Naombeni vijana wenzangu tuendelee kupigania ndoto Zetu. Alicho kupangia Mungu binadamu hawezi pangua. Hongera sana brother marioo. Álbum Kali sana🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Am Nigerian but this song has been on replay on my phone I can't stop listening to it cause despite i don't have peace in my love life it makes me want to love again
I know that you deserve some more Anything that you are baby you should let me know You know that ukinitenda utaniumiza roho Maana si unajua we ndo kipenda roho Kuwe kuna mvua jua we baki hapa kando yangu Iwe shibe njaa basi nile nawe kama kuna huzuni karaha We ndo faraja yangu siku za furaha naenjoy nawe BRIDGE Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize CHORUS Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe VERSE 2 Umenifanya niwaze ningewezaje dunia bila uwepo wako aah Umenifanya nijiulize je ningeenjoy hii dunia nisingekuwa wako You're the one i have bbeen waiting for asali yaa moyo wangu Faraja yangu iliyomo ndani yangu kwenye ini yako BRIDGE Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize CHORUS Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
Jaman nani anasikilizaa huu mziki huku akisoma za wadau kam mm😔....❣️... Mko wap kujeni hapa niwaone Nawapenda wote Mwaaah😘
Nipo hapa muniraa
Siwezi munira Ahmed omari anaimba sana 🥲
Tupo hapa kipenzi ❤
umesikiliz kw hisia sna🤣
ok 👍
Aargh we mshikaji upewe Dunia yako peke yako umeshindikana 💥💥💣
Marioo kwangu kindaki ndaki kwangu namba 1
Jamaica natamani video napenda sana love song zako natamani sana..
Amin from Burundi 🇧🇮🙏anajuwa san napenda my yako
Naombeni vijana wenzangu tuendelee kupigania ndoto Zetu. Alicho kupangia Mungu binadamu hawezi pangua. Hongera sana brother marioo. Álbum Kali sana🔥🔥🔥🙏🙏🙏
❤
Mario, Natamani niwe Teacher wako wa kiingereza bure, nakukubali sana
Binadam bwana😂💔
@@BigSnake1965 😂😂😂
Kwan amesema anashindwa
There's nothing wrong with his English... He just doesn't have the accent but it's ok cause he aint English anyways. He's such a dope artist
Ujitolee bure lakin
Mziki mzuriiii upogo hapa jamaniiii #marioo✍️✍️✍️✍️🙌🙌🙌🙌
nani yuko apa 2024 kama Mimi 😁❤❤❤
2025
Amazing 😍 hii naona Marioo ulikua wahisi vile nahisi
😂
Wenye wapenzi muwa linde😍😥😥😥 msiwaliziiii
😭😭
@@merryndogwe4215 sorry maa
Babu unanikoshaga sanaa nyimbo kali sanaa pamoko
Dah noma sn kk omar,nimekomba album nzima yn
Mariooo WE nifundi naishi Julia nikisikia uuwimbo ilove you nakukubali Sana mungu azidi kukushushia maneno mazuri
Marioo all your songs are good lakini nimejinyakulia hili hapa n mwotooo sana❤️🔥❤️🔥❤️🔥💯💯💯
Jamani ❤️ najikuta na download nyimbo zote. 🥶 Hii album ni hatariii8iiiiiiiiiii 🇳🇬🇹🇿
ni tamu mno hii album
Mwanangu hii ngoma kali kinoma nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa marioooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Namuona alikiba, marioo afu harmonize basi
Hiii nyimbooo kila cku lazimaa nickilizeeeeee huyuu anajuwaa bwanaaaaaa❤❤❤❤❤
Am Nigerian but this song has been on replay on my phone I can't stop listening to it cause despite i don't have peace in my love life it makes me want to love again
It is songs like this that bring out the real lover boy in me. Marioo you are a living legend. Love from Kenya 🇰🇪✊🏿
Bro achia kideo cha siwezi aisee naomba kiwe na vitendo vya hisia sana hii ngoma😢😢😢😢
bd bd unajuwa Sana brooh nakubali Sana tungo zako ilistaili Sana tz uwe namba1 kwa tungo nzuli kaza mwanangu ✊✊
uwezo music
🔥🔥🔥 Baaaadi Special Song Kwa Wachumba wote wa Zanzibar
Lol
Dahh ila hili jamaa linajua daah ,Good Music , Toto Bad.
Sai sa moja na dakika tisa 2024
Mziki yenyewe ishanidata😂😂
a boy from Tanzania...gonga like hapaa asee😍😍😍
Etoo,,chuna
Marioo wewe ni my number 1 siku zote..🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡
marioo you are G.O.A. T of all time and thank you for this song may God continue bless you with more talent
Marioo you are accepted worldwide coz even burna boys song "common person" took the beat idea from this song🎉
Marioo your more than king..Wangapi wanamkubali
Sjaona ipi sio nzr this is the best album G🏳
My baby love Marioo♥️♥️♥️ today in my house ni hii album all through The kid you know😍😍😍
Love this boy his vocals are💯 ❤️ wimbo nzuri ❤️❤️❤️🇺🇬🇺🇬🇺🇬
This song it’s on 🔥 🔥🔥🔥but fr bro it could been more on fire if the second verse it was Alikiba because your voice and he’s voice really match.
