MFANYABIASHARA K/KOO AFICHUA, MAFUNDI WALIJUA JENGO LITADONDOKA WAKAONDOKA MAPEMA|TAMAA ZITATUMALIZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 49

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 6 дней назад +19

    Jengo limejaa mizigo namna ile litaachaje kudondoka.. MNABADILISHAJE MATUMIZI YA MAJENGO BILA KUJUA UWEZO WA JENGO

    • @kisoso890
      @kisoso890 6 дней назад +5

      Jengo limejengwa kwa ajili ya makazi lakini yanageuzwa store ukiangalia ubora wake sio wa kubeba uzito mkubwa ila ni kwa ajili ya makazi na kwanini store ziwe gorofani kwanini wasijenge stoo za chini

    • @jamilajumaa2980
      @jamilajumaa2980 5 дней назад +1

      Ni uzembe wa hali ya juu halafu kumsingizia mungu serikali iwe serious laa sivyo kila kukicha maisha ya wasio na hatia yatapotea

  • @nelsonkileo3247
    @nelsonkileo3247 5 дней назад +8

    Kwa maelezo haya kuna uwezekano Magorofa mengi pale kariakoo wameforce hizi underground floor, wachunguze.

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 6 дней назад +18

    Tamaa ya Pesa imecost maisha ya watu, hatua kali ichukuliwe

    • @AbdulJabbar-hc2wd
      @AbdulJabbar-hc2wd 4 дня назад

      Katika ILO jengo lote Lilo poromoka apo, MUUNDO mbinu sahihi KWA jili la ghorofa matumizi hayo, ilikuwa hizo nondo peke ake.

  • @darhustler
    @darhustler 2 дня назад +1

    Naam umewasilisha vyema sana.

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 5 дней назад +2

    Kaliakoo majengo mengi ni ya kizamani, eneo lenyewe dogo limebanana selikali ianzishe kaliakoo nyingine sehemu nyingine idadi ya watu imeongezeka sanaaa haiwezekani watu wote soko liwe kaliakoo tuu

  • @kisoso890
    @kisoso890 6 дней назад +7

    Mnapandisha habar haina sauti hamjui weled wa kaz

  • @victaeliud948
    @victaeliud948 3 дня назад

    DU....pesa pesa pesa!!! Mpaka inagharimu maisha ya watu wasio na hatia.... Hivi hao mafundi waliokubali kufanya uhaini kama huo na kujihatarisha wenyewe na wengine wanazo familia na ndugu kwao? Jamani uhai hauna mbadala.... PESA inatafutwa mpaka tunaongia na bahati mbaya hatuendi nazo...tujali UTU NA USALAMA WA BINADAMU!!!!!

  • @blessingcharles-lc1rr
    @blessingcharles-lc1rr 3 дня назад

    Mwenye nyumba akamatwe mwenye nyumba akamatwe kila mtu anasema hiv .lakin hapo cha muhimu ni kwamba sisi wengine ndio linapaswa kuwa funzo kwetu kwamba tuache tamaa dhidi ya utu
    Maana mnavosem kwa kuhukum halafu wengi wetu hapa tuko kam yeye sasa hapo ni kujifunza wote ili isijirudie
    Kumulaum mmoj halafu sisi tuliobaki tuko vilevile haisaidii maan wanaojenga hivo ni watu wetu wa karibu kaka zetu .baba zetu.wajomba wanafanya wapate faida bila kuona hasara ya matendo yetu

  • @MunaMohammed-j3m
    @MunaMohammed-j3m 5 дней назад +1

    Jamaniii

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 День назад

    Serikali imejali Kodi badala ya kujsli watu magorofa zaidi ya 100 moja hayana kiwango raisi sikia hayo yafanyie kazi

  • @stewartkilewo4433
    @stewartkilewo4433 6 дней назад +3

    Watu wa aina hii inapaswa wawe mfano kwa jamii imekost familia za watu na uchumi wa taifa kwa ujumla

  • @AnordErio
    @AnordErio 3 дня назад +1

    Alafu serikali liangalie na ili labujenzi wa mikatqba

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 5 дней назад

    Kwahiyo mafundi walivyo ona jengo linaporomoka wakachanganya kwato zao bila kuwasanua waliopo juuu, washenzi sana aisee

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 5 дней назад +1

    Huyu mmiliki akamatwe afungwe msenge sana huyu. Kwanini asingewaambia wahame kwa muda ili afanye huo ujinga. Nimeumia sana ndugu zetu kupoteza Maisha, kujeruhiwa na kupoteza mali zao zote kwa upumbavu wa mtu mmoja mwenye tamaa ya mali.

  • @edkawiche3171
    @edkawiche3171 5 дней назад

    Teeth wafanyie kazi maelezo ya jamaa. Amebainisha vizuri.

