I had to visit Luo man to confirm the burial of his mother in kisumu😭Whose wife kílled to get wealth

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 217

  • @naomiadieri9939
    @naomiadieri9939 Месяц назад +54

    Aki inauma Tena sana.Mchungaji wewe ni wa Mungu ndio maana amesababisha ujue kiini cha kifo Cha mama Yako mzazi.Ndugu Yako na Bibi Yako ni nyoka

  • @terrytet8409
    @terrytet8409 Месяц назад +7

    This pastor is so humble and good hearted, he is really atrue servant of God

  • @everlineanjanja7193
    @everlineanjanja7193 Месяц назад +25

    Kizazi cha nyoka aki,,, God come rescue your people

  • @KENYANQUEENOFFICIAL
    @KENYANQUEENOFFICIAL Месяц назад +37

    Team France tunasema pole sana kwa familia, Nipitieni guys pale kwangu

  • @hawamuwanga246
    @hawamuwanga246 Месяц назад +8

    Dave you are so kind. God bless you and your team

  • @ndettothejuice3094
    @ndettothejuice3094 Месяц назад +18

    Haki pastor anahuzuni kibao.mwenyezi mungu twakuomba umpatie nguvu.

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry Месяц назад +2

    Ohh Lord look at this man of God 😢😢😢😢ako too humble wanamkosea

  • @Jojo_jd-f4p
    @Jojo_jd-f4p Месяц назад +13

    Dave wewe ni wa Mungu, sasa hibu angalia vile umesaidia huu mzee

  • @BettyKiriungi
    @BettyKiriungi Месяц назад +2

    Pole sana mchunganji mungu akupee nguvu 🎉🎉🎉❤❤God bless you dave you have a golden heart

  • @zenjibar64
    @zenjibar64 Месяц назад +24

    Usisahau na bro wako yuko ndani . Amechose rosecoco juu ya uhai wa mamaake .

    • @Pena-k-x2n
      @Pena-k-x2n Месяц назад +1

      Imagine Rosecoco, huyo mwanamke na ndugu yake shenzi kabisa, wazea jela.

    • @zenjibar64
      @zenjibar64 Месяц назад +1

      Power of rosecoco . Anafikiria huyu mwanamke wakishapata mali atamtaka yeye ? Atakwenda tafuta bwana nje ?

    • @alicethiongo3034
      @alicethiongo3034 Месяц назад +1

      Dave kwa Nini unatembea bila security???

    • @christinekayosa2224
      @christinekayosa2224 Месяц назад +1

      Imagine that 😢😢

  • @Fouziaabdi-bq1rz
    @Fouziaabdi-bq1rz Месяц назад +4

    Viva dave kweli watu wengi watajirekebisha tabiya🎉🎉🎉

  • @elizabethmatolo6512
    @elizabethmatolo6512 Месяц назад +11

    Next ni wewe pastor chunga sana

  • @anastaciawairimu7763
    @anastaciawairimu7763 Месяц назад +13

    Nikuonyeshana hata pastor anagongewa na huyo ndugu yake.A rotten society.

  • @alexauta-gv2hf
    @alexauta-gv2hf Месяц назад +1

    Pastor pole sana lkini junga uyo mwanamke atakuhuwa ashauwa mama yako

  • @ndettothejuice3094
    @ndettothejuice3094 Месяц назад +8

    Very sad indeed.hata hao wauaji hawafai kamwe kuhudhuria mazishi lakini yafaa wawe ndani wakila.maharage.

