''WEWE NI TAKATAKA!'''ANGRY MIKE MAKARINA BLASTS GOV. ABDULSWAMAD AFTER HE BANNED MIRAA IN MOMBASA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • #KENYANEWSALERT
    Kenya News Alerts TV is Kenya's new media publisher. 24/7 news & videos in Politics, Business, Entertainment, Sports, Lifestyle, Celebrities & More!
    ...............................................................................................................
    Don't forget to SUBSCRIBE and click the notification Bell🔔 to get instant updates when a video is uploaded.
    Follow us on:
    Website: www.kenya-news-alerts.com
    Twitter: / newsalertstvke
    Facebook: / kenyanewsale. .
    Instagram: / newsalertstvke
    Whatsapp:chat.whatsapp.com/CBgn02cAquw...
    ‎Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
    Our channel is an enlightening and News leading channel in Kenya, dedicated to update our viewers and subscribers on what's happening in Kenya and beyond, about today and the past.
    Our main intention is to INFORM, EDUCATE and ENTERTAIN you.
    If you have not subscribed yet, consider subscribing now so that you always stay updated.
    Copyright Disclaimer: Under section 107 of the Copyright Act of 1976, allowance is made for “fair use” for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, education and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. It provides for the legal, non-licensed citation or incorporation of copyrighted material in another author’s work under a four-factor balancing test.

Комментарии • 947

  • @alisaadmohammed
    @alisaadmohammed 26 дней назад +83

    Kama miraa ni chakula kuleni wenyewe hatuyataki mombasa

    • @charlesndegwa6156
      @charlesndegwa6156 26 дней назад +3

      SEMA wewe hutaki that's cash crop of maua

    • @andrewuser1381
      @andrewuser1381 26 дней назад +2

      Mairungi ni lazim uamuzi ni wako

    • @captainz5772
      @captainz5772 26 дней назад +1

      Hii miraa mpaka iuzwe kwani mbuzi itapata pesa wapi

    • @ishmailnganga4425
      @ishmailnganga4425 26 дней назад

      Jisemee wewe na ukataze watoto wako tuache sisi kuleni unga😅

    • @mwendajumbe6816
      @mwendajumbe6816 26 дней назад

      Pombe mnakunywa wakati ni haramu iliyo wazi ,acheni kununuliwa na usa

  • @KenyaModo
    @KenyaModo 26 дней назад +59

    I always wonder, why not ban smoking and alcohol? Those two have taken so many people to the grave.

  • @DohacareService
    @DohacareService 26 дней назад +24

    It's all political but miraa and other drugs should not only be banned in the coast but everywhere!

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 26 дней назад +71

    Mbwa takataka wewe mbona hamkuli wenyewe takataka hii.

    • @mamakekhubeiby4206
      @mamakekhubeiby4206 26 дней назад +5

      Nashangaaa shindano imewaigia washinziiiii Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sammymugendi650
      @sammymugendi650 26 дней назад +4

      Njoo meru ama embu county uwache kutumia hii akili
      Mmi niko mombasa na kila siku ama kila weekend lazima nile miraa

    • @sportshub928
      @sportshub928 26 дней назад +4

      Mateja hailetwi na miraa mtumalize cocaine

    • @mumbo1980
      @mumbo1980 25 дней назад +3

      Utajua mombasa Iko Kenya. Itauzwa mombasa mupende musipende. Watch and see. Kama hutaki hama Kenya

    • @franklinethuranira
      @franklinethuranira 25 дней назад +1

      ubwa pia ww kama utumii tulia

  • @OmarSaid-wj5zn
    @OmarSaid-wj5zn 26 дней назад +31

    Sijao MTU mjinga kama huyu mambo ya miraa na ukabila wapinawapi badala atete biashara yake ataja ukabila amakweli mtwana ni mtwana Sisi msa hatutaki ukabila na wacha kumuita Gavana wetu takataka wewe kama mwanamume njoo msa upambane kiume wacha kupiga domo kama mwanamke

  • @bwantanfumo4283
    @bwantanfumo4283 26 дней назад +25

    Kuleni wenyewe hio mogokaa.kwani shida ni nini?

