The Serial Escapee - Young & Stupid Season 9 Premiere

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • In this episode of young and stupid,a hardworking banker and devoted mother finds herself in a harrowing situation when she unknowingly walks into her parents' house, where her family is held hostage by three men. Their sinister goal: to force her into helping them rob the bank where she works. Under immense pressure, she complies, accompanying the gang’s leader to execute the robbery. After securing the money, the family is released unharmed. However, the story takes a turn when the woman courageously contacts the police. Two of the robbers are apprehended outside her home, and their confessions reveal a shocking twist: their leader is a dangerous convict who recently escaped from prison.The leader was apprehended and sentenced to life imprisonment, bringing an end to the harrowing episode.
    YOUNG AND STUPID: bit.ly/3tYwDm0
    Other mkurugenzi abel mutua stories: bit.ly/3sMl7tF
    Submit a Story: stories@mkurugenzi.co.ke
    Official Mkurugenzi Podcast: spoti.fi/3sL0YXT
    Mkurugenzi Merch: mkurugenzi.co.ke/
    SUBSCRIBE NOW: bit.ly/3gQxC4q
    Thanks For Watching!!!!
    Support Ya Mkurugenzi
    Mpesa No. - 0798 659792 - Judy Mureithi
    Mpesa Till - 5283289
    Shot at Location, Longonot Place Apartments

Комментарии • 398

  • @DannteIsmail-255
    @DannteIsmail-255 2 месяца назад +382

    Me ni mtanzania ni fan wako mbaya sana nimeona stori zote sijaacha atamoja so nipe2 like nitashukuru wakurugenziii

    • @clarabanduka2979
      @clarabanduka2979 2 месяца назад +6

      Kudos sana. Watz tupo hapa we don't miss any episode

    • @HassanIssack-c1y
      @HassanIssack-c1y 2 месяца назад +6

      Hi jina yàko íko githurai pekee yakée all over the world 😅😅

    • @Buchu007
      @Buchu007 2 месяца назад +3

      hakuna mtanzania husema MBAYA SANA .

    • @abdirahmandabow8998
      @abdirahmandabow8998 2 месяца назад +1

      ​@@Buchu007was wondering too

    • @cmyoutubeshorts254p
      @cmyoutubeshorts254p 2 месяца назад +3

      akuna mtz anasemanga mbaya sana, Hawa magaidi mkuruu ni wa kayole😂😂😂😂😂

  • @johnxnfredy9966
    @johnxnfredy9966 2 месяца назад +97

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 welcome bongo mkurugenziiiii

  • @MercyNyariwo
    @MercyNyariwo 2 месяца назад +44

    Jmn mkurugenziii mwalimu wangu WA kingereza,, saiv angalau na vimaneno vya kurusharusha mbele za watuu,,🥳🥳🥳🥰

  • @empire5750
    @empire5750 2 месяца назад +21

    Wow what a good story...nimepatana n hii story Kwa channel inaitwa FBI files but haikunibamba vile umetupigia hii story...Ur the best nimeisikia kama n my first time

  • @cyrusmaxxy
    @cyrusmaxxy 2 месяца назад +8

    njugush was just chilling then stray bullets 😪🤣🤣🤣

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. 2 месяца назад +6

    Mkuruuuu mi ni MTZkwa takribani miaka 2 nimeangalia seasons zote zako na nimeweka notification kila episode nasonga nayo. Una mafans wa kutosha kwa kipande hii Mkuruu. God bless u

  • @mteule_tole
    @mteule_tole 2 месяца назад +21

    Mkurugenzi 😂uliapa na ukaamua 😂lkn juu sitakuwa trinity experience......si nipate merchandise....alafu niache jirani akuje 😂🎉🎉unaonaje Mkurugenzi 😂... anyway that said lets rooooooolllll🎉

  • @Adonis21-e
    @Adonis21-e 2 месяца назад +21

    Mkuru the best always. Can't wait for trinity. From south Sudan ❤

  • @rajabkasonga4459
    @rajabkasonga4459 2 месяца назад +9

    Nimekua nikiangalia vipindi vyako mkuru tangu 2021, mpaka najua sasaivi kila ikifika j5 nasubiri minisode na j2 nasubiri episode hahahaha nikiwa bongo dar es salaaaam 😅😅😅 big fan of you!!!!