  • @PaulneNjoroge
    @PaulneNjoroge Месяц назад +14

    Sasa na wamesema huyu mama alikuwa mzee sana siwagemuwacha mungu afanye kazi yake😢😢😢😢

    • @Asiaha-l7q
      @Asiaha-l7q Месяц назад

      Hawajui mzee unaweza kumuacha ukafukiwa. We kijana

  • @DaianaMakangai
    @DaianaMakangai Месяц назад +2

    😢😢😢😢 hata siiamini senior 😢😢😢 is not where to find God protect this kind heart 😭😭😭

  • @MaryMunyao-dw8xb
    @MaryMunyao-dw8xb Месяц назад +5

    Dave good job endelea ivoivo tu

  • @SimpleLady-k6m
    @SimpleLady-k6m Месяц назад +5

    I shade tears😭😭😭the person you trust turned to be big enemy

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Месяц назад +1

    Senor devi Unasaidia sana watu na damu ya mtu mzito kaua kwa sumu Alafu wanawake wa kenya wengi wauaji wanaua waume zao Au mama mkwe 😢😢😢

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 Месяц назад +9

    Ata watoto pengine zingine ni ya ndugu

  • @liliankwamboka2278
    @liliankwamboka2278 Месяц назад +1

    Mungu nimwema kila wakati next ingekua ni uyo pastor😢😢

  • @janevigehi5727
    @janevigehi5727 Месяц назад +2

    Pole sana bro, take heart, there's God in control

  • @mosesmusyoka7688
    @mosesmusyoka7688 Месяц назад +2

    Lakini Dave we si mzuri Aki

  • @shikusteve
    @shikusteve Месяц назад +3

    Woiyee aki bro yake wanashikana na bibi ya bro yake wakaua mamake woiyee😢😢😢

  • @terrytet8409
    @terrytet8409 Месяц назад

    Allow me to congratulate you Senior Dave, mob love Dave, on this u did the best thing here Wah, this world joh

  • @VailethSolomon
    @VailethSolomon Месяц назад +9

    Mwenyew hapo nmechoka mara kazikwa mara ajazikwa😢😢😢😢😢😢

    • @JoyceMandi-m8m
      @JoyceMandi-m8m Месяц назад

      Same here😮😮

    • @irenemueni1247
      @irenemueni1247 Месяц назад

      Mbona nasikia Badi hawajazika,mara wamezika

    • @Yuca878
      @Yuca878 Месяц назад +1

      Not understanding too 😢😢

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k Месяц назад

      Last year jamani alshazikwaa​@@irenemueni1247

    • @Irene-g6b
      @Irene-g6b Месяц назад

      Jaluo kuwaelewa Ni ngumu ju Kiswahili hapana mdomoni mwao

  • @LilianCute-
    @LilianCute- Месяц назад +2

    Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏

  • @CaroMso-i5h
    @CaroMso-i5h Месяц назад

    U were God sent to this man of God sure he is a prayerful man

  • @konekone8045
    @konekone8045 Месяц назад +4

    Mungu akulinde bro

  • @LucasGetanda
    @LucasGetanda Месяц назад

    Senior Dave thanks for the great work you are doing may the Almighty God bless and protect you because sometimes you risk your life say hallo to family

  • @shirlincandy550
    @shirlincandy550 Месяц назад +2

    Lord wanted to expose the devil mungu akufariji pastor, justice for the dead

  • @terrytet8409
    @terrytet8409 Месяц назад

    God really loves this man, he wanted to manifest himself to him that the one he thinks she is then she is not...

  • @ivymugei
    @ivymugei Месяц назад +3

    Alafu labda wototo ni wa brother wake na ajui 😢

  • @johnkasyoki6950
    @johnkasyoki6950 Месяц назад +2

    So painful but Mungu halali passy Mungu akutie nguvu,
    Ifanyikayo Kwa Giza Mungu ameiweka wazi

  • @CharityOsebe
    @CharityOsebe Месяц назад

    Dave sikia tena vizuri ata Pastor ilikuwa siku ya mwisho kukula samaki na bbyake ndio wwekelee watu wa Restaurant 😅😅hili wazikwe wote😢😢😢😢😢 comments za Dave kuwa Samaritan ❤❤❤

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x Месяц назад +5

    Daah😭😭😭 hii uchungu aliyonayo huyu baba jamani

    • @maryammaryam7354
      @maryammaryam7354 Месяц назад

      Huyu mzee anaumia sana kwa ndani,ndomana, anulizwa lengine anaongea mengine

  • @LornaBunde
    @LornaBunde Месяц назад +2

    Dave saide pastor mwanie achane na bibi jambazi atamuua pia

  • @hellenkathambi8694
    @hellenkathambi8694 Месяц назад +3

    Be careful Dave, have security with you always please

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 Месяц назад +1

    Weeee chunga security sana toto letu

  • @perismburu6428
    @perismburu6428 Месяц назад +16

    Good job sinior Dave

  • @JustusMwania-bj7xe
    @JustusMwania-bj7xe Месяц назад +7

    Dave bona ukisinitize hawa watu, imesemekana mama ameuliwa 3dys ago na manzishi inapangwa!?? Saa hii nasikia ati amezikwa!!!?