    • @user-ql7to3rm3p
      @user-ql7to3rm3p 14 дней назад +1

      Jamani si vita kuleni wenyewe hiyo wewe ni

  • @abdulrahmanabdulrahman837
    @abdulrahmanabdulrahman837 26 дней назад +62

    Kwani lazima iuzwe Mombasa hatutaki

    • @BraydenRewona
      @BraydenRewona 16 дней назад

      😂😂😂😂😂

    • @mercykarimi8270
      @mercykarimi8270 13 дней назад +3

      Itauzwa by force Sasa edeni kwenye mnajua ...eti Kuban what are you trying to do mybe izo sawa zenu

    • @rosewanjiku5153
      @rosewanjiku5153 12 дней назад

      Kwanza mpigane na madawa ya kulevia na bangi ndio mkuje kwa miraa

    • @romeomutethia2968
      @romeomutethia2968 12 дней назад

      Leo inauzwa au zii, ngombe wewe

    • @lizzyireri1322
      @lizzyireri1322 12 дней назад

      Mtataka hamtaki unga ndio nmemaliza hao watoto wenu

  • @ahmeddubowsubanea
    @ahmeddubowsubanea 25 дней назад +12

    Governor should be emulated for doing good job..Be firm and move on bro Nassir...History will remember you for savings future generations..

    • @rufusmwangi1397
      @rufusmwangi1397 15 дней назад +2

      😢haha future generations and heroine and cocaine is still in market 😅 enyewe miraa isiuzwe but those young are going to face more challenges 😂😂all the best ahmed

    • @lizzyireri1322
      @lizzyireri1322 12 дней назад +1

      Which generation ..hii mmeharibu na unga na sijui nn madawa zenu ....

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 26 дней назад +41

    Hasiraa za nini wewe kichwa kubwa kuleni wenyewe miraa yenu Takataka ni wewe na kichwa chako HATUTAKI MIRAA

    • @sportshub928
      @sportshub928 26 дней назад

      Mombasa ni dawa za kulevya mkubali tu

    • @patricksafari5705
      @patricksafari5705 26 дней назад

      period, tutaipea mbuzi watafune ama ibaki huko na si lazima mulete. hatuhitaji asante yake by the way,

    • @True-Kenyan
      @True-Kenyan 26 дней назад +1

      Mnauzia watoto wenu unga alafu mnawekelea miraa,Kujeni Meru pahali miraa inalimwa mtwambie ni wangapi wamekuwa wazimu juu ya miraa,wacheni ufala🤨🤨🤨

    • @winfredkarimi8686
      @winfredkarimi8686 26 дней назад

      Saluti mkuu

    • @ustadhfarouq7729
      @ustadhfarouq7729 26 дней назад

      ​@@sportshub928Tutaanza na hyo miraa kama ni mizuri sana ipelekeni Tanzania si ni esst Africa community wacheni ujinga tetea miraa kwa inchi zingine lkn Mombasa hatutaki...uchafu watu hata hampigi mswaki mavi nyinyi

  • @kibindankoi9824
    @kibindankoi9824 26 дней назад +35

    sasa leo ndio mnadai sisi wakenya tu watu wamoja. Wakati wa kura mnasema nyinyi ni wa Central na Rais atoke either central, deputy rift Valley au rais Rift valley na deputy central. Pumbav sana kauzeni mugokaa rift valley, shenzi sana.

    • @Cegiken
      @Cegiken 25 дней назад

      Sawa😂

    • @user-ok7rn2np5o
      @user-ok7rn2np5o 24 дня назад

      There. Goes. Makarina. SIMBA. GRUMA. OUR. MAN. Yes. Drive. To. Mombasa. And. Tell. Them.

    • @user-ok7rn2np5o
      @user-ok7rn2np5o 24 дня назад

      Yes. Makarina. Tell. Them. Kenya is Ours. All. Our. Fore. Fathers. Fought. And. Shed. Blood. For. Kenya.

