Pole Sana Katibu mkuu wa Chadema. Ni dhahiri Mama Rais ,amechoka anahitaji kupumzika,serikali yake haifanyi sawa kwa mauaji tunayoshuhudia MUNGU MUUMBA HAPENDEZWI KABISA KWA UMWAGAJI WA DAMU ZISIZO NA HATIA.. Uongozi unahitaji Hekima na Busara,kwa kuzingatia Amri za MUNGU, Sheria sahihi za nchi.nk. Kuongoza ni Kazi inayohitaji kuwajibika kweli kweli, hivyo si kweli kwamba Chadema ndio watakaofanya vema na Mambo yakawa sawa ...ra hasha...wahuni watakuwepo katika kila chama.tunahitaji watu Sahihi wapenda haki, amani na kujari utu wa kila Mwenye kuishi.CCM nayo ina baadhi ya watu wachache walio Bora kuliko Chadema.Mola atuongoze.
waweza sema hivo lakini atakaeingia ana sera gani kuiongoza nchi? sio rahisi hivo ndugu yangu. nchi yetu inachangamoto nyingi kweli. ila Samia wetu amejitaidi sana licha ya kila m/adamu kuwa na mapungufu yake
Mnyika poleni sana na watanzania wote wapenda haki.Mkumbuke wake waliopotea huko nyuma mpaka leo hawajulikani,mungu alali anaangalia na anasikiliza yanayotokea hivi sasa ni majibu ya mwenyezi mungu.
Maandiko matakatifu kwenye kitabu Cha wafilipi 4 mstari wa 6 yanasema msijisumbue kwa jambo lolote bali kwa kumuomba Mungu na kupeleka haja zetu kwa Mungu pamoja na kushukuru mpaka haja zetu zijulikane na Mungu
Watu kama wewe ndiyo mnafanya hii inchi kuwa maskini had leo. Yesu tunamsubir hadi lini? Babu amesubir, baba Amesbury, mimi sitasubir nataka haki yangu malipo kwa ma CCM ni hapahapa duniani
Asante sana mhe katibu kwa kutupa ratiba kamili ya tume ili tukajiandikishe. Japo huku mtaani kwetu balozi wa ccm alipita analaghai wakaazi hasa wamama wajiandikishe ili wapewe kadi ya mpiga kura na baada ya kujiandikisha wakiamini kwakuwa ndo kiongozi wao basi alichowaambia ndo sahihi wakashangaa kuona wanatumiwa sms za ccm kwamba tayari wamejiunga na chama hicho na kutumiwa namba za utambulisho ilihali siyo kwa utashi wao. Uzuri wengi wao hawajalipia ada za kuthibitisha kujiunga.
Siasa Ni mchezo mchafu Sana Wa Tanzania tuamke tusingizwe mkenge Na wahuni flani wanaotengeneza uchonganishi baina ya vyama vya siasa Na chama tawala Na Kwa upande Wa chadema wamingia mtego ulowekwa Na Hao wasio Julikana uchaguzi unakuja Allah atulinde Na machafuko Kwa hutba ya amiri jeshi mkuu kila kitu kitawrkwa wazi
Hebu fikiria mateso na majaribu wanayopitia akinamama watoto ndugu , jamaa marafikina wenye mapenzi mema kwa vifo vya wapendwa wao. Nayaona machozi ya akinamama waliolazimishwa kuwa wajane ,naona machozi ya watoto waliolazimisha kuwa mayatima na wamepoteza kabisa kufanikisha ndoto zao. Haya yote wanakumbana na dhahama hii ndani ya nchi inayojinasibu kuwa ni ya kidemokrasia. Nashindwa kuelewa maana ya demokrasia
Sasa mnavyosema chadema wanajiteka wenyewe halafu watabaki na wanachama gani kwa kweli angalieni haki za za watu msiwe chawa angalieni ya baadaye tunaomba hekima itumike kwa raisi yeye ni mama maneno yawe mazuri tu kwa upendo zaidi
Ndiyo tutaishinda Kwa Kura usikate tamaa kukata tamaa ni dhambi, jiandikishe na uwahimize wengine wengi, Mimi ndiyo KAZI yangu nimejipa kuhimiza watu. Tukijiandikisha Kwa wingingi tukapige Kura Kwa wingi lakini bila kuacha kuzilinda kura zetu za ushindi, TUKIZILINDA MPAKA MSHINDI WETU ATANGAZWE TUTASHINDA KWA KISHINDO NCHI NZIMA!!! NI KWELI CCM NI WA BAYA KULIKO PANYA ROAD!!!
