@NassorHassan-no1cr aaambiwe na Nani muulize huyu Fitna alieituma ameitoa wapi? Na kwann aliiileta ? Siku ya Kiama mtaenda kumlipa mbele ya Allah Kwa Dhulma hio
Mbona nyinyi majadida mnakanusha picha si zake?haliyakuwa yeye mwenyewe hajakanusha!!huu ni ujinga kwani mafuta akikosea kuna maajabu gani?wAlikosea watu bora kuliko mafuta huyu ha ajulikani hata kidoga ktk ulimwengu wa wanvioni nimwanafunzi kama wengine tu,sasa majadida povu linawatoka mpaka huruma😢kama ni kweli allaah amsamehe nakama sio pichazake basi zitakuwa ni zamnyama😂😂😂
Yani Hawa wanaona huyu murjif hakosei Sasa huyu inaonekana bado kwa hili alilolifanya watakuja siku wamuone shekh wao kapiga picha kavaa pensi hebu wamtizame Abu rajabu Sasa hivi kwahiyo Hawa kunaelekea pia huu msimamo wao utakuja uwashinde tu Kama alivyo fanya Abu rajabu kwahiyo hata huyu anaejiita mufti wa pongwe dawwa yake hii utakuja kumshinde tu kwa sababu Hawa hawana dhamira nzuri kwenye dini Bali niwachafuzi tu
@@SaidiMbega-j4n ﷽ Sifa Njema Zote ni sitahiki ya mola mlezi wa Viumbe vyote, sala na Salamu zimshukie Mtume wake ﷺ Pamoja Na Jamaa na Swahaba zake wote. Baada ya hayo, napenda kutanguliza kwenu nyinyi Allah Aniwafikishe mimi pamoja nanyi, *NASAHA NA UKUMBUSHO KUHUSU JAMBO LA KUZUNGUMZA KHERI AU KUNYAMAZA.* Amesema Allah Mtukufu - : { فَذَكِّرۡ إِن نَّفَعَتِ ٱلذِّكۡرَىٰ } [Surah Al-Aʿlā: 9] "Kumbusha Ukiwa Utanufaisha Ukumbusho" Na Amesema Mtume ﷺ :- الدين النصيحة "Dini Ni Nasaha" Kwa hiyo Ninawanasihi Na Kuwakumbusha Waislamu Wenzangu Katika Kuzitumia vyema ndimi zetu zisizungumze ila haki. Amepokea Bukhaari Na Muslim - Allaah Awarehemu - Hadithi Kutoka Kwa Swahaba Abuu Hurayra - Allah Amridhie- Kutoka Kwa Mtume ﷺ Amesema. من كان يؤمن بالله واليوم الآخر فليقل خيرا أو ليصمت. "Yoyote Mwenye Kumuamini Allah Na Siku Ya Mwisho Basi Na Aseme Kheri Au Anyamaze. Na pia kutoka kwa Abuu Hurayra رضي الله عنه : وإن العبد ليتكلم بالكلمة من سخط الله لا يلقي لها بالا يهوي بها في جهنم * أخرجه البخاري. "Na hakika mja huzungumza neno lipo katika kumkasirisha Allah Halitafakari Mwisho wake, anatumbukia kwasababu yake katika jahannam". Hadithi Hizi mbili zinahimiza na kusisitiza katika kusema kheri na kutafakari kabla ya kusema, na kama hivyo zinatahadharisha kusema maneno maovu yasiyo ya Ukweli na ambayo huenda yanazusha fitna katika jamii. Wamepuuza na kuzembea wengi wa watu katika zama hizi wakawa hawajali ni haki Neno lake au ni batili, kana kwamba hakuna maelekezo ya kusema kheri au hakuna makatazo ya kusema shari. Anasema Allah Mtukufu :- { یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَقُولُوا۟ قَوۡلࣰا سَدِیدࣰا } [Surah Al-Aḥzāb: 70] "Enyi mlio amini! Mcheni Allah na semeni Kauli za sawa." Na Akasema pia. { یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَكُونُوا۟ مَعَ ٱلصَّـٰدِقِینَ } [Surah At-Tawbah: 119] "Enyi Mlioamini Mcheni Allah Na Kuweni Pamoja na wasema kweli!". Katika Hizi aya mbili, Allah anawaamrisha waumini jambo la uchaji na kusema maneno ya sawa na kuwa pamoja na wasemao kweli. Basi na ajipambe Muislamu na hizi sifa ; Uchaji , Kusema Neno La Sawa na kusema neno la kweli, Na huenda akauliza muulizaji, kwani si neno la kweli ndio neno la sawa? Ataambiwa ndio lakini