nifundishwe zaidi
Mungu azidi kukubariki kwa mafundisho mazuri
Amen 🙏🙌 glory to Jesus Christ
Amen.Glory to God
powerful💪
Naomba nikujue sana Mungu zaidi,nijalie unyenyekevu.
Ameeen 🎉🙏
🙌🙌✍️
Chakula cha Roho
Mbona zimeishia 2 Admin upload Labda part 2, tunaomba
Nna wito Ila nnapoomba Niki lala napigana sana na mapepo
Barikiwa mtumishi,bahati mbaya redio.waliondoka hewani aijakamilisha hizi point saba,nakuja mtandaoni naona napo pameishia pa redioni,nawezaje kupata mwendelezo?!Mbarikiwe,Deby nko Pwani
Hata Mimi ningependa muendelezo
Part two imeshatoka tayar
Hakiki huyu ndie mtumish wa bwana
Hii sms ni yangu nilikuwa najiuliza sana nitafanyaje sijui kitu.
Umenigusa mchungajj
🫡🫡🫡🫡💐💐💐
9
Hakika wewe ni mtumishi wa bwana,
Ubarikiwe
Amen