Mimi nina amini tukihimizana sote Kwa pamoja kujiandikisha kwa wingi, kupiga kura Kwa wingi bila kususa kususa ni dhambi kubwa. Tukisha piga ni kulinda Kura zetu za ushindi mpaka mshindi wetu atakapotangazwa. HIYO NDIYO ILITUMIKA KULE NKASI KWA AIDA KENANI NA MAJIMBO MENGINE MENGI KWA MIAKA MINGI, WASHINDI WA UPINZANI HUTANGAZWA KWA NGUVU YA UMMA TUKIFANYA HIVYO NCHI NZIMA USHINDI WA KISHINDO NI WETU KWA UWEZA WA MUNGU!!!
Hqkuna siku wameacha kuongea kwa sababu ya masikio yenu kuzibwa ndiyo maana hujawahi kusikia. Vyama hivi vinareport kila vinaposikia utekwaji au ukamatqji usio sahihi na wamekuwa wahanga wa kuswekwa korokoroni
CCM si Gogo kubwa, Kwa halali ni wepesi kama karatasi ya chooni( TOILET PAPER) Siku zote wanabebwa na UJAMBAZI WAO KWA KUWATUMIA POLISI WETU WALIOKOSA MAARIFA NA KUJIANGAMIZA WENYEWE KWANI WANA KUAPO CHA UADILIFU KWA MUNGU!!!
Swali langu kwa mheshimiwa kweli kama niyeye amepotelewa na mtoto wake auameuwawa kikatili vile kama huyu Alii kibaoangeweza kutoa mane no yenye maumivu hi yo
wewe huna akili yanauwa wenyew kama wao ndo wanauwa si wachunguze ili wakamatwe kwann wao ndo wanakemea alafu mama anasema tuzoe kufa kwaiyo we wapenda watu kutekwa
@@jumarajab5316 Kifo cha aina yeyote ile ni cha kukemea...kutoa uhai wa mtu si jambo la kisiasa!!! Akiwa mwana siasa ndo kinauma akiwa machinga na afe tu!!! Hiyo si sawa kabisa😢😢
Wewe unasema uongo huo. Kama ulifuatia hutuba yake hukukubaliana na hayo yaliyotokea Fuantia vizuri wewe ni mogo na mgombanishi. Kama Hao wananchi wanafuata hutumba yako ni kuwapa mafuta usoni
Miongoni mwa matatizo ya nchi yetu nikuamini kuwa ccm ndo watu wanaotunza amani ya nchi hii, kwamba ukiwa upande wa upinzani na ukasema ukweli basi ww unaondoa amani, sasa tujiulize sote, ukiwa unasimamia kweli si ina maana kuna jambo haliko sawa? Kati ya anayekuwa amefanya lisiwe sawa na anayetaka liwe sawa ni nani anaondoa amani??
Angalieni kila mahali mahakamani, tanga msibani wanaolia kila siku ni wanawake hawa hawa wa chadema pichani. Hawana shughuli kazi kuimba serikali ya wauaji, samia dalali na samia lazima uondoke ANGALIENI PICHA NI HAO HAO
SAS MTUPE NA NYIE SERA ZENU TUONE KAMA MNAWEZA KUONGOZA NCHI MAKE MSIFIKIR CCM KUWA DHAIFU NDO MTAPEWA DOLA MNAPASWA KUTUONYESHA PIA UWEZO WENU NA SERA ZENU MSIWE WATU WA KUSUBIR MATUKIO KAMA HAYA NDO MUONEKANE
Kwa vile tumeridhika na kazi nzuri aliyoifanya mhs mpedwa rais wetu dr samia sulluhu na kwa vile tunaona anasingiziwa mambo ambayo hakufanya sasa watanzania tutawaonyesha hao ndg tar 23.11.2024 kuwa tupo na ccm ndipo watajijua.Hongera wanaccm na wapenda amani tz.
