THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 21 MKOJANI - SAMOFI - TIN WHITE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • #themagic #mkojanigang #magic
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 102

  • @DavisMmole-i6p
    @DavisMmole-i6p 4 месяца назад +8

    😂😂🎉❤mkoja ukija ukimpoteza chandimu duu! Aisee! Utakua umepoteza watu muhimu sana dogo janja anajua

  • @joelbussa6903
    @joelbussa6903 4 месяца назад +8

    Mkojani ni mmoja wa wachekeshaji bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania na East Africa mashariki kwa ujumla

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 4 месяца назад +6

    Huyo sham ama mkojani soo kwa mbwembwe hizo 😂😂

  • @haruniblackson1318
    @haruniblackson1318 4 месяца назад +14

    Sio siri Shamila kuigiza anajua bhn😂😂😂🔥🔥🔥

  • @JamalSleiman-yc1er
    @JamalSleiman-yc1er 4 месяца назад +7

    Bushura mrembo 😊😊

  • @khalfanmohd7019
    @khalfanmohd7019 4 месяца назад +4

    Mbona munairejea stori ya jini mahaba bt so nice😊

  • @AliMwinyi-w3v
    @AliMwinyi-w3v 4 месяца назад +2

    Mkojani kazi safi sana naagalia kutoka mombasa kenya

  • @ErickNjoroge-fn4ob
    @ErickNjoroge-fn4ob 3 месяца назад +1

    Kenya tupo,,,na huyu madam ni kitu yo😊😊😊😊

  • @Yahya-we5sc
    @Yahya-we5sc 4 месяца назад +2

    Mkojani we mwamba kweli lkn mnachelewa mnaachia kitu jioni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes zianguke wanangu wa mkojani gang

  • @Ivanmtanzania
    @Ivanmtanzania 4 месяца назад +3

    Wa kwanza mie

  • @Awoshy
    @Awoshy 4 месяца назад +4

    Chandimu anahangaika jamani 😂😂😂😂

  • @MkwawaYusuph-d7m
    @MkwawaYusuph-d7m 4 месяца назад +1

    nakukubali mkojani

  • @joelbussa6903
    @joelbussa6903 4 месяца назад +6

    Kisoseji😂😂😂😂😂😂😂

  • @BobJoshua-er1fg
    @BobJoshua-er1fg 4 месяца назад +1

    Always number one mkojani, brother big up ✊😊

  • @matoboy2820
    @matoboy2820 4 месяца назад +4

    Ubaya ubwela unaendelea

  • @NahimanaChristian-yt1cb
    @NahimanaChristian-yt1cb 4 месяца назад +26

    Sijawayi.pata ata like 50 ndani Ya gang Ya mkojani namba Lîkê jameni

  • @MaithamOmar
    @MaithamOmar 4 месяца назад +19

    Nimewahi nipewe like zangu 🇴🇲

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 4 месяца назад +6

    Sasa maadamu na wewe unatupotezea mda sasa ulinzi wa nini mmoja akivua mwendo uleule safari hii mtajikuta mpo Ifakara , na kumekucha huko weeeee hamtaomba kurudi dar😂😂😂😂😂 weeeeeee

  • @MohdMohd-fv1my
    @MohdMohd-fv1my 4 месяца назад +1

    Hi kazi IPO kitoto sana....upgrade mazingaumbwe yapo

  • @laurentremmy9282
    @laurentremmy9282 4 месяца назад

    Mkojani epsode zako ni nzuri sema ni fupi fupi sana

  • @FilsdeMo
    @FilsdeMo 4 месяца назад

    Tuliza kipwito 😂😂😂😂😂😂 boss umezinguwa dah! Et Shamila punguza kipwitoooooo😂😂😂

  • @KidogeDolie
    @KidogeDolie 4 месяца назад +1

    Mimi nikuwapatu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm 4 месяца назад

    Strong mkojani gang. Good job

  • @MikajoseNankola
    @MikajoseNankola 4 месяца назад

    Aluta continua .... mkojani gang for Life 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @sameertour_zanzibar
    @sameertour_zanzibar 4 месяца назад

