"HUWEZI KUJUA KAMA NI WAKE WENZA, WANAPENDANA NA KUISHI PAMOJA TANGU 1996" | MSWAHILI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 102

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 года назад +18

    Mimi pia nimeona ndoa kama hii, nimeolewa nikakuta baba mkwe anawake wawili, ila yeye alitangulia mbele za haki na aliwaacha hapo wakilala chumba kimoja mpaka mkumbwa alitangulia mbele za haki, mdogo saa hii ana miaka 94 Mungu ambariki🙏

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 Год назад +8

    MashaAllah Allah hawaogoze siku ya kiama hawape pepo ya fildas lnshaallah

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Год назад +1

    Mashaallah mungu awabariki kila mwenye hofu ya mungu basi haiwezekani kuchukiya uke wewza kwani nisheriya ya dini kwaiyo ni bora mumeo azini kuliko kuengeza mke mwengine wanaoo katata uke weza bado hwajaijua duniya

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 2 года назад +3

    Mashaalllah kina mama dula kweli mnapendana mie shhahid kwa hilo allah awajalie umri mrefu

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Год назад +1

    Alhamndullilah rabil aalamiyn kwakweli hata sijasikiya historia yenu mwenye MUNGU amewapeni pepo ya Dunia na akhera 🤲🥰

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 года назад +5

    MashaAllah tabbarrakAllah ukewenza si vita jmn wanawake wa kiislam wale wenye hofu ya Mungu ndani yake mie nakubali ukewenza Kwa mume anaejua dini niwe mkubwa ama mdogo kwasabu najua ni sheria yake Allah ☝️

    • @hamedahameed148
      @hamedahameed148 2 года назад +2

      Mashaa Allah tuolewe jamani

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 2 года назад +2

      @@hamedahameed148 InshaAllah Allah atupe waume wenye kher na sie

    • @hamedahameed148
      @hamedahameed148 2 года назад +1

      Allahumma Amiiin 🤲 yaarabb

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 Год назад

      @@zayumar2955 We zai hauolewa

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Год назад

    Mashallah hongereni sana mashallah bibi zangu pia wapo mpaka leo wote wawili wanaumwaumwa Allah awape mwisho mwema naawape pepo zaduniani na kesho akhera firdausi yakawe makazi yao aameen yarabbi Allah anijaalie namie mjukuu wao niwe mke mwema kwenye ukewenza utaonifika Tanga kwetu

    • @apoloniaalex2825
      @apoloniaalex2825 Год назад

      We unachekelea uke wenza ciku hizi hakuna uke wenza

  • @ahmedikilingamoyo9037
    @ahmedikilingamoyo9037 Год назад +2

    Maashaallaah ALLAAH awabarikini awapeni makazimema hapaduniani na aakhera

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 Год назад +1

    Napenda sana kipindi chenu, mswahili, hongereni sana.

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 Год назад

    MashaAllah Allah awape umri nakendelea kuishi na Amani

  • @rukiamwinyihija7849
    @rukiamwinyihija7849 Год назад

    MashaAllah .mungu awape heri nyingi.

  • @angle3600
    @angle3600 Год назад +3

    Waume ndio huleta shida,wananza kupendelea

  • @mwajabuabdallah3349
    @mwajabuabdallah3349 Год назад +1

    Nataman ifike hatua hii kwenye ndoa yangu Ila daaa Kila nikikaza nahisi kushindwa Ila inshaallah Allah azidi kuniongoza

  • @peragiaisdol3804
    @peragiaisdol3804 2 года назад +8

    Nawajua awa wamama tangu mwaka 2010 misikujia kama wake wenza nakumbuka mwana kombo alikua nauza majani ya chai nauyu mwingine alikua nauza kuku vipaja na vidali

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 2 года назад +2

      Kumbe na ww unawajua hahahaha mama dula kuku walahi kukuwake unaweza filisika watamu balaa

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 года назад +1

      @@prettynayally2177 tabarakallah 🥰

  • @claudia1500
    @claudia1500 Год назад +7

    Naanza kwa kusema hongera bi mkubwa! Ulikuwa mvumulivu ndio maana ukamkubali bi mdogo...na bi mdogo pia nakupa hongera kwa kumuheshimu bi mkubwa ndio maana mpo vizuri

  • @hamadihamisiambale8943
    @hamadihamisiambale8943 2 года назад +1

    Mashaallah hii story tamu sana iko na mafunzo yahitaji prt2

  • @zaqiamhando6522
    @zaqiamhando6522 Год назад +1

    Mashallah❤

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Год назад +1

    Inshaallah nawaombea MUNGU awapeni mume mwingine muwepamoja inshaallah 🤲☝️

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 2 года назад +1

    MashaAllah uke wenza mtamu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад +1

    Toka lini ukewenza ukasilimu na hata siku moja penzi haligawanyiki

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 Год назад

    Masha Allah bi mkubwa ana sofap zake😍😚

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Год назад

    Roho mbaya mda mwngne huchochea ishndkane Co Tz dunian kote n kpmo cha utu.

