TUSIIKOSE SAFINA - MCHUNGAJI PAUL SEMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 20

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 6 дней назад +1

    Nimezidi kunyenyekezwa kwa hubiri la leo. Barikiwa sna Pr Sember Mungu Mkuu akulinde daima.

  • @HarunMapesa
    @HarunMapesa 4 дня назад +1

    Nimebarikiwa na hubiri hili La Pr, Semba, Mungu Mwenyezi atusaidie kushinda matakwa ya mwili katika Kristo Yesu

  • @erastohenry7948
    @erastohenry7948 7 дней назад

    Hii sasa ndio Injili, Ubarikiwe Pastor Semba nakuombea sana, Mungu akupe afya njema uendelee kutumika

  • @JeremiahWambura-e9c
    @JeremiahWambura-e9c 7 дней назад

    Ubarikiwe sana Pastor, Mungu aendelee kukutumia hatimaye tuache dhambi ili tuokolewe

  • @YohanaMajinge-ke7hp
    @YohanaMajinge-ke7hp 7 дней назад

    Amina Pr,kwa jumbe nzuri nami nakuombea sana,YOHANA JOHN-Arusha

  • @samwelbpeter8034
    @samwelbpeter8034 8 дней назад +3

    Hakika nakuombea sana Mungu akupe maisha marfu uzidi kukaa katika ukweli

  • @stephanomuganga9872
    @stephanomuganga9872 8 дней назад +1

    Wakodya Mlefi Paulo Semba , ninabarikiwa na ujumbe wa kutokukosa kwenye Safina😂😂😂

  • @TabithaMsyan
    @TabithaMsyan 8 дней назад

    Amen San pastor blessed sana uzidi kufika mbali mwisho mbingun

  • @Joharissa-f6p
    @Joharissa-f6p 8 дней назад

    Mungu azidi kukutumia Pr na Akupe nguvu Amina

  • @josephathkerima7808
    @josephathkerima7808 8 дней назад

    Amen

  • @ibrahimmasanga49
    @ibrahimmasanga49 7 дней назад

    Barikiwa kwa ujumbe mzuri ukiweza unaweza kuniunganisha katika group la wasafiri wa kwenda mbinguni naitwa Ibrahim Fortunatus Toka kirumba sda

  • @emmanuelmbuliimo7055
    @emmanuelmbuliimo7055 8 дней назад

    Pr ubarikiwe

  • @alicenyakawa2449
    @alicenyakawa2449 8 дней назад

    Sure the adulterous are smart upstairs in talking and dressing, even there outlook are unique, we can’t put all men or women in the same packet because there are faithful men and women of our generation who are very honest and loyal to God’s word.

  • @COMPASSIONMEDIA
    @COMPASSIONMEDIA 8 дней назад

    Very powerful.

  • @FelicianSimuyemba
    @FelicianSimuyemba 8 дней назад +1

    Mtumishi nakuelewaga sna naamin MUNGU anamakusudi ya lukuleta wewe kwetu
    Naomba namba yako mtumishi 🙏🙏🙏🙏