Bila Maombi ya Mtume Mwamposa, Barnaba Asingeimba Tena.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 130

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 8 месяцев назад +2

    Mimi mwenyewe na mshukulu sana mungu, pia nashukulu sana hiii madhabahuu ya inuka uwangeze, Mimi mwenyewe nishudaa niko tabola, natwa elizabetty naependa kuwambia watu madhabahuu haya ni ya kwelii, mimi ndugu yenu nilikuwa sifuliiii na sio kama nilikuwa sitafuti, Mimi Sinaa ata mapumziko, kila siku Mimi na kazi lakini juu yaa biaashaala zangu nauza lakini chaajabu ata ela yakula nilikuwa Sina miye nafamilia yangu, nawala ela yangu ilikuwa aindi mbelee, lakini Toka nilujuwe madhabahuu hyaa namshukulu mungu sana ntena, sana nimekuwa na ela Toka kuzaliwa sijawahii kuzishikaa,, na huu mwaka naamini autoisha nitakuwa na miliki nyumba yangu, namshukulu mungu. Sana

  • @mariaevarest347
    @mariaevarest347 4 года назад +7

    Mungu azidi kukuinua baba yangu Mtume Mwamposa

  • @tadeidaudi8033
    @tadeidaudi8033 3 года назад +2

    Asante sanakwamatendo makuu kwa udumaii mungu akuridemtume

  • @frolamkolwi2337
    @frolamkolwi2337 3 года назад +2

    naamini kwa jina la yesu wanaosema vibaya nakukatisha tamaa wenzao washindwe kwa jina la yesu komaa na imani ako usimfuate binadamu mwenzio mungu ndie anae jua matatizo yako mungu muweza mpe nguvu mwamposa aishi miaka mia mia

  • @OmarKhamis-d3x
    @OmarKhamis-d3x 2 месяца назад

    Nashkr san kwakuweza kuelewa hilo nime amin

  • @eatlawe
    @eatlawe 4 года назад +3

    Bila Yesu Barnaba asingekwepo hai au bila Yesu asingeimba. Siyo maombi ila kusudi la Mungu juu wa watu wake. Sisi ni watumishi tusio na faida isipokuwa tunafanya yale tunayoagizwa na Bwana! Give glory to God!

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 2 года назад +1

    Amina MUNGU azidi kukuinua mwamposa love you

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 5 месяцев назад

    Nimefurahi kumuona Barnaba Mungu azidi kuku bariki uko sehemu sahihi

  • @aminaabdu5548
    @aminaabdu5548 3 года назад +2

    Aiseee kwa hyo anamuombea azid kufanikiwa kuimba nymbo sizizomtukuza Mungu...kwann asimuombee aache kuimba nyimbo hzo na kumtumikia Mungu???!! Mungu tuokoe na watumishi waongo

  • @NeemaGwasma
    @NeemaGwasma 10 месяцев назад

    ❤❤❤ kaka Barnaba umenifurahisha ❤❤❤❤❤

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 года назад +1

    Asante Yesu kwa kuwatendea watu wenye uhitaji unapowadhuru wengine naomba na mm unikumbuke🙏

  • @verinamagandi8390
    @verinamagandi8390 4 года назад +2

    Nimefurahi sana mungu yu mwema kwa kila amuaminiye, asante mungu

  • @reyjohnson624
    @reyjohnson624 2 года назад

    MUNGU naomba ukamguse na mme wangu Yacobo Lazalo anitumie Sms ya kurud kwangu kuanzia sasa AMINA

  • @josephinanyinondi4249
    @josephinanyinondi4249 2 года назад

    Mtume nisaidie mimi na family yangu vifungo vya uchumi afya mizimu kukataliwa,mateso uchungu kucheleweshwa nisaidie kuhani wa Bwana YESU

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 3 года назад

    TANZANIAA TUMEKOMBOLEWA SASA TANZANIA INAONGOZA DUNIANI KWA WATUMISHI WAKUBWA WA MUNGU ..HALLEYUYAA MUNGU MLINDE MWAMPOSA ..HALLELUYAAAA

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn Год назад

    Yesu aangaliii wewe ni Nani akikuita lazima uwende love u Jesus

  • @judithsulle8366
    @judithsulle8366 4 года назад +1

    Nashukuru mungu kwa nguvu nilizotoka nazo Moshi za kukanyaga mafuta zimempatia nafuu mdogo wangu na Mimi kupona miguu ilikuwa inauma naomba umuombee Mdogo wangu Rashid umuombee kwa uwezo wa roho mtakatifu maana ameshindwa kujaaa Dar naomba umuombee sana

