Somo leo Nime lielewa sana Asanteni kwa maneno yenu Nime jifunza kwakweli Imenigusa kwelii maaana Mada zote Mlizo Ongelea Zina nihusu zinginezo Thank you so much
Napenda kipindi cenu ManshaAllah 👌Ila tatizo nilimoja tu mnesemea limoja mpaka mnatuvuruga jamani mpeane mda kwakuongea ili tuwaelewe Ila narudia tena mko namba 1kwakweli 🙌🏾nawapendasana ❤️
Short and clear mke ni kituh cha stara katika uislam hastahiki kuonekana ovyo na mke ameumbwa kuwa awe mtuh wa aibu zaidi ila wanawake wamekuja agents na maandiko nais ilo si la kufanya kuvunjika Kya ndowa halaf mke nisiri vipi umpost
Hahahaha me staki huo ujinga wakupostiwa nilishawahi kuwekwa status na profile pic lakin kumbe naview mwenyewe hakuna mtu mwingine anayeona kashare na mimi tu!!!! 40 za mwizi zilipofika akaumbuka kumbe yule mbwa anamke na mtoto dah now days siamin kwenye huo upuuzi
Dr Mwaka should have been in today definitely, we got better issue to discuss about in the society now we are chatting about posting your lovers ooo dear madness 🇬🇧🇬🇧
To be honest, nampenda sana Hadija Kopa na Zuchu! Namwomba Mungu Hadija Kopa Aolewe tena kwa heshima tule ubwabwa mchana kweupeee! na Diamond amuoe Zuchu , waimbe wee nyimbo zote, halafu wamgeukie wote Mungu!
Nimegundua kitu, wanawake wa miaka ya 80 wanajitambua sna (khadija na Auntie) lakin hao wa miaka ya 90 wanatusumbua sna . wanapenda kuwekwa kwa social media sana., kukuweka status sio kipimo cha upendo...! mwanamke ni pambo la ndani sio la mtandaoni..! Mauzo social media ndo yanaharbu ndoa. na ndio maana wakigombna tu social media zote zinajua.. ninamengi kwl ya kupinga mwanamke kuwekwa status..
Nimekuwa interested na agenda yenu, japo wanaume wengine kama mm kitu nacho kipenda sana sipendi kukiweka public sijui ni kwa nn, hata mi mwenyewe naweza ambiwa nimependeza lakin sipendi kujipost, nadhan huwa naamini kilicho chema kimeletwa na Mungu, hivyo kupost public nikama natamba kwan kuna watu hawana hicho nilichonacho ispokuwa kwa mapenzi ya Mungu mi ninacho, acha wafaidi watakao ona live siyo mitandaoni.
ofcourse,how your fiancee's true love concern with posting posting things on social media or kukuweka status???.........ni childish mind kutaka kuonyeshwa kitu ambacho mwanaume wako kumbe moyoni mwake hakipo kuhusu wewe
Nice kipindi, ila violet kusema kweli huwa hana points pia ni mbinafsi sana they way anavyoongea sio leo tu siku zote jirekebishe, sorry kama nimekukwaza.🙌❤
Apo wamejigawa kwasababu kuna watu wabishi ambao ata uwaeleweshe hawaelewi kwaivo apo wanaigiza kama uyo violet na Lillian ndo wamekaa upande wa ubishi ila haimanishi kuwa ndivo alivo
Wanaume siku zote huwa wanapenda kujenga hoja katika kila wanachotaka kuongea, na ndo Jamal anachofanya hapo.. sasa angalia hao wanawake ukitoa aunt Sadaka hapo 😅😅😅😅😅
Swadakita mama wajina yotetisa mwanaume hafosiwi na mazali anakupenda na kashakutambulisha kwa ndugu zake na jamaa zake inatosha status ni mapendekezo yake hata asipokueka basi kikubwa upendo wa kweli
Huu mjadala sijui ni kwamba haonmadada wawili walikuwa wanatania?!. Lakini kama walikuwa seriously, bas mahusiano yao yana changamoto sana!!... Points na vitu wanavyo support ni havina vichwa kabisaaaa!.. Bogus kabisaaaaa
Swali ni kwamba "Naona nyinyi wanawake mnapenda waume au wapenzi wenu wawaweke status, je wewe huwa unamuweka status yako...?" Katika mapenzi usiwaze saaana nini mwenzako atakufanyia ila wazia saana nini nitamfanyia mwenzangu leo... Naamini kila mtu akizingatia hilo maumivu ya mapenzi yatapunguwa kwa kiasi kikubwa...