Mnatafuta kiki ili wana tanga wawaone ni watu wema kwani ally kibao ninani au wangapi wameuwawa acheni hizo hamuiteki tanga kwa mbinu hizo mnatekana wenyewe kwa wenyewe mnafanya hila tangazeni Sera ci kwa hilo hawo kina mama wote hapo hawajielewi ndio wale wale kuweni wangalifu sana na hicho chama ni hatari.
Wewe Mnyika ni kiongozi,Mungu akutunze sanaaa.
Akuna kiongoz hapo
Polen Mnyika kwa machungu hayo makubwa yaani ndugu zangu machoz ya wenye haki Mungu atayaskiliza sana.
Tupo tunae omba afe hata sasa hivi.
Mungu mlinde mnyika
Amen 🙏 🙏 🙏
Wewe genius
Uyo genius kweli alipiga A 7 form 4 mzumbe secondary
Waulize MAUA SEMINARY.
Pole Sana Katibu mkuu wa Chadema.
Ni dhahiri Mama Rais ,amechoka anahitaji kupumzika,serikali yake haifanyi sawa kwa mauaji tunayoshuhudia MUNGU MUUMBA HAPENDEZWI KABISA KWA UMWAGAJI WA DAMU ZISIZO NA HATIA..
Uongozi unahitaji Hekima na Busara,kwa kuzingatia Amri za MUNGU, Sheria sahihi za nchi.nk.
Kuongoza ni Kazi inayohitaji kuwajibika kweli kweli, hivyo si kweli kwamba Chadema ndio watakaofanya vema na Mambo yakawa sawa ...ra hasha...wahuni watakuwepo katika kila chama.tunahitaji watu Sahihi wapenda haki, amani na kujari utu wa kila Mwenye kuishi.CCM nayo ina baadhi ya watu wachache walio Bora kuliko Chadema.Mola atuongoze.
Zoezi la tarehe 11.10.2024 hadi 20.11.2024 ni muhimu mno. Liwe wimbo kuanzia sasa hadi tarehe20.10.2024. Ni technical part of election.
CCM, Hii niserikali ya watu wachache mno hata 10 hawafiki wako kimaslahi yao tu'
Tunatamani sana atoke, kazi ilishamshinda ila amegangania kiti
Kama unaona aneshindwa Vipi mamako ataweza tukimweka?
waweza sema hivo lakini atakaeingia ana sera gani kuiongoza nchi? sio rahisi hivo ndugu yangu. nchi yetu inachangamoto nyingi kweli. ila Samia wetu amejitaidi sana licha ya kila m/adamu kuwa na mapungufu yake
Mnyika poleni sana na watanzania wote wapenda haki.Mkumbuke wake waliopotea huko nyuma mpaka leo hawajulikani,mungu alali anaangalia na anasikiliza yanayotokea hivi sasa ni majibu ya mwenyezi mungu.
Mungu ana sababu zake. Labda kumleta raisi Samia huu ndio mwisho wa CCM
Nani anayekudangamya eti hawa pumbavu wanaweza kupewa nchi, kila siku mnawaza kuandamana watu watazalisha saa ngapi?
Hii nchi imefikia kubaya sana ila mungi atatoa majibu na malipo ni hapa hapa duniani
Mungu simamia
Allah awaangamize ccm
Pamoja sanaaaaaaaa
Mwanamke most go
Maandiko matakatifu kwenye kitabu Cha wafilipi 4 mstari wa 6 yanasema msijisumbue kwa jambo lolote bali kwa kumuomba Mungu na kupeleka haja zetu kwa Mungu pamoja na kushukuru mpaka haja zetu zijulikane na Mungu
Kuomba bila kuchukua hatua huo nao ni ujinga! Tarehe 23 tuandamane tudai haki za waliopotezwa na Serikali
Watu kama wewe ndiyo mnafanya hii inchi kuwa maskini had leo. Yesu tunamsubir hadi lini? Babu amesubir, baba Amesbury, mimi sitasubir nataka haki yangu malipo kwa ma CCM ni hapahapa duniani
Jiandae Yesu Kristo yupo mlangoni ndani ya miaka hii mitano Yesu Kristo atarichukua kanisa lake@@bazilmateru915
Tunatakiwa tulindane wenyewe ndo maana kila polisi wakipigiwa wanafika kwa haraka
Asante sana mhe katibu kwa kutupa ratiba kamili ya tume ili tukajiandikishe. Japo huku mtaani kwetu balozi wa ccm alipita analaghai wakaazi hasa wamama wajiandikishe ili wapewe kadi ya mpiga kura na baada ya kujiandikisha wakiamini kwakuwa ndo kiongozi wao basi alichowaambia ndo sahihi wakashangaa kuona wanatumiwa sms za ccm kwamba tayari wamejiunga na chama hicho na kutumiwa namba za utambulisho ilihali siyo kwa utashi wao. Uzuri wengi wao hawajalipia ada za kuthibitisha kujiunga.
