#CAVALIER

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 96

  • @paulorashid325
    @paulorashid325 2 года назад

    From Dar es salaam, Tanzania Naomba tafisiri ya wimbo wa wenge bcbg ndizo izo

  • @josephsaid-pr7ip
    @josephsaid-pr7ip 2 месяца назад +1

    Naomba tafsiri ya marlene ya fally ipupa naomba

  • @JohnLemanya
    @JohnLemanya 27 дней назад

    kaka umenikosha sana napenda lumba sana 👊👊👏👏👏 john nipo daa tz

  • @samuelmayuni4252
    @samuelmayuni4252 Год назад +1

    Nzuri sana in mpiana anajua

  • @frankmanupa2704
    @frankmanupa2704 2 года назад

    safi sana kutoka Dodoma Tanzania

  • @humphreygeorge2275
    @humphreygeorge2275 2 года назад

    JB anastaili heshima sana kwa africa na dunia na ndio maana hadi kesho anabaki kuwa rais wa band ya BCBG

  • @HermatonKizambo-lc7qw
    @HermatonKizambo-lc7qw Год назад

    Hii nyimbo ni mojawapo JB na Mzee fula ngenge ujanja wangu nilipenda na bado naipenda. KAZI poa bro.

  • @peterafred3784
    @peterafred3784 2 года назад

    I enjoy this music I'm in Malawi

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @josephmwemezi8143
    @josephmwemezi8143 Год назад

    Nakukubali sana Broo

  • @EnockKessy
    @EnockKessy 2 года назад +2

    My all time Congo track from my favourite singer JB Mpiana. Thank you so for the translation

  • @andrewmasunzu5790
    @andrewmasunzu5790 Год назад +1

    MZEE NAOMBA WIMBO WA LUCIANA DEMIGONGO- Princesse Julia

  • @bonfacelumulalubutse6431
    @bonfacelumulalubutse6431 Год назад

    Kudos bro.for the translation,I'm one of jb Mpiana die hard fans.

  • @taimuliabdallah1984
    @taimuliabdallah1984 2 года назад +1

    Nakukubali sana kaka pamoja sana mungu akubaliki

  • @omarythedonmandai3485
    @omarythedonmandai3485 3 года назад

    Da Aise oko vizuli sana

  • @pusipakanyau544
    @pusipakanyau544 Год назад

    Pamoja sana mkuuu prince

  • @PowerKisinza
    @PowerKisinza 6 месяцев назад +1

    Canal Paul Msukuma' Hapa ni Morogoro Tanzani'e. Naomba ufasiri nzembo ya German Ndalla Kimoko uitwao' BOLINGO MOSIKA. Nzambe apambola yo po n'a mosala nayo ya kitoko! Taja pia jina langu wala hapana kizuizi.

  • @perpetuanyenyembe8513
    @perpetuanyenyembe8513 3 года назад +1

    Nicode from Tanzania naomba utafsiri wimbo wa jb mpiana anaitwa ,Ilove you wimbo mtamu sana

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Год назад

    Prince unamarizaga yangu bila motema kuuma

  • @ismailmtembwe380
    @ismailmtembwe380 Год назад

    Kwel mapenz ni noma sana maana kuna wa2 wanateseka sana na mapennz

  • @andreamajura4527
    @andreamajura4527 2 года назад

    Papaa tunaomba tafsiri ya Fouta Djalo ya Koffii

  • @josephmassawe839
    @josephmassawe839 3 года назад +5

    I’m in Mbeya Tanzania 🇹🇿 now enjoying this show of yours! Aisee this Cavalier Solitaire is very Nostalgic to me! ..,.I think I was 5 or 6 years old ..,this song and MASUWA is among many other Congolese music that used to make my childhood 😀😀 dah! ...this Congolese music dominated the Tz music industry during those times ....I was in Moshi Tanzania 🇹🇿 during those times ...

  • @ashrafkijuba6634
    @ashrafkijuba6634 2 года назад

    Kaka umenikumbusha mbali sana miaka ya 95 dah nipo na miaka 9

  • @alextanzania
    @alextanzania 3 года назад +6

    From Tanzania , Southern Highlands naomba utafsiri na Kalaye Boeing ya Wenge Musica

  • @fredysanga7513
    @fredysanga7513 3 года назад

    Safi saaaaana,unavyotafsir hizo rap, na lavie lavie na boy Jesu masia!!!!?!

