Daah aisee naangalia hii muvie had machozi yanayotok hapa maana hata mimi ni dadah wa kazi naomba sana MUNGU atusaidie sis wadada wa kazi maana sio kwamba tunapenda ila daah.Naomba kila dada wa kazi anayesoma hii comment MUNGU amsaidie apate mume bora na maisha mazuri.
Daaaaah😢😢😢hadi nimedodoka chozi... Jamani tuwe na heshima kwa kila mtu yule... Mdogo, mkubwa, maskini, tajiri..... Heshima tafadhali... You never know the plan of God 🙏
Mungu akubariki sana dada wa kaz Yan umetisha sana zuena wangu classmate wangu unajua ad kwigiza vizur hivo Wana mpuguso secondary oyeeeeeeeeee ❤❤❤ nakupenda sana best tukuyu Moja ushirika Moja move Kari sanaaaaaaaaa❤❤
Mimi nimechoka adi na marafiki kwenye WhatsApp, Facebook na ata tiktok so RUclips is the best💃💃 for now team strong wap likes jameni joto n kali 🙆♀️🙆♀️
@@busatitvno bro a'm seriously Wala sijambo langu mim niuhalisiya wangu nipo ready kufika sehem hiyo hata iwe naumbali kuasi gani so please let me know when they're 🙏🙏🤦🤦
Bonyeza link kujiunga group la WhatsApp
chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0
❤kaz Zuri sana
Asante sana
Tunaomba muendelezo nizur cn
Honger cn umefanya vizur cn
Kazi nzuri sana twasubiri muendelezo msicheleweshe pls 🙏
Nimetoka mbali kweli mpaka kufika huku kuja kuiona iyo movi ya zuu ilivyozur 🔥
Asante sana na karibu mnoo
Kama mimi tu dah
Nand
Tuilotoka TikTok Tujuane hapaa 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Mliotoka Tik Tok karibuni sana kwenye familia ya BUSATI TV
Aloo tupo wengi
Tupo😂😂😂😂 kwaajili ya Cady
ahahahahaha | ila baba revo
Nipo
Kuna mahali house garl mazoea na boss yamezidi[baba mwenye nyumba]
This will be one of the best series in Tanzania. It has a lot of life lessons. BIG UP guys
Thanks so much
True ❤
Safi xn wana busati Masha'Allah kitu kizito iki cha msingi apa nmejifunza kua heshima kitu muhimu hata kam mtu humjui asnteni xn mzidi kutufunza❤❤
Asante sana kwa kujifunza
Heshima nikitu Cha muhimu sana
Daah aisee naangalia hii muvie had machozi yanayotok hapa maana hata mimi ni dadah wa kazi naomba sana MUNGU atusaidie sis wadada wa kazi maana sio kwamba tunapenda ila daah.Naomba kila dada wa kazi anayesoma hii comment MUNGU amsaidie apate mume bora na maisha mazuri.
Pole habibty hata mm n mfanyakazi lakin nipo oman kaza moyo 😢😢
Kucha zabandia hatali sana😭😭😭😭😭
Pole da da a unaitwa nan tujuane apa
Ata mimi ni mdada wakazi Ila kazi bana inaitaji subra😢😢😢
Jaman eshimuni waume zenu ❤❤❤❤❤❤❤,utalaumu ooo bwanangu ameenda na msichana wakaz 😂penda bire nyote
Umeona eeeh
Bonge la move aisee nimependa mdada wa kazi heshima kwake jamani daaah!! 🌹🌹🌹yake
Kabisaaa
Apewe maua yake
God be with you l see
Daa Zuu kweli wastahili kuwa mke wa boss wako nidhamu nzuri sana
Kabisaa 🙏🙏
Hii Kali kuliko daa inatufaa siye wafanyakazi wa warabuni daaa mh Hadi chupi zandani Yani hivo hivo hhhhhhh Yani mmenifurahisha Leo sana keyi
Daaah poleni sana 🥰🥰
Ok
Movie tam ajabuuu... hongereni sanaaaaaaa, kila mtu ka play vzr part yake
Asante sanaaa
Jmn jmn waooo busati tunashukuru kwakutuletea ktu kizur sana pongez sana busati tv
Asante sanaaaa
🎉
Wow nzuri sana zuu ni mke na nusu kweli
Asantee
Dah vijana kuweni makini sana msikosee kuona maana huu ndo uhalisia wawake wasku iz❤❤❤❤❤❤❤
Kabisaaa
💖💖💖💖🙏🙏🙏
Nuebdjgue mdhfithfgbckgiry🎉hdbxcw❤ehdgbxgdgeywbz@@busatitv
Mnxkdirybdglajdgeitjfhsbzxv❤lkdnxvdheworlawp
Zmnxvorjfhsnxkepqjdbxv❤kruegdksbxceotuehs
Mamb ni 🔥🔥🔥busat nawaaminia kadri siku zinavyozid kwenda mnazid kutisha mashaallah
Asante sana 🙏🙏
Tunawapenda sana sna sana kaz nzuri Allah awasimamie🎉
Asante sana🙏
Movies with a lot of life lessons are the movies we would wish to watch, am impressed guys. Am your fun from KENYA.