Siasa Ni mchezo mchafu Sana Wa Tanzania tuamke tusingizwe mkenge Na wahuni flani wanaotengeneza uchonganishi baina ya vyama vya siasa Na chama tawala Na Kwa upande Wa chadema wamingia mtego ulowekwa Na Hao wasio Julikana uchaguzi unakuja Allah atulinde Na machafuko Kwa hutba ya amiri jeshi mkuu kila kitu kitawrkwa wazi
Kweli kabisaa yaani mama anasema kila inchi watu wanakufa 😂😂😂😂😂😂😂
Kusema kweri tunaomba raisi mwanaume
Andika vizuri, Pumbavu !!! Nn maana ya (Kweri) ???😂😂😂
jamaa kapiga kwny mshono ndoman wanajidai wanataka wambambikizie kec...📌📌📌 sema watanzania tubadilike lkn tucmchague uy mwnamke hana nia njema na tz ye2🤦♀️🤦♀️🤦♀️💔💔
Kabisa kaka
Aisee kura tena
Ana kiburi cha umzima
❤❤pmj
Hebu fikiria mateso na majaribu wanayopitia akinamama watoto ndugu , jamaa marafikina wenye mapenzi mema kwa vifo vya wapendwa wao. Nayaona machozi ya akinamama waliolazimishwa kuwa wajane ,naona machozi ya watoto waliolazimisha kuwa mayatima na wamepoteza kabisa kufanikisha ndoto zao. Haya yote wanakumbana na dhahama hii ndani ya nchi inayojinasibu kuwa ni ya kidemokrasia. Nashindwa kuelewa maana ya demokrasia
Raisi wetu kwasasa kama kakaa pembeni nakutu sikilizia kuwa wanainchi tutafanya nini ikiwa tuta uwawa moja moja kama kuku wasio na usimamizi
Angetekwa Abduli nakuuwawa ndo angeongea vzr
✌️✌️✌️✌️
Mimi km kumshauri mama kw mapenzi kabisa ,ningamshauri akupeni kwan ,Nyerere alisema mzowea kula nyama zawatu ,atakula nahata nyama za nduguze ,wajuaji jueni haya maneno mfafanue ,ndiokitachofuata
Jmn Huyu Rais apumzike tu kashindwa kazi maana kila cku ni vifo kila kukicha watu kutekwa
Ila uchaguzi unajaribia, au tunaanza kutafuta sababu ili tukishindwa tuwe na ngazi ya kupandia 😎😎
Kwanza mimi sioni maana ya bordgadi mbona mnachukuliwa kuma kuchuma mboga
Haondoku Mama Bado Tupo Sn Hy Maneno Yenu Ndio Mbolea Ya Kumuimarisha Kwenye Kitu Chake Semeni Mchana Uck Mtalala
Kelele za chura
Lazma angke
Tumefika papaya sana
Kawalete. Hao mabalozi wa marekani na ulaya. Waje kuandikisha.
Kama mabalozi. Wa tanzania huwataki mjinga wewe.