  • @GloryLekey
    @GloryLekey 2 месяца назад +6

    Tunakutazama sana Mkurugenzi. Tunakupenda sana, karibu Tanzania.

  • @DannteIsmail-255
    @DannteIsmail-255 2 месяца назад +86

    Tunakukubali sana mkuru karibu Tanzania🇹🇿

  • @elburgonoxygen6527
    @elburgonoxygen6527 2 месяца назад +4

    Story niliona kitamba likini yako ndio tamu hii huku ndio iko juu hii ndio inabamba ❤

  • @fredrickmuthai1187
    @fredrickmuthai1187 2 месяца назад +11

    Mkuru huskii from RUclips, you're the most watched by me 💯

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 2 месяца назад +11

    😂😂😂😂kuna watanzania tumeanza kukufatilia zaman sana…back in 2020😂😂😂😂😂😂we truly adore you sana…karibu Tz..andaa ata show tutajaa kuja kukuona

  • @eliudogalo7081
    @eliudogalo7081 2 месяца назад +6

    From zanzibar tz sjawai kosa kuangalia kipindi cha mkuruu😄😄karibu zanzibar

  • @shabanstyles4643
    @shabanstyles4643 2 месяца назад +14

    I'll be flying in from Virginia for the trinity Experience. Representing +254 team mkuru Gen-z🎉🎉🎉

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 2 месяца назад +5

    Abel Mutual, miaka mitatu Sasa hakuna shoo Yako hata Moja imewahi kunipita, tangia zile za kaaale kabisa, uko vizuri mtu wangu,

  • @Monixnyambuw
    @Monixnyambuw 2 месяца назад +4

    😂😂😂😂he's a legend though,,mm vile naogopa karaoo siwezi hata jaribu kutamamani vya wenyewe

  • @cruzer_official
    @cruzer_official 2 месяца назад +66

    Kama ushaiona story ya mkuru ukiwa mlevi na hukusahau sign hapa!! juu mimi nitasahau!!!>>>> like ndio nikumbuke ni watch tena😂😅

    • @mosesbera9356
      @mosesbera9356 Месяц назад +1

      A real student of mkuruu. Comedy in action

    • @mosesbera9356
      @mosesbera9356 Месяц назад +1

      A real student of mkuruu. Comedy in action

  • @Abdulkarimidrissa
    @Abdulkarimidrissa 2 месяца назад +4

    I Am watching you from kalemie Drcongo but I started watching your when I was in Nairobi,hile story hume tupeanga ya wamorio wahuko wali kujanga huku kwetu Matadi hika nibambanga mbaya

  • @aristidendayubaha6114
    @aristidendayubaha6114 2 месяца назад +48

    All love from Burundii🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @tipsey_merdfahn
    @tipsey_merdfahn 2 месяца назад +10

    Walete stori za bongo mkuru apige za sister countries sasa😂😂😂much love ❤❤

  • @samjuniorcomedy
    @samjuniorcomedy 2 месяца назад +6

    Wengi ni watoto wa 2001 kama kawa😂😂. Geng ya young and stupid & Headline Hitters well represented

  • @254shorttrendystories4
    @254shorttrendystories4 2 месяца назад +9

    This story takes me back to Mzee mzima ~BAREFOOT BANDIT huyo gathee alhamgaisha hio taon 😂😂sasa tumpatie Jeburk jina < tumuite nani ? Ahhhhh bas. JAIL BREAK BANDIT .😂😂 discretion ~ read it in abels voice

  • @MercyNyariwo
    @MercyNyariwo 2 месяца назад +20

    Wabongoo tupo laivuuuu,,🥳🥳

  • @vianeytaggi2046
    @vianeytaggi2046 2 месяца назад

    Tanzania una fans wengi kuliko KE,karibia huku mkurugenzi!Weka Mpesa No. hapo Tutume ya juice hard work must get a recognition