  • @mwajumakilobwa6237
    @mwajumakilobwa6237 2 года назад +4

    Tanga busalandiokwao jamani watanga mpowapi tujuane hapa

  • @schosay_
    @schosay_ Год назад

    Bi mkubwa mashallah...pande la mwanamke!!

  • @papaadialoo
    @papaadialoo Год назад

    Ni Somo zuri

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 Год назад

    Safi sana

  • @elishapeter2720
    @elishapeter2720 2 года назад

    Mashaallah

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 Год назад +1

    Mabinti wa sasa mkitaka kuolewa naomba mpite kwa bimkubwa hapa mpewe kwanza kitchen party. Sawa?

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 Год назад

    Wanaume wapo wachache saana. Sio kila mwanaume ni baba bora. Ukipata nafasi tulia uke wenza raha

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 года назад +1

    Ukimpata mwanamke alio lidhika ni laha sanaa

  • @peragiaisdol3804
    @peragiaisdol3804 2 года назад +1

    Bi mwana kombo kanenepa sana

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 года назад

    Hatari wengi tulikua hatuja zaliwa,hongereni Sana.

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 года назад +4

    Nyie ni raha ila yataka moyo sana alooohh me siwezi labda nikuchekee kichina usoni tu Ila moyoni hapanaaaa 😂😂🙌🏻

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 Год назад

    Vipi wale wa mlopokaji wa timu frani wale wanapendana kweli

  • @amosdeo9534
    @amosdeo9534 2 года назад

    Best women never seen

  • @farahfrooha9715
    @farahfrooha9715 2 года назад

    Pengez kwao wake wenza

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 года назад +1

    Zembwera uchokozi Nywele kama miguu ya Mende🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 2 года назад

    Wapi huko yanakotoka maji

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад +2

    Toka lini penzi likagawanyika huo ni uongo mtupu

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 года назад +3

    Mimi natamani kuolewa na kislamu Ila uke wenza siwezi kwasababu ya wivu nilionawo kwakweli siwezi

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 года назад

      Tuta kuombea duwa kwa allah wivu upungue inshallah

    • @christianosimba6083
      @christianosimba6083 2 года назад

      Njoo nikuoe Mimi ritha utakua peke yako love🤗

    • @mariyamsalalah8204
      @mariyamsalalah8204 2 года назад

      Bora ubaki single my

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 года назад

      @@mariyamsalalah8204 Singh iyo vipi na aolewe tu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 года назад

      @@christianosimba6083 jamaa hii nafasi ni yawaislam

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 2 года назад +2

    Waislam bwana😆

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 года назад

      Wasukuma bwana

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 Год назад +1

      Usiseme waislam sisi tunaweka wazi nyinyi mnafanya michepuko uzinzi

  • @mafamille7778
    @mafamille7778 2 года назад

    Zembwela bwana mjanja sana eti wana mujaza mate

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 Год назад

    Kumbe ulisha zaa kungwine kwahiyo ulikuwa desperate

    • @mercynnko3416
      @mercynnko3416 Год назад

      Ndo ulichokisikia kwenye video nzima shubaamiti

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 года назад

    Niwe tu mpumbavu lakini ukewenza kama huu siwez labda ukewenza wa mijino sawa.

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 Год назад

      Uke wenza wa mijino ndo upi?

    • @laymashabani832
      @laymashabani832 Год назад

      @@hadijamandanje6189 Ukiweza wa mijino ni ulee ukimuona mkemwenzio unacheka yaani umuonyeshi kama unamchuki ila moyoni wala hayupo .
      NDO UKEWENZA WA MIJINO HUO SHOGAANGU.

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 Год назад

      @@laymashabani832 nimecheka Kama mazuri,Nina bahati ya kuwapenda wake wenzengu lakin wao wananiona Nina dhiki Sana,Sasa tunasalimiana Ila ndo hiyo uliyonifundisha ya mijino

    • @mwajabuabdallah3349
      @mwajabuabdallah3349 Год назад

      Nimecheka Kama fala wallah ndio nilionao mm huo

    • @edinanoel6151
      @edinanoel6151 Год назад

      @@hadijamandanje6189 shikamoo waislam ....🙏 Sie wakristo wanauwana sis

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 2 года назад +1

    Wanawake wanatakiwa wajifunze roho nzuri kutoka kwa hawa Wamama....amani ni nzuri kuliko vita

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 Год назад +1

    Mashallah