Sishikikii - Natongozwa sana, Wanaume wote hawapati kitu! Nimeacha Umeneja kufungua Duka la Fashion!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • Mrembo wa moto mjini, Sishikikii leo ameelezea Safari yake ya kuingia kwenye Fashion na sababu za kuacha Kazi ya Umeneja kwenye Taasisi za Bima! 'This is not my calling'
    Sishikikii ameleeza pia jinsi alivyolipata jina lake mpaka limekua maarufu sana, Mpenzi wake anatumia siku yake na pia anajua Password zake za Instagram! Picha anazopiga ni hatari huku mtandaoni!
    Mjue zaidi, Susbcribe Channel hii #LilOmmyTV Like, Comment & Share #Podcast #LilOmmy
    Let's Coonect
    / lilommy
    / lilommy
    / lilommyfanpage

Комментарии • 35

  • @uwamahorohajarat6132
    @uwamahorohajarat6132 2 года назад +2

    Yani uyo dada umuurize kama mungu anapenda kuva uchii wake

  • @hollanddutch-day
    @hollanddutch-day 2 года назад +2

    The King of interview around In Africa Salut Bro,I like that 🤜🤛

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 2 года назад +5

    Picha nzur kuliko uhalisia

  • @cynthianicholas9110
    @cynthianicholas9110 2 года назад +1

    Lovely, Smart Girl ❤️❤️💯

  • @richardgitau36
    @richardgitau36 2 года назад +1

    she's so adorable n down to earth... love from KE

  • @uwamahorohajarat6132
    @uwamahorohajarat6132 2 года назад

    Yani nyinyi muna support kuva uchii mujuwe kama dunia inaisha

  • @marthayongolo2653
    @marthayongolo2653 2 года назад +1

    😍😍😍😍

  • @philiporaiswawcbduniani100
    @philiporaiswawcbduniani100 2 года назад

    Ushindi mzee Wang🔥🔥🔥🔥

  • @arianjrstanslaus4991
    @arianjrstanslaus4991 2 года назад

    Hahahaha.... that's my friend nikolous..... we went to school together....#scientists

  • @issayamsungu448
    @issayamsungu448 2 года назад

    Nampenda huyu sister

  • @guccij6236
    @guccij6236 2 года назад +9

    Mwanamke kutongozwa Sanaa haimaanishi wewe ni mzuri ata TECNO Zina wateja wengi sababu ni bei rahisi

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 2 года назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @ashminaabdulla8946
      @ashminaabdulla8946 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤪

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 года назад

      Mwanamke hat,kma akiw,mkeo kutongozwa sio tatz,n yy kutongoza mwanaume nd hatari ..

    • @abuy7398
      @abuy7398 2 года назад

      Na hata iPhone na Samsung zina tumika na watu wengi. Haya nazo hazina bei? Tuwe tu wa kweli she’s pretty Mashaallah na hastahili kila mwanaume. Anafaa kua na m.mme mwenye hadhi yake

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 2 года назад

    Eti money is not a factor

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 2 года назад

    Life

  • @sebariberio9621
    @sebariberio9621 2 года назад

    unyama mze!!!

  • @sialo8624
    @sialo8624 Год назад

    Ommy ulikua na maswali ya msingi ya kuuliza huyu demu na interview ingekua Poa, Lkn maswali ya kipuuzi sana.

  • @elviskamp
    @elviskamp 2 года назад

    Kwa iyo jina halisi ipi?

  • @binti_chiraka
    @binti_chiraka 2 года назад +6

    Huyu kwapicha mashaAllah live sasa🤣

  • @izzo_boy
    @izzo_boy 2 года назад

    Nikiwa star nitakuja kufanya enter view juu kwasasa Bado me artist

  • @aggypeacesimle5490
    @aggypeacesimle5490 2 года назад

    Tabweeeee

  • @rashidmzungu4335
    @rashidmzungu4335 2 года назад +3

    Malaya tu uyoo ana maajabu