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 26 дней назад +23

    Jaba ni hatari Kwa watoto tunaomba governor wa Nairobi pia ajarib kufata mkondo wa governor wa Mombasa vijana Nairobi wamekuwa wezi juu ya jaba

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 26 дней назад +22

    Ataa iyo miraa ni madawa pia kuleni uko kwenu shenzi nyie

    • @ishmailnganga4425
      @ishmailnganga4425 26 дней назад +1

      Malizeni unga kwanza😅

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 18 дней назад

      ​@@ishmailnganga4425twaanza Na miraa kwanza

    • @nahashongichine4877
      @nahashongichine4877 16 дней назад

      Okay tuwaachie dawa za kulevya na bangi au sio

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 16 дней назад

      @@nahashongichine4877 ndio shida yetu kubwa Ni mogoka bangi tuachieni Na unga nyinyi bakini Na mboga zanyu za uchizi

    • @user-nk4oq4ek9y
      @user-nk4oq4ek9y 16 дней назад

      @@nahashongichine4877 ndio kila mtu auzie watu wake kwao

  • @abdishakurhassan7651
    @abdishakurhassan7651 26 дней назад +27

    The governor is in charge of the county and the people of coast have made resolutions no miraa

    • @user-ok7rn2np5o
      @user-ok7rn2np5o 24 дня назад

      Speak. Maka. Talk. To. Joho. We. MOVE. 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ahmedbadi5822
    @ahmedbadi5822 26 дней назад +28

    We have said hatutaki Miraa, even those eating Miraa will hide.

    • @eriksenmwenda2262
      @eriksenmwenda2262 26 дней назад

      We pia n takataka😂😂😂

    • @ericleo254
      @ericleo254 26 дней назад

      Wale wanasema ivo ni wale wa Mombasa sio Kenya miraa mtakula cha lazima

    • @True-Kenyan
      @True-Kenyan 26 дней назад +1

      Hii ndio akili unatumia kuvuka barabara ama uko na ingine🤷‍♀️

    • @ishmailnganga4425
      @ishmailnganga4425 26 дней назад

      Mwataka unga sio😅

  • @nadiamohamed4384
    @nadiamohamed4384 26 дней назад +8

    HATUTAKI MIRAA MOMBASA!!! MAKARINA KULA WEWE MIRAA NA MUGOKAA HUKO KWENU

    • @maimahjunior
      @maimahjunior 12 дней назад

      Kuna mtu anakutoa kejani ukanunue jaba acha udiang'ara

  • @alisaadmohammed
    @alisaadmohammed 26 дней назад +49

    Tunnanza na miraa vyengine vinafwata

    • @user-nk4oq4ek9y
      @user-nk4oq4ek9y 26 дней назад +1

      Amuna lolote nyie wakost kama ni marufuku ata mgox ni madawa ya kulevya kama iyo mgox itapewa tax ata unga na sukari pia zipawe tax tu

    • @jammienjogu1455
      @jammienjogu1455 26 дней назад

      Joho ameuza cocaine ndio akajua Raila

    • @user-nk4oq4ek9y
      @user-nk4oq4ek9y 26 дней назад

      @@jammienjogu1455 si nibiashara tu kama ya mgox na marungi so

    • @robinmutembeni
      @robinmutembeni 25 дней назад +1

      Wacha mcezo pigana na bangi kwanza na kocane na maunga na madawa

    • @robinmutembeni
      @robinmutembeni 25 дней назад

      ​@@jammienjogu1455yapungue kwa mateja

  • @abdishakurhassan7651
    @abdishakurhassan7651 26 дней назад +8

    Chewing miraa is hamful to our young youths

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 26 дней назад +5

    Ama kweli mungu hakupi kilema akakunyima mwendo.huyu jamaa hana tofauti na ngombe isiyokua na mwenyewe.hatutaki miraa

  • @issahabdallah9018
    @issahabdallah9018 26 дней назад +13

    Iyo kichwa imejaa majani ndio maana inaongea upussy.

    • @kabuthakabutha9472
      @kabuthakabutha9472 26 дней назад

      😂😂 I like how you've twisted the word upuzi to "upussy" 👏🏿👏🏿🤭🤭

  • @martinwambua8720
    @martinwambua8720 26 дней назад +13

    Miraa sio mzuri, its a drank which should be controlled. Kusema tu ukweli imearidhiri sana watoto wa pwani pamoja na bangi, ingizeni siasa kwa kila kitu lakini wale tunakaa mombasa tunajua ukweli, mombasa ikona matatizo ya madawa za kulevya, kuanzia bangi, pombe, kokeni, iroini na miraa pia

  • @robertsadika1779
    @robertsadika1779 26 дней назад +5

    Cocaine na bhang ndio zimeharibu vijana mombasa not Mitaa!!!