si kila neno lijuulikano husemwa, huenda kusema kwako haki si Mahala pake au si wakati wake au hakuna haja ya kusema, basi tambua neno la sawa ndio useme. Na ajue msemaji na mwandishi wa maneno kwamba Allah anamuona ana anamsikia, hakika yeye ni mjuzi mwenye habari zote, Anasema :- { سَوَاۤءࣱ مِّنكُم مَّنۡ أَسَرَّ ٱلۡقَوۡلَ وَمَن جَهَرَ بِهِۦ وَمَنۡ هُوَ مُسۡتَخۡفِۭ بِٱلَّیۡلِ وَسَارِبُۢ بِٱلنَّهَارِ (10) لَهُۥ مُعَقِّبَـٰتࣱ مِّنۢ بَیۡنِ یَدَیۡهِ وَمِنۡ خَلۡفِهِۦ یَحۡفَظُونَهُۥ مِنۡ أَمۡرِ ٱللَّهِۗ...} [Surah Ar-Raʿd: 10-11] 10. Ni sawasawa kwenu aliyeifanya siri kauli na aliyelidhihirisha na mwenye kujificha usiku na mwenye kudhihiri mchana. 11. Ana yeye (Mwanadamu) Malaika wenye kubadilishana zamu mbele yake na nyuma yake wakimchunga yeye kwa amri ya Allaah... Na Akasema - { مَّا یَلۡفِظُ مِن قَوۡلٍ إِلَّا لَدَیۡهِ رَقِیبٌ عَتِیدࣱ } [Surah Qāf: 18] "hatamki mtu Neno lolote Ispokuwa mbele yake kuna malaika mwenye kuhifadhi mwenye kuhudhuria" Zingatia aya za Mola mlezi akieleza uhalisia wa mambo, Allah anakiandika na atakihifadhi Sehemu maalum ili uje kuuluzwa Kuhusu maandishi yako hayo au Kauli hiyo. Amesema ; { وَكُلَّ شَیۡءٍ أَحۡصَیۡنَـٰهُ كِتَـٰبࣰا } [Surah An-Nabaʾ: 29] "Na Kila kitu tumekihifadhi kwa kukiandika" Jua wewe mtu kwamba kauli zako ziwe za kweli au si za kweli za utani, za kejeli, chache au nyingi zitadhibitiwa uje kuziona siku ya kiama. Basi ninakutahadharisha ewe Ndugu yangu, chunga maneno yako, usiseme ila Kheri katika mahala sitahiki. Kwa masikitiko makubwa watu wamekuwa hawachungi wala hawajali hasa wanapowazungumzia mahasimu zao. Utakumkuta na kumskia mtu asema maneno Mabaya na yasiyo ya kweli na yasiyostahiki kusemwa, kuandikwa wala kusikilizwa Kuhusu Fulani hasimu wake. Tahadhari, Tahadhari ewe Muislamu, mfano katika Watu wasiojali walisemalo ni wale wanao comment katika mitandao ya kijamii na njia za Mawasiliano, Kwao wao kusema machafu na matusi ni jambo la kwaida sana kana kwamba limekuwa halali jambo hilo. KUMBUKA NDUGU UTAKUFA!! na maandishi yako yatabaki milele, Amesema Allah Mtukufu :- { إِنَّا نَحۡنُ نُحۡیِ ٱلۡمَوۡتَىٰ وَنَكۡتُبُ مَا قَدَّمُوا۟ وَءَاثَـٰرَهُمۡۚ وَكُلَّ شَیۡءٍ أَحۡصَیۡنَـٰهُ فِیۤ إِمَامࣲ مُّبِینࣲ } [Surah Yā-Sīn: 12] Hakika sisi tunawahuisha wafu na tunayaandika waliyo yatanguliza na athari zao. Na kila kitu tumekidhibiti katika kitabu chenye kubainisha. Yataandikwa Uyatendayo na athari yake baada ya wewe kufa ikiwa ni kheri au Shari. Hivi Huogopi kwamba umeshakufa lakini bado unaandikiwa dhambi? *Anasema msemaji* : وما من كاتبٍ إلا سيفنى *** ويَبقَى الدَّهرُ ما كتبت يداهُ فلا تكتب بخطك غير شيءٍ *** يَسُرّك في القيامة أن تراهُ. "Hakuna Muandishi Yoyote ila Atatoweka na kitabakia milele kile kilichoandikwa na mikono yake. Basi Usiandike Kwa Kiganja chako Isipokuwa ambacho kitakufurahisha Siku ya Kiama kukiona Kwake" Ewe Ndugu! Tahadhari na Ku comment kila Sehemu, ukiandika andika Kheri itakayokupa furaha utakapoiona siku ya kudhihirishwa matendo yote. Tunamuomba Allaah atuafikishe katika kusema na kuandika kheri na atuepushe na haraka ya shetani Mlaaniwa. والحمد لله وصلى الله على نبيه محمد وعلى آله وصحبه وسلم. ✍🏾 كتبه فقير إلى عفو ربه أبو الحسنات موسى بن علي آل نهودى الزنجباري.