We Love You 😘😘
Wap bust tv na kazi zako zuri San np hap kutoka omani waif zabure za warabu lete vitu una baya dj wetu huu 🔥🔥🔥🔥🔥 busat
Asante sana Tunakupenda mno
@@busatitv saw mwendelezo bas usitucheleweshe bas
😆😆😆 ety lete vit dj
@@SamouOman au nimekosea
Ujakosea
tuko hpa nampenda sana zuu
Good work my dear friends. God the bless you
Asante sana
huyu dada boss yani kuiiigiisa bado sana yani kelele tu..
🤣🤣🤣🤣
Nkweli😂 Yuko Bado sana
Mwisho ataachwa tu aolewe dada wa kazi🎉🎉🎉🎉
🤣🤣🤣
Muendelezo jamani kazi zuri sana nawapenda sana
Asante sana 🙏🙏
Huuuu nzuri san afu uyo mkeee laaa uuuu
🙏🙏🙏
Wow n nzur san💯 n kuna wengine tutajifunza kitu apa✅️🎉🎉
Aminaaa
Ivo ivo kwenye sim nakuitwa kama sio binadam alafu kila saa kwenye sim wawo siye shida maneno mongi jamani wallahi nimeipenda sana hii mie
Asante sana Karibu Tunakupenda mno
Dahhhhhh huyo mwanamke anadarau sana ningekuwa mimi ningemuoa mfanyi kazi
🤣🤣🤣
Ako na roho chafu
Wanajifanya Hawajui majukumu yao kila kitu dada wa kaz na dharau pia ila watu km Hawa wapo wengi sana na hii hizi tabia zitaadhibu mbele ya mungu
Kila kitu zuu ,kila kitu zuu aisse hi movie inafindisha
Asante sana aisee !! Kuna baadhi ya Maboss ni shida
Waarabu ndo tabia yao hio aki hii movie kali sn
Wallai@@priscilladama8686
Niko hapa kuhudhuria ndoa ya zuu na bosi sio jingine kama haipo mnijulishe ila naiona mbeleeeni
Hizi ndio muvie za kupewa tuzo, muvi inafundisha inatoa funzo, hongera sana mtunzi
Zuu n bonge la mwanamke kwnz anaheshima, pia yupo vzr, karembo kanashepu,
Asante sana🙏🙏
Hana huruma2
Mmeweza sana aiseee....kazi nzuri mnooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nani mwengine tiktok imemleta huku😂
Mjuane Kabisaaa
Niko hapaaaa
Mimi hapa😂😂
Niko hapa 😂😂
Mimi hapa😂😂
Seen nzuli sana ii heshi kwako dada wakazi
Asante sana🙏
Movie nzuri sana ila huyo mke kai uuuuwiiiiiii hatari 😂😂😂maneno ya mtiririka kama upepo busati hambahatishi ❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sanaaa 🙏🙏🥰🥰🥰
Ayise hiiii movie nimeipenda ety dakika ngapotu nimeipenda ety
Asante sanaa 🙏🙏🙏
Mwanamke mjinga asiye fahamu umuhim wa Mme wake
Nakubali
Hatari sana
Hii ni ng'ombe tu
Kwani kila wakati ni zuu zuu zuu,,, ningekua zuu ningenyorosha aka kamama ki kweli kweli na nikatoe izo kucha
😅😅😅😅hatari sana
Tunaomba mwendelezo jamni nzr inafundisha Sana Kwa Sisi wadada wa kazi
Asante sana inakujaaa
Kalii sna muendelezo usichelew jamn
Inakujaa
Kweli hii kali kabisaa,, imebidi nije huku baada ya kutoka tiktok