  • @ezrajacob31
    @ezrajacob31 2 месяца назад +13

    Karibu sana Tanzania mkuruu tunakukubali sana 👍

  • @marleyyy_ldn
    @marleyyy_ldn 2 месяца назад +17

    Undercover in Qatar

  • @LucyWaweru-w7b
    @LucyWaweru-w7b 2 месяца назад +2

    Not me everyday waking up kama nmeangalia if umepost..you are such a vibe mkuru

  • @stephenkianga6643
    @stephenkianga6643 2 месяца назад +5

    Mkuru watu wa mombasa umetuwacha nyuma sana Fanya kakitu

  • @SalimMohammed-j9m
    @SalimMohammed-j9m 2 месяца назад +3

    From Tanzania 🇹🇿 hapa...mkuluuu upo juu sna

  • @israelngapona4225
    @israelngapona4225 2 месяца назад +15

    Tanzania loves you 🇹🇿🇹🇿

  • @Kelvin_Wanjohi
    @Kelvin_Wanjohi 2 месяца назад +2

    Unpopular opinion, Mkurugenzi ni DJ. Afro wa ma story. I love it.

  • @samuelnyange3172
    @samuelnyange3172 2 месяца назад +2

    strictly a vibe in Dubai...everyone loves this guy

  • @mikekim5595
    @mikekim5595 2 месяца назад +2

    Njugush was just chilling 🤣🤣🤣

  • @levimatheri7682
    @levimatheri7682 2 месяца назад +2

    I'm a simple guy. I see a new episode, I click play. Watching from Seattle, Washington

  • @cynthianzomo6132
    @cynthianzomo6132 2 месяца назад +14

    Mkuru hii stori imenikumbusha the barefoot bandit😂😂

  • @matumainitvonline2278
    @matumainitvonline2278 2 месяца назад +5

    Love from Arusha Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @NicholasTende
    @NicholasTende 2 месяца назад +2

    Ati cabbage zimegonganishwa kwa ukuta😅😂

  • @silviangari3291
    @silviangari3291 2 месяца назад +2

    2 weeks to the Trinity experience show 🎉🎉what a missed opportunity to experience this aki ..but all the same mkurugenzi to the world ❤

  • @Ermac.Blackiedie
    @Ermac.Blackiedie 2 месяца назад +2

    Mkuruu!!❤,ndio na watch 😌

  • @Unpopular_kid
    @Unpopular_kid 2 месяца назад +2

    Mkurugenzi im in ITALY but Kenyan born we listen to you

  • @mavokotrendingband.
    @mavokotrendingband. 2 месяца назад +6

    Leo Niko na wewe hapa kwa hapa

  • @AlexandarZain
    @AlexandarZain 2 месяца назад +1

    From India watching it everyday with so much Zeal Mob Love Abel

  • @patrickmuri9215
    @patrickmuri9215 2 месяца назад +2

    I am glad to see I have the same taste as Mkurugenzi...FBI Case files

  • @collettewanjiru
    @collettewanjiru 2 месяца назад +3

    I feel like I've listened to prison break 👀👀😎😎 Great story Mkuru!!!!!!🫡🫡🫡

  • @khankablai
    @khankablai 2 месяца назад +3

    Hata mimi ni munyaRwanda nani na kupenda sana Bwana mukurugenzi. I have watched all your videos

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon 2 месяца назад +2

    Keep them coming 🔥🔥🔥

  • @robinedson
    @robinedson 2 месяца назад +1

    Mkuru sisi watu wa 255 tuko sako kwa bako... started watching since Hapa Kule News...till date. Keep rolling Mkuru