@@HassanIddy-v1b ﷽ Sifa Njema Zote ni sitahiki ya mola mlezi wa Viumbe vyote, sala na Salamu zimshukie Mtume wake ﷺ Pamoja Na Jamaa na Swahaba zake wote. Baada ya hayo, napenda kutanguliza kwenu nyinyi Allah Aniwafikishe mimi pamoja nanyi, *NASAHA NA UKUMBUSHO KUHUSU JAMBO LA KUZUNGUMZA KHERI AU KUNYAMAZA.* Amesema Allah Mtukufu - : { فَذَكِّرۡ إِن نَّفَعَتِ ٱلذِّكۡرَىٰ } [Surah Al-Aʿlā: 9] "Kumbusha Ukiwa Utanufaisha Ukumbusho" Na Amesema Mtume ﷺ :- الدين النصيحة "Dini Ni Nasaha" Kwa hiyo Ninawanasihi Na Kuwakumbusha Waislamu Wenzangu Katika Kuzitumia vyema ndimi zetu zisizungumze ila haki. Amepokea Bukhaari Na Muslim - Allaah Awarehemu - Hadithi Kutoka Kwa Swahaba Abuu Hurayra - Allah Amridhie- Kutoka Kwa Mtume ﷺ Amesema. من كان يؤمن بالله واليوم الآخر فليقل خيرا أو ليصمت. "Yoyote Mwenye Kumuamini Allah Na Siku Ya Mwisho Basi Na Aseme Kheri Au Anyamaze. Na pia kutoka kwa Abuu Hurayra رضي الله عنه : وإن العبد ليتكلم بالكلمة من سخط الله لا يلقي لها بالا يهوي بها في جهنم * أخرجه البخاري. "Na hakika mja huzungumza neno lipo katika kumkasirisha Allah Halitafakari Mwisho wake, anatumbukia kwasababu yake katika jahannam". Hadithi Hizi mbili zinahimiza na kusisitiza katika kusema kheri na kutafakari kabla ya kusema, na kama hivyo zinatahadharisha kusema maneno maovu yasiyo ya Ukweli na ambayo huenda yanazusha fitna katika jamii. Wamepuuza na kuzembea wengi wa watu katika zama hizi wakawa hawajali ni haki Neno lake au ni batili, kana kwamba hakuna maelekezo ya kusema kheri au hakuna makatazo ya kusema shari. Anasema Allah Mtukufu :- { یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَقُولُوا۟ قَوۡلࣰا سَدِیدࣰا } [Surah Al-Aḥzāb: 70] "Enyi mlio amini! Mcheni Allah na semeni Kauli za sawa." Na Akasema pia. { یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَكُونُوا۟ مَعَ ٱلصَّـٰدِقِینَ } [Surah At-Tawbah: 119] "Enyi Mlioamini Mcheni Allah Na Kuweni Pamoja na wasema kweli!". Katika Hizi aya mbili, Allah anawaamrisha waumini jambo la uchaji na kusema maneno ya sawa na kuwa pamoja na wasemao kweli. Basi na ajipambe Muislamu na hizi sifa ; Uchaji , Kusema Neno La Sawa na kusema neno la kweli, Na huenda akauliza muulizaji, kwani si neno la kweli ndio neno la sawa? Ataambiwa ndio lakini si kila neno lijuulikano husemwa, huenda kusema kwako haki si Mahala pake au si wakati wake au hakuna haja ya kusema, basi tambua neno la sawa ndio useme. Na ajue msemaji na mwandishi wa maneno kwamba Allah anamuona ana anamsikia, hakika yeye ni mjuzi mwenye habari zote, Anasema :- { سَوَاۤءࣱ مِّنكُم مَّنۡ أَسَرَّ ٱلۡقَوۡلَ وَمَن جَهَرَ بِهِۦ وَمَنۡ هُوَ مُسۡتَخۡفِۭ بِٱلَّیۡلِ وَسَارِبُۢ بِٱلنَّهَارِ (10) لَهُۥ مُعَقِّبَـٰتࣱ مِّنۢ بَیۡنِ یَدَیۡهِ وَمِنۡ خَلۡفِهِۦ یَحۡفَظُونَهُۥ مِنۡ أَمۡرِ ٱللَّهِۗ...