Nimetamani ningekua prof hapo.shida kubwa sana iko kwenu wanawake tunawapenda sana na mkishajua tumezama jumla mnaona kama hatuna pakwenda ila nyie mnapakwenda cz bado kuna watu wanawasumbua huko mpitapo.
hapo kwenye 'I need space' hata mimi nakuacha na space zako 'kwa sababu ntajuaje kama uko na mwingine unatupanga foleni? so namimi itanibidi nichukue time nifanye yangu sababu muda haungoji!!'
halafu mkumbuke kila binadamu ako na hulka yake sasa wewe wapenda upoteze muda mrefu sana kwa kubembelezwa halafu na yeye hana hulka ya kupoteza muda mrefu sana wa kubembeleza mtu maana hiyo nayo inaelekea kwenye abnormal people, so wale normal people usitarajie kuomba space muda mrefu hivyo unapigiwa simu hupokei mara unablock mtu halafu utarajie kumkuta kama bwege wako anakungoja come on! hilo kosa gani ubembelezwe muda mrefu hivyo nawe ulivyo mjinga ushindwe kujirudi mapema kama na wewe huna yako unayofanya huko kando??? ndio maana inabidi mutu atafute furaha kwengine maana kwako itakuwa ngumu kuipata kwa hulka yako hiyo ya abnormal person... Mwenyez Mungu pekee ndiye wa kumwomba na kumbembeleza atusamehe makosa yetu bila kuchoka na bila kikomo kwa maana yeye ndiye Muumbaji na sio binadamu mwenzako aliyeumbwa kama wewe akukoseshe furaha kwakiwango anachokitaka yeye huo ni ubwege!...
Some People Are Just Blessed I Mean Take A Look At The One Reading This Post You Are Just Awesome👏✊👍 🤗😍💕💝
😍😘😘😘
waw I love it, bless u darling.
Somo leo Nime lielewa sana Asanteni kwa maneno yenu Nime jifunza kwakweli Imenigusa kwelii maaana Mada zote Mlizo Ongelea Zina nihusu zinginezo Thank you so much
Pr. Jamal yu waonekana mpole Sana big up bro.
Hii nadhani ni character ya watu anaopenda kusoma vitabu sana
Hamna Jamal anamuogopa mama mkwe wake bi khadija huenda ana maono ya kutaka kumuoa zuchu😁😁😁(natania jamani).
Ila nyie watu timu nzuri sana na sadaka wangu leo kapendeza lihadija ♥️♥️♥️♥️nakupenda lili leo kilemba nime kielewa director sadaka mambo vipi
Khadija kopa ni mcute MashaAllah tabarakaAllah
Mungu wangu kwa mara ya kwanza naumuona jamal anacheka kabisa luv u Jamal 😘😘😘
Thank you professor and aunt sadaka actually tuko kwenye mabadiliko lakin pia tusipende kuiga kila tunachokiona kwenye TV
Napenda kipindi cenu ManshaAllah 👌Ila tatizo nilimoja tu mnesemea limoja mpaka mnatuvuruga jamani mpeane mda kwakuongea ili tuwaelewe Ila narudia tena mko namba 1kwakweli 🙌🏾nawapendasana ❤️
Khadija kopa nimekuelewa vzr 😅😅🔥🔥🔥
Jomon khadja anachngamsha kipindi🤣khadja ana face nzuri mashalaah 🥰professor jamal yuko SMART SANAAAA.mume wangu anambia nikuweke status rafiki zangu wakuone ndo nn sasa?kidini pia sio nzuri...mi nahic ANAKUHESHIMU
😂😂 profesar Jamal ✍️ hivi kumbe unachekaga daaa ..nime enjoy saana. God bless you Mr Jamal ✍️. #wasafitv #WCB#profesarjamar
Mmh kwani anatatizo la bandama?
Mwanaume una enjoy kucheka kwa mwanaume mwenzio... kuna walakin hapo 🤦♀️
@@stevehiraly9127 😂😂 enjoy badala yangu ukiona na faidi ....🤣🤣🤣🤣
@@joycechaz2840 ... interview ...anazofanya au aikiwa kwenye kipindi chake cha..the store book... Huwezi kumukuta anachekache ...