Wimbo then utacheza. Wewe na wenzio
Hii comment ya king Michel inazindua kaongea pwent nalo neno
CCM majambazi kabisa wauniiiiiii wakubwa
Jambaz n baba yako Ndo mana leo upo hapo kichw kikubwa kam pumbu LA lisu
@@twalibulomy-cd4zdWewe kumbe Lisu kakufira mpaka unazijua Pumbu zake 😅😅😅 kweli mashoga mupo wengi
Yule moyo wake haujawai enda leba hana uchungu
Huyo Abdul kampata veep na watoto wengine
Nightmare DREAMING 😢😢😢😢😢
Sasa mnavyosema chadema wanajiteka wenyewe halafu watabaki na wanachama gani kwa kweli angalieni haki za za watu msiwe chawa angalieni ya baadaye tunaomba hekima itumike kwa raisi yeye ni mama maneno yawe mazuri tu kwa upendo zaidi
Fooolish hamna lenu hadi kiama kitakuja. Hamuwezi wala hamto pata nafasi ya kuitawala. Tanzania. Hamna sifa hsmna elimu. Mpo mpooo. Tu maslahi mbele
Aondoke tu maana duu
Mnyika umeongea points za msingi na zenye ukweli usiopingika, kifo cha Ally Kibao hakikuwa cha kwanza na wala cha kawaida
mkishiba huwa mnasumbua sana
Mhuu ndoto hizo
huo ni ukweli mtupu haupingiki......
Wale wezi wamefukuzwa au wako mafunzoni nape na januari
SAWA ILA NANI ATAWEKWA 😂😂😂😂
Unamuondoaje sasa
Jiandikishe kupiga kura. Usimpigie Samia.
Lazima waibe ili kuokoa muungano
Ccm na mapolisi wao imefikia mwisho wao 2025.
Tuko pamoja makamanda
MUNGU AKULINDE KAMANDA
Duuuuuuuuuuuh
Mama alizingua
Maalbino wanakufa huko mikoani kila leo ila mpo kimya why huyu mzee?Nyinyi mna yenu ila Allah awapukutishe kama ukoma
Mmwondoe akae nani
KARIPOTI POLISI WW MNYIKA
Professor Mnyika sijapata kitu kipya kutoka kwako.Naomba umuonde bodyguard kachafuka
Ajenda ya chadema sasa hivi ni USALAMA wa nchi je changamoto ya walalahoi ni nini?
Tutaishinda ccm kwa kura, kweli?
Ndiyo tutaishinda Kwa Kura usikate tamaa kukata tamaa ni dhambi, jiandikishe na uwahimize wengine wengi, Mimi ndiyo KAZI yangu nimejipa kuhimiza watu. Tukijiandikisha Kwa wingingi tukapige Kura Kwa wingi lakini bila kuacha kuzilinda kura zetu za ushindi, TUKIZILINDA MPAKA MSHINDI WETU ATANGAZWE TUTASHINDA KWA KISHINDO NCHI NZIMA!!! NI KWELI CCM NI WA BAYA KULIKO PANYA ROAD!!!
Vyombo vya ulinzi viko wapi hata mbwa huyu anathubutu kuongea maneno haya kwa Rais
Hiyo ndio democracy na huyu pia apoteee tu hatumtaki
Huyu mnyika hivi bado yupo uraini tuu huyu lazima asema tarifa huwa anazitoa wapi
Ulidhani yuko waoi ahera?
Ndo ujue hata watumishi wamewachoka watawalaa
Jamani tutamuondoaje mbona kajiandaa kuiba kura kuna giza nene mbele yetu mungu ushuke
Mpaka aibe inamana kuna ambao hawampendi
Mimi nina amini tukihimizana sote Kwa pamoja kujiandikisha kwa wingi, kupiga kura Kwa wingi bila kususa kususa ni dhambi kubwa. Tukisha piga ni kulinda Kura zetu za ushindi mpaka mshindi wetu atakapotangazwa. HIYO NDIYO ILITUMIKA KULE NKASI KWA AIDA KENANI NA MAJIMBO MENGINE MENGI KWA MIAKA MINGI, WASHINDI WA UPINZANI HUTANGAZWA KWA NGUVU YA UMMA TUKIFANYA HIVYO NCHI NZIMA USHINDI WA KISHINDO NI WETU KWA UWEZA WA MUNGU!!!
Huyo nyuma ndiyo bodyguard? Kama ndiyo naomba ubadili. Kachoka hata kwa kumwangalia. Anasinzia
Alichosema ni hivi kifo cha huyo marehemu lazima kifutilie na kuweza kupata aliyehusika
Ndugu kama humtaki Raisi sema ukweli wako.