  • @chandachembe4950
    @chandachembe4950 2 года назад

    Ninaomba wimbo wa koffi olomide, bibilia.

  • @kizambohermaton3514
    @kizambohermaton3514 2 года назад

    Congo people are intelligent.

  • @samuelsulambi9233
    @samuelsulambi9233 2 года назад +1

    Jb mpiana

  • @abiyoekoamaza1680
    @abiyoekoamaza1680 2 года назад

    Unge tafsiri Dindologie ya Fabregas Maestro ninge furahi sana

  • @ishitoishito
    @ishitoishito 5 месяцев назад

    Mimi Mwanamobali ni Mtanzania nakupongeza kwa kazi yako ila naomba uweuna tafsiri angalau maneno matatu matatu ili tuweze kujifunza vizuri misamiati ya Lingala. Shukran 😊

  • @zebrakacole5822
    @zebrakacole5822 4 месяца назад

    Tafsiri wimbo wa TH wimbo wa 2. Na rumba ya french ni wimbo wa 5 kwenge album ya TH. Commé un grand de diamond dans le desert, amour je de

  • @NicholasMunge
    @NicholasMunge 3 года назад +1

    Kazi safi sana bro.
    Fanya translation ya Mosuwa yake jb mpiana

  • @materekajunior4339
    @materekajunior4339 3 года назад +1

    wooooow hatimaye japo nimechelewa kuiona hii.

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @jeanmbeck1996
    @jeanmbeck1996 3 года назад +3

    Haaaaaa pamoja daima,bado kuna wimbo ninasubiri kwa makini BANA LUNDA ndani ya album feux del'amour.

  • @carlosngwapitshi7995
    @carlosngwapitshi7995 2 года назад

    The best jb

  • @abbasykambi1218
    @abbasykambi1218 11 месяцев назад

    Mercy papa,

  • @kondeboymgao890
    @kondeboymgao890 2 года назад

    I mic my father when I listening this song

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 3 года назад +3

    Toujour likolo Zambe pesa lupemba Nakati ya Tunduma Papa Jofu mutu ya Mau mau

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  3 года назад +1

      karibu tena ndugu Geoffrey, basi tuzidi ku share na wengine ili jamii iwe kubwa zaidi alafu tufurai pamoja.

  • @dengnesta4609
    @dengnesta4609 Год назад

    Jinsi unavyo ingia kwenye nyimbo, vile unavyo imba na zile tafsiri zinazojiandika pembeni, mtu anasikia raha kabisa, umenisababisha kupenda lingala

  • @tomodera
    @tomodera 2 года назад

    papa Wemba was my best Musician hata kama walikosana ne Kofi Olomide. Cavalier Solitaire as one of the songs that made me get my wife!!

  • @mcmuhanila1758
    @mcmuhanila1758 3 года назад +1

    Tupe video yenye lyrics zote sasa mzee....
    Nmependa sana hii kazi yako.
    Subscribed
    Liked
    Commented
    And recommended to my friends.....

  • @Tramplyfe
    @Tramplyfe 3 года назад

    Kitokoss.

  • @josephkamwela669
    @josephkamwela669 3 года назад

    Safi sana Prince Bockson, Sasa nimeielewa vizuri CAVALIER SOLITAIRE sang by Jb Mpiana

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 3 года назад

    Album Bora sana

  • @bonfacewitaba_official
    @bonfacewitaba_official 2 года назад

    🇰🇪❤️ chanson ya bien sana. Melesi kwa hii parole ndeko.

  • @muhidinigumbizi5458
    @muhidinigumbizi5458 3 года назад

    Kaka umetisha sana,shukrani za dhati kwako tunaelimika zaidi juu ya Lingala na burudani

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @fadhilbwanga2199
    @fadhilbwanga2199 3 года назад +2

    Makambo munene nzembo yabien yaya🤣🤣🤣🤣

  • @philomondi104
    @philomondi104 3 года назад +1

    Safi sana bro

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @bernismuamba1239
    @bernismuamba1239 3 года назад

    toujours

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja2411 3 года назад +2

    Nakupata vilivyo na pande za Mwanza #Tanzania

  • @aboubakarkhamis9616
    @aboubakarkhamis9616 3 года назад +2

    Tupo pamoja mkuu

  • @jmbaringo4495
    @jmbaringo4495 3 года назад +2

    Woooow
    Unazidi kutisha jamaa ..... Kazi nzuri sana

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @gaudisephraim7528
    @gaudisephraim7528 2 года назад