@@mwambarock3696 ooh sawa
Khadija makeup and hair looks good and young
Basi kwenye hii interview professor Jamal kama kabakwa,mpole sana kbs amejikuta mpweke sana
Short and clear mke ni kituh cha stara katika uislam hastahiki kuonekana ovyo na mke ameumbwa kuwa awe mtuh wa aibu zaidi ila wanawake wamekuja agents na maandiko nais ilo si la kufanya kuvunjika Kya ndowa halaf mke nisiri vipi umpost
Jamani leo mmependeza sana ❤ much love from Italy guys
asante Aunty SADAKA and KOPA kama KOPA... unaambiwa ukubwa dawa.
Eti anampiga chini mazima sasa umeshapigwa chini ww huo mda wa kumpiga chini ni upi tena.. sema Pr Jamali kazidiwa na hao wanawake
Ivi Lilian na mwenzake wa red dress wanajua km wanaweza postiwa status wengine wakablockiwa wakawa wanajiona wao tu 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣itakuwa hawajui
kabisaa
Kabisa😂😂😂😂😂😂
Hahahaha me staki huo ujinga wakupostiwa nilishawahi kuwekwa status na profile pic lakin kumbe naview mwenyewe hakuna mtu mwingine anayeona kashare na mimi tu!!!! 40 za mwizi zilipofika akaumbuka kumbe yule mbwa anamke na mtoto dah now days siamin kwenye huo upuuzi
@@joycechaz2840 hahahahaha
Pf Jamal majibu mzuri sanaa
Dr Mwaka should have been in today definitely, we got better issue to discuss about in the society now we are chatting about posting your lovers ooo dear madness 🇬🇧🇬🇧
Ahhaahaha bi Khadija et simnataka kuposiwa hayaaa!
Hadija Kopa you’re so beautiful!
Nakupenda bi khadija
Mm msichana na sitaki kuwekwa popote
Wanaume hakuna mtu kubebeleza oeni oeni kabisa Yes
namshukuru mungu.amenileta duniani kama zawadi kwa wanawake.sina pesa lakini wananipenda na kunisaidia.
To be honest, nampenda sana Hadija Kopa na Zuchu! Namwomba Mungu Hadija Kopa Aolewe tena kwa heshima tule ubwabwa mchana kweupeee! na Diamond amuoe Zuchu , waimbe wee nyimbo zote, halafu wamgeukie wote Mungu!
Zuchu ana mtu unataka waachane?
@@BigZhumbe He sikujua kumbe yu ana mtu, nilizani single. Ni binti nampenda sana akae na huyu huyo mtu wake!
😅😅😅😅
Aunt sadaka big up mume huwezi kumpost mkeo niko pamoja na wewe🙏🙏
Nafikiri wanaume wanawaprotect wake zao hawapendi kuacha acha picha zao kwenye social media hovyo hovyo wanogopa wataibiwa
Leo Mah khadij umependeza san, na aunt sadak
We love women matters ❤️❤️❤️
Nimegundua kitu, wanawake wa miaka ya 80 wanajitambua sna (khadija na Auntie) lakin hao wa miaka ya 90 wanatusumbua sna . wanapenda kuwekwa kwa social media sana., kukuweka status sio kipimo cha upendo...! mwanamke ni pambo la ndani sio la mtandaoni..! Mauzo social media ndo yanaharbu ndoa. na ndio maana wakigombna tu social media zote zinajua.. ninamengi kwl ya kupinga mwanamke kuwekwa status..
Kweli kabisa
Ilo cyo tatzo,tatzo nkwamba mnaogopa kumuweka mpenz wako kwenye status unaogopa kuharbu kwngne
Jamal April Jamal uko deeper sana tunaokuelewa tunakuelewa 🧠
Asante sana kwe kipindi nmejifunza sana God bless u all.
