Yaani ivi naskiliza machozi yananidondoka Nakumbuka nilikua mtoto tukiishi mtaa wa sabasaba nikisjikizwa na mama kwenda chooni nausikia huu mziki. Yani wee acha tuu Thnk u brother Edi
wimbo unanikumbusha enzi hizo (1971) nikiwa nasoma Shule ya Kazima (Tabora) nikiwa nasikilizia nje ya ukumbi wao wa Lumumba. Mpiga Solo akiwa Athumani Tembo na Shem Kalenga, Gita la Bass likikung'utwa na Luzila wakati Rythim akipiga Kassimu (waimbaji nimewasahau) - well done segere matata
Wakati miziki hii ikipigwa ukumbini kwao Lumumba mimi ndio Napata usingizi mzuri ili niamke asubuhi kwenda zangu shuleni . I will never forget those days.
Ahsantum sana ndugu Eddie.Wakati huo RTD ilituambia hii ilikua midundo ya Kimanyema-Dada Lemy namba 1.Tafadhali ndugu Eddie kuna Dada Lemy namba 2 kama vile ilivyo Helena namba 1 na 2.Pia tutafutie wimbo wa magwiji hawa uitwao Farida na utakuwa umefunga goli.Tukiwa kusini mwa Kenya miziki ilikuwa ya RTD-Idhaa ya Taifa na ile ya Biashara.
Kwa mara ya kwanza wimbo guy ulitoka 1972 nikiwa home Pangani Na mtoto wa kinyamwezi Anna Naomi.mara nyingine Nikiwa TPDF 1977 Tabora Kila weekend kwenye holi ya tabora jazz karibu na nyumba ya kina Mohamed na Ismail Aden. Ahhh Maisha yalikuwa matamu
Ebwanaee naipenda hii sana❤ zamani kulikua na miziki mizuri tabora kwetu nipo omani nakula lahatu
Yaani ivi naskiliza machozi yananidondoka
Nakumbuka nilikua mtoto tukiishi mtaa wa sabasaba nikisjikizwa na mama kwenda chooni nausikia huu mziki. Yani wee acha tuu
Thnk u brother Edi
wimbo unanikumbusha enzi hizo (1971) nikiwa nasoma Shule ya Kazima (Tabora) nikiwa nasikilizia nje ya ukumbi wao wa Lumumba. Mpiga Solo akiwa Athumani Tembo na Shem Kalenga, Gita la Bass likikung'utwa na Luzila wakati Rythim akipiga Kassimu (waimbaji nimewasahau) - well done segere matata
100%
Wakati miziki hii ikipigwa ukumbini kwao Lumumba mimi ndio Napata usingizi mzuri ili niamke asubuhi kwenda zangu shuleni . I will never forget those days.
kwa kweli unasikiliza mpaka unasahau kama hakuna shida duniani, Mwenyezi Mungu awape maisha marefu zaidi
Kumbe nawewe upo kama mimi
Bado nasubiri namba mbili ya wimbo huu Dada Lemy na Farida wa hawahawa Tabora Jazz.Shukran sana ndugu Eddie.
Unanikumbusha mbali sana sheikh wangu.
moto bado ! Ahsante kaka!
Ahsantum sana ndugu Eddie.Wakati huo RTD ilituambia hii ilikua midundo ya Kimanyema-Dada Lemy namba 1.Tafadhali ndugu Eddie kuna Dada Lemy namba 2 kama vile ilivyo Helena namba 1 na 2.Pia tutafutie wimbo wa magwiji hawa uitwao Farida na utakuwa umefunga goli.Tukiwa kusini mwa Kenya miziki ilikuwa ya RTD-Idhaa ya Taifa na ile ya Biashara.
zamani kulikuwa namsiki kweli sio sasa
Kama ujavaa sati ya Bahama na bugaroo chi ra izoni upati kimwana TBR
hadi Leo najiuliza sipati jibu kwa nini tabora walikuwa hawatumii ala za upepo?au kwa sababu ya rhym kasim karuona,?
Amin
Kwa mara ya kwanza wimbo guy ulitoka 1972 nikiwa home Pangani
Na mtoto wa kinyamwezi Anna Naomi.mara nyingine Nikiwa TPDF
1977 Tabora Kila weekend kwenye holi ya tabora jazz karibu na nyumba ya kina Mohamed na Ismail Aden. Ahhh Maisha
yalikuwa matamu
Mimi naitwa Rémy Kabenga wimbo huo ulinirudisha nyuma kimawazo.
Mimi nilikua sijazaliwa duh zamani sana wewe ni mhenga banna safi sana tabora zinapigwa hizi kila harusi lazima waluke nayo
Unanikumbusha mbali sana sheikh wangu.
Hahahahaa,wapi huko? funguka kaka!
Rashid Hanzuruni na wema and abdalla ndio hasa walikuwa nguzo ya tabora jazz walipohama ilififia