} [Surah Ar-Raʿd: 10-11] 10. Ni sawasawa kwenu aliyeifanya siri kauli na aliyelidhihirisha na mwenye kujificha usiku na mwenye kudhihiri mchana. 11. Ana yeye (Mwanadamu) Malaika wenye kubadilishana zamu mbele yake na nyuma yake wakimchunga yeye kwa amri ya Allaah... Na Akasema - { مَّا یَلۡفِظُ مِن قَوۡلٍ إِلَّا لَدَیۡهِ رَقِیبٌ عَتِیدࣱ } [Surah Qāf: 18] "hatamki mtu Neno lolote Ispokuwa mbele yake kuna malaika mwenye kuhifadhi mwenye kuhudhuria" Zingatia aya za Mola mlezi akieleza uhalisia wa mambo, Allah anakiandika na atakihifadhi Sehemu maalum ili uje kuuluzwa Kuhusu maandishi yako hayo au Kauli hiyo. Amesema ; { وَكُلَّ شَیۡءٍ أَحۡصَیۡنَـٰهُ كِتَـٰبࣰا } [Surah An-Nabaʾ: 29] "Na Kila kitu tumekihifadhi kwa kukiandika" Jua wewe mtu kwamba kauli zako ziwe za kweli au si za kweli za utani, za kejeli, chache au nyingi zitadhibitiwa uje kuziona siku ya kiama. Basi ninakutahadharisha ewe Ndugu yangu, chunga maneno yako, usiseme ila Kheri katika mahala sitahiki. Kwa masikitiko makubwa watu wamekuwa hawachungi wala hawajali hasa wanapowazungumzia mahasimu zao. Utakumkuta na kumskia mtu asema maneno Mabaya na yasiyo ya kweli na yasiyostahiki kusemwa, kuandikwa wala kusikilizwa Kuhusu Fulani hasimu wake. Tahadhari, Tahadhari ewe Muislamu, mfano katika Watu wasiojali walisemalo ni wale wanao comment katika mitandao ya kijamii na njia za Mawasiliano, Kwao wao kusema machafu na matusi ni jambo la kwaida sana kana kwamba limekuwa halali jambo hilo. KUMBUKA NDUGU UTAKUFA!! na maandishi yako yatabaki milele, Amesema Allah Mtukufu :- { إِنَّا نَحۡنُ نُحۡیِ ٱلۡمَوۡتَىٰ وَنَكۡتُبُ مَا قَدَّمُوا۟ وَءَاثَـٰرَهُمۡۚ وَكُلَّ شَیۡءٍ أَحۡصَیۡنَـٰهُ فِیۤ إِمَامࣲ مُّبِینࣲ } [Surah Yā-Sīn: 12] Hakika sisi tunawahuisha wafu na tunayaandika waliyo yatanguliza na athari zao. Na kila kitu tumekidhibiti katika kitabu chenye kubainisha. Yataandikwa Uyatendayo na athari yake baada ya wewe kufa ikiwa ni kheri au Shari. Hivi Huogopi kwamba umeshakufa lakini bado unaandikiwa dhambi? *Anasema msemaji* : وما من كاتبٍ إلا سيفنى *** ويَبقَى الدَّهرُ ما كتبت يداهُ فلا تكتب بخطك غير شيءٍ *** يَسُرّك في القيامة أن تراهُ. "Hakuna Muandishi Yoyote ila Atatoweka na kitabakia milele kile kilichoandikwa na mikono yake. Basi Usiandike Kwa Kiganja chako Isipokuwa ambacho kitakufurahisha Siku ya Kiama kukiona Kwake" Ewe Ndugu! Tahadhari na Ku comment kila Sehemu, ukiandika andika Kheri itakayokupa furaha utakapoiona siku ya kudhihirishwa matendo yote. Tunamuomba Allaah atuafikishe katika kusema na kuandika kheri na atuepushe na haraka ya shetani Mlaaniwa. والحمد لله وصلى الله على نبيه محمد وعلى آله وصحبه وسلم. ✍🏾 كتبه فقير إلى عفو ربه أبو الحسنات موسى بن علي آل نهودى الزنجباري.
