HUKU HAWAPITI: Tazama Jeshi lilivyozingira viunga vya Ikulu Kenya tayari kuwakabili waandamanaji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 июн 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Авто/МотоАвто/Мото

Комментарии • 85

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 2 дня назад +12

    BIG UP SANA WAKENYA

  • @user-yp9el7xp8g
    @user-yp9el7xp8g 2 дня назад +19

    Tukipewa silaha tunaingia state house

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 2 дня назад +1

    Nawapenda wakenya tupo pamoja❤

  • @MohammedGabaye
    @MohammedGabaye 2 дня назад +12

    Jamaaa sauti IP chini sana mamae

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 2 дня назад

      JIDANGANYE

    • @user-mt6nu5hs8q
      @user-mt6nu5hs8q 2 дня назад +3

      Me nisha mwambia mala kibao, wkt anatangaza anabana sana sauti kiasi kwamba anacho kiongea nivigumu kumuelewa.

    • @saidkindojo2494
      @saidkindojo2494 2 дня назад +3

      Hii ni kweli huyu jamaa anazingua saana afu hata hajirekebishi , sijui nan kamdanganya

  • @b.k.5659
    @b.k.5659 2 дня назад +12

    Jeshi haliwezi kuua watu ambao hawana silaha, kwa mujibu ya kanuni zao, wala haliwezi kupewa amri na wakuu wa polisi.

    • @ChireGriffin
      @ChireGriffin 2 дня назад +1

      Kenya wanaua.

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 2 дня назад +2

      Jidanganye halafu ujichanganye.. utajikuta chumba cha maiti😂😂😂
      Chezea africa ww

    • @davidwalalason7630
      @davidwalalason7630 2 дня назад

      Waambie, mgunguko wao katika ikulu sio tishio

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 2 дня назад

      😂😂😂

    • @wanguijemimah3551
      @wanguijemimah3551 2 дня назад +1

      Tuko under martial law jeshi ndiyo yenye inchi Kwa siku kumi na nne. Msicheze vijana hatutaki maafa zaidi.

  • @roselynealima3618
    @roselynealima3618 2 дня назад +4

    Leo zakayo ameshuka😂🎉
    Chezea GZ

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 2 дня назад +2

    Hivi wakienda lundo la watu wataweza kuuwa wakenya na risasi. Nguvu ya umma ni balaa kabisa.
    Ruto ashuke tu chini. Awasikilize wananchi.

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 2 дня назад +5

    Huyu dhahiri hakushinda u Raisi

  • @miriamvihenda7408
    @miriamvihenda7408 2 дня назад +3

    Kesho tunaingia uko 😂😂😂😂

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 дня назад +4

    Bora mkalale tu. Manake unaona iyo Bundukiee

  • @YustaMfugale
    @YustaMfugale 2 дня назад +2

    Utajuaje hao waandamanaji Leo Kama wanajipanga silaha

  • @salumkisaka7502
    @salumkisaka7502 2 дня назад +2

    Taarifa za jana

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 2 дня назад +1

    Simulizi na sauti, jeshi kulizunguka ikulu isingetushtua ole wake kama asingetii sheria tungelifika huko

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 17 часов назад

    Ndugu zetu Kenya kusanyeni Mawe tu...Wakirusha Risasi wamiminieni Mawe😅😅😅

  • @kellyjtee8541
    @kellyjtee8541 2 дня назад +7

    Tuwaoombee

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 2 дня назад +7

    😂😂Kumbe Zakayo muoga nyoooko

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 2 дня назад +1

    Alipeleka waanajeshi HAITI wakati kulinda nchi yake waandamanaji changamoto😅

  • @Mimi.Official
    @Mimi.Official День назад

    Huyo sio lazuma wamfuate state House watampata tu sehemu nyingine

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 дня назад +1

    Tanzania vip 😊😊😊

  • @avinrwegasira3448
    @avinrwegasira3448 2 дня назад +2

    Sauti yako irekebishe haipendezi

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 2 дня назад +1

    Kenya wamemchaguwa mweu Sasa anacho kijuwa yeye kumfuraisha marekani tu

  • @mpendarootys2657
    @mpendarootys2657 2 дня назад +2

    Kesho sasa itakua aje

  • @donaldkaji7905
    @donaldkaji7905 2 дня назад +2

    Sauti mzee iko chini sana

    • @user-fy9pw2zr8l
      @user-fy9pw2zr8l 2 дня назад

      sijui ni simu yako 😅😅😅 mimi iko vizuli

    • @donaldkaji7905
      @donaldkaji7905 2 дня назад

      @@user-fy9pw2zr8l hapana asee jamaa ana sauti ndogo mpaka uongeze sana

  • @YustaMfugale
    @YustaMfugale 2 дня назад +1

    Tuwaombee tu wakenya maana kesho inaweza kuwa ni siku ya historia

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 2 дня назад +1

    Sauti kidogo iboreshwe

  • @kenyre697
    @kenyre697 2 дня назад +1

    SEMA IKULU NDONGO YA NAKURU

  • @paulinewangila-cs6ys
    @paulinewangila-cs6ys День назад

    Wakenya wanaumoja sanaaa walio London,USA wote,UK wameandamana ni wito Rais asikilize wananchi wake