Hapa alitakiwa Dr mwaka
Kweli kabisa
Jamal anaongea points nyingi ila sauti yake IPO chini sana
Professor jamal
Jamal yuko smart
Prof jamal akili nyingi
Me huwa naenjoy huu ubishano😁😁😁😁✌
😄😄hata mimi
Bi hadija napenda majibu yako,MashaAllah
Dada lilian unaongea nkam unahibiri,bt big up Mummy..napenda Sauti yako
Mamangu hadija kopa unaongea point sn an mapenz au kumpenda mwanamke co lazma kumpost
Leo tupo na professor 🤴🤴🤴🤴🤴🤴
😃😃😃😃😃😃 mama khadija kopa amenichekesha, professor mpole jamani
Nimekuwa interested na agenda yenu, japo wanaume wengine kama mm kitu nacho kipenda sana sipendi kukiweka public sijui ni kwa nn, hata mi mwenyewe naweza ambiwa nimependeza lakin sipendi kujipost, nadhan huwa naamini kilicho chema kimeletwa na Mungu, hivyo kupost public nikama natamba kwan kuna watu hawana hicho nilichonacho ispokuwa kwa mapenzi ya Mungu mi ninacho, acha wafaidi watakao ona live siyo mitandaoni.
Hata mimi nipo hivyo kabisaa
He who loves shows off
Jibu jepesi Sana kitu chenye samani lazma kifichwe na ukiona unataka kupostiwa ujue kuna thamani
Mm mke wangu siwezi kumuuza mitandaoni hata siku moja
Kweli kabisa
Kuwekwa status na boyfriend wako syo lazima cozy mapenzi syo status bali ni ww na mioyo yenu
All in All nmekuelewa sana brother Jamali
Mwanaume anaweza kukuweka kwa media zote na bado aka cheat...... kutongoza ni kujieleza sio picha picha on media
ofcourse,how your fiancee's true love concern with posting posting things on social media or kukuweka status???.........ni childish mind kutaka kuonyeshwa kitu ambacho mwanaume wako kumbe moyoni mwake hakipo kuhusu wewe
Nice kipindi, ila violet kusema kweli huwa hana points pia ni mbinafsi sana they way anavyoongea sio leo tu siku zote jirekebishe, sorry kama nimekukwaza.🙌❤
kweli kbsa
Apo wamejigawa kwasababu kuna watu wabishi ambao ata uwaeleweshe hawaelewi kwaivo apo wanaigiza kama uyo violet na Lillian ndo wamekaa upande wa ubishi ila haimanishi kuwa ndivo alivo
Prf jamal💓👌
Very true mama hadija kopa mukiekwa ndani tulieni
Mimi nilikuwa napitia tu comment za wanaume kuangalia wanasemaje
Nilikua nasubir kwa hamu hiki kipindi ahsanten
Just good
Anti Sadaka . Peace up on u mama
Yani huyo dada wa nguo nyekundu ni mie mtupuuuu!hakiyamungu pamoja na Lillian 🙈👌🤣👍🏼🤣🤣🤣
Mi ndio naongea kutwaaa!! Na haifanyik hio
@@janethkilonzi4260 😃😅🤣🤣😁😁kweli tu
Ongezeni Mudaa wakipindiiiii
Tunawapenda kipindi kitamuuu sikosi wa sikiliza Dr Mwaka aje aendelee na Jamal apooo
Dah jama kanifanya nikifuatilie kipind mwanzo mwisho namuelewa sana mzee wangu huyu .
Assalam alyikum msikilizeni mama yanu Khadija kopa nyie
Prf Jamal kapungika na uimbaji wa Khadija Kopa😂😂😂😍😍
JAMAR APRIL a.k.a master mind mwenye saut ya tembo💪💪💪💪💪💪
Mapenzi ni kitu ambacho mtu hawezi kujificha huwezi ishi miaka kumi na mtu unaempenda bila kumpost mahala popote kwa uno ulimwengu wa sasa
Kabisaa!! Mmh yaan wanaume Hilo hawailitaki kabisa
Nawapendasan❤👍👌💃💃
Jamal nakukubali sana
Vailet I love you 🥰🥰🥰
Ahadi ya mungu imetimia wanawake 4 mwanamme 1
Nimependa sana mada ya Leo ni nzul Mimi ka mim nimejifunza kitu kikubwa 🙏🙏🙏
Yeaaah
Bi Khadija umependeza 👌👌
Hapa namuona Lilian tuliemzoea 😄😄 vicheko, uchangamfu na kadhalika sio kile kipindi mme alikuwepo, Lily usirudie tena kumualika Mc Luvanda 🤣🤣sawa eeee
@Lillian Abel Mwasha 🤣🤣🤣