Namuomba allah mtukufu alminde shekhe wetu zidi ya uovu wa maadui walio kosa hoja
Allah atamlinda sheik wetu Abulfadhwil ..allah amhifadh
Tupo na sheikh wetu haki ita baki kuwa huwezi zima Nuru ya ALLAH labda ALLAH mwenyewe apende.
الله يحفظ شيخنا الفاضل ابو القاسم
Tuko pamoja n sheikh wetu Kassim Mafuta. Na INSHA'ALLAH Allah azidi kumtia nguvu zaid n subra haya n mapito tuu. Hata manabiii walijrbiwa
Ata ktk batil muko pamoj? Mwambie atubie kwa Allah picha yake ile passports size haiwi vile kupinda
@NassorHassan-no1cr aaambiwe na Nani muulize huyu Fitna alieituma ameitoa wapi? Na kwann aliiileta ? Siku ya Kiama mtaenda kumlipa mbele ya Allah Kwa Dhulma hio
@@zanlec7357 wallah kassim siku ya kiama atakuwa wa mwanzo kwenda kujibu kwa dhulma aliowatia
Dah kweli masufi wameshindwa kwa hoja wanakimbilia kumzulia mtu mambo asio yafanya
Kassim mapicha yake anayo ila nyie ka masufi munamtetea tu
حفظه الله من مكايد المنحرفين
Naam
Swadakta
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh tafadhali naomba ufafanuzi kuhusu huo mchezo unachezwa na watu wa bidagha kuhusu picha za shekh.
Akhy hawa watu ni chuki zako kwa sheikh wetu hakuna kingine
Chuki vp picha ndizo zake au sizake zimepakikana vp mpka yy asihusike tusisingizie wengine ilhali kosa ni lake mwenywe
Kwani aliezipost ni salafi ?
@@AlmuzaniyOnlineTVHaram ni kupiga au kupost?
@@AlmuzaniyOnlineTV kaasim akiatandikwa vibara wanasema chuki ila kassim akiwadhulumu yeye ndo mannen
Uislam yaan mpaka leo bado unawapumbavu saana aibu wallahi hawa masalafu walokole
Mashia punguzeni chuki
@AbuuZakaria-f2w shia mamaako
Nam, kwani hata ingekuwa ni kweli kapiga yeye kwani shida ipo wapi. Si picha2 mashekh mbona mnakuza jambo dogo kama Hilo.
Mbona nyinyi majadida mnakanusha picha si zake?haliyakuwa yeye mwenyewe hajakanusha!!huu ni ujinga kwani mafuta akikosea kuna maajabu gani?wAlikosea watu bora kuliko mafuta huyu ha ajulikani hata kidoga ktk ulimwengu wa wanvioni nimwanafunzi kama wengine tu,sasa majadida povu linawatoka mpaka huruma😢kama ni kweli allaah amsamehe nakama sio pichazake basi zitakuwa ni zamnyama😂😂😂
Sawa
Yani Hawa wanaona huyu murjif hakosei Sasa huyu inaonekana bado kwa hili alilolifanya watakuja siku wamuone shekh wao kapiga picha kavaa pensi hebu wamtizame Abu rajabu Sasa hivi kwahiyo Hawa kunaelekea pia huu msimamo wao utakuja uwashinde tu Kama alivyo fanya Abu rajabu kwahiyo hata huyu anaejiita mufti wa pongwe dawwa yake hii utakuja kumshinde tu kwa sababu Hawa hawana dhamira nzuri kwenye dini Bali niwachafuzi tu
@@SaidiMbega-j4n ﷽
Sifa Njema Zote ni sitahiki ya mola mlezi wa Viumbe vyote, sala na Salamu zimshukie Mtume wake ﷺ Pamoja Na Jamaa na Swahaba zake wote.