  • @MathanMohamed
    @MathanMohamed 2 месяца назад +3

    Love&support from TZ 🇹🇿

  • @shedrackmutalemwa7310
    @shedrackmutalemwa7310 2 месяца назад +23

    TZ tuna follow mkurugenzi mbaya😂

  • @elirosh_thedj
    @elirosh_thedj 2 месяца назад +24

    Njugush receiving stray bullets 😂😂😂

  • @africanbitcoinmaster
    @africanbitcoinmaster 2 месяца назад +7

    Here watching from USA 🇺🇸

  • @ynashe7771
    @ynashe7771 2 месяца назад +1

    Mungu atuweke mwakani mkuru tunae na tunatamba nae🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ally1117
    @ally1117 2 месяца назад +2

    kilimanjaro....!!nakukubali tangu ukiwa tahidi high from bongo land

  • @JenniferChalle-x7q
    @JenniferChalle-x7q 2 месяца назад +4

    We love you 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤

  • @dickeyprattybuoy
    @dickeyprattybuoy 2 месяца назад +15

    😂😂😂unakumbuka Tahidi High bro ,,so u dropped out of school anyway i need lunch break for this episode 😂😂🎉Abel mkurugenzi

  • @viliciousshiku2601
    @viliciousshiku2601 2 месяца назад +2

    Maajabu leo nimepata live,week imeanza poa Mashallah

  • @martinkibe6824
    @martinkibe6824 2 месяца назад +4

    Buda boss, Tz kuna mafans wengi. Nafanya job Kigoma na kila time nikiweka story yoyote yako wasee wanajaa na kufurahia sana. Your story telling skills are top notch bro.

  • @MaryNdungu-w2r
    @MaryNdungu-w2r 2 месяца назад +1

    Team napitia kila mtu mwenye atani pitia ☑️ let's go 🎉🎉

  • @KelvinMarine-hi4mz
    @KelvinMarine-hi4mz 2 месяца назад +9

    Mkuru big up from Turkana😊

  • @fredKiprop-vt8bz
    @fredKiprop-vt8bz 2 месяца назад +3

    Your super fan is here again...kama kawa kama dawa

  • @ElvisTarrus
    @ElvisTarrus 2 месяца назад +1

    Mkuruu Kuna penye umetubeba tu 😂😂aty Aime alipigia grandparents wake kuwauliza kama maboyz wameenda alafu aty grandparents wakajibu aty bado hawajaenda,,,,kwani hao maboyz walikua mabubu ama nini 😂😂😂

  • @Nasieku_sue6
    @Nasieku_sue6 2 месяца назад +7

    Mkuru ni uchumi ya zakayo mbaya😂😂lakini tumejifinya kiasi tuna buy ata ikipanda wee usiworry.

  • @johnmarkkaaria1466
    @johnmarkkaaria1466 2 месяца назад +1

    Salute Abel waoohh . Atii Chris si kama njugush😂😂😂😂

  • @markoshudson3760
    @markoshudson3760 2 месяца назад +1

    Niaje mkuru..God bless you kabisa ❤

  • @zoey2635
    @zoey2635 2 месяца назад

    Jamani Mimi ni fan wako from Tz miaka nenda miaka Rudi karibu Tz🎉🎉🎉🎉

  • @rachellyan4965
    @rachellyan4965 2 месяца назад +2

    Manze kumbe kuna hidden talents that needs to be explored 😂 huyu anafaa GWR walai

  • @djclimax-b5h
    @djclimax-b5h 2 месяца назад +3

    Kama uko na ticket tayari weka like❤

  • @austinethemaster1
    @austinethemaster1 2 месяца назад +2

    Nitawatafuna vidole kama MISHEVEVE na SARAT😂😂😂

  • @abel_zach7
    @abel_zach7 2 месяца назад +2

    Niko na kastory 😂😂😂 karibu nitokwe simu hii nairobi

  • @JoelMbaye-nr7vg
    @JoelMbaye-nr7vg 2 месяца назад +2

    Watching from Mexico I like your story mkuru

  • @weeknd_places
    @weeknd_places 2 месяца назад +2

    Tunakutambua kurukaa Mkuruu..🇹🇿 Karibu Zanzibar

  • @makoskaranja5677
    @makoskaranja5677 2 месяца назад +1

    Thenks manze unatufunzaengi🙏🙏🙏

  • @Evanso96Elprofessor
    @Evanso96Elprofessor 2 месяца назад +2

    Wakurugenzi Nanyuki branch Representative 👏

  • @MercyKahiga-h2e
    @MercyKahiga-h2e 2 месяца назад +1

    In love with your stories

  • @jaymutembei8495
    @jaymutembei8495 2 месяца назад +5

    This channel is a form of addiction,ukikosa kuwekelea kitu the whole RUclips pages zikuwanga blurry😂.
    But Kuna by the way on the other hand😂❤

