Boda Boda MREMBO mwenye mvuto anayefanana na Mtangazaji wa Wasafi AMYGAL, atakushangaza, afunguka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 113

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 3 года назад +6

    Hongera sana kwake na Mungu amjalie atimize ndoto zake 🙌🏽

  • @vero57
    @vero57 3 года назад +3

    Wanawake, safiii!! Hogera sana dada, hakuna kudanga any more, asiye fanya kazi asilee!!

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 года назад +1

    Hongera sana dada na mm natam ni dereva bajaji inshaallah

  • @thomasaugust225
    @thomasaugust225 3 года назад +3

    mademu wachuga huwaga awabongi Sana,,unaona huyo mtangazaji anaongea Sana alafu yeye anajibu kwakifupi Yan mpaka raha chuga nikama mbelee

  • @amadiabdallahbicenceamadi3706
    @amadiabdallahbicenceamadi3706 3 года назад +1

    Bigapu dada angu komaa nafurai saana nanyi wanawake mnaweza✌

  • @khalekichambo1131
    @khalekichambo1131 3 года назад +1

    Kazi hii kubeba wanaume mmmh hongera kwa hilo unajiamini Mungu akulinde na Esko ujumbe kwa Kondeboy usisahau kuufikisha

  • @kelvinkangomba9590
    @kelvinkangomba9590 3 года назад +15

    Mdada mrembo kabisa lakin anajituma

  • @hmk..
    @hmk.. 3 года назад +11

    Nilijua tu... ana damu ya kichagga ....
    wanawake oye!
    haikama!

  • @karimujuma6595
    @karimujuma6595 3 года назад +8

    Huyo atakua na weteja weng kuliko mtu yyte hapo kijiwen kwake lkn yoote ni kumsaport

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 3 года назад +3

    Anapanda sana kazi yake mpaka anaitetea kaze kweli👌👌👌🇬🇧🇬🇧

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 года назад +3

    Nampenda buree aka kadada 😘😍🤩

  • @Helleniification
    @Helleniification 3 года назад +3

    👏👏👏👏👏👏wanawake tunaweza

  • @erastushamari770
    @erastushamari770 3 года назад

    Rahma oyeeee! Hongera sana.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 года назад +5

    Hongera sana dada mungu akubariki sana akulinde akuongoze na ajari za balabalani dada

  • @rachelpatrick3749
    @rachelpatrick3749 3 года назад +1

    Hongera zao... Nakumbuka nilipanda bajaji posta dereva alikua ni mama mtu. Mzima yanii...

  • @vero57
    @vero57 3 года назад +4

    Lakini dada usisahau kuvaa, helmet muhimu sana, kazi njema

  • @REBECCAHGEOFREY-wq3dr
    @REBECCAHGEOFREY-wq3dr Год назад

    Yupo kwetu salasala anaendesha vizuri alafu msafi sana 😂 😂

  • @hidayajonson8140
    @hidayajonson8140 3 года назад +7

    Nikajua AMMY GAL wa WASAFI FM...

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 года назад

    Daaaaa Kaz Kaz ubaya kuiba aise Amy girl nimekupenda Bure nataka kununua hiki chombo bd naogopa barabaran kumpatia kijana aendeshe

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 3 года назад +1

    Hongera sana dada mungu akuzidishie

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 года назад

    🙏🙏safi
    Mimi baada ya kuoakuna muda nashangaa hela zimetulia na kufanya mambo ya kimaendeleo

  • @cecygeorge4443
    @cecygeorge4443 3 года назад

    Pambana aisee Mungu akulinde.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 года назад +1

    Mhhh mtangazaji unampeleka wapi uko tena 😂😂😂😂

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 года назад +2

    Mhh mtangazaji tulijua utafika uko kwenye mchumba au kuolewa maana umemvuta taratiiiibu adi ukafika ilo eneo angesema hana ungechukua namba apo we ninoumwaaaa😂😂😂😂

  • @a.856
    @a.856 3 года назад +1

    Kazi ni kazi🏍

  • @upendolema9809
    @upendolema9809 3 года назад

    Hongera mdada mrembo😘

  • @tomasirafaheri6585
    @tomasirafaheri6585 3 года назад

    Mambo vp Rasi nakubali kazi yako

  • @thomasaugust225
    @thomasaugust225 3 года назад

    huwezi Amin huyu dem wachuga anachoka maswali naanaonekana ana mvumilia utasika bro vp!!Kwan ulikua unatakaje???hawa kawii😂😂🤣🤣