  • @protassilayo4200
    @protassilayo4200 6 дней назад +5

    Tamaa ya pesa ndio chanzo Cha maovu duniani.

  • @diehansi
    @diehansi 6 дней назад +4

    Kwamba waforce underground na Hali shughuri za watu zinaendelea siuuaji huo

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 6 дней назад +1

      Uyo mwenye nyumba anyongwe

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 2 дня назад

    Sasa kama walijua kwa nini wasiseme ila watu wasiendee kazini?

  • @stewartkilewo4433
    @stewartkilewo4433 6 дней назад +5

    Kwa akili za wafanya biashara unaweza kukuta alijua anachokifanya yani jengo ukaanze kulichimba chini yani hata hao mafundi akili zao ni low capacity

    • @BenjaminNickson
      @BenjaminNickson 6 дней назад +1

      Sio low capacity kaka ni njaa tu hata kama ni wewe una shida ya pesa ukapewa kazi utaikata ingali ni kazi halali

    • @MkundeLugula
      @MkundeLugula 6 дней назад

      Hata ​@@BenjaminNicksonmafuundi wamepona kweli jamani

    • @joharifarahani2739
      @joharifarahani2739 5 дней назад

      Wamepona wakitoka kabla ya kuwafukia..​@@MkundeLugula

  • @aly_asgar
    @aly_asgar 5 дней назад

    Me naona hapa bado hatujaelewa tatizo nini.

  • @AbdulJabbar-hc2wd
    @AbdulJabbar-hc2wd 4 дня назад

    Kwanini yote SI dondoke, huruma mungu kugundua UJINGA inao fanyika, ghorofa la aina hio, limejengwa KWA tofali na nondo, sio zege. Nondo ni imara. Lakini tofali ni kwajili ya uzito binadamu. Ghorofa nyingi hapa bongo ni tofali tuh. Ambao ina zeeka KWA MAJI, na kuathirika na uzito vibaya haswa.

  • @ISTRAMADISON
    @ISTRAMADISON 5 дней назад

    Huyu jamaa Nimesoma NAE pale TUSIIME , miaka inakimbia

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 дня назад

    Serikali isikilinze wanachoambiwa na wakandarasi magorofa yote ya kariakoo yakaguliwe upya la sivyo mambo ni yaleyale tutaendelea kupotenza watu serikali sikieni tokeni maofisini Kila mtu afanye kazi yake na mzitolee taarifa siyo mnapewa Helananyanzia hapana itatugharimu baadae

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 дня назад

    Wachunguzwe na waliobaki😢

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 5 дней назад

    Tamaa Mungu anakubariki ,huriziki sasa umebaki 00000 na kile ulichopewa kimeondoka

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 5 дней назад +1

    shka mtoa kbala na mkandaras weka ndani

  • @Jaypets-f
    @Jaypets-f 6 дней назад

    Kweli kaka

  • @KemiChilstopher
    @KemiChilstopher 6 дней назад +2

    Anyongwe hadharani iwe fundisho tumepoteza ndugu zetu kwa tamaa zake.😂😂😂😂😂😂😂

    • @aly_asgar
      @aly_asgar 5 дней назад +1

      Hapana kama kapewa vibali ya kazi kosa sio lake.

    • @estonhaule9253
      @estonhaule9253 4 дня назад

      Hana kosa. Kama Kuna alietoa kibali Basi ndio awajibishwe

  • @happymakweta2000
    @happymakweta2000 3 дня назад

    Huyu si endrea

  • @MgainMagin
    @MgainMagin 5 дней назад

    Nilikuwa najiuza je mafundi nao wamepona kumbe wameondoka mapema dah

  • @knight6757
    @knight6757 5 дней назад

    Wakaguzi wapo wapi...😴😴😴😴😴😴

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 5 дней назад

    To a sauti basiii😢

  • @RuthCharles-u4j
    @RuthCharles-u4j 6 дней назад

    Uroho wa pesaaa

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 5 дней назад

    Why are you whispering

  • @marcokatigula2126
    @marcokatigula2126 6 дней назад

    Mwenye nyumba akamatwe na kama Kuna mamlaka husika ilitoa kibali Cha ujenzi huo wawajibishwe

    • @samwa9496
      @samwa9496 5 дней назад

      Watazichana karatasi haraka ili wasijulikane maengineer i na wasimamizi yenyewe njaa

    • @haslanclassic40
      @haslanclassic40 3 дня назад

      Apo labda Magufuli angelikuwepo

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 5 дней назад

    Sasa kama ulikua Kuna Hilo kosa mbona hukutoa taarifa Kwa mamlaka husika au ndio tingoja maafa halafu tuongee