Baada ya hayo, napenda kutanguliza kwenu nyinyi Allah Aniwafikishe mimi pamoja nanyi,
*NASAHA NA UKUMBUSHO KUHUSU JAMBO LA KUZUNGUMZA KHERI AU KUNYAMAZA.*
Amesema Allah Mtukufu - :
{ فَذَكِّرۡ إِن نَّفَعَتِ ٱلذِّكۡرَىٰ }
[Surah Al-Aʿlā: 9]
"Kumbusha Ukiwa Utanufaisha Ukumbusho"
Na Amesema Mtume ﷺ :-
الدين النصيحة
"Dini Ni Nasaha"
Kwa hiyo Ninawanasihi Na Kuwakumbusha Waislamu Wenzangu Katika Kuzitumia vyema ndimi zetu zisizungumze ila haki. Amepokea Bukhaari Na Muslim - Allaah Awarehemu - Hadithi Kutoka Kwa Swahaba Abuu Hurayra - Allah Amridhie- Kutoka Kwa Mtume ﷺ Amesema.
من كان يؤمن بالله واليوم الآخر فليقل خيرا أو ليصمت.
"Yoyote Mwenye Kumuamini Allah Na Siku Ya Mwisho Basi Na Aseme Kheri Au Anyamaze.
Na pia kutoka kwa Abuu Hurayra رضي الله عنه :
وإن العبد ليتكلم بالكلمة من سخط الله لا يلقي لها بالا يهوي بها في جهنم * أخرجه البخاري.
"Na hakika mja huzungumza neno lipo katika kumkasirisha Allah Halitafakari Mwisho wake, anatumbukia kwasababu yake katika jahannam".
Hadithi Hizi mbili zinahimiza na kusisitiza katika kusema kheri na kutafakari kabla ya kusema, na kama hivyo zinatahadharisha kusema maneno maovu yasiyo ya Ukweli na ambayo huenda yanazusha fitna katika jamii.
Wamepuuza na kuzembea wengi wa watu katika zama hizi wakawa hawajali ni haki Neno lake au ni batili, kana kwamba hakuna maelekezo ya kusema kheri au hakuna makatazo ya kusema shari.
Anasema Allah Mtukufu :-
{ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَقُولُوا۟ قَوۡلࣰا سَدِیدࣰا }
[Surah Al-Aḥzāb: 70]
"Enyi mlio amini! Mcheni Allah na semeni Kauli za sawa."
Na Akasema pia.
{ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَكُونُوا۟ مَعَ ٱلصَّـٰدِقِینَ }
[Surah At-Tawbah: 119]
"Enyi Mlioamini Mcheni Allah Na Kuweni Pamoja na wasema kweli!".
Katika Hizi aya mbili, Allah anawaamrisha waumini jambo la uchaji na kusema maneno ya sawa na kuwa pamoja na wasemao kweli. Basi na ajipambe Muislamu na hizi sifa ; Uchaji , Kusema Neno La Sawa na kusema neno la kweli,
Na huenda akauliza muulizaji, kwani si neno la kweli ndio neno la sawa? Ataambiwa ndio lakini si kila neno lijuulikano husemwa, huenda kusema kwako haki si Mahala pake au si wakati wake au hakuna haja ya kusema, basi tambua neno la sawa ndio useme.
Na ajue msemaji na mwandishi wa maneno kwamba Allah anamuona ana anamsikia, hakika yeye ni mjuzi mwenye habari zote, Anasema :-
{ سَوَاۤءࣱ مِّنكُم مَّنۡ أَسَرَّ ٱلۡقَوۡلَ وَمَن جَهَرَ بِهِۦ وَمَنۡ هُوَ مُسۡتَخۡفِۭ بِٱلَّیۡلِ وَسَارِبُۢ بِٱلنَّهَارِ (10) لَهُۥ مُعَقِّبَـٰتࣱ مِّنۢ بَیۡنِ یَدَیۡهِ وَمِنۡ خَلۡفِهِۦ یَحۡفَظُونَهُۥ مِنۡ أَمۡرِ ٱللَّهِۗ...}
[Surah Ar-Raʿd: 10-11]
10. Ni sawasawa kwenu aliyeifanya siri kauli na aliyelidhihirisha na mwenye kujificha usiku na mwenye kudhihiri mchana.
11. Ana yeye (Mwanadamu) Malaika wenye kubadilishana zamu mbele yake na nyuma yake wakimchunga yeye kwa amri ya Allaah...