Daaaaah😢😢😢hadi nimedodoka chozi... Jamani tuwe na heshima kwa kila mtu yule... Mdogo, mkubwa, maskini, tajiri..... Heshima tafadhali... You never know the plan of God 🙏
Asante sana kama umeliona hili 🙏🙏
Nawapewa wote😢🥰🥰
Makopa kopa kwa busati tv❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤
Kazi nzuri hatar ❤❤ila kaka mke hakufai🎉🎉🎉
🤣🤣🤣
@@busatitv mhh 🤭🤣🤣haya maliza kicheko halafu uniambie part 4ikowap
😂😂😂😂❤❤❤❤❤ heshima si utumwa unaheshimiwa unaringa watu wengine bana
Yani hana adabu
Hii nayo ni tamu sana msichelewe na next part
Episode ya pili tumeshapost
Hii muvi nzuri sana makopa menginengi kwako muandaaji♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Asante sanaaa
Asante sana ubarikiwe
Imeanza moto🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Asante sanaaa
Kali ak nimeangalia mara mbilimbili ❤❤❤❤❤❤
Asante sana
Wow nzuri sana lakini huyo mke sio kabisa
Asante sana
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ kanzi nzuri sana❤❤❤❤🎉🎉
🙏🙏🥰🥰
Mungu akubariki sana dada wa kaz Yan umetisha sana zuena wangu classmate wangu unajua ad kwigiza vizur hivo Wana mpuguso secondary oyeeeeeeeeee ❤❤❤ nakupenda sana best tukuyu Moja ushirika Moja move Kari sanaaaaaaaaa❤❤
Watu wa Tukuyu oyeeeeee
Ndomana nasema mbn kadada kaheshma kumbe n ss wa tukuyu aiseeh muje muoeee
Waooh kazi nzur sana hii
Asante sana
Hii kali sana inaenda 💯
Asante sana
Hongera zu
❤❤❤❤
Pat 2
Kazi Nzuri sana hii
Asante sana
Nimeipenda ni move nzuri
Asante sana🙏
Dada wakazi penda cna honger kwa kazi yak
Asante sana
Daaah nimejifunza kitu hapa jmn
Asante sana kwa kijifunza
Kazi bomba sana mumetisha wakubwa
Asante sana 🙏🙏🙏
Mwanamke mnyanyasaji ameweza
Asante sana
Iyi nayo ni moto 👌👌❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Asante sana🙏
Wewe ati hutakuja kuonja ndoa nni kasema
Nimeipenda bureee maa shaa Allah
🙏🙏🙏
Kaka mnzr sana huyu, lkn mke n bonge la jnga,
🥰🥰🥰
Ajaiva bado
🎉🎉🎉🎉🎉muvi Kali sana
Asante sana
Wakwaza nimewahi 🎉🎉🎉🎉
Hongera sana
@@busatitv Asante alafu huyo mzee mwafanana ywaka kama babako for real
Safi sanaa kazi nzuri sanaa
🙏🙏
Mambo pambe jmn so poa wadada wa kaz tunpitia magum sana
Kumekuchaa
Dhaa iMovie kila siku nilikua naipita kumbe kali ivi kanzi nzuri Sana❤❤
Madam wa namna hii lazima nikukomeshe lazima nipite na boss❤❤😂😂😂😂
🥰🥰🥰🤣🤣🤣
Yn umewaz kama mimi huyu na mkomesha mchana kweupe na makope yake kama fagio chelew
😮😂😂😂😂😂😂😂
Tena boss unampa mahaba yote😅😅😅😅
Hlabxhdirebdkdhriwnewpryxvajdglavzbdgfkr@@AnithaMwijonge
Nzuriii sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😍😍🥰🥰
Safii imetishaaa
