Nikiwa nimejichokea na masomo ya Dunia, lakini napata furaha na kukaa kukusikiliza mchungaji Semba. Nipo na biblia yangu nakufatilia hatua kwa hatua. Nafuraha sana kupata masomo mapya. Be blessed Pr, you and your family. Your voice is a blessing to people like me who are far away from our homeland. Friend from Rio de Janeiro, Brazil.
Amina pastor kwa somo zuri ni kweli nyakati fulani tunakosea tunajiangalia badala ya kumwangalia Bwana pekee, ubarikiwe pastor wewe na nyumba yako Amina.
Nafuatilia sana mahubiri Yako prt nnakupenda sana, maana natamani siku Moja niwe kama wewe na zaidi. 🙏🙏🙏 Mungu akubaliki sana, kwa kukutumia vyema,
AMINA
Mchungaji paul semba kiukweli tangia nilipoanza kusikiliza mahubiri yako ninautazama ukristo katika mawanda tofauti sana sana..
BWANA ATUKUZWE SANA
Nikiwa nimejichokea na masomo ya Dunia, lakini napata furaha na kukaa kukusikiliza mchungaji Semba.
Nipo na biblia yangu nakufatilia hatua kwa hatua. Nafuraha sana kupata masomo mapya.
Be blessed Pr, you and your family. Your voice is a blessing to people like me who are far away from our homeland.
Friend from Rio de Janeiro, Brazil.
AMEN
Ameen 🙏
Amina pastor kwa somo zuri ni kweli nyakati fulani tunakosea tunajiangalia badala ya kumwangalia Bwana pekee, ubarikiwe pastor wewe na nyumba yako Amina.
AMINA
Today’s message really has blessed me, and explanation of scripture so wonderful,be blessed abundantly
AMEN
Pastor, namshukuru Mungu juu yako kwa namna anavyokutumia kwakweli umekuwa baraka kwetu
MUNGU WETU ATUKUZWE NA KUZIDI KUTUPATIA NEEMA YA KUSHINDA DHAMBI KILA SIKU
Patakatifu pa patakatifu
Barikiwa sana pastor niombee nataman nilifahamu SoMo hili la patakatifu na huduma zake lakni pia na life application kwa wakati wetu huu
MUNGU WETU AKUTANGULIE UNAPOENDELEA KUJIFUNZA NENO NA KULISHIKA