Wanaume siku zote huwa wanapenda kujenga hoja katika kila wanachotaka kuongea, na ndo Jamal anachofanya hapo.. sasa angalia hao wanawake ukitoa aunt Sadaka hapo 😅😅😅😅😅
Usitufokee bwana ndo kazi ya mwanamke kuongea
@@dianamashala426 ni kwel ndo mnachojua tu hicho, tofaut na hapo 🤷🏿♂️🤷🏿♂️
@@hameesmohamed9236 ww unaweza ona kama ni upuuzi fulani hv but sio upuuzi ni moja ya kutoa kero au dukuduku lililopo moyoni
That team is dope, I learn alot frm you I love you all
Jamali anamkata hicho bi Khadija jmn 😂😂😂😂😂sijui kapenda sauti au jicho 🏃♀️🏃♀️😂😂😂😂
Kweli kabisa bi kadija ameniweka ndani ananipenda hiyo inatosha hataki kuniweka status hataki nionekane
Khadijah she have a smart women marriage understands 🤪🤪🤪🤪
Mama khadija maneno yake👌
Nilikuwa sikujui ichikipindi jamn mbon kizuli mnoo jmn ongeren san wasafi tv jmn
Macho yangu yanaona kuw Pr. Jamal anafanana sana na Timbulo
Swadakita mama wajina yotetisa mwanaume hafosiwi na mazali anakupenda na kashakutambulisha kwa ndugu zake na jamaa zake inatosha status ni mapendekezo yake hata asipokueka basi kikubwa upendo wa kweli
Wewe nani kakuambia khadija kopa Umri umeend 😋😋khadija kopa bado analipa Tena na mtamani kinoma😋😋
Jamal is very smart
Khadija ilove you
Huu mjadala sijui ni kwamba haonmadada wawili walikuwa wanatania?!. Lakini kama walikuwa seriously, bas mahusiano yao yana changamoto sana!!... Points na vitu wanavyo support ni havina vichwa kabisaaaa!.. Bogus kabisaaaaa
😃😃😃😄😅
All in all kupostiwa muhimu babu were maisha ya cyber haya
Aunty sadaka leo sijakuelewa kabisa yaan itakua napenda au najipendekeza
HAdija kopa ndani ya nyumba
Yuafurahisha
Hakuna kitu kinauma kama Kumpost mkeo kwa media then msela from nowhere anakomenti "KUMBE NA WEWE HUYU MALAYA UNAMJUA"
Dah haya mambo haya.
Hahahahaha!! Hii noma na hatar zaidi
@@janethkilonzi4260 Yanatia wazimu
Huyu violet hajui kuzungumza na watu wakubwa( bad manners)
Mamaangu hadijaa nakukubalii sanaa
Da Lilly hapo kwenye kama kunipiga nipige'Aah'akikusikia Joyce Kiria!
Jamani mada zenu ni nzuri ila jitahidini kupeana talking point jamani kama vai anaongea hata apumziki inakwaza
Bomba la kipindi aisee .
Swali ni kwamba "Naona nyinyi wanawake mnapenda waume au wapenzi wenu wawaweke status, je wewe huwa unamuweka status yako...?" Katika mapenzi usiwaze saaana nini mwenzako atakufanyia ila wazia saana nini nitamfanyia mwenzangu leo... Naamini kila mtu akizingatia hilo maumivu ya mapenzi yatapunguwa kwa kiasi kikubwa...
Pf Jamal .masikini wanavyompigia kelele anatia uluma😂
@NYEGERE ONLINE🤣🤣🤣
Ok lbd kupost sio Jambo la msingi lkn mwanaume Kama mkeo unampenda muweke and make her happy kwani hw much does it cost
Nimetamani ningekua prof hapo.shida kubwa sana iko kwenu wanawake tunawapenda sana na mkishajua tumezama jumla mnaona kama hatuna pakwenda ila nyie mnapakwenda cz bado kuna watu wanawasumbua huko mpitapo.
Anaye kupenda awezi kuku weka azarani, private is good.
Hii mada iligeuza njian eeee😁
Noma sanaaaa
😅😅 yaani wanaume shida
Jamal anacheka tu professor amechill tu PHD holder huyo hana papara eti wezi wamekuwa wengi
Khadija big love
Kibaya kyajitembeza, napendaka mme wakuniweka private kunilindiya security, especially akiwa mumaharufu duh
Mapenzi ni actions mbona ndoa haikufungiwa chooni mpaka kwingine kufichwe