  • @theopistamkembela5089
    @theopistamkembela5089 4 года назад +3

    Jamani mwaposa juuu sana tunakupenda sana

  • @nasraothumaniameen6092
    @nasraothumaniameen6092 4 года назад +3

    Asante yesu jaman love is good

  • @agnessanatory7577
    @agnessanatory7577 2 года назад

    Naomba iweze kukomboa biashara yangu na familia yangu

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 2 года назад

    Amina, jina la bwana libalikiwe

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 5 месяцев назад

    Aliyonitendea Yesu kupitia mazibau hii nimengi nashukuru tuu japo ni nje ya nchi nimengi jamanii shetani hana uruma

  • @agripinaligelele9367
    @agripinaligelele9367 4 года назад +3

    Amen Mungu ni mwema

  • @babydriver6497
    @babydriver6497 3 года назад

    Mungu huzidi kututofautisha

  • @veronicasteven7116
    @veronicasteven7116 3 года назад +3

    Jamanii amkeni muda Umeishia tutubu dhambi YESU anarudi kunyakua kanisaa haya mambo ya miujiza ni ziada tu lakini kilicho muhimu nikuacha dhambi maana YESU yuko karibu yaliyotabiriwa yote yametimia jamani duniani tunapita tusidhani kama tumefika hapana wakati wote YESU ananyakua kanisa na amesema atakuja kama mwizi. Wakati tunawaza kujengwa majumba ya kifahari, kua waimbaji wa kimataifa na kufanya mambo makubwa ya maendeleo YESU anasema nakuja kuwachukua walio wangu. Simaanishi tusifanye maendeleo hapana tufanye tu lkn tukiwa yuko tayari kwa lolote

    • @adimmpole9439
      @adimmpole9439 3 года назад

      Acha kuhukumu usije ukahukumiwa

    • @adimmpole9439
      @adimmpole9439 3 года назад

      Acha kuhukumu usije ukahukumiwa

    • @veronicasteven7116
      @veronicasteven7116 3 года назад

      @@adimmpole9439 Sijamhukumu mtu hapa nimejaribu kuwakumbusha tu

    • @veronicasteven7116
      @veronicasteven7116 3 года назад

      @@adimmpole9439 Naona umefuatilia Sana coment zangu ila hujazielewa lkn iko siku utazielewa

  • @augustinofifi
    @augustinofifi 3 года назад

    nyinyi wandishi mnmuharibia mchungjii.. sio asingekuwa mwamposa asingekuwa yesuu

  • @SizaKarimu
    @SizaKarimu 6 месяцев назад

    Naomba niponywe magonjwa mimi na familia yangu na pia nipate ela nying mwez huu

  • @christinakomba3524
    @christinakomba3524 4 года назад +1

    Hata iweje Mungu yeye huponyatu hasa ukiamini barikiwa Sana.

    • @floramosha4639
      @floramosha4639 3 года назад

      Kaka mungu azid kukuinua namungu ambariki mtume azid kukuinua juu zaidi na Zaid amen

  • @omanamenmct1600
    @omanamenmct1600 4 года назад +1

    Asante mungu kwa miujiza

  • @SaidaSaida-ub4ez
    @SaidaSaida-ub4ez 7 месяцев назад

    Thanks you Jesus llove you lord ❤❤❤❤,🇴🇲🇴🇲🙏🏻💪🏻

    • @SizaKarimu
      @SizaKarimu 6 месяцев назад +1

      Umempendeza mugu amen

  • @catherinekashenge3704
    @catherinekashenge3704 4 года назад +4

    Nilikuwepo kwa ibada iyo. Muumba anatenda

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Год назад

    Aaaah wap et bila mwamposa, ila ni sawa kwakua ndo mmekua mkmtukuza

  • @jasminehamisi6010
    @jasminehamisi6010 Год назад

    Glory glory

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 3 года назад

    Acheni Mungu aitwe Mungu na atabaki kuwa Mungu. Na mimi nilikuwa na moyo mgumu lakini kuanzia sasa naanza kuamini.

