MANARA AWASHENYENENTA TP MAZEMBE HAWATOKI / AWAPA ONYO WAAMUZI WA TANZANIA WAPEWE ADHABU KALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 20

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 19 дней назад +1

    Upo sahihi kabisa haji hata Mimi nakuunga mkono

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 18 дней назад

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 18 дней назад

    Unanifurahisha sana kwa maneneno yako naukweli wako unapohojiwa

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo 19 дней назад +1

    YANGA BINGWA 💚💚💚👈

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 19 дней назад

    😢😂 good MANARA. Eng naomba huyu mtu awe mshereheshaji hasa ktk team yetu inapokuwa na mashindano na mechi muhimu PLEASE PLEASE ENG HERSI

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 19 дней назад

    Nice

  • @kinthermedia
    @kinthermedia 19 дней назад

    Umeongea ukweli haji

  • @OsmaniSiame
    @OsmaniSiame 19 дней назад

    Msema kweli

  • @alihumaid3492
    @alihumaid3492 18 дней назад

    Marefa wanawekwa kuchezesha ligi na ILHALI WANAJULIKANA KABISA NI WASHABIKI WA TIMU SHIRIKI NDANI YA LIGI........!!!!!!!
    MFANO MZURI KABISA NI.....
    KAYOKO
    KAYOKO NI MSHABIKI WA YANGA ANAEJULIKANA.......!!!!!!!!!

  • @MrishoMhina-y5f
    @MrishoMhina-y5f 18 дней назад

    Kwani manara msemaj was Tim gan?

  • @youseph-tz
    @youseph-tz 18 дней назад

    Style ya uvaaji wa miwan inaitwaje

  • @MdudaMduda
    @MdudaMduda 19 дней назад

    Uyu dada ana kierehere mtu yupo kwa marefa ww yanga na mazembe

  • @Macamp312
    @Macamp312 19 дней назад

    Na wakina God yanga wanamtetea ally kamwe kwa sabb wanakula nae helaa zetuu haooo wapuuzi

  • @OsmaniSiame
    @OsmaniSiame 19 дней назад

    Bugati bwana

  • @khalifakatobo4184
    @khalifakatobo4184 19 дней назад

    Ili niliwahi kuwaambia watu wakanibishia, zaman ilikuwa ngum kufuzu,

  • @PoulinSimon
    @PoulinSimon 18 дней назад

    Wew mpira unaujua

  • @Macamp312
    @Macamp312 19 дней назад

    Mrudusheni manara bhnaa kwenye usemaji wakee mmemng'ang'ania ALLY KAMWE yeye nan kwanii anataka vyotee bhnaaa

  • @wanaarakati
    @wanaarakati 19 дней назад +1

    Hakuna mchambuzi amewahi kuongea hili Google ya mpira pekee ndiyo anatema madini

  • @MohamediAlly-t4q
    @MohamediAlly-t4q 18 дней назад

    Maneno yako haya watayatumia kukuchapia

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 19 дней назад

    Manara wewe ni GOOGLE YA FOOTBALL TANZANIA, tukikuita mchambuzi tunakuonea kukuchanganya kundi moja na wapuuzi wanajiita wachambuzi