UTAJIRI ALIOACHA MAREHEMU MARCO WA ZABRON SINGERS WAKUTISHA FREEMASON WATAJWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 284

  • @JetrudaJackson
    @JetrudaJackson 2 месяца назад +29

    Mungu ndiye a anajua matendoyake mwanadamu hakosichakusema tumeshachoka nahadithi zen mwachen apumzike kwaaman

    • @IvyImbayi-cr5so
      @IvyImbayi-cr5so 2 месяца назад +2

      Waambie mali alioacha ni ya familia mbona wafatilie kila kitu wanahabari munaudhi sana...

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 месяца назад

      Yaani wanakera mno sijui ni kwa nini hawaoni aibu kuzungumzia hayo wanayozungumza😭

    • @evelynewanja7503
      @evelynewanja7503 Месяц назад

      Mtu ashaaga mnashindilia Mali di muache apumxike kwa amani na familia itulie

  • @DorikasDipoo
    @DorikasDipoo 2 месяца назад +9

    Ee mwenyezi MUNGU naomba umpokee mpendwa wako Marco zabron umpumzishe kwa amani🙏

  • @Elizabeth-o1i3o
    @Elizabeth-o1i3o 2 месяца назад +14

    Waoneni wafuasi wa shetani mmetumwa ili kupotosha imani ya watu , naomba MUNGU awaadhibu vikali yaani napata hasira sana kuona ujinga wenu mulaniwe , badala ya kuwafariji na kuwatia moyo mnaongea tu ujinga nimechoka hata kuwatazam , namuombea marehem akae huko kwa amani kazi yke daima itakumbukwa

  • @Oclaris-l5s
    @Oclaris-l5s 9 дней назад

    Shetani hana utajiri zaidi yake mungu, sikuhizi mtu hawezitajirika akiwa maskini pia mtasema, mungu awasamehe

  • @MariaPaulo-xu8jb
    @MariaPaulo-xu8jb Месяц назад

    Mungu ndiye mtoaji kwahiyo freemason wana nguvu kuliko Mungu acheni hizo kila MTU atakufa akuna atakyebakia duniani hapa acheni umbeya tafakari ww ukifa watu watakuzungumziaje kwa mazuri kwa mema

  • @WinneKimaro
    @WinneKimaro 2 месяца назад +7

    Ukiwa nacho shida na ukikosa shida binadamu hatuna jema. Mr Marco pumzika kwa amani

  • @deborahelikana1657
    @deborahelikana1657 2 месяца назад +4

    Hata Mungu WETU ni tajiri Tena nitajir kweli kweli hata hizo mali alipewa na Bwana mwacheni mumemuua ILI mtangaze mshindwe Kwa Jina la Yesu

  • @LoipllOnhye.Mama.Claudi
    @LoipllOnhye.Mama.Claudi 2 месяца назад +2

    Wanadam sijui tunanini tu hapa Dunian 😢😢😢Mungu akikuinua kimaendeleo wanasema Alikuwa philimason😢😢😢ingekuwa Serikal yangu huyu shetan mutangazaji ningeenda kumuulia jera😢😢

  • @StevenChristopher-s8q
    @StevenChristopher-s8q 17 дней назад

    Mungu ailaze mahali pema peponi uko aliko maliko wetu tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi bado tunauzuni ndani ya mioyo yetu😢 Mungu ampumzishe uko aliko kaka etu

  • @gracenyakundi-i4r
    @gracenyakundi-i4r Месяц назад +1

    Mbona mwampaka marehemu kipenzi cha mungu matope mara freemason mara alikuwa na mchepko hata Kama mwanadamu ana mapingjfu hayo sikubaliani nanyi

  • @ReginaNdanu-d3n
    @ReginaNdanu-d3n 3 дня назад

    Hivi ni kazi umekosa ya kufanya ee mbona mtu akifa ndo mwapigia watu kelele tafakari Na ww kesho utakwenda njia hiyo hiyo aliyo kwenda mtumishi wa Mungu Marco je unafikiri utaambiwa mangapi ww Kwanza kwanza ulijuaje kama si umbea huo

  • @Allkingsvideos
    @Allkingsvideos 2 месяца назад +1

    Sass kwa watanzania yeyoye aliye ma malo ni wa freemason, kwenu Mungu hana uwezo wa kuwabariki watu wake

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 2 месяца назад +2

    Mkiona mtu kabarikiwa ni freemason pumbavu sana msihukumu msijehukumiwa mwacheni muumba ndio anajua

