Najikuta machozi yananitoka maana Ee Mungu Baba kwa uliyonitendea ni mengi siwezi kusema Lakin ni wewe tu pekee Asante nakushukuru ❤️🙏💪usikate tamaa kamwe Mungu yupo nawe ☝🏿🙏🙏🙏Amina
Kwa ishara ya msalaba tuokoe asante sana kwa wimbo iyi ya kipindi cha kwaresma Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
🎉munguabarikiwe jamàn Hadi machoz jaman
Aminaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭
Kwa Nina la Baba na la MWana na la roho mtakatifu amina
Have mercy on me Jesus
Amen, Tuokoe we bwana🙏🙏
Najikuta machozi yananitoka maana Ee Mungu Baba kwa uliyonitendea ni mengi siwezi kusema Lakin ni wewe tu pekee Asante nakushukuru ❤️🙏💪usikate tamaa kamwe Mungu yupo nawe ☝🏿🙏🙏🙏Amina
Kwa ishara ya msalaba tuokoe asante sana kwa wimbo iyi ya kipindi cha kwaresma Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Hakika mungu awabariki sana kwa kueneza injili kwa njia ya nyimbo
Amina
Kwa ishara ya msalaba tuokoe amina👏👏
Yesu tuokoe 🙏
Amen
Amina.
I'm store area jobyt
Instrumental not systematic not accompanied by voices better sang only with a keyboard or without instruments