Hersi keshamaliza kazi yake we ngoja matokeo kwani unataka kusema unajua zaidi yake? Mpira mchezo wa wazi waache makandokando aliye bora atauchukua ubingwa ila sisi wanainchi tulio wengi tunajua timu yetu haina mapungufu ila wewe una haki ya kuongea kwa unavyojisikia
Dosaa Leo umeongea mpira na so ushabiki big up
Jamaa anajua mpira, safi sana!!!
Yaani dosa amebadilika anaongea ukweli na Yuko vizuri Sana hongera Sana dosa😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu jamaa anajuwa mpira anaongea ukweli mtupu siyo shabiki maandaz😂😂😂❤❤
Big up brother una jua soccer
Hongera Dosa una kitu,waambie Utopolo Mana wanajiona sana
Dosa kabarehe sasahivi anajua anachokiongea
Siku Moja watakuelewaaaa
SIMBA BINGWA
Bora ww unaejua mpira kuliko ww huyo chawa mchome anajifanya simba kumbe ni mamluki
Dosa mwezi huu umekuwa tishio Sana unaongea vitu vizuri vya mpira 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Dosa mda flan unaongea kimpila sana
Saf dosa unajua mpila
uto bado hamjasema simba oyeeeeee
Lipo cku watakuelewa Dossa ww unajua Mpira broo
We ndo utopolo mwenye akili
Mm ni Simba ww upo saw
Cut
kaka unjua mpra
Kumekucha, kumekucha! Lawama zimeanza
Hersi keshamaliza kazi yake we ngoja matokeo kwani unataka kusema unajua zaidi yake? Mpira mchezo wa wazi waache makandokando aliye bora atauchukua ubingwa ila sisi wanainchi tulio wengi tunajua timu yetu haina mapungufu ila wewe una haki ya kuongea kwa unavyojisikia
mchome niyanga
Unaongea mpira kabsaa broo
Unajua hupendelei yaniii ww nibora kulikon wale wachambuzii uchwara
Kuna Iihefu
Jamaa anajua mpira kinoma sio shabiki WA team flan nishabiki wampira
Vp kaka
Mimi simba ila nakubaliana na wewe
Bro uko vyema mpira upo hivyo sio unazi