  • @imanielias3382
    @imanielias3382 3 года назад +2

    The first person to see this video

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 года назад

    Safi sana alafu ukimpata mke mu chapa kazi kama huu du lazima kama naweye nimtafutaji mutaenjoy life

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 года назад

    Kazi kaz dada manshaallah

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 года назад +2

    Second

  • @macamezungu7031
    @macamezungu7031 3 года назад

    Dada kazuri saana💯

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 3 года назад +1

    Love from Uk 🇬🇧

  • @hamisihussein9851
    @hamisihussein9851 3 года назад +7

    Wangapi wameona hiyo simple mguuni chugastani.

  • @ayoubmakori8680
    @ayoubmakori8680 3 года назад +2

    Mikoa ya pwani haijawahi tokea hii, hawa wapo kwenye mikoa ya wagumu tu hongera dada asee umetisha Sana haujataka pesa ya kutumiwa naya kutolea Kama wengine wakaba goli

    • @nuhumaalim9338
      @nuhumaalim9338 3 года назад

      Zanzibar wapo wawili wazanzibari tena ukishuka boti tu bandarini unakutana nao

    • @ibrahimngurungu5607
      @ibrahimngurungu5607 3 года назад

      @@nuhumaalim9338 acha kutupanga ukishuka kwenye boti tuu unawaona mbna me cjawahi waona

    • @elsonkibasindila7526
      @elsonkibasindila7526 3 года назад

      @@nuhumaalim9338 uongo wa wazi sijawahi kuona

    • @ayoubmakori8680
      @ayoubmakori8680 3 года назад

      @@elsonkibasindila7526 hahahaaaa amekamatika uongo wake haya wenyeji ndo hao wanasema wenyewe

    • @ireneassey753
      @ireneassey753 3 года назад

      Zanzibar ipi kama unguj umepuyang ila yupo konda wa daladal za jang'ombe ndo nisha muona tena yule si mzaliwa wa hapa

  • @mtakujaruangwa2629
    @mtakujaruangwa2629 3 года назад

    Kaka hiyo Azam Veep tena.... Biashara hiyooi

  • @divinamchannel2336
    @divinamchannel2336 3 года назад +1

    My sister keep it up 🤣

  • @christofamarka9331
    @christofamarka9331 3 года назад +4

    Moshi Arusha.😂😂

  • @haniphaabdallah6785
    @haniphaabdallah6785 3 года назад +1

    Respect kwako dda

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 3 года назад

    Mwanangu sanaa

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 3 года назад +1

    Wanawake oyeeeeeee!

  • @syphroseshazala6854
    @syphroseshazala6854 3 года назад

    Daaah 🤣🤣 nikadhani ni ammygal

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 года назад +2

    Hongera sana kwake ila akina simba siyo watu wa songea kweli

  • @calossantos486
    @calossantos486 3 года назад +4

    Chuga nation ,,,, chalii ya R!!

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 3 года назад +1

    Chuga kama chuga 🔥🔥🔥🔥❤️

  • @franceobert3087
    @franceobert3087 3 года назад

    Mmh ukute ni usalama wa taifa

  • @latifahkarim9774
    @latifahkarim9774 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @ShSh-my8cw
    @ShSh-my8cw 3 года назад

    Third😀

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 года назад +2

    Safi

  • @mrs2918
    @mrs2918 3 года назад +1

    lazima tubanane kila sekta 💪💪💪

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 года назад

    wakifanya dharau itakuwa ni sexism . wakati mbona wao wanaume wanafanya kazi za wanawake ? kupika mahoteli , house keeping n.k . wanawake si wanafanya ujenzi na kazi nyengine ambazo zina asili ya kiume .

