EE BABA - The Light Bearers Tz, OFFICIAL VIDEO 2024
HTML-код
- Опубликовано: 3 янв 2025
- Welcome to the official video of 'EE BABA' by The Light Bearers Tz.
A song about gratitude and praise to God for His daily blessings and for life in general.
Join us in singing praises to God and lifting our voices to testify to His goodness in our daily lives. As it is written in Psalm 100:4, "Enter his gates with thanksgiving and his courts with praise; give thanks to him and praise his name."
EE BABA - The Light Bearers Tz (Official Video 2024)
Please SUBSCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT, and FOLLOW us on this channel and our social media pages for more updates:
Facebook Page: www.facebook.c...
Instagram: ...
Twitter: Li...
TikTok: www.tiktok.com...
For inquiries, please contact us at:
_________________________________________________________________________
Email: thelightbearerstz@gmail.com
Contact: +255 753 913 995
Other Contact: +255 754 495 195
SONG CREDITS:
Composer: Yohana Jeremiah
Vocal Arrangement: Fred Kirya
Choir Master: Fred Kirya
Recording & Editing: Betese Pro
Mixing & Mastering: Betese Pro
Instrumentation Credits: Eliya Ngussa
Audio: JCB Studioz
Video: NEW ERA FILMS & JCB Studioz
Audio rights: Exclusively by The Light Bearers Tz, recorded @JCB Studioz, 2024
Video rights: Exclusively owned by The Light Bearers Tz, 2024
English Subtitles: Available on the video.
All rights reserved by The Light Bearers Tz, 2024.
THANK YOU!
Mzee wa Podcast, hongera kutunga wimbo mzuri.......
Mavazi❤
Mpangilio wa wimbo✅
Baraka Tele LB...🙏
Amen Amen, this song 🫡, quality ya video, Wimbo umetulia
Wow! Mziki wa kikweli. Ee baba🎉
Kazi shwari
napenda, nzuri sana na tulivu..Mungu atukuzwe!❤
Nyimbo ni nzuri sana kwangu tu
Wimbo mzuri sana, nausikiliza muda wote asee.....mbarikiwe sana
Amen,MUNGU azidi kuwapa sauti tamu zaidi 🎉
Amina nice song and happy sabath 🎉
Bwana awabariki sana watumishi wa MUNGU nyimbo ni nzuri san
Mnanibariki sana,Mungu azidi kuwainua ktk utumisji wenu
Aloooh!!! mmetisha sanaaaaa,, mmeimba vizuri, mmechangamka, mmependeza
Mbarikiwe sana ☺
Barikiwa sana
Amina! Barikiweni! :)
Amen amen 🙏🙌 be blessed LB
Light bearers, I truly love you. Nyimbo zenu ni mahubiri yanayochoma ndani kabisa ya mioyo. Mbarikiwe sana
Kabisa sijaona wengine Hawa watu wanaimba na kusisimua sana. Sauti zao zimekwenda school.
Safii sanaa...good song good video
Nabarikiwa sana na nyimbo zena nawapenda🥰
Yeah tunarudi kwenye zile melodies adim za LB God bless you naenjoy kuwajua na sijutii kuwajua
Jaman mbarikiwe Sana nawaombea Mungu aendelee kuwabariki mtubariki nasi piaaaaaa
The light bearers Mungu awabariki sana
Amen Amen Amen 🙏
Mungu atukuzwe kwa ajili yenu watumishi wa Mungu,,,,mnatubariki sana
Nimerudi tenaaaaaaaa❤❤❤..... God bless you all
❤❤❤❤❤Bwana awafanye washindi mkaimbe kwaya ya mbinguni tinawapenda sana na tunawaombea
Good job, it's amazing 🙏
Beautiful 😍 nice song
Good music🎉🎉🎉
Bwana awabariki sana wapendwa kwa wimbo mzuri unaotusogeza karibu na muumbaji wetu ❤️✅🙏 kutoka Ukonga sda church
Amina! Thank you for the song. Mibaraka wanaLightBeares
Amen
Nmehisi kutokwa na machozi Kabsa Kwa Sauti zenu tamu na ujumbe hakika Mungu anatupenda mbarikiwe light bearers
Ajuaye raha ya wimbo wa Sifa ni yule aliyepondeka moyo hakika Mungu ni mwema, pole sana kk Kwa changamoto Mungu Yu nawe🙏🤝
wow wow wow
First to watch this beautiful gospel song.