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn 25 дней назад

      Wacheni hamasa kama ina manufaa faidikeni nyinyi

  • @khalidabdalla6836
    @khalidabdalla6836 26 дней назад +5

    Wewe ibilisi yule kiongozi aliyemuasi mungu ndio yuko ndani yako....shida huelewi kizungu ...hujui maana ya regulations kutafautisha na ban.

  • @khalidabdalla6836
    @khalidabdalla6836 26 дней назад +19

    Shetani yuko ndani yako...gari tumekupa sisi watu wa Mombasa...tembea na mguu tukuone

  • @simonomolo1016
    @simonomolo1016 26 дней назад +10

    Mirror imechafua mdomo wamefura na wanakaa kama mbuzi

    • @sammymugendi650
      @sammymugendi650 26 дней назад +2

      Wewe hujielewi ata kidogo

    • @ngugimundia6306
      @ngugimundia6306 25 дней назад

      Mirror ni kioo sioni shida ya kioo...😂😂

    • @MrUnfamilia
      @MrUnfamilia 25 дней назад

      @@ngugimundia6306 🤣😂🤣😂

  • @rashD273
    @rashD273 26 дней назад +6

    Wewe mbaite njapo moye miraa to be cancelled Somalia and Mombasa

  • @khammadjeffa515
    @khammadjeffa515 26 дней назад +6

    Kwani saa ile mpwani akidhalilishwa juu ya pombe ya mnazi mbona hauongei, stop this nonsense

  • @saidponda4830
    @saidponda4830 16 дней назад +2

    Drugs , alcohol , cigarettes all should be banned but its not wrong for the county government to do what his people want ...Also the governor did not break any law

  • @alexjaddu377
    @alexjaddu377 26 дней назад +28

    Hatutaki miraa n'a mgokha Coast hiyo ni drugs

    • @ishmailnganga4425
      @ishmailnganga4425 26 дней назад +2

      Unga ndio sio dawa😅

    • @tiktok195
      @tiktok195 21 день назад

      We hata huna familia unasema hamtaki😆pumbafu we na nani

  • @abbashaji7315
    @abbashaji7315 26 дней назад +6

    HATUTAKI KULA WEWE

  • @daprince7545
    @daprince7545 25 дней назад +3

    Izo chemical mna spray kwa miti ndio mvune kwa wingi ndio zina affect. Nimetumia mgokaa 2014 bt huu wa sasa its has something vijana wanakua na wazimu 😢😢

  • @samuelmuriithiwanjiru6684
    @samuelmuriithiwanjiru6684 6 дней назад +1

    Kenya is a very tricky country,leaders thinks we are stupid....they are burning miraa so that hard drugs can sell well in mombasa AKILI BWANA

  • @leonardsang387
    @leonardsang387 26 дней назад +4

    Hii nguruwe si unjinjwe jameni , imenona kunona , sasa ni kubweka😢

  • @mkalyis-haka9588
    @mkalyis-haka9588 26 дней назад +6

    Utafika kweli Mombasa hebu karibu

  • @juliuskenga1821
    @juliuskenga1821 26 дней назад +38

    Kuleni wenyewe huko

    • @franklinethuranira
      @franklinethuranira 25 дней назад +2

      ubwa

    • @Abdiazizmoha567
      @Abdiazizmoha567 25 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @NasraOfficial-zi5oz
      @NasraOfficial-zi5oz 24 дня назад +2

      mpende msipende Miraa itauzwa mombsa fanyeni kazi muache siasa za kijinga

    • @patricknyaga6702
      @patricknyaga6702 19 дней назад +1

      Tukileta msinunue,magua!.