    Kazi nzuri

  • @AburdonMugiraneza-i9h
    @AburdonMugiraneza-i9h 4 месяца назад

    Chandimu nakupenda san❤❤❤

  • @Lazaro-w2c
    @Lazaro-w2c 4 месяца назад +7

    Li chandimu lijinga mpaka linakela

  • @DavidSilvanus-tp7gu
    @DavidSilvanus-tp7gu 4 месяца назад +1

    😂😂😂 chandim wew ulipewa mke kwaajili ya unafiki

  • @DaltonMomade
    @DaltonMomade 4 месяца назад

    Tuna kubali sana kazi za Tanzânia from 🇲🇿🇲🇿

  • @Mjuzi
    @Mjuzi 4 месяца назад +3

    😂😂mkebe mweupe in the mix sasa leteni bi kauye🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kazi murwa kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AziziAbdallah-i7d
    @AziziAbdallah-i7d 4 месяца назад

    Mwatuzinguwa bwan epison gan iyi na nyie mb zetu na sis zinatuumiz

  • @ErickNjoroge-fn4ob
    @ErickNjoroge-fn4ob 3 месяца назад

    Huyu watchiii ni mkamba 😅😅😅😅😂

  • @LK-k7z
    @LK-k7z 4 месяца назад +2

    🔥🔥🔥

  • @ismailcheto9212
    @ismailcheto9212 4 месяца назад

    Chandimu mweu

  • @EdwardiBernad
    @EdwardiBernad 4 месяца назад +1

    Wakwanza Mimi leoo

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 4 месяца назад

    Mashallah ❤❤❤❤❤❤

  • @adinanzacharia409
    @adinanzacharia409 4 месяца назад +1

    Huto tumiguu twa kijiko😂😂😂😂

  • @YudasMashaka
    @YudasMashaka 4 месяца назад +6

    Leo wakwanza naomba like Zang jamn

    • @kakajeff17
      @kakajeff17 4 месяца назад

      Tafuta kazi ufanye

  • @kasimumughuna201
    @kasimumughuna201 4 месяца назад

    Ila shamila😂😂😂

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 4 месяца назад +5

    Ivi ii movie mnaona itawai kwishaaa au? Kipande kimoja hua mnakitumia mda mwingi sana Yan mtu anaongea dk kibao unakuta epsode yote ni karata 3 tu du

  • @WilbroadMichael
    @WilbroadMichael 4 месяца назад +1

    ❤❤❤❤gang

  • @AbelMukwala
    @AbelMukwala 4 месяца назад +1

    Chandim fara😂😂😂😂😂

  • @KenethMwasenga-x2i
    @KenethMwasenga-x2i 4 месяца назад +1

    Leo wa kwanza

  • @WilsonKihanga-jb5fb
    @WilsonKihanga-jb5fb 4 месяца назад

    Hii series mmevurunda wala hamana kitu kabisa.chumvinyingi anawaburuza na Ndupe walahi😂😂😂

  • @DjumaSele
    @DjumaSele 4 месяца назад

    Welcome white wanyarwanda kama mnapata burudanihii please like this video

  • @PascalParadise-hy5hi
    @PascalParadise-hy5hi 4 месяца назад

    Huyu mlinz kakamirisha sifa za kisa baa ni mashoga kama yeye mbwa awa

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 4 месяца назад

    Uyo mama mjengo kwani ameteta na braa ama

  • @lastkingofs
    @lastkingofs 4 месяца назад +2

    Leo mbona nimewahii sana

  • @TheboyImma
    @TheboyImma 4 месяца назад

    Kisoseji 😅😅😅

  • @bakarisaad6612
    @bakarisaad6612 4 месяца назад

    Mkojan mov hii unafel unawek Dak chache San matangazo kibao badilik bas mashabiki zako unatuuzi atujakuzoea ivi kuwek tuvipand tufupi fup ivi