Be blessed👏🏽
Hongera mmependeza
mbarikiwe sanaa
This is esphar from Rwanda, I love you so much. May God bless you abundantly
Sweet song!!may God bless u
Sabato imeanza vizuri❤🎉
Bravooo lb tz blessed
Everything is about this song thou I somehow don't understand the language but I really really enjoy ur music
watching and listening from Uganda 🇺🇬
banange learn swahili, it is a shame being in EA community and you have 0 drills in swahili..
Mbarikiwe saana 😊🙏
Niliposkia tuu hii ngoma nkajua tayari nishabarikiwa.
Nimebarikiwa sana na wimbo huu Mungu akawabarikini nyote katika kueneza injili kwa njia ya nyimbo
My favorite choir❤
Moja ya kwaya ambayo hunibariki ni THE LIGHT BEARERS Mungu awabariki sana
Me also
Amiina
Huhuhuh❤🎉🎉🎉
👏🏽👏🏽👏🏽🎉🎉
Happy sabbath 🇹🇿🥰
Happy Day! 👏🏽😊
Amen,
Beautiful song, well blended vocals with splendid facial expressions.
Blessings
Next level always
Mbarikiwe Sana
Beautiful piece ❤ Amen !!
Mbarikiwe sana , muzidi kumtumikia Mungu wetu
Asante Mwokozi kwa wema wako kwangu, sijachoka hata kusikiliza nena Bwana nabarikiwa mno
Mungu atukuzwe
Amen, we're so blessed to listen to your ministry in music always reminding us & inspiring us not to give up we have the Lord on our side 🔥🔥🔥🇿🇦
Blessed😊
Beautiful singing ❤
You never disappoint ❤... A blessing item it is.
Nmebarikiwa ajabu
Blessings
Oooo uwimbo mzuri sana nimebarikiwa sanaaa❤❤
Mbarikiwe.
Be blessed for this amazing music. very good gospel music, the perfect message, and good composition. 👍Outfit in terms of colour and style and arrangement.
Amina amina nabarikiwa sana...
Good song and great message❤
Love from Pillars Of Faith Choir Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
This choir represents me so well. Keep it up the good work
Mbarikiwe sana wapendwa
Agent of S.M.I.L.E
thanks blessing us with your ministry viva the Light Bearers TZ. with love from Uganda
New blessings much love from +254
Wooow Amazing
Be blessed👏🏽
Mungu awa bariki sana tena sana our friend us we are in DRC we love you so much
AMEN
Be blessed guyz
So sweet 💕
Amina Sana ....kafwimba lameck🔥🔥🔥
Barikiweni saana my choice choir
Amen❤
Tumepata wimbo wakutunyima usingizi usku wa Leo 😂😂 Barikiweni Sana Light bearers sabato inazd kuwa tam🔥🔥
Be blessed 🎉🎉❤
Bwana awainue zaidi na zadi
❤❤ sawa
Nikiona background ya milima ya ulugulu plus wimbo aloo👌
Be blessed my best choir🥰. from Kigali-Rwanda
Bravo 👏👏😊
Be blessed👏🏽
❤🔥🔥
God bless Emen
❤❤
Mbarikiwe
barikiweni sana kwa wimbo mzuri sana
Baraka za mvua kwa kwaya 🤗🤗🎹👍🎙️👍
Amina❤❤
Barikiwa👏🏽
Nimebarikiwa sana, msonge mbele kwa kweli mnafanya kazi iliyotukuka
Good!! Sifa utukufu vimrudie Mungu wetu!! Mmeimba vzr sauti ya Pili Boss wangu Lidia big up
Well arranged song🎉😊
Be blessed
Amen
Aminaa
Amina
Barikiwa👏🏽
Ameeeen
❤❤❤❤❤siku zoteer
HUU WIMBO UMEKUWA MMBARAKA MKUBWA SANA KATIKA MAISHA YANGU.....! MUNGU AZIDI KUWAONGOZA KATIKA KUTUNGA NYIMBO ZINAZOGUSA MAISHA YETU...! KWA KWELI MMENIBARIKI SANA MAANA NAMWONA YEYE KABISA KATIKA WIMBO HUU