Awiiiii hadi parth rateeee zinaenda kasiiii ❤❤❤ keep the fire burning brouh unajua na unajua teeeenaaaaaaa
Huyu msela n hatar💥
Nyimbo yangu pendwa nimeshajichagulia
Bana marioo n mkali bana. Mm kma shabiki wake Niko tayar kufa Kwa ajili yake
Nothing can beat the fact that marioo is the greatest of all time 🔥🔥
Hii ndo my fav one 💥💥💣
Bad kill eeeeeeeeeeeee 💥💥💥💥💥🎹🎸
Marioooo marioooo marioooo 🔥🔥🔥🔥
Marioo isn't pregnant but he delivers ♥️💯✌️🔥🔥🔥🔥
That's true ma men
We. Ni. Mmoja kati. Ya wasanii walionnifanya niupende mziki so nakubaliii kila hatua yako
Am the kid you know ❤🌹
Maybe God should create more breeds of Mario. He's a Gem 👏🏿❤️
This song makes u crave for true loveeeeee…🤔.Bigup Marioo👏🏾👏🏾
Love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬
Let's go omari 💪🥲
🔥🔥🔥🎶🎵🎶🎵fundi wa music 🎵🎶🎵🎶
Bien fait broh marioo
Toto bad unajua kwa kizazi hichi hufikiwi
Nishaumiza mtu soon tutakuwa sawa maana hii ngoma inasisimua had (...) bila yye siwez kufanya chochote sure
Vous êtes notre fierté et nous ne savons pas grand-chose, nous savons que vous pouvez et le travail vient de commencer
Later like zako love this song's 🇰🇪❤️
i love marioo
Marioo much love from Me❤❤❤love your songs especially wangu
Oya my favorite and hapana
Nakupenda xn jmn unanikosha na nyimbo zako mie
Kubwa hii Marioo. I have to replay this one
Bad🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pokeaa babaaa
Man mbadi monster unajua unajua unajua
I love this Song 🎵 ❤️
Uko na ujumbe mzuri sana @marioo unajua kwenda na husia kaka keep it up bro 💪 👌
Namkubali sana Marioo🔥🔥🔥
gracias gracias por tu trabajo ❤️❤️❤️❤️
Ume ua hiiii kaka🤴
Kiukwel umeupiga mwingi hongera
Unajua bro🔥❤️🔥🔥❤️❤️😍😍😍🇲🇫🇲🇫
I know that you deserve some more
Anything that you are baby you should let me know
You know that ukinitenda utaniumiza roho
Maana si unajua we ndo kipenda roho
Kuwe kuna mvua jua we baki hapa kando yangu
Iwe shibe njaa basi nile nawe kama kuna huzuni karaha
We ndo faraja yangu siku za furaha naenjoy nawe
BRIDGE
Why why why nikulize Why why why nikulize
Why why why nikulize Why why why nikulize
CHORUS
Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
VERSE 2
Umenifanya niwaze ningewezaje dunia bila uwepo wako aah
Umenifanya nijiulize je ningeenjoy hii dunia nisingekuwa wako
You're the one i have bbeen waiting for asali yaa moyo wangu
Faraja yangu iliyomo ndani yangu kwenye ini yako
BRIDGE
Why why why nikulize Why why why nikulize
Why why why nikulize Why why why nikulize
CHORUS
Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
The guitar 🎸 😍 ♥
❤
Kama nasikia Common person ya burna boy
Best tune on replay everyday 🔥🔥🔥🔥🔥
👌✌👌✌👌👋💙💙💙 keep it up marioo you are the best
My favorite ❤️
Marioo the king of blues my role model
Bad 🔥
dah huyu mwamba hatareeeee mara 10 naskiliza hiii ngma
it so good , sweet song
My favorite song
Wimbo bora❤❤❤❤
U kill me 😭 bro🔥
Wow amazing 😍😍👏👏
An African King!
Marioo unajua mpaka unajua tenaaa❤
You do much better with singles than collabos🫶🏿
😥😥🥂🥂keep giving us the vibes marioo
Badii baba🇨🇩🇨🇩🇨🇩
You're the best😊😊
We need video for this song please 🙏🙏marioo
Andika historia kaka, unajua sana
Congratulations bro una tungo mzur sana
Que som é esse 🤩 voz perfeita,instrumental maravilhoso ❤
Je t’aime❤❤
Weeeee umotoooo
Marioo never disappoints 🎉❤
Daaah my choice song
good music never come twice
Tem uma voz maravilhosa.gosto da música escuto a música de Moçambique.