MORNING TRUMPET: Ukweli kuhusu saratani ya matiti, dalili, tiba na kinga

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 5 лет назад +2

    Naomba muwe munaandika tarehe za vipindi mnavyo rusha mitandaoni, inakuwa laisi kuwatafuta na kuwapata kiulaisi. Mko vizuri kwa mengine. Asanteni.

  • @starahpeter8060
    @starahpeter8060 Год назад +3

    Nilianza moyo ukiwa unauma mara titi moja na sasa Matiti yanauma kweli lakn nimepima sinaivimbe wala yn ata sijui shida ni nn?

  • @chandamkopa-kw3pu
    @chandamkopa-kw3pu Год назад +1

    Tunashukuru Kwa ushauri wagonjwa ni wengi hasa vijijini elimu Bado ni ndogo wagonjwa ni wengi wanaangamia Kwa kukosa matibabu na ushauri

  • @nurranosian1221
    @nurranosian1221 2 года назад

    Asante baba kwa somo

  • @juliembombo1847
    @juliembombo1847 Год назад

    Tunashukuru sana.

  • @DianaMwaikuju-mw8he
    @DianaMwaikuju-mw8he Год назад

    Nina tatizo kwenye kwapa nimepima lakini wamekuta hakuna uvimbe na kwapa limevimba

  • @rapoo38
    @rapoo38 3 месяца назад +1

    Hakuna Cancer in Jesus name

  • @NeemaLwoga-s4c
    @NeemaLwoga-s4c 18 дней назад

    Mimi ziwa lakushoto linauma muda mwingine linaacha yn baraha tupu

  • @KatarinaMrosso
    @KatarinaMrosso 11 месяцев назад

    Jaman mam nimekusikiliz mm na uvimbe kwenye tit umetulia tu ni miaka 5 huonyeshi dalili yoyote nimepima nimeambiwa sio kanza ila niwakutoa

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Год назад

    Hamna chochote

  • @minnahmsangi6117
    @minnahmsangi6117 2 года назад

    🙏🙏🙏