Watu wanavipaji sijawahi ona ..Mungu naombea vipaji vyote duniani vitumike.asante kwa kipaji hiki aisee ..wonderful song...unaweza sikiliza mara millioni ...nitume mimi bwana ..
Daaah huu wimbo mtunzi alitumia vipawa vya muziki alivyopewa na Mungu. Ina feelings za kikatoliki 100% Mungu Mwenyezi endelea kubariki kazi ya mikono yetu na utuongoze ktk utume mwema. Hakika Mungu ni mwema sana kwetu.
Kumtumikia Mungu kuna faida,Ee Mungu Bariki watumishi wako,na walei wote wanaozidi kulihubiri neno lako.Endelea kutupa nguvu ya kuliishi neno lako.Twendelee kutetea imani yako hata vizazi vijavyo.🙏
Nilikuwa na stress nikaufungua huu wimbo I am feeling happy Mungu akubariki mtumzi na mwandishi na waimbaji na wapiga vyombo this song will never loose the taste
Even at 100 yrs to come these are songs that will never loose taste,may God bless you choir,continue uplifting your voices,keep 🔥burning,congratulations to you👏🤝❤💕😍😁💝😘👍🥰😊💗🌹😀💓💞💪👌🤲🤲🤲🔥
Huu wimbo unatufanya vijana tuingie katikaa miito Mitakatifu
Nimekupenda sana huu wimbo jmn❤❤❤❤❤najivunia kua mkatoliki😊
Mimi pia
Huu wimbo unaufungua xnaaaa moyo wangu,mara nyingi kabla cjasali nauckiliza huu wimbo... niingie kiroho zaidi🎉
Watu wanavipaji sijawahi ona ..Mungu naombea vipaji vyote duniani vitumike.asante kwa kipaji hiki aisee ..wonderful song...unaweza sikiliza mara millioni ...nitume mimi bwana ..
Mungu mbariki mwandishi namtunzi amin
Wonderful
It's so good 👍
Nikona wito wa utawa na hata nisipokuwa mtawa naomba mungu anijalie watoto wenye wito wa upadre au utawa❤
Daaah huu wimbo mtunzi alitumia vipawa vya muziki alivyopewa na Mungu. Ina feelings za kikatoliki 100% Mungu Mwenyezi endelea kubariki kazi ya mikono yetu na utuongoze ktk utume mwema. Hakika Mungu ni mwema sana kwetu.
Na pia Huo ufundi Ni ngumu Sio wa kawaida
🎉
😅
Amina
Naipenda sanaa
Wow such a great song
Kumtumikia Mungu kuna faida,Ee Mungu Bariki watumishi wako,na walei wote wanaozidi kulihubiri neno lako.Endelea kutupa nguvu ya kuliishi neno lako.Twendelee kutetea imani yako hata vizazi vijavyo.🙏
Amina
Huu wimbo unanitoa machozi ya tafakari ya wito wangu Mungu ambariki Frater afikie wito wake wa upadre
Nimeusikiliza wimbo huu zaidi ya mara kumi. Utunzi murua sanaaaaaa
Hakika mungu baba wa mbinguni atakubariki sana kwa kuitumia Talanta yako vyema.
Naupenda sana wimbo huu uliimbwa vizuri na mtunzi aliutendea haki Mungu ampe afya njema aweze kutunga mwingine tupate vionjo
One day I will be a priest
Amen to that. May it come to pass for God's glory.
From your mouth to God's Ears 👂
I pray for you
Ni kwa Neema ya Mungu na si nguvu zako. Sali, sali, sali na sali zaidi.
Mwenyezi Mungu aikamilishe ndani mwako nia yako ya kumtumikia
Nilikuwa na stress nikaufungua huu wimbo I am feeling happy Mungu akubariki mtumzi na mwandishi na waimbaji na wapiga vyombo this song will never loose the taste
I'm glad you could find solace here. 🫂
Napata faraja sana
Bwana nitume Mimi mungu akubariki sana mtunzi wa wimbo❤❤❤🙏🧎
One of my best and fevorite song,...🙏🙏 Mungu awabariki sana...🎉
naupenda sana huu wimbo sana kwa sababu ni nyimbo ambayo huwa tunaimba seminarin naupenda sana
Mtungaji wa huu wimbo Mungu akubariki sana,nabarikiwa kila nikisikiliza huu wimbo,kuwa mkatoliki raha sana
Ee mungu ulie hai nibalik na mimi katika utume wangu wa uimbaji nizid kukusifu daima amina
This song take me to the heaven for sure may almighty God bless The work of his people❤
Huu. Wimbo naupenda sana, nawaombea wote walioitikia wito wa kuwa mapadri
Ee Mungu kwako n mdhaifu sana ila endelea kunituma mimi kukutumikia ,maana ww umenijua kabla sjaumbwa , niko tayari
Even at 100 yrs to come these are songs that will never loose taste,may God bless you choir,continue uplifting your voices,keep 🔥burning,congratulations to you👏🤝❤💕😍😁💝😘👍🥰😊💗🌹😀💓💞💪👌🤲🤲🤲🔥
Wow, thank you
Kongole kwako mtunzi wa huu wimbo, Mungu awabariki watunzi wote kwa kazi nzuri ya Mungu mnayotenda
I'm the servant of the Lord,,may it be done according to His Divine will 🛐🛐🛐🛐
duh! mtunzi na waimbaji Mungu awabarikii napenda kuimba nimezaliwa mkatoliki najivunia kuwa mkatoliki
Huu wimbo ni mzur sana najivunia kuwa mkatolik
Yaani huu wimbo unafuta mawazo yote .mtunzi Mungu akubariki sana.