    • @dorophinenelima1319
      @dorophinenelima1319 Месяц назад

      Mimi pia wamenichanganya walai,mara ako mortuary atazikwa next Saturday mara sai eti ashazikwa kuna kaburi

    • @treasureforashes3497
      @treasureforashes3497 Месяц назад

      Ni message za kitambo

  • @KEVINODONGO-o8g
    @KEVINODONGO-o8g Месяц назад +3

    Kuna msg Dave alisoma ikisema ashazikwa kama mtu hajui,nikama hata huyu passy hakuambiwa mazishi inaendelea

  • @franciscataiti5301
    @franciscataiti5301 Месяц назад +3

    May future represent us to the next stage. Through faith other things will follow in chain.

  • @Flo-r3g
    @Flo-r3g Месяц назад +11

    The lady is so evil 😈 💀 😭

  • @franciscataiti5301
    @franciscataiti5301 Месяц назад +2

    I still stand on my ground and scripture reflection is our text.life is sacred and should be preserved Beyond this is beyond my own understanding This being a fact we must become fools so that when taught we understand Forward ever backward never. The worst we would do is to live the past Let's start moving from this point and we will make ends meet. As faithful we not failures We should only expect normal worries. This is a dealt with issue May God light the dark secret and represent us to the next stage Thank you God for what you have done and what you haven't done Anything I do write down is fulfilled Expect many more wonders

  • @MarthaStinner
    @MarthaStinner Месяц назад +7

    Heeee the wife poisoned the mother of her husband the woman who brought into this world whose she vowed and said" Yes I do" and called him my "loved,husband" REALLY? What wicked would we live in Surely? 😢

  • @elizabethmatolo6512
    @elizabethmatolo6512 Месяц назад +5

    Pia mm nliski mazishi ni Saturday again alizikwa

    • @dreamdoersinvestments-agri4668
      @dreamdoersinvestments-agri4668 Месяц назад

      They aren't posted on the same day the videos are recorded (editing takes time, second they should make a follow up on the other other episodes before posting to viewers)

  • @EstherMagondu
    @EstherMagondu Месяц назад +3

    Woii bibi ya pastor ameletea ata watoto laana.

  • @MagretAndeka
    @MagretAndeka Месяц назад

    Hawatakuwa na amani mamako atawawinda tuh😢😢

  • @HellenHellenn-mi4ue
    @HellenHellenn-mi4ue Месяц назад +1

    Pole sana pastor 🙏

  • @salmanignna4253
    @salmanignna4253 Месяц назад +2

    Jipe nguvu naujue kukutana Dave ni KAZI ya mungu

  • @sophyabuyeka3851
    @sophyabuyeka3851 Месяц назад +2

    Sauti Iko sawa

  • @CONSOLATANECHESA
    @CONSOLATANECHESA Месяц назад +4

    Mara ajazikuwa mara amezikuwa last year 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @Zipporah-x1i
    @Zipporah-x1i Месяц назад +2

    Pole kwa pastor

  • @Fouziaabdi-bq1rz
    @Fouziaabdi-bq1rz Месяц назад +3

    Kweli ni uchungu je sasa ninani ata aminiwa

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure Месяц назад +2

    huyo paster mwisho angeuliwa na bb yake wakishirikiana bro ya mchungaji hawana roho ya utu😢😢😢😢

  • @shikushantel846
    @shikushantel846 Месяц назад +2

    Kama Mimi wazazi wangu walikufa kifo ya Mungu na huwa naskia uchungu hivyo 😢😢😢😢😢 na huyu wa kuuliwa 😢😢😢😢 kwani what is happening... Mungu Kama wakati WA mwisho umefika tukujie tu