Na Akasema -
{ مَّا یَلۡفِظُ مِن قَوۡلٍ إِلَّا لَدَیۡهِ رَقِیبٌ عَتِیدࣱ }
[Surah Qāf: 18]
"hatamki mtu Neno lolote Ispokuwa mbele yake kuna malaika mwenye kuhifadhi mwenye kuhudhuria"
Zingatia aya za Mola mlezi akieleza uhalisia wa mambo, Allah anakiandika na atakihifadhi Sehemu maalum ili uje kuuluzwa Kuhusu maandishi yako hayo au Kauli hiyo.
Amesema ;
{ وَكُلَّ شَیۡءٍ أَحۡصَیۡنَـٰهُ كِتَـٰبࣰا }
[Surah An-Nabaʾ: 29]
"Na Kila kitu tumekihifadhi kwa kukiandika"
Jua wewe mtu kwamba kauli zako ziwe za kweli au si za kweli za utani, za kejeli, chache au nyingi zitadhibitiwa uje kuziona siku ya kiama.
Basi ninakutahadharisha ewe Ndugu yangu, chunga maneno yako, usiseme ila Kheri katika mahala sitahiki.
Kwa masikitiko makubwa watu wamekuwa hawachungi wala hawajali hasa wanapowazungumzia mahasimu zao.
Utakumkuta na kumskia mtu asema maneno Mabaya na yasiyo ya kweli na yasiyostahiki kusemwa, kuandikwa wala kusikilizwa Kuhusu Fulani hasimu wake.
Tahadhari, Tahadhari ewe Muislamu, mfano katika Watu wasiojali walisemalo ni wale wanao comment katika mitandao ya kijamii na njia za Mawasiliano, Kwao wao kusema machafu na matusi ni jambo la kwaida sana kana kwamba limekuwa halali jambo hilo.
KUMBUKA NDUGU UTAKUFA!! na maandishi yako yatabaki milele, Amesema Allah Mtukufu :-
{ إِنَّا نَحۡنُ نُحۡیِ ٱلۡمَوۡتَىٰ وَنَكۡتُبُ مَا قَدَّمُوا۟ وَءَاثَـٰرَهُمۡۚ وَكُلَّ شَیۡءٍ أَحۡصَیۡنَـٰهُ فِیۤ إِمَامࣲ مُّبِینࣲ }
[Surah Yā-Sīn: 12]
Hakika sisi tunawahuisha wafu na tunayaandika waliyo yatanguliza na athari zao. Na kila kitu tumekidhibiti katika kitabu chenye kubainisha.
Yataandikwa Uyatendayo na athari yake baada ya wewe kufa ikiwa ni kheri au Shari.
Hivi Huogopi kwamba umeshakufa lakini bado unaandikiwa dhambi? *Anasema msemaji* :
وما من كاتبٍ إلا سيفنى *** ويَبقَى الدَّهرُ ما كتبت يداهُ فلا تكتب بخطك غير شيءٍ *** يَسُرّك في القيامة أن تراهُ.
"Hakuna Muandishi Yoyote ila Atatoweka na kitabakia milele kile kilichoandikwa na mikono yake.
Basi Usiandike Kwa Kiganja chako Isipokuwa ambacho kitakufurahisha Siku ya Kiama kukiona Kwake"
Ewe Ndugu! Tahadhari na Ku comment kila Sehemu, ukiandika andika Kheri itakayokupa furaha utakapoiona siku ya kudhihirishwa matendo yote.
Tunamuomba Allaah atuafikishe katika kusema na kuandika kheri na atuepushe na haraka ya shetani Mlaaniwa.
والحمد لله وصلى الله على نبيه محمد وعلى آله وصحبه وسلم.
✍🏾 كتبه فقير إلى عفو ربه أبو الحسنات موسى بن علي آل نهودى الزنجباري.
@@HassanIddy-v1b ﷽