  • @farhanhassan6858
    @farhanhassan6858 3 года назад +2

    Moshi Arusha lazima uwe mbishi

  • @rashidjoseph2624
    @rashidjoseph2624 3 года назад

    Lazm ye ndo atakuw na abilia weng kuliko Boda wote wa apo hahhah

  • @beatricemollel6265
    @beatricemollel6265 3 года назад

    Hongera

  • @mutiemunicy4909
    @mutiemunicy4909 3 года назад

    Dada na sapoti kazi yake, ila nilicho gundua anakaungo fulani hivi umezaliwa wapi Moshi Arusha umesoma wapi Moshi Arusha😁😂

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 3 года назад +1

    Wa dasa kama hawa mm nawapongeza sana na kwa sana nawapongeza wazazi wao kuwapa uhuru wa kuchaguwa maisha yao.
    Kama angelikuwa ni mwanangu ningemnunulia yake
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 года назад

    Woow

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 3 года назад +1

    Yaani umesomea ualimu ukaacha ukawa boda boda du!

    • @ayoubmakori8680
      @ayoubmakori8680 3 года назад

      Kafata fursa ww uwezi iona subria apige pesa hata walimu wenzake waje kushangaa

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 3 года назад +1

      Anajua anachokipata!

    • @nehemiasamwel6179
      @nehemiasamwel6179 3 года назад

      Bro boda boda inaliapa sana ukiwa umeiheshim na kuifanya kwa uaminifu na marengo

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 года назад

      Ashura hiyo usishangae uwez jua ni nn anapata humo na usije kushangaa kwa mwez anazaidi ya mshahara wa mwalimu ukiishemu kaz ya boda boda ukajua na ukaitambua kaz yako na nn unafanya utapata sana tu

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 3 года назад

    ❤️❤️❤️

  • @mr.vionge
    @mr.vionge 3 года назад +3

    Mtaani kwangu, huyo ni mchizi wetu tu

  • @fadhiliaswa5063
    @fadhiliaswa5063 3 года назад

    Ammy

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 3 года назад

    VP anaweza kupakia mshikaki ,mbona hujamuuliza

  • @soudkakoso8610
    @soudkakoso8610 3 года назад

    The third

  • @immajuzo2440
    @immajuzo2440 3 года назад

    Hapo kwa wanaume wakipigwa bei hawabishi duu

  • @michaelsaimonmotto5858
    @michaelsaimonmotto5858 3 года назад

    Huyu dada yuko sawa lakini bangi nayo pia inachangia sio bule

    • @jumakateme4511
      @jumakateme4511 3 года назад

      Beautiful momy piga kazi mungu akuongoze

  • @zclassicfashionz
    @zclassicfashionz 3 года назад

    Dada nimemuelewa

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 года назад

    Respect

  • @anthonykamkolwe5766
    @anthonykamkolwe5766 3 года назад +4

    Kashika Energy Drink .....

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 года назад

    Mkusanyiko,huo Esco Maske please

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 3 года назад

      Kaa ukijuwa corona uku Africa ni propaganda tu...

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 года назад +1

    🤝🏽👏🏾🇨🇭🇹🇿

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад

    Esco kumbe upo

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 3 года назад

    Beautiful

  • @bhaleeali8459
    @bhaleeali8459 3 года назад

    mavaz tu yanamtambulisha ni wa R

  • @makarangamlebo3457
    @makarangamlebo3457 3 года назад

    Mbona skumbuk asa unakuja kulala iyo

  • @orchidmiley5952
    @orchidmiley5952 3 года назад +1

    anaroho zuri san nimesoma nae moshi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @Ketee25
    @Ketee25 3 года назад

    Anaendesha na boda boda

  • @matukiosafaris6508
    @matukiosafaris6508 3 года назад

    Inaonyesha hajui arusha na moshi

  • @itNeza
    @itNeza 3 года назад +3

    Amry Gal Wasafi Tv 🤔

    • @stanslauschatata3483
      @stanslauschatata3483 3 года назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂 una jicho kali sana

    • @itNeza
      @itNeza 3 года назад +1

      @@stanslauschatata3483 Bro nakula karoti ujueee 🤣🤣🤣

    • @stanslauschatata3483
      @stanslauschatata3483 3 года назад

      @@itNeza nakubali😂😂

  • @sylviamwilima388
    @sylviamwilima388 3 года назад

    Mbona hakuangalii, anakukwepa macho

  • @unjushekimweri6787
    @unjushekimweri6787 3 года назад

    Wanakuaga usalama hao😂

  • @mzenjikichaa8695
    @mzenjikichaa8695 3 года назад

    Kunduchi mtongani