    Nice

  • @piusmakundi8505
    @piusmakundi8505 3 года назад

    From Dar es salaam Tz,RESPECT 🙋‍♂️

  • @barackkalala8656
    @barackkalala8656 2 года назад

    yes

  • @TDK_MUSIC
    @TDK_MUSIC 3 года назад +1

    Kaka tunaomba msaada ngoma ya Rose Verte ya JB Mpiana album ya TH. Please papa vremant

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @fredysanga7513
    @fredysanga7513 3 года назад

    Uko vizur sana mkuu, tafsri na hizo rap,pamoja na hayo manano wanayoongea wakat rap inaendelea

  • @deogratiusmuyi8690
    @deogratiusmuyi8690 3 года назад +1

    Naomba Tafsiri ya wimbo wake Nyboma "Double Double" naupenda sana japo sijui maana yake asante sana

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @j.ckaswahilimtupoa2142
    @j.ckaswahilimtupoa2142 Год назад

    💪

  • @kaisarimbisso7579
    @kaisarimbisso7579 3 года назад +2

    Two of Africa's greatest vocalists, Papa Wemba and JB Mpiana

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @Dr.Mo1510
    @Dr.Mo1510 2 года назад +1

    This is gold aise. From Maryland USA

  • @princebockson5299
    @princebockson5299  3 года назад +2

    karibu saaana ndugu, usijali tuna iweka kwenye orodha, tuta kufanyiya, ila zidi ou share na wengine ili familia tuzidi kuifanya kubwa

    • @muhidinigumbizi5458
      @muhidinigumbizi5458 3 года назад +1

      Merci papaa

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад +1

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @joetheone3354
    @joetheone3354 Год назад

    ❤❤

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 3 года назад +1

    Bockson yemba translation ya zembo ya Papa mukulu jb mpiana zembo ya 48 Heures

  • @bernismuamba1239
    @bernismuamba1239 3 года назад +1

    oeuvres de oeuvres artistes 6ans passés mais toujours na temps

  • @selemanimfinanga1271
    @selemanimfinanga1271 3 года назад +1

    Asante sana

  • @brolynehawkan4868
    @brolynehawkan4868 3 года назад +1

    Brolyne hapa kutoka Texas nafurahia hii wimbo niliomba tafsiri yake

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  3 года назад

      karibu saaana, zidi ku share kwa wengi ili tukomalishe jamaaa

    • @brolynehawkan4868
      @brolynehawkan4868 3 года назад

      @@princebockson5299 sawa na share hii sasa hivi

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  Год назад

      ebu ndugu zangu amjamboni ? Kisha kupata shida kwaku monetize chanal yetu ya mbele tumeamuwa ku anzisha chanel mpya ilituzidi ku waudumia kwa kuwapa tafsiri za wimbo za rumba za Lingala kwa Kiswahili. basi tuta waomba ku share sana link iyi ili tupate angalawo 10k subscribers mwakani.
      Bonyeza link iyi na wende ku subscribe kwa Chanel mpya ruclips.net/video/K7HNt2ybA2c/видео.html
      Ndugu yenu PRINCE BOCKSON.

  • @jmbaringo4495
    @jmbaringo4495 3 года назад +2

    Papaa hii vp ndo unaenda live??

  • @humphreygeorge2275
    @humphreygeorge2275 2 года назад

    Naludia kusema Jb anajua kuimba habahatishi jamaa anajua kupangilia mashairi na wenge music bcbg hawakukosea kumpa urais wa band Jb ni kichwa sana kwenye kutengeneza music

  • @fredysanga7513
    @fredysanga7513 3 года назад

    Naomba contact zako prince!

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 3 года назад +2

    Tafsiri nyimbo ya lwambo les sida

  • @bricelepro3489
    @bricelepro3489 3 года назад +2

    TOUJOUR AL HEURE EN FRANCAIS PLEASE

    • @emanuelmhoja2411
      @emanuelmhoja2411 3 года назад +1

      What!!! We need swahili here french is a colonial language buddy

    • @princebockson5299
      @princebockson5299  3 года назад

      kifaransa kitakuya kaka usijali

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 3 года назад +1

    Zembo ya 48 Heures

  • @barakamopao6185
    @barakamopao6185 3 года назад

    Mbona umepotea

  • @abbasykambi1218
    @abbasykambi1218 11 месяцев назад

    Mercy papa,