  • @HappyMusa-i5k
    @HappyMusa-i5k Месяц назад

    Mmh jamn mbona binadamu hamkosagi chakusema kweli saw mungu yupo

  • @PendoKijoti
    @PendoKijoti 8 дней назад

    Tafuteni yenu ache ni na ya mwendazake atajijua na mungu wake

  • @atandinyaboke6678
    @atandinyaboke6678 2 месяца назад +1

    Kwani mlikuwa naye freemason mkwende na huko brother Marco continue resting in peace

  • @SamwelMkumbo-ji4oo
    @SamwelMkumbo-ji4oo 2 месяца назад

    Kwan uyo ni nani mwenyekit au katibu au ndo kanunua google pixel ameanza jifunza Kaz ya kushoot video

  • @evakabete2944
    @evakabete2944 Месяц назад

    Kwani kuna kifo ambacho siyo cha hatari ?

  • @DanielMlonga
    @DanielMlonga 2 месяца назад +2

    Natumia furusa hii kuwapa pole wanafamilia nakuwatia moyo tutambue sisi niwapitaji tu,watu watasema mengi kikubwa mtazameni mungu katika Jambo gumu atawatia nguvu

  • @NyasoloMabele
    @NyasoloMabele 13 дней назад

    Achen uongo wa kipuuz mlikuwa nae Freemason hv nyie washenz ety

  • @sdmugabe5151
    @sdmugabe5151 2 месяца назад

    Ivii Marco wa zabron singer, wanamusemeya uwongo ua kwamba alikuwa kwenye freemason

  • @kelvinmpulule2627
    @kelvinmpulule2627 Месяц назад

    Acha mambo ya ajabu,unatafuta kiki kwa marehemu,Mungu akusamehe

  • @evakabete2944
    @evakabete2944 Месяц назад

    Hivi hii ni taarifa ya habari au ni maubiri.yani unaboa sana

  • @TriphosaRojas
    @TriphosaRojas 2 месяца назад +1

    🙅🙅🙅🙅🙅 jamani acheni maneno ya kuzusha kwani utajiri ni wake yeye ndo anajua Siri Yake na Siri ya utajiri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JoyceBuli
    @JoyceBuli Месяц назад +1

    Ukikosa Cha kufanya Bora ulale kuliko kutafuta likes kwa mambo usiyo yajua... Let God himself judge 🙏 For the sake of i and others , Marco forgive us and may your soul rest in peace

  • @nanubob1969
    @nanubob1969 2 месяца назад

    mbona ni kama unatubabaisha mpendwa?

  • @BumiIpunga
    @BumiIpunga Месяц назад

    Mbona unatembea ufiki?

  • @WillisonPetro-r8j
    @WillisonPetro-r8j 24 дня назад

    Wenifara kwahiyo asionyeshee au

  • @maliamary2398
    @maliamary2398 Месяц назад

    Kwani hii ni inchi gani akuna barabara!!

  • @itika1108
    @itika1108 2 месяца назад +1

    Unaongea kivivu sana inachosha kusikiliza

  • @aidanpeter-oy7lc
    @aidanpeter-oy7lc Месяц назад

    Mtoa posti unaongea saana mpaka unachosha, umeamua kuonesha mali ya Marco ebu nenda kwenye point, mbona una feli mjomba! Yaan unaoongea saana kuliko dhamira kuu ya hii video! Daah kaz sana aiseh

    • @Vincentkessy99
      @Vincentkessy99 Месяц назад

      Kaka umeonaee??hafai huyu..anaongea mpaka tunahama kwenye dhamira kuu..

  • @lucyasava9266
    @lucyasava9266 2 месяца назад

    Muache uongo....ako na sponsor m😊zungu na hata alifika Tanzania immediately Marco aliaga...
    Wacheni apumzike na malaika..kusema ni bure Tu ashaenda

  • @RichardNilila
    @RichardNilila 18 дней назад

    Kitu kisicho kuhusu sijui unacho familia na kupeleleza nini au umetumiwa na shetani maana shetani naye haki kama yeye huwa anatumia mtu wenda ni wewe hatuwezi jua ila punguzo Shobo tu kwanza wa ni mtoto wa kiume nashobo zabuni sasa

  • @UPENDOMLELWA-x2b
    @UPENDOMLELWA-x2b 2 месяца назад +1

    Kwani nyiny wahandisha hamna kazi zingine yani tumewachoka sana pelekeni ujinga wenu huko tumechaka na Kiki zenu