Polisi wanataka ashirikiano nawe ulie toa habari mwanzo taarifa umetoa wapi?
Mbona wamekufa wengi hatusikii wazungumziwe au hawana roho
Nobaki chonka
Hqkuna siku wameacha kuongea kwa sababu ya masikio yenu kuzibwa ndiyo maana hujawahi kusikia. Vyama hivi vinareport kila vinaposikia utekwaji au ukamatqji usio sahihi na wamekuwa wahanga wa kuswekwa korokoroni
C wamama waliochukuliwa Moshi wamechoka na mbege .
hawa yakitokea au yaki chafuka watakuwepo hapa nchini, na je? mimi na wewe mlala hoyi tuta kuwa wapi mhuuu haya tutakuja kumbuka amani hiii
Wani wew utishi milele hapa duniani alilo mungu kutokea wew hutowezza kulizuia acha watu wafanye yale ambayo wameyaona yanafaa
Sasa Ata ondokaje kwanjia gani? Mume shindwa Tayari CCM ni Gogokubwa lina Mizizi Mikubwa
CCM si Gogo kubwa, Kwa halali ni wepesi kama karatasi ya chooni( TOILET PAPER) Siku zote wanabebwa na UJAMBAZI WAO KWA KUWATUMIA POLISI WETU WALIOKOSA MAARIFA NA KUJIANGAMIZA WENYEWE KWANI WANA KUAPO CHA UADILIFU KWA MUNGU!!!
Mkifanikiwa kumtoa Samia basi nyie wanaume
Mnyika wewe ni mtoto mdogo sana usiufanye msiba sehemu ya uchiochezi mnauwana wenyewe Kwa wenyewe mnataka kiki
Kama chadema wanafanya hayo Pereka ushahidi mahakamani haraka sana usiongeree chooni babu toka kwenye banda la mbwa haraka pereka ushahidi huo mwehu
Kwa akili yako, Chadema wangekua wanauana wenyewe kwa wenyewe, polisi wangewaacha?
Swali langu kwa mheshimiwa kweli kama niyeye amepotelewa na mtoto wake auameuwawa kikatili vile kama huyu Alii kibaoangeweza kutoa mane no yenye maumivu hi yo
Yanauwa yenyewe halafu yanamwangushia mama lawama
Acha ujinga ww nani anaeua?
wewe huna akili yanauwa wenyew kama wao ndo wanauwa si wachunguze ili wakamatwe kwann wao ndo wanakemea alafu mama anasema tuzoe kufa kwaiyo we wapenda watu kutekwa
@@habibakusaga-tf4uu kuwa na akili mnyika kishaitwa police kutoa maelezo pataeleweka tu hao Chadema wanawaona nyie hamna akili ndomana wanawazunguka
hawa mbona hawaongei watu watatu kuchinjwa dodoma
Jmn ebu tofautisheni vifo bc Kuna kifo unatekwa ase alf na watu wapo
@@ElishaLaizer-d8s kifo cha mtu mmoja na watu watatu kuvamiwa na kuchinjwa na kuchomwa moto kipi cha kukemea na kulaani
Duuu! Hivi ni kweli umefikiri kwa kutumia kichwa?
@@jumarajab5316 Kifo cha aina yeyote ile ni cha kukemea...kutoa uhai wa mtu si jambo la kisiasa!!! Akiwa mwana siasa ndo kinauma akiwa machinga na afe tu!!! Hiyo si sawa kabisa😢😢
Wewe unasema uongo huo. Kama ulifuatia hutuba yake hukukubaliana na hayo yaliyotokea
Fuantia vizuri wewe ni mogo na mgombanishi. Kama Hao wananchi wanafuata hutumba yako ni kuwapa mafuta usoni
Miongoni mwa matatizo ya nchi yetu nikuamini kuwa ccm ndo watu wanaotunza amani ya nchi hii, kwamba ukiwa upande wa upinzani na ukasema ukweli basi ww unaondoa amani, sasa tujiulize sote, ukiwa unasimamia kweli si ina maana kuna jambo haliko sawa? Kati ya anayekuwa amefanya lisiwe sawa na anayetaka liwe sawa ni nani anaondoa amani??