  • @angiekings5187
    @angiekings5187 2 месяца назад

    Karibu Tanzania Mkuruuuuu tunakukubali kinoumaaaaa❤

  • @seniorlimka
    @seniorlimka 2 месяца назад +2

    Mkurugenzi 🐐

  • @HamanKarega
    @HamanKarega 2 месяца назад +1

    Mkuru much love from Kuwait.
    tunakutambua deadly pande hii.

  • @henryombati29
    @henryombati29 2 месяца назад +4

    Mkuru hope uko viti, request you bring headline hitters on Chernobyl nuclear disaster

  • @chrisem254
    @chrisem254 2 месяца назад

    The guitar bassline kwa io theme song ya Young & Stupid is fayaaaaaaa🎸🎸♥️

  • @kevohmungai8534
    @kevohmungai8534 2 месяца назад +1

    usi thubutu kusema mwaka ujao tena .. sema mwakani

  • @GilGal-qv9rf
    @GilGal-qv9rf 2 месяца назад +4

    Nani mwingine ana watch sahii l mean sahii 😂😂

  • @joshuaraymond7290
    @joshuaraymond7290 2 месяца назад +3

    One love from 🇹🇿

  • @slovichxempire8704
    @slovichxempire8704 2 месяца назад +1

    Next time visit us in DR Congo , we love you mkurugenzi

  • @haronwafula5481
    @haronwafula5481 20 дней назад

    Mkuru you're amazing you're doing an Owesome job

  • @AdamsJustice-i8p
    @AdamsJustice-i8p 2 месяца назад

    Njugush was just chilling 😂😂😂

  • @EmmanuelChege-gg9bt
    @EmmanuelChege-gg9bt 2 месяца назад

    Mukuru good job you are doing nakupenda tu sana

  • @alfredmwero5849
    @alfredmwero5849 2 месяца назад +1

    Njugush lazima akule strays😂😂

  • @I.t.s_maston
    @I.t.s_maston 2 месяца назад

    Kenyan talents To Thee world..😊

  • @lola20-q9k
    @lola20-q9k Месяц назад

    lately have bee having a hard time, sress ile ya kujingelesha then the tudemons back on my mind tell me"tuwatch mkuru" And actually it calms my system. Thanks sana and keep doing what you do.

  • @EmmanuelMwita-qu5fh
    @EmmanuelMwita-qu5fh 2 месяца назад

    All the way from Tanzania tunakupata vyema sana

  • @chibericheti5837
    @chibericheti5837 2 месяца назад

    Wacha niongee had me on the floor 😂

  • @moseskiarie9264
    @moseskiarie9264 2 месяца назад +1

    Haya basi naona wabongo mmejaa humu na lavulavu,doooh, kudadekii,sibasi nipate mrembo mmoja nimfudishe mapangalee

  • @danielnjenga3417
    @danielnjenga3417 2 месяца назад

    Njugush was just chilling😂😂

  • @trevoroganyo9434
    @trevoroganyo9434 2 месяца назад +1

    Ati kabla Christopher “ashukiwe “😂😂😂.
    Mkurugenzi inafaa uandike dictionary aiseh 😂🙌🏾

  • @damianomathias255
    @damianomathias255 2 месяца назад +3

    Tuko ndani mkurugenzi

  • @Errors_tus
    @Errors_tus 2 месяца назад

    15:04"Na sababu Amy ni mtu ako na akili si Njugush..." napenda hii 'beef' mkuru na Njugush have going on😂😂😂

  • @Felix_gitahi
    @Felix_gitahi 2 месяца назад +1

    Mkuru leo nmechelewa but ni mipango ya graduation tuesday but am here