  • @ce-08
    @ce-08 2 дня назад

    🎉🎉

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 17 часов назад

    Wakubali kufa na kupona wawaponde mawe waingie😅😅

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 дня назад +1

    Zakayo hiyo hatari

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 2 дня назад +1

    Rais wao alisema Putin kavamia Ukraine sasa yeye ndo kavamiwa huyu ,,mzee wangu putin yuko north Korea 😂😂

  • @user-le1gv4wb1n
    @user-le1gv4wb1n 2 дня назад +3

    jamaaa halijui kuongeaa litanganza kama anasoma imla

    • @husseinmkungu1166
      @husseinmkungu1166 2 дня назад +2

      Nenda kafirwe huko uliekua hujui kutangaza niww uliepakata matako acha majungu muache mwenzako afanye kazi watu km nyinyi ndio mnaorejesha nyuma watu

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 дня назад

      Basi usitukane...poaa

    • @Mgema001
      @Mgema001 День назад

      ​@@husseinmkungu1166 unamtetea sana huyu jamaa Kila comment aliambiwa ajirekebishe, vipi ni shogaako nini😂

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 дня назад

    Hii ishu ishakua serious

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 2 дня назад

    Ruto achiya madaraka

  • @magufulitvkenya6315
    @magufulitvkenya6315 2 дня назад +2

    Mtangazaji.ongea.kwasauti

  • @feisalaley3629
    @feisalaley3629 2 дня назад +1

    CIA OYEEEEEEEEEE. ONGEZENI KAMBI ZA KIJESHI WA KIGENI MTAYAONA ZAIDI KILIKO HAYO, MSITIE AKILI TU.

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 2 дня назад

    Wakiamua hata ikulu wamwagwe askari. Hawa askari hawawezi kuuwa wananchi. Watakachofanya ni kumtorosha rais kumpeleka mbali.

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 2 дня назад +3

    Wanaosema wanajeshi ni wabovu wacha nikwambie. Hakuna watu duniani woga kama tz huwa wakiona demonstration wanajificha mivunguni hasa kwa wanawake.

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 дня назад +3

    Kenya wana jeshi bovu sana

    • @kidatokassim7616
      @kidatokassim7616 2 дня назад +6

      Kenya has top 10 ranked military in Africa sijui Tanzania Iko wapi

    • @ce-08
      @ce-08 2 дня назад

      ​​@@kidatokassim7616 mm mtz Kenya wapo vizuri sema jamaa hapo juu uelewa wake mdogo anataka polisi wakenya wapige wananchi wake kama wanapgana na al shabab. huwezi kusema Kenya wanajeshi bovu wale ni wananchi wakenya kwahiyo huwenzi kutreat ndugu zako kama utakavyo mtreat adui kutoka nje

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 2 дня назад +2

      Watu hawajui, wanajeshi wapo kibaruani, ila sio kama wao maisha hayo hayawagusi, kwa hiyo msishangae hao wanasomesha watoto pia, wanabiashara zao.

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 дня назад +2

      @@kidatokassim7616 apana kwakweli na kataaa kabisa wanajeshi wabovu wakenya kabisa mafuzo ziro kabisa yani wametia aibu kabisa wameshindwa kuwazibiti raiya mabomu yana waripukia mikononi loh

    • @MariamKhalid-ub9jj
      @MariamKhalid-ub9jj 2 дня назад +3

      Wanajeshi ni kama pia wamechoshwa na uyu ruto ju familia zao haziko mbinguni ziko apa Kenya..

  • @michilita2959
    @michilita2959 2 дня назад

    Sisi tumeamuwa hatumtaki hata alete ndege za vita hatumtaki

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 2 дня назад +1

    Wakenya ni waoga sana

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 2 дня назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂Tanzania pekee ndio inchi mkiitisha maandamano wanajeshi wao wanatangaza siku ya usafi wa jiji yaani inabidi maandamano yawe ya amani sababu mnaandamana na wajeda wapo pembeni yako sasa jitie wazimu utaona show utayopewa tuliosoma cuba hiyo tunaijua sana😅😅😅andamana jeshi tufanye usafi basi😅😅

  • @princejames7438
    @princejames7438 2 дня назад +1

    Huyu mtangazaji vp kwan amekabwa au

  • @miriamvihenda7408
    @miriamvihenda7408 2 дня назад +3

    Kesho tunaingia uko 😂😂😂😂