Wewe ni mjinga sana
Ongela wewe mjanja muwache uyo unae mwita mjinga kumbe babu jinga wewe
Mjane vipi tena
Kama mama ako
Angalieni kila mahali mahakamani, tanga msibani wanaolia kila siku ni wanawake hawa hawa wa chadema pichani. Hawana shughuli kazi kuimba serikali ya wauaji, samia dalali na samia lazima uondoke ANGALIENI PICHA NI HAO HAO
Wajirokeze.wenye.uwezo,mzuri.hekima.akili..afya
Kwa chama kipi icho chadema auchanemwa,Aya lakini mm naona hamna Sela. .
Wee si nguruwe tuu
Poor.
Mumuondoe na nani ?
Angetekwa mtoto wake je bado angeona ni kawaida !?!?
Au mume wake
Jamani lakini tuseme kweliii
Hali ni ngumu sana kimaishaaa😢😢😢😢
Dunia nzima inalalamika.
SAS MTUPE NA NYIE SERA ZENU TUONE KAMA MNAWEZA KUONGOZA NCHI MAKE MSIFIKIR CCM KUWA DHAIFU NDO MTAPEWA DOLA MNAPASWA KUTUONYESHA PIA UWEZO WENU NA SERA ZENU MSIWE WATU WA KUSUBIR MATUKIO KAMA HAYA NDO MUONEKANE
Eti tumuondoe ulimuweka wewe? Acha chuki na udanganyifu kwa wananchi utakupeleka pabaya .
Kwani wangapi wanakufa na hamuandamani mbona Dodoma mama na watoto kafa ndani kwanini mpo kimya
Hoja ni watu wanatakiwa na kupotezwa
Kwa hiyo unataka wafike wangapi labda?
Muwe mnelewa mada Ali alitekwa hadharani ndo mana serekali inahusishwa
@@McT-m1m kwani wote wanaotekwa wanatekwa chooni nyie ndiyo wagumu kuelewa na kufata mkumbo pasipo kitu
Kwa vile tumeridhika na kazi nzuri aliyoifanya mhs mpedwa rais wetu dr samia sulluhu na kwa vile tunaona anasingiziwa mambo ambayo hakufanya sasa watanzania tutawaonyesha hao ndg tar 23.11.2024 kuwa tupo na ccm ndipo watajijua.Hongera wanaccm na wapenda amani tz.
.
Nenda kareport police kama wewe siyo mtuhumiwa na mikono Yako salama kwanini usireport wakija kukubeba useme umetekwa
Wewe mwana kombo ,ACHA kubeza watu walio kufa kwa kuuwawa waliofiwa unawakumbusha nini je ingekuwa wewe Mimi ni mwana ccm ila kwa hili sikuungi mkono
Mhhhh hawa wamama wa chadema mbona nyuso zimechoka hivyo jamani kulikoni?
Mnatafuta kiki ili wana tanga wawaone ni watu wema kwani ally kibao ninani au wangapi wameuwawa acheni hizo hamuiteki tanga kwa mbinu hizo mnatekana wenyewe kwa wenyewe mnafanya hila tangazeni Sera ci kwa hilo hawo kina mama wote hapo hawajielewi ndio wale wale kuweni wangalifu sana na hicho chama ni hatari.
Muulize mama yako mwenye sura isiyochoka, mkangafu wewe...
@@econmirajifacts5411 wewe mwenye kujielewa ndo uandike ujinga kama huo....??? Acha kuongozwa na hisia ruhusu fikra zikutawale sio hisia..
Nenda karipoti Kituoni kwanza,ukaisaidie Polisi ktk Upelelezi wake.
Unashindwa kusema yule DC walongido aitwe haojiwe marini walikuwa wanafanyanini unasema mtu mwema akaripoti uchawa wakijinga sana
Namba Moja wewe mtuhumiwa pia hatajimbo Moja ampati watekaji
Eti kifonikifo tu normalisation of problems to tanzanian cetizens okay kifo ni kifo tu
Ww huna akili maana unajua wauwaji mbona unalenga wanao ua unawajua