  • @neemaokuli1676
    @neemaokuli1676 4 года назад +6

    Wema nae aende apate watoto jmn

  • @happynesssam3740
    @happynesssam3740 4 года назад +3

    Ohhh...kwel mungu anatenda ...jmn wasani wengin wafike kwenye maombi wanapitia mengi

  • @veronicasteven7116
    @veronicasteven7116 3 года назад +1

    YESU alisema tubuni maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
    Inasikitisha kuona kwamba watu hawanampango wa kutubu dhambi nakuishi maisha matakatifu kwaajili ya kujiandaa na ujio wa YESU ila wanawaza kupokea miujiza na kuishia maisha mazuri hapa duniani. It's so sad 😰😢😓

    • @adimmpole9439
      @adimmpole9439 3 года назад

      Una uhakika huwa hawatubu zambi umewahi kwenda

    • @adimmpole9439
      @adimmpole9439 3 года назад

      Nyie ndo wale mpo makanisan na vifungu na magojwa yanawasumbua sema 2 wivu unKusumbua mkirsto gani wew usieyefurah mkirsto mwenzio akiponywa hio ni roho mbaya wew Dada

    • @veronicasteven7116
      @veronicasteven7116 3 года назад +1

      Alietubu dhambi huacha dhambi. Alietubu dhambi hawezi kuzitumikia kazi za shetani na kuimba nyimbo zisizomsifu Mungu ni kazi za shetani na Barnabas baada ya maombi na kuombewa nataka na mwamposa kafanya album ya nyimbo 14 kwaiyo kapona ili aendelee kumtukuza shetani. Swali kwako, ndio Mungu anataka hivyo?

    • @veronicasteven7116
      @veronicasteven7116 3 года назад +1

      Kuponywa sio shida ila shida unaponywa ili iweje? Na niheri nife na magonjwa lakini roho yangu iwe salama maana ndio kilicho muhimu. Sio kwamba sikutaka Barnabas aponywe hapana ila angepona kwanza rohoni kisha akapona mwilini lkn cha ajabu kaponywa mwili ila rohoni bado mgonjwa. Hicho tu kwangu ndicho kinaniumiza

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 4 года назад +2

    sauti ndogo saana

  • @EliaSilwimba
    @EliaSilwimba Год назад

    Fanya na kwangu bwana

  • @reyjohnson624
    @reyjohnson624 2 года назад

    Naamin namm nimepona kabs HIV nakuanzia xaxa narud kwangu kwa jina la YESU KRISTO AMINA

  • @frankjohnsonkitundujohnson7189
    @frankjohnsonkitundujohnson7189 3 года назад

    Good mungu ni mwema

  • @florangido202
    @florangido202 4 года назад +1

    Glory to God, Big Ameen.

  • @jescamwidimya3419
    @jescamwidimya3419 4 года назад

    Nashukru sana mathabahu inuka uangaze

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 4 года назад +1

    Ameen

  • @theresiaaloyce7623
    @theresiaaloyce7623 3 года назад +1

    I believe in might name of Jesus

  • @vailetikulanga5393
    @vailetikulanga5393 3 года назад

    Asante yesu

  • @happinessmartini8567
    @happinessmartini8567 4 года назад

    Mm nauliza Azamu tv hiki kipindi cha Arise &shaine kinaoshesha number gp?alafu stertime vingamuzi vya dishi avioneshi

    • @zawadimwasumbi7823
      @zawadimwasumbi7823 3 года назад

      Dada kwenye azamu chaneli yake ipo chaneli elfumoja na tatu

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 3 года назад

    MUNGU.AKUBALIKI MSANII YESU ANAKUPENDA SANA

  • @aminaabdu5548
    @aminaabdu5548 3 года назад +1

    Uhalalisho wa kusklza nymbo zsizo mtukuza Mungu

  • @lucykanuti6138
    @lucykanuti6138 4 года назад +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @cuthbertbruno6764
    @cuthbertbruno6764 3 года назад

    Wow Glory is with God alone

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад

    1 Timotheo 2:9 BHN
    Hali kadhalika, nawataka wanawake wawe wanyofu na wenye busara kuhusu mavazi yao; wavae sawasawa na si kwa urembo wa mitindo ya kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubw

  • @lucykanuti6138
    @lucykanuti6138 4 года назад

    Haleluya Hakika Mungu anatnda

  • @judithraymond1853
    @judithraymond1853 2 года назад

    Jina lab wana libarikiwe

  • @genovevatarimo3982
    @genovevatarimo3982 4 года назад +1

    Mungu ni muweza

    • @luluezekiely3499
      @luluezekiely3499 4 года назад

      Moyo wangu umefurahi sana karibu sana kakaangu kipenzi..Mungu anakuja maana nyimbo nyingi za injiri unawatungia watu so Mungu anajua mchango wako..ombi langu mm uanze kuimba injiri na ninaamini itafika tuu siku.Karibu bro karibu sana wengi tumefunguliwa

    • @floramosha4639
      @floramosha4