🙏🙏🙏
Mimi nimechoka adi na marafiki kwenye WhatsApp, Facebook na ata tiktok so RUclips is the best💃💃 for now team strong wap likes jameni joto n kali 🙆♀️🙆♀️
Dada wa kazi Masha Allah ❤❤❤ apewe boss bila tafrani
Movie nzuri sana nmeipenda mno ❤❤❤❤
Mmh Kweli Ndoa Ndoano🙌🏾🥺
🙏🙏🙏
Mkibiwa wanaume mwaza kulalamika majukumu yakupka nakumuandalia mume
Mumewatakiwa umfulie mwenyewe why
Umwona wwwh
Hapo nikuandalie Chai au kahawa boss tunae kwa badae tutatamba nae😂😂😂
Boss kashatekwa daaah
Nnahitaji kufaham Kabila yahuyu dada wakazi tafadhalini nnawaombeni🙏🙏 please 😅
🤣🤣🤣 una jambo lako eeeh
@@busatitvno bro a'm seriously Wala sijambo langu mim niuhalisiya wangu nipo ready kufika sehem hiyo hata iwe naumbali kuasi gani so please let me know when they're 🙏🙏🤦🤦
Mbeya Girl@@Jishushe.na.ujikute5789
Mbeya girl wte tukuje uku jmn
Mashallah congratulations kazi nzur sana much love from saudia Arabia
Asante sanaa
Jamani tunatoa Waume zetu wenyewe eti mumeo afuliwe Nguo za ndani na house girl weee dada wewe
Umeona eeeeh
Nimafundisho Mazuri sana kuwanawake
Kwan huyo dada hawez kuongea taratibu😂😂😂😂
🤣🤣
😂😂😂,
Mungu atusaidie sana wanawake jaman, mmmmmmmm
🙏🙏🙏
Mwarabu uyu madam 😂😂😂😂
Shoga angu we achatu😂😂😂
Huyu dada jau kweli😂😂😂
🎉🎉🎉nzr sn jmn ,pia inatufunza hawa wanawake wazuri sio wanawake kbs
🙏🙏
Dada wa kazi ameolewa jamni mbona mim namtaka
🤣
Mimi hatakama mke nichizi ntamla ivoivo
@@MaryManyuka hahahaaa
❤❤❤❤❤❤❤ nmeipenda buree
❤🥰🥰
Zuuu kaza wanangu mume wako uyoo😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😅
Akiiiii nimecheka Ety Mume wako huyoo
Apite nae syo😂
nzuri sanaaa jamani 😊❤ nawapenda sanaaa ❤❤❤
🥰🥰🥰
Yann mke kama huyu mm lazima niwenamyoa nywele kwajemb dah
Move nzury San Ila tatizo mke ndio shida
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kazi zuri sana❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Tiktok imeniskuma nimedondokea uku😂😂😂
Weee Karibu sana aisee
Hongera sana kaka yangu Mungu akubariki sana kwa kz nzur
Hii jamaa imevumilia kwa kipindi kikubwa huu ni ujunga. Huyu jamaa ange chukua huyu dada akamfanya mke wa nyumba
🤣🤣🤣
Niko upande wako
Nice Drama,,,iko poa sana
🙏🙏🙏
Me siwezi kuweka mdada wa kazi mana kanz zote naweza
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂😂 hapa muweke tu bora tu umtunze mume wako
Kwenye hii movie kuna funzo sana, ila nasubiri mapinduzi tu 😂😂
😀😀😀
Hahaha tupo wengi😂😂
Mwataka mathna tu ndo dawa,, ama niowee huyo mfanyakazi
Move hii nzuri jaman❤❤❤
Asante sana 🙏🙏
Move inafundisha Yani na ashum kama kwl
Asante sana