  • @babymgaya999
    @babymgaya999 4 месяца назад

    Mkojani muda mchache sana halafu unaweka na matangazo tena😢

  • @barakamhalule3236
    @barakamhalule3236 4 месяца назад +1

    🎉🎉

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 4 месяца назад +2

    ❤❤❤😂

  • @YucraKanyesu
    @YucraKanyesu 4 месяца назад

    Punguzen story

  • @muhsiniabdullah1793
    @muhsiniabdullah1793 4 месяца назад

    Shamila anajua mpk anakela

  • @YassirKhamis-p3p
    @YassirKhamis-p3p 4 месяца назад +1

    ❤❤❤❤

  • @MaithamOmar
    @MaithamOmar 4 месяца назад +5

    Chandim kachomoa tena betri

    • @Asma-m1j
      @Asma-m1j 4 месяца назад

      😂😂😂

    • @yes_yes1310
      @yes_yes1310 4 месяца назад +1

      @@MaithamOmar mmmmmmh

    • @yes_yes1310
      @yes_yes1310 4 месяца назад

      @@MaithamOmar mambo

  • @DavidSilvanus-tp7gu
    @DavidSilvanus-tp7gu 4 месяца назад

    Kijiko ndo kuigiza gani et umelala

  • @rabiimakakala4281
    @rabiimakakala4281 4 месяца назад +1

    na mm jamani

  • @alitante4279
    @alitante4279 4 месяца назад

    Eti wee acha ashuooo 😂😂😂

  • @yahyaibrahim6546
    @yahyaibrahim6546 4 месяца назад

    Mnautowa vipande vidogo vidogo sana

  • @MboweEmanuel
    @MboweEmanuel 4 месяца назад +1

    acheni ujing

  • @DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv
    @DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv 4 месяца назад +2

    Kamhogicha vip aminjipata au vip mkonjan

  • @dorcasresiato8929
    @dorcasresiato8929 4 месяца назад +2

    Kamugisha ako wapi? Alafu mlitupostua jini mahaba kimakosa na mkadelete😂

    • @mundhirissa5250
      @mundhirissa5250 4 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂kumbe na ww uliona

  • @MboweEmanuel
    @MboweEmanuel 4 месяца назад +1

    rafiki anayakenini

  • @fauzittahmso6835
    @fauzittahmso6835 4 месяца назад +1

    Dzaaaaamn eeeehh watu walilia likes je subscribers wako wpy😂😂😂napendah sanah

  • @jumannemuyaha3401
    @jumannemuyaha3401 4 месяца назад

    Ayo matangazo cku1 mtatoa episode ya matangazo matupu

  • @dremmytz888
    @dremmytz888 4 месяца назад +2

    kula chuma iko😂😂

  • @ZuhuraHussein-v9w
    @ZuhuraHussein-v9w 4 месяца назад

    Ila kisosejy sasa hv unanikosha saaana mdg wng😂😂😂😂😂😂 et nakupa kazi nyingine teeena???

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 4 месяца назад

    Ongea dakika za muvi japo dakika 20

  • @HASSANALALLY
    @HASSANALALLY 4 месяца назад

    😂😂😂Tuliza kipwito

  • @Seranto880
    @Seranto880 4 месяца назад

    Huyu jama aliwazaga nini adi ateme kuni, Kwani alizilaga kuni au.
    Eti utakipata cha “ mtema kuni “

  • @mayassahmtumweni
    @mayassahmtumweni 4 месяца назад

    nawafatilia kutokea ilala hapa

  • @Kitufeactorfilm
    @Kitufeactorfilm 4 месяца назад +5

    Shachelew kufika kwenye account ya mkojan be daruweshi stak like yamtu Tuchek kwanza unyama huu hapa wanangu tujitahid nakusapoty vya kwetu jamn sema Bado atujachelewa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mkojan mabegani

  • @MariamObote
    @MariamObote 4 месяца назад

    Alieona shape ya kisoseji tujuane apa😂😂😂😂

  • @ibnyussufmsafiri7855
    @ibnyussufmsafiri7855 4 месяца назад

    Kamugisha yup wapi jamani

  • @ibrahimsalim8368
    @ibrahimsalim8368 4 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @EsthetiqueMajaliwa
    @EsthetiqueMajaliwa 4 месяца назад

    😂😂🎉

  • @Mjuzi
    @Mjuzi 4 месяца назад +1

    In ubaya tulifika episode 4 tunataka muendelezo ahadi ni deni🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on
    @YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on 4 месяца назад +5

    Tin White kashafanya yake😂😂

  • @mtendebeachzanzibar
    @mtendebeachzanzibar 4 месяца назад +1

    Jina ni MAZINGAOMBWE lakini kila episode zikiendelea story nyingiii episode nzima inaisha hamna mazingaombwe. Mazingaombwe yawe mengi zaidi kuliko story nyingiii episode 1 au 2 nzima story tuuu

  • @AbuumansuurTv
    @AbuumansuurTv 4 месяца назад

    NAOMBA subscribe

  • @ngoshaog1255
    @ngoshaog1255 4 месяца назад

    🔥🔥🔥

  • @muhsiniabdullah1793
    @muhsiniabdullah1793 4 месяца назад

    Shamila anajua mpk anakela

  • @JeanNiyompano
    @JeanNiyompano 4 месяца назад

    ❤❤❤❤❤

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 4 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @gayanestory4357
    @gayanestory4357 4 месяца назад

    ❤❤❤