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 18 дней назад +2

      ​​@@NasraOfficial-zi5ozhizo Kazi zakuuza miraa ndo Kazi, sio lazma tule kuleni wenyewe kama mwataka

  • @user-nj3ko5qu6j
    @user-nj3ko5qu6j 12 дней назад +2

    Basi uza huko si lazima msa, wacheni hio,wenye kuharibika ni wetu si wenu, msiuze huku

  • @hamzamaalim307
    @hamzamaalim307 26 дней назад +4

    Miraa imekununulia lexus lazma upige nduruu mzee

  • @andersonkaingu3800
    @andersonkaingu3800 26 дней назад +7

    Sasa miraa na mabasi wapi na wapi,

    • @SamuelWambua-fb6yu
      @SamuelWambua-fb6yu 15 дней назад

      Heshimu hustle ya wengine

    • @gracie3444
      @gracie3444 13 дней назад

      ​@@SamuelWambua-fb6yuhatuja kataa iuzwe lakini sio coast..full stop!

  • @ChibuMwachalika
    @ChibuMwachalika 26 дней назад +6

    Wewe unababaika Tu .

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 26 дней назад +8

    Good today you have spoken sense
    .madawa ndio ina haribu watoto wa pwani

  • @danielk7225
    @danielk7225 14 дней назад +2

    You may hate but the guy is speaking alot of sense.

  • @Alakhyasirabuammar
    @Alakhyasirabuammar 26 дней назад +30

    Kwennda wewe . Hatutaki mongoka , sheithwani wewe

  • @fatmaomar6760
    @fatmaomar6760 26 дней назад +18

    Kwa kweli EMPTY DEBES Make Alot of Noise... Kifaru

  • @eliaskimathi-kr3co
    @eliaskimathi-kr3co 16 дней назад +2

    Congratulations muheshimiwa mungu akubariki na akulinde milele

  • @David-ob4cb
    @David-ob4cb 14 дней назад +1

    You can see the nonsense of this leader with a loose mouth,he went on threatening Mombasa Gov let's see how he will mishandle the Mombasa Gov now..now that he has outlawed muguka in the county

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 26 дней назад +4

    Gavana ongeza ushuru 500 kwa kilo

  • @user-qe3sx8zg3b
    @user-qe3sx8zg3b 26 дней назад +3

    Wewe indio takataka nenda ubadilishiwe bambers ,hi mira muna osha nakukausha na bangi muna daganya watu eti ni mira, mpatie watoto wako taka taka Huna ruhusa ya kuongea ndevu ya abdisamad au kutukana

  • @timaidarus4220
    @timaidarus4220 14 дней назад +2

    Mogakaa imethibitishwa na john muthoni mtafiti wa madawa kuwa hatari kuliko miraa na mihadarati . HATUTAKIiiiiii .Tutamalizana na madawa yote Inshaallah.

  • @user-ch9ei7hp4c
    @user-ch9ei7hp4c 17 дней назад +1

    Sonko my favourite politician live long Mbuvi

  • @khalidabdalla6836
    @khalidabdalla6836 26 дней назад +3

    Wewe chizi,wewe mbona hauli ...falaa sana

    • @stocks2545
      @stocks2545 25 дней назад

      Acha ujinga. Makarina huchana daily

  • @faizalabdi7873
    @faizalabdi7873 26 дней назад +2

    hii ni art of WAR na Wameru, Sonko Gavana wa Mombosa InshaAllah

  • @yossihayun
    @yossihayun 13 дней назад +1

    The deal is wakifunga mugoka watapata watu wakuvuta madawa, u get it

  • @japhethmaiyo986
    @japhethmaiyo986 25 дней назад

    Hongera

  • @charlesndegwa6156
    @charlesndegwa6156 26 дней назад +6

    😂😂😂Makarina umewaka

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 8 дней назад

      Tutatuma majini wapwani iwakule Wale wanao leta miraa namungokaa pwani..

  • @osmanhaji2156
    @osmanhaji2156 26 дней назад +2

    Wewe usiende Mombasa. Watakuroga.