A very sweet and moving piece..I love it
Unanikumbusha seminary, itaga seminary. Ubarikiwe fr Godfrey
Miongoni mwa tungo bora sana kwa Frt/ Fr Masokola Godfrey. Ubarikiwe sana maana hauchoshi kuusikiliza na ujumbe wake unagusa sana.
Wimbo tamu sana bwana nitume nije kwako nikutumikie miaka yangu yote what a nice song full of happines
Nyimbo nzuri sana,.👏👏👏
Nabariwa na wimbo huu.mungu aendelee kutukuzwa kupitia watumishi wake.
Huu wimbo mzuri sana jamn, Mungu azidi kukubariki mtunzi na waimbaiji❤❤
BEST SONG EVER..BEEN LISTENING IT ON REPEAT MODE
Kweli kabisa wimbo huu Iko zur sana
Frater masokola is a tarented,gifted and bressed. God protect you ,classical
Nabarikiwa sana na huu wimbo Mungu atukuzwe milele
Wimbo una kila kitu , much respect
Nikona wito wa utawa na hata nisipokuwa mtawa naomba mungu anijalie watoto wenye wito wa upadre au utawa ❤😢
Catholic na mm forever
Huu wimbo ni.mzuri sana. Kuna Padri mmoja anauimba vizuri sana
Praying for all the priests and priests to be....may they be blessed
Kwaya nzuri sana hii 🙌🔥😇
Tumsifu Bwana Yesu Cristo. Naomba mpangiluo wa sauti za nyimbo uhuu
Congratulation mungu awabak sana
ni 🔥🔥❤
sana huu wimbo jman khaaa👏
Nice song pround to be a Catholic
Mwenyezi Mungu awabariktk wito wenu
Very nice aise alitunga wimbo kweli
So touching and emphasizing🎉❤❤
Mtunzi wa huu wimbo kwa kweli❤
Proud to be a Catholic ❣️
Nan anausikiliza leo chrismas 😂❤❤❤
Such a wonderful song.....so nice❤
Can't stop listening to this song
Jeremiah 1:4-5
Isaiah 6:8
Abarikiwe mtunzi wa wimbo huu
Mungu yupo Jamani.Tuamini na mbingu ipo.
Beautiful song praise the Lord
be blessed FatherGodfrey Masokola🙏🏽
Congratulation mungu awabar sana
Ubarikiwe sana nitume mimi bwana ❤
Siku ya kwanza nausikiliza ilikuwa upadirisho kiukweli the song made me cry due to its melody
Nimebarikiwa sana na hii nyimbo
I trust God I will be in such wonderful choirs to praise God through amazing songs!
❤
Nitume Mimi bwana naupenda sana huu wimbo
Mimi pia
The song is a great blessing to my family
so amazing to listen
Huu wimb unanigusa Sana sometimes nkiusikiliza nalia kabisa❤🥺🥺
Great Song indeed ❤
Wimbo mzuri
Huu wimbo mtamu jameni
Kiukweli huyu mtunzi Mungu amtunze toka nimeanza kuusikiliza sijawahibuchoka unakuwa unanipeleka pahali ndani ya nafsi
wimbo mzuri sana.
nitume mimi bwana
Barikiwa sana
Best song for lays and clerics life
Nitume mimi pia bwna, nipo tayari
Libarikiwe jina la bwana kwaajili ya wimbo huu
Jaman mtunzi unatumia soda gan? Iyo code so amazing 😍🎉
Nyimbo nzurii
wimbo mzuri mno
❤❤ I like it let God bless you abundantly 🙏🙏🙏
I need a copy of notes arrangements plz
Naipenda samosas💖💖💖💖💖
Maua kwake🎉
Duuuu nyimbo tamu hadi rohoni
❤❤❤my favorite song all the time
Mine too
Wimbo unagusa sana ❤
This touched me on 30/12/2022 at the 14th TMCS conference in Bagamoyo. Thanks to the TMCS choir. I love this song!
6/1/2023
Hongera San ❤
Wonderful composition👏
Huu wimbo unanipa nguvu Kila ninapousikiza
LET ALL UNMARRIED MEN BE CALLED BY GOD IN HIS FIELD THROUGH THIS VOCATIONAL SONG SO THAT GOD MAY BE WORSHIPED AND PEOPLE BE BLESSED.
Wimbo ummepangika vyema sana
Nabarikiwa sana nahuu wimbo
Hongereni sana wimbo mzuri
Nice one so touching
Baraka za mungu ziwe nanyi
Wimbo ssfiii kabisaa