  • @SarahMajaliwa-px2qj
    @SarahMajaliwa-px2qj Месяц назад

    Kwan Mal Zak zinawahusu nin nyie yot mnayosema ni uongo mwachen kak yetu Marco apumzike Kwa aman🙏🙏

  • @isaya.m.mwakapesa9808
    @isaya.m.mwakapesa9808 2 месяца назад +1

    Hata ninyi mnaochukua matangazo haya alafu mnalusha mnaendelea kuumiza mioyo ya watu nanyie mpo katika shida em but mwachieni MUNGU mwenyewe maana haya wahusu

  • @FURAHAADIRIANO
    @FURAHAADIRIANO 2 месяца назад +2

    Achen uwongo na taarifa za uwongo muogopen na Mungu Siri ya mafanikioyake Mungu ndio anajua na mwenye kubariki ni Mungu sio mtu

  • @agnesmwangu2075
    @agnesmwangu2075 2 месяца назад

    Mungu ni Tajikistan sanaaaa acheni kumtukuza shetani frisson kwNi yeye ni shetani tu

  • @TelesiaZabron
    @TelesiaZabron 2 месяца назад +3

    Ayo ya dunia dada pole

  • @renaldalyimo8338
    @renaldalyimo8338 Месяц назад

    Kwa umbea wako unatembea na mguu😮😮

  • @EmanuelJoel-s3h
    @EmanuelJoel-s3h 2 месяца назад

    Sawa bn naona mnahangaika na utajiri wa marehemu wakati hata hauna msaada

  • @deklerkumburi2701
    @deklerkumburi2701 2 месяца назад

    Mkuu jiandae kwa maudhui unayotaka kurusha, unayoongea na unayorusha ni vitu tofauti kabisa,!!!!

  • @FrankIsindila
    @FrankIsindila 2 месяца назад

    Umekula MB zangu bure tu😂😂😂

  • @DanielMugo-vw2wz
    @DanielMugo-vw2wz 2 месяца назад

    wewe ni mwehu sana freemasons ndio nini inamaana mungu Hana pesa mpimbavu

  • @nickolausmwita9505
    @nickolausmwita9505 2 месяца назад

    Hakika Mungu ni waupendo na nyote munaofatilia yasiyo wahusu Mungu wetu awasamehe Bure maana hamujui mritendaro Amina

  • @constanceikhabi
    @constanceikhabi 2 месяца назад

    Hivi ndivyo watu hutafuta content jamani....upuuzi

  • @abelombasonyagwachi301
    @abelombasonyagwachi301 2 месяца назад

    Mungu akusaidie hivi karibu umtumikie kuliko kutangaza uongo soma Bibilia jamaa

  • @KisaliAgrovet
    @KisaliAgrovet 2 месяца назад

    Mna mambo ya ajabu Sana, ni vema mkosemee Taaluma ZENU !

  • @Joshua-o7d
    @Joshua-o7d 2 месяца назад

    Ndo maana Mungu alisema hatauhukumu ulimwengu tena kwa maana mawazo ya mwanadamu siku zote yamejaa ujinga ko kila aliyefanikiwa ni freemason amkeni wapendwa shetani yupo live kupigana na watu wa Mungu kwa nguvu zote

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 Месяц назад

    Ukweli utajulikana siku moja tusiwe na haraka ya kuujua haraka haraka...

  • @RuscoOuma
    @RuscoOuma 2 месяца назад

    Watoto watatu au wanne?

  • @MaureenOnyango-p9x
    @MaureenOnyango-p9x 2 месяца назад

    Ww n hizi news zako za ujinga hazina mbele wala nyuma

  • @NeduvotoSangenoi
    @NeduvotoSangenoi 9 дней назад

    Amna kituu

  • @MERCYKIMOSOP
    @MERCYKIMOSOP 2 месяца назад

    Jameni naomba muache ndugu wetu Marico alale Salama .....mbona mnafuata Zaidi ivi baada ya KIFO chake ?????

  • @Ester-b3p
    @Ester-b3p Месяц назад

    To live is christ to die is gain Paul said. Our creator created very thing not something things so ww kama you don't believe in christ wacha umbeya tafadhari. In mutual it's impossible but in God every thing is possible yote aliyekuwa nayo amepata kwa mungu.