    • @angle3600
      @angle3600 15 дней назад

      Yuajauliwa huyu,ajaribu kufika zarudi nguo

  • @noahkiptum9176
    @noahkiptum9176 15 дней назад +1

    Its not political Mr wacha makasiriko na makelele ..Hii mogoka it should be ban 47 counties not only Mombasa & kilifi. kudos 2 Governers

  • @thomaskipkemoingetich3553
    @thomaskipkemoingetich3553 26 дней назад +2

    This Guy is so soooooo foul mouthed that it just stinks
    I really wonder how he would have had he not had some of the challenges he has
    Whenever he opens his foul mouth it's just vitrols
    Could it be that he insults those he can n 6:32 ot extort or what?
    A man just dedicating his whole life to insulting people?
    Public disggrace

  • @khalidabdalla6836
    @khalidabdalla6836 26 дней назад +3

    Wewe mkabila... tribalist, racist

  • @user-vt2co1lo1y
    @user-vt2co1lo1y 26 дней назад +10

    Bludfuckin wew 😅

  • @jamesmurimi4708
    @jamesmurimi4708 15 дней назад

    I second you brother

  • @lifetimekevo
    @lifetimekevo 4 дня назад

    In real sense people should try to take care of their kids… i have lived in mombasa for 10yrs and i can tell you miraa is not the problem but the people, muguka is available all over the country, if kids everywhere else can abstain i dont see why kids in mombasa shouldnt…

  • @Briliant-vd8vp
    @Briliant-vd8vp 26 дней назад +3

    Very true 👍

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 26 дней назад +3

    Siwambie baba urisema dio rais wako

  • @user-jh1zo8yn3u
    @user-jh1zo8yn3u 16 дней назад

    on point

  • @destinychild-tq1zo
    @destinychild-tq1zo 18 дней назад

    I second u alot

  • @Jacksonkemboijunior
    @Jacksonkemboijunior 26 дней назад +4

    Meru ata wengine wakinyamaza nimesikia kiogozi wa wameru ameguruma💪💪💪

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 26 дней назад +5

    Nikweli waambie miraailikuliwamiaka 6oiliyopitamiraahaikuwanamazara mmechanganya ama Unga waswahiliwengiwanauzamaungaaaaa

  • @robinmutembeni
    @robinmutembeni 25 дней назад +2

    Very true Makarina

  • @misisalim7292
    @misisalim7292 17 дней назад +2

    Takataka ni ww usie jielewa kuleni wenyewe mgokaa wenu

  • @eastafricanpost3784
    @eastafricanpost3784 26 дней назад +9

    Wewe peke yako ndio mkenya shenzi

  • @user-vt2co1lo1y
    @user-vt2co1lo1y 26 дней назад +7

    Wa meru mlipigia kura ruto 😅

  • @mwanarusimusa3620
    @mwanarusimusa3620 26 дней назад +2

    Kama ni miraa peya watoto wako sio lazima ipelekwe mombasa.

  • @baabadjnr7624
    @baabadjnr7624 26 дней назад +2

    Mnaskia vibaya mnaingia hasara isipo ingia c mupeleke somalia izo tann

  • @maryokoth3743
    @maryokoth3743 26 дней назад +6

    I love this man

  • @eastafricanpost3784
    @eastafricanpost3784 26 дней назад +9

    Miraa inaharibu watoto wetu

    • @Symoh2116
      @Symoh2116 26 дней назад +1

      Mimi sichongi bt I don't support the move

    • @bobsalim4285
      @bobsalim4285 25 дней назад

      Ukisema imeharibu watoto unaeza fafanua wameharibika vipi?

  • @omarabdallah2974
    @omarabdallah2974 25 дней назад +1

    Bro jua kuongea wajua wameru wa ngapi Wana biashara coast. Mukikataa bus kwenda meru na maduka yenu huku coast yatakua je,,!!!!

  • @user-fz6ps6zd1g
    @user-fz6ps6zd1g 18 дней назад

    Very true

  • @user-vt2co1lo1y
    @user-vt2co1lo1y 26 дней назад +4

    Tafuna iyo jaba 😅 unauza

  • @maikwekijohn4613
    @maikwekijohn4613 26 дней назад +4

    I am happy Makarina ametambua President RUTO🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @scholasticawambugu2256
    @scholasticawambugu2256 13 дней назад

    The problem with Kenyans it's to personalize issues. This can be sorted in a calm way. Coast people are not insane by burning Muguka, there must be a reason.