  • @Magarida_kings
    @Magarida_kings Месяц назад +4

    Ak wanawake

  • @roseobegi
    @roseobegi Месяц назад +6

    Mimi ndio sielewi ama ni nini,,,first walisema hajazikwa,tena alikufa mwezi wa tisa😮😮😮😢

    • @TeresiahMucina-r4i
      @TeresiahMucina-r4i Месяц назад

      Apna kwa meso waliwa wanasema hawakuamini alizikwa bila wao kujulikana

    • @gideonchokwe8815
      @gideonchokwe8815 Месяц назад

      They meant... atazikwa bila wao kujulikana. Kiswahili ya Lakeside

    • @TeresiahMucina-r4i
      @TeresiahMucina-r4i Месяц назад +1

      @@gideonchokwe8815 ala bt ashazikwa last year mwezi wa Tisa the man said the grave is there outside

    • @irenemueni1247
      @irenemueni1247 Месяц назад +1

      Hatuelewi

    • @carolinematianyi5212
      @carolinematianyi5212 Месяц назад

      Those are past messages that were retrieved

  • @hesboneshitandi8579
    @hesboneshitandi8579 Месяц назад +1

    Good job mumesaidia wengi be blessed ok

  • @marionjons2288
    @marionjons2288 Месяц назад +1

    Pastor napenda vile umesema from the book of Mathew 12:31:32:33 yamesha fanyika from the book of Isaiah 60:1:16:17:18:19 give heart

  • @9089pam
    @9089pam Месяц назад +4

    Na SI walikuwa wanasema burial Bado haijafanyika

  • @GeldahLwando
    @GeldahLwando Месяц назад +2

    This is too painful, sorry sir God is with you 🇿🇲🇿🇲

  • @fatumafadeshi2514
    @fatumafadeshi2514 Месяц назад +7

    Kwan mm sijaelewa ama, mara alizikwa

  • @LydiagathoniGithinji
    @LydiagathoniGithinji Месяц назад +2

    Pengine ata huyu mzee alikua amepangiwa auawe

  • @omengoomala
    @omengoomala Месяц назад +1

    Spirit ya mama inafanya kazi

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 Месяц назад +2

    Serikali ichukue hatua

  • @janeotiso552
    @janeotiso552 Месяц назад +4

    Pastor ask for divorce, you cant stay with a serial killer, YOU ARE NEXT, RAN FOR YOUR DEAR LIFE.

  • @virginiahnjuguna1977
    @virginiahnjuguna1977 Месяц назад +1

    Pole passssi ata wewe ulikuwa unaenda kukula kamongo YA mwisho period funguka machoooo

  • @TabithaTabitha-t6s
    @TabithaTabitha-t6s Месяц назад +2

    Take heart pastor is very pain 😢😢

  • @terrytet8409
    @terrytet8409 Месяц назад

    Kweli DAVE ni DCI, you know how to investigate

  • @janechege1550
    @janechege1550 Месяц назад +3

    Senior sanitize. Huko kabisa kisumuuuuu fara tusonge kabisa

  • @puritywambui9145
    @puritywambui9145 Месяц назад

    Ooooiiii. Such a good man. Women, women why???

  • @DianaOtieno-s8jTeachings
    @DianaOtieno-s8jTeachings Месяц назад

    Pole sana mchungaji the story has really touch me ,, pole sana may God comfort you

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 Месяц назад +1

    Dollo anapelekea nguku wa ngili watu wawili kika siku be careful kubebwa na ndollo bado anatoa kafara

  • @jacklinekeya2344
    @jacklinekeya2344 Месяц назад +2

    Ni machungu sana

  • @CaroMso-i5h
    @CaroMso-i5h Месяц назад

    Pastor change usirudiane na hiyo mnyama atakuua

  • @ndichuwanjiru4856
    @ndichuwanjiru4856 Месяц назад +2

    Ndoa zko na maneno

  • @fevachris6953
    @fevachris6953 Месяц назад

    Hiyo samaki bibi yake alikuwa anangangana waende the first day you met them might be alikuwa anapelekwa amalizwe pia ,who knows ,you are in danger pastor,be watchful and keep on praying,God loves you so much by exposing the enemy within