  • @TEGEMEAMWAMPAGAMA
    @TEGEMEAMWAMPAGAMA 16 дней назад

    Hizo Mahari mnazitaka mtu tulishasahau bado mnafuatilia dah sijui nyie mkifa itakuaje

  • @NeemaSongoro-be6cf
    @NeemaSongoro-be6cf 2 месяца назад +1

    Ukumbuke na ww siku Yako yaja na ww utasemwa ivo Tena mala saba ya hapo shetani ww

  • @RehemaRaphael-w6x
    @RehemaRaphael-w6x 2 месяца назад

    Pesa katafuta mwenyewe magari hata. Nyumba Leo nyinyi mnapata tabu Kwa mali zake pumbavu zenu😮😮

  • @lucydavid6000
    @lucydavid6000 2 месяца назад

    Puuzeni maneno ya mtu huyu taarifa haina nyuma Wala mbele.Roho ya mpendwa wetu ipumzike Kwa amani.

  • @Vumilia-d8j
    @Vumilia-d8j 29 дней назад

    Ee Mungu mpumzishe kwa aman

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 Месяц назад

    Hupati likes hapa. Endelea kupiga mguu

  • @crosephymwale
    @crosephymwale 2 месяца назад

    Kwendeni hukooo na mshindwe kwa jina la yesu 🙏 freemason haukufi iache mali yake kama wewe ndio mrithi wa free mason ila inachikua kwanza kama hutimizi masharti nkt

    • @JacksonWekesa-m2k
      @JacksonWekesa-m2k 2 месяца назад

      Wanahabari pia nyinyi acheni kutumiwa,Kueneza habari za uongo Mali kama ni yake mwaifatia nini ushindwe katika jina la yesu.

  • @perisnyaga.youtube7522
    @perisnyaga.youtube7522 Месяц назад

    Tafuta zako pia mkafanane nkt

  • @Dorcas-r1s
    @Dorcas-r1s 2 месяца назад +1

    Wewe hufai hata kwenye jamii yenu 😏😏tumekuchoka na hizi taarifa zako za kipuuzi 😏😏😏😏😏

  • @apaikundambise1244
    @apaikundambise1244 17 дней назад

    Wee mjinga mbona ufik

  • @DeogratiusMelchior
    @DeogratiusMelchior 2 месяца назад

    HUNA AKILI MTANGAZAJI NA MUNGU WALA HUMJUI. JITAZAME VYEMA UTAJIJUA KUWA WE NI SHETANI. . MSENGE MSENGE WEWE

  • @PAULFURAHA-n9x
    @PAULFURAHA-n9x 2 месяца назад

    Umekosa kazi ya kufanya mewe!!

  • @AlexmwendwaGacuri
    @AlexmwendwaGacuri Месяц назад

    Jameni wacha ukweli ufichuke .kazi ya mungu hifanywi kama wewe umejinajinsi

  • @kezamutimaodette8636
    @kezamutimaodette8636 Месяц назад

    Mwache malehem apumzike juu yeye ni Leo wewe kesho pia

  • @Judithmushi-g5i
    @Judithmushi-g5i Месяц назад

    Sasa unatuonyesha nini kutembea kwako au😅

  • @LovenessAlbert
    @LovenessAlbert Месяц назад

    Umetumia mda mrefu sana kuongeatu jamani!!!

  • @stellamasawe6736
    @stellamasawe6736 2 месяца назад

    Hizo.mali unazoenda kuzitazama ni zakooo zinakuhusu za kwako zikuwapi tujue kam ni za mungu acha upiuzi kafanye kazi acha kutafita kiki kwenye machungi ya wengine

    • @bonifacealphonce490
      @bonifacealphonce490 2 месяца назад

      Acha watu waseme ukweli haubadilishwi na kusema ila Mungu ndio ajuaye hapa duniani watu wana siri kubwa ndio maana usiusemee moyo wa mwanadamu.Hasira za nini?

  • @ZawadianaFabianoIbrahim
    @ZawadianaFabianoIbrahim 2 месяца назад

    Mungu awatangulie familia ya marehemu marko joseph

  • @tonnygideon5591
    @tonnygideon5591 2 месяца назад

    Mbona unakula mb Bule hovyo wew

  • @CalvaryMollely
    @CalvaryMollely Месяц назад

    daaah!! hatauyo ayexema xautiyake niyakixhetan kabixa marco pumzika kwa amani

  • @emanuelwilliam8834
    @emanuelwilliam8834 2 месяца назад

    Ee Mungu baba wewe ni mwenye huruma umjalie makao ya milele huyu ndugu yetu

  • @LindaAlesius-g4q
    @LindaAlesius-g4q 2 месяца назад

    Et Marehemu amefariki dunia hee !!!

