Uimbaji Mzuri sana. yaandaliwe matamasha pia angalau kwa Mwaka mara moja, ili kuongeza uzoefu na ujasiri kwa waimbaji. Nashauri pamoja na washindi kupewa makombe, kuwepo utaratibu mwingine wa kuwapongeza vikundi vilivyoshiriki kuanzia ngazi ya chini, maana ni juhudi kubwa sana wanafanya. hata wangepatiwa pesa ziwaendeleze katika mifuko ya vikundi sio tu vyeti na kombe.
Kwa ujumla uimbaji DMP umepanda sana,kuna changamoto kubwa kwenye swala la waamuzi,ninachojua mimi kwenye kila kipengele kumewekwa alama ambazo kila muamuzi anajua kosa fulani linapunguzwa kiasi fulani cha alama,cha kushangaza unakuta kosa moja muamuzi mmoja kakata alama mbili mwingine kakata alama sita,kuna haja ya kupima uadilifu wa waamuzi hasa ktk ngazi ya kanda na jimbo,tofauti na hivyo haya malalamiko hayataisha,hawa waamuzi kutoka taasisi za kiserikali uadilifu wao ni mdogo na wengi hawana hofu ya mungu.
Kuna shida huko dayosisi kila siku waamuzi wanakuja na ushauri mpya wangetoa ushauri ili mashindano yajayo waone kama umefanyiwa kazi na waamuzi watafutwe wapya ambao wana elimu ya muziki zaidi ya walimu maana walimu wengi sasa hivi wana buchellor ya miziki na hofu ya Mungu iwepo alaaniwe mwamuzi anayepokea rushwa hii kazi ni ngumu hala mtu anatoa upendeleo kirahisi watu wanatoa muda wao sana
viingilio tunavyotoa vinatumikaje vitumike kuleta waalimu hata kama ni kutoka ujerumani au hata kenya waamuzi wa sasa hivi hatuna imani nao kwakweli halafu waamuzi wa basata hawana hofu ya Mungu huo ndio ukweli na utabakia ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu Mhusika mkuu wa haya mashindano simjui ila naona ana mapungufu niko zaidi ya miaka 39 kwenye kwaya yangu naona mapungufu sana tofauti na zamani
Hahahahhahahhaha hii siku Itabaki kuwa history maishani mwangu 😍
amina
Mwalimu kkkt wazo hongera kazi nzuri sana mungu azidi kukutumia sana
Uimbaji Mzuri sana. yaandaliwe matamasha pia angalau kwa Mwaka mara moja, ili kuongeza uzoefu na ujasiri kwa waimbaji. Nashauri pamoja na washindi kupewa makombe, kuwepo utaratibu mwingine wa kuwapongeza vikundi vilivyoshiriki kuanzia ngazi ya chini, maana ni juhudi kubwa sana wanafanya. hata wangepatiwa pesa ziwaendeleze katika mifuko ya vikundi sio tu vyeti na kombe.
100/% vzr xn mubarikiwe
Safi sana..kwaya zote wanaimba vizuri
Kama kawaida hizo ndizo voko KKKT zenye kuvutia hongereni
Karne hii unachukuaje video ya kuwango cha chini kiasi hichi.nashauri tuboreshe
Boresha uchukuaji wa video ,uko chini sana ,twende na wakati kanisa la Mungu
Kwa ujumla uimbaji DMP umepanda sana,kuna changamoto kubwa kwenye swala la waamuzi,ninachojua mimi kwenye kila kipengele kumewekwa alama ambazo kila muamuzi anajua kosa fulani linapunguzwa kiasi fulani cha alama,cha kushangaza unakuta kosa moja muamuzi mmoja kakata alama mbili mwingine kakata alama sita,kuna haja ya kupima uadilifu wa waamuzi hasa ktk ngazi ya kanda na jimbo,tofauti na hivyo haya malalamiko hayataisha,hawa waamuzi kutoka taasisi za kiserikali uadilifu wao ni mdogo na wengi hawana hofu ya mungu.
Video haina ubora
Kuna shida huko dayosisi kila siku waamuzi wanakuja na ushauri mpya wangetoa ushauri ili mashindano yajayo waone kama umefanyiwa kazi na waamuzi watafutwe wapya ambao wana elimu ya muziki zaidi ya walimu maana walimu wengi sasa hivi wana buchellor ya miziki na hofu ya Mungu iwepo alaaniwe mwamuzi anayepokea rushwa hii kazi ni ngumu hala mtu anatoa upendeleo kirahisi watu wanatoa muda wao sana
Mungu ashukuriwe na kuabudiwa sana
viingilio tunavyotoa vinatumikaje vitumike kuleta waalimu hata kama ni kutoka ujerumani au hata kenya waamuzi wa sasa hivi hatuna imani nao kwakweli halafu waamuzi wa basata hawana hofu ya Mungu huo ndio ukweli na utabakia ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu Mhusika mkuu wa haya mashindano simjui ila naona ana mapungufu
niko zaidi ya miaka 39 kwenye kwaya yangu naona mapungufu sana tofauti na zamani
Tutaandaa utaratibu kwaya zote zinashirik zinapewa kitu na mshindi naye anapewa zawadi yake
Haleluya barikiwa na be mavoko
Poor video.