  • @user-ch9ei7hp4c
    @user-ch9ei7hp4c 17 дней назад +1

    Leo umetambua serikali,KK Gv has nothing to burn miraa bussiness,kaeni kwa nyumba yenu ya ODM na ufala yenu.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 26 дней назад +1

    KUNA LAZIMA GANI KUUZWA KWA MIRAA MOMBASA KUNA NJAMA GANI?HAMUWEZI UZA KWINGINE LAZIMA MOMBASA?

  • @kenedymugwimi6529
    @kenedymugwimi6529 18 дней назад

  • @davidmwiti5358
    @davidmwiti5358 11 дней назад

    That's is very true

  • @timthegamer3516
    @timthegamer3516 13 дней назад

    The guy is right, eliminate weed first and worry about a harmless
    Khat later. There a political motive behind the move to ban Miraa, to weaken the mountain economically

  • @nashbeib2596
    @nashbeib2596 12 дней назад

    Bigup boss i hope wasikie hilo waache ukabila katika biashara.....

  • @bonifaceetiir3012
    @bonifaceetiir3012 15 дней назад

    This is true fight for our right

  • @gasperkiwo6109
    @gasperkiwo6109 26 дней назад +1

    Hii ni lugha ya mlemavu matusi mingi,usiteswe na mungu ukalia na mungu baby makarina,utatufundisha kuendesha county munao county yenu ya wamama meru upuuzi kwenu kwani ni lazima?

  • @davidmakori8990
    @davidmakori8990 7 дней назад

    Look for other markets si lazima iwe Mombasa!

  • @voiceoflaikipians5107
    @voiceoflaikipians5107 18 дней назад

    Very true makerena

  • @user-nn5lg8yt8v
    @user-nn5lg8yt8v 15 дней назад

    Kweli

  • @Mohamed-qz7yp
    @Mohamed-qz7yp 26 дней назад +1

    Wajua wa menu wangapi Wana small shops in mombasa. Be careful na maneno yako .nyinyi ndio muna faidika hapa mombasa. Sisi watu wa mombasa hatuko huko kwenu.muna weza nyote mukarudi kwenu.ukiwa coast heshimu watu wa coast

  • @amidaali7986
    @amidaali7986 15 дней назад

    Good 👍👍👍

  • @jacksonmunene3761
    @jacksonmunene3761 11 дней назад

    ati ganana bibi yake anayoyomkeshwa na nini thats a bomb...scad...noma noma ..makarina well done

  • @tida3727
    @tida3727 13 дней назад

    I wish we preach love,unity n togetherness.
    Sasa sisi tumezaa mombasa hao watoto halftribes wengine hata ni wakiume wafuate wapi??!.

  • @bonfacekhaondo8544
    @bonfacekhaondo8544 17 дней назад

    huyu msee has got point.
    coastal politicians wameua watoto wa wenyewe

  • @samngala128
    @samngala128 16 дней назад

    My governor Gideon mung'aro my neighboring government Abdul swamad msitishiwe acha wakataze hizo mabasi si hua zinabeba watu wao ju watu wa coast hawapendi bara

  • @hasahm1995
    @hasahm1995 26 дней назад +2

    Hata huko somalia ni next tutaburn ......hii miraa imeburniwa dunia nzima ishara kuwa ni mbaya sana

  • @HappyBeach-gn4bj
    @HappyBeach-gn4bj День назад

    Ukweli vijana wa mombasa ni bangi ndio wanavuta zaidi inawaweka wazimu,

  • @johnchokera2494
    @johnchokera2494 26 дней назад +1

    Makarena for Governor

  • @parmaraibj8638
    @parmaraibj8638 8 дней назад

    I think mogoka/ miraa conversation has been concluded by the coast warriors. Our brothers should try some thing else because for these stuffs Its over. No one is against the meru or embu growers its a pity and the affected counties need to come up with ways to cushion their farmers against the economic impact this will bring. Why The problem with this region has bn selfishness. Just wait
    Until other counties ban or impose heavy taxes...when
    Coast says no. Its a no.and makarina knows that even courts or the police cant
    Enforce court decisions. And people should stop black mailing their leaders. However, there is need for both govts to move in
    and wean the region out of this dying business.