  • @mariarobart-o2n
    @mariarobart-o2n Месяц назад

    Mjua kwel ni mung

  • @paulcharles321
    @paulcharles321 2 месяца назад

    Washenzi sana ninyi kama alikuwa freemason mbona hamkusema akiwa hai acheni kuwapotosha watu tafteni maisha sio Kila mwenye kufanikiwa ni freemason,kafanyeni kazi acheni ujinga wa kuwapotosha watu waache kutafta maisha kwani fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana.

  • @JosphineAtieno-j1f
    @JosphineAtieno-j1f 2 месяца назад +1

    Hata kama alikuwa apokelewe na Mungu hatapokelewa ju ya maneno yenu, hamuna kazi ya kufanya.

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 месяца назад

      Atapokelewa tu sababu Mungu hasikilizi majungu ya binadamu,wao ni wachonganishi tu hawana nafasi yoyote ktk hilo

  • @NuruNdisa
    @NuruNdisa 2 месяца назад

    Mwacheni jamani Kila nafsi itaonja maiti embu acheni kumbebesha mizigo

  • @deborahelikana1657
    @deborahelikana1657 2 месяца назад

    Acheni kuchafua jina la mtumishi mbona hamkusema akiwa hai Bwana NDIE anamjua MANENO matupu hayo wanafamiria mtazamwni Yesu achaneni na wafuasi wa shetani

  • @NicholausMahembuke
    @NicholausMahembuke 2 месяца назад

    Wewe,mbona umekuwa mwongo mwongo?!

  • @josaphatimandia1485
    @josaphatimandia1485 2 месяца назад

    Wewe hujui kutangaza go to the point

  • @Collins-f4m
    @Collins-f4m Месяц назад

    Ww pekee siye binadamu

  • @NELLYMBELLA
    @NELLYMBELLA 2 месяца назад

    Acha uongo wapumbavu nyiie mtu akifa lazima mpate maneno yakuse mungu ndoo anajua namna ya kuturehemu hata Marco mungu ndoo anajua matendo yake acheni kumchafua

  • @christinamabula416
    @christinamabula416 2 месяца назад

    Washenzi sana nyie ,kwanza mwacheni marehemu apumzike ndiyo mmeona fursa ya kuzungumzia kila siku ,

  • @faithwambui5378
    @faithwambui5378 2 месяца назад

    Blogger jinga..kama ukipaka Marco matope ndiyo watoto wako watasiba..Ogapa Mungu???

  • @catherinemulungu5295
    @catherinemulungu5295 Месяц назад

    Zinakuhusu Nini Mali zake? Unachosha tu

  • @ManenoBulemela
    @ManenoBulemela Месяц назад

    Boya saana na kweli ujinga hauna mpaka

  • @Katembo_Official
    @Katembo_Official 2 месяца назад +1

    Pumbavu mnatengeneza uongo2, hata uandishi wa habari hujui mbwa ww

  • @GidionSindani
    @GidionSindani Месяц назад

    Siku zote ukwer unauma

  • @joyce457
    @joyce457 2 месяца назад

    Utajiri ya unafuatilia ya Nini ibilisi mkubwa

  • @belindamadata7862
    @belindamadata7862 2 месяца назад

    Muda wote unakula Mb za watu kwa upuuzi na huonyeshi ulichoandika kwenye head line.
    Mwacheni apumzike

  • @godloveabraham5088
    @godloveabraham5088 2 месяца назад

    Wewe ni mwehu tu mpumbavu hauna habari yoyote. Mshenzi tu

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv Месяц назад

    mbona huoneshi kitu sawa sawa na kichwa cha habari..we vp..acheni ukuuba

  • @LeakeyKanyamaha
    @LeakeyKanyamaha Месяц назад

    We jamaa ni bwa katika bwa umeona Marco kufa ndo kimekuwa kigezo cha kufuatia nyanja zake kila alipokuwa anakanusha au alikuwa akikushirikisha kila kitu chake acha mtu ameishakufa apumzike kifo chema fumba mdomo wako acha kutuchosha na uongo wako.

  • @WillisonPetro-r8j
    @WillisonPetro-r8j 24 дня назад

    Mbn shobo nyingi wwe

  • @rosebungei893
    @rosebungei893 2 месяца назад +2

    Nipo Canada but umenikera sana Mungu akusamehe

  • @SaraphinaJaphet-y9e
    @SaraphinaJaphet-y9e 2 месяца назад

    Mungu ndy aliye juwa kifu chake wanadamu watuwezi kujuwa