  • @franciscataiti5301
    @franciscataiti5301 Месяц назад +2

    God can't test us with that which is beyond our strength President Ruto only need to do what is just show constant love and live in humble fellowship with our God Option left for him is to surrender this matter to True Treasure In Clay Pot Organization Other things will follow in chain. Better stay without starting any operation if he knows that it will not come to an end The choice is his We are in a democratic country Whichever the case live will continue. Free will is God's given free gift Forward ever backward never.

  • @millicentojala
    @millicentojala Месяц назад +2

    Eeeee Dave American kisumu❤❤❤❤❤❤❤

  • @khamistv6138
    @khamistv6138 Месяц назад +1

    Heti sheitwani hakulangi ugali 😂 sheitwani hula pizza 😅

  • @franciscataiti5301
    @franciscataiti5301 Месяц назад +2

    Let's wait and see what is about to happen. We are living one day at a time and God is always making something new today Before dawn expect many more wonders. mine is to react on what I will see and hear.This. is an assignment from above.

  • @carolinemwenze8831
    @carolinemwenze8831 Месяц назад +5

    Siku hizi watu wamekua wanyama

  • @shirlincandy550
    @shirlincandy550 Месяц назад +2

    Wuueh pastor don't allow that serpent into your life waacha aende

  • @annahmailu5812
    @annahmailu5812 Месяц назад +2

    Si ashamed zikwa last year 😊

  • @lucynjoroge3801
    @lucynjoroge3801 Месяц назад +1

    Why innocent soul aki

  • @franciscataiti5301
    @franciscataiti5301 Месяц назад +2

    This wicked act hurts the spirit Better hurt the son of man than the spirit. May God reveal the mystery and represent us to the next stage. Through faith other things will follow in chain and am not condemned by my conscience. As for me I have have reached stalemate.May. God intervene and represent us to the next stage. We must become fools so that when taught we understand

  • @puritywambui-n6c
    @puritywambui-n6c Месяц назад +2

    Pole sana

  • @GladysJemutai-f8j
    @GladysJemutai-f8j Месяц назад +1

    Next ni pastor ndio atauwawa ndio wa enjoy maisha sasa vizuri

  • @WanguMurimi
    @WanguMurimi Месяц назад +2

    Leo ilikuwa wewe iliwaende sherehe mbs

  • @HappynessJose
    @HappynessJose Месяц назад +2

    Dave mwambie kabisa wa naplani pia ya kuua yeye ili waede Mombasa chiritmas lazima Waite ndugu yake wajue hiyo sio siri kabisa niunyama mkubwa sana

  • @franciscataiti5301
    @franciscataiti5301 Месяц назад +2

    It's never late May soul of our mother rest in peace.This is a dealt with issue. May God light the dark secret. and represent us to the next stage. Through faith this operation will affect murderers we have under the sun. They are everywhere. As they emerge on the surface they will represent us to many more dimensions

  • @franciscataiti5301
    @franciscataiti5301 Месяц назад +2

    May God light the dark secret and being in charge of God's secret truth I will exercise my power and represent the faithful to the next stage I can't start an operation which will not come to an end The day is still long Before dawn expect many more wonders. Mine is to react on what I will see and hear. This is an assignment from above. .

  • @NancyKarash-j2k
    @NancyKarash-j2k Месяц назад +1

    So sad pole brother

  • @leah606
    @leah606 Месяц назад +1

    Too pain to loose a parent in such manner

  • @evelynekamande2699
    @evelynekamande2699 Месяц назад

    He will be forgiven,but he must suffer the consequences

  • @RAZIZATUTI
    @RAZIZATUTI Месяц назад +2

    Take heart bro😢

  • @cleonomollonyochol4206
    @cleonomollonyochol4206 Месяц назад +6

    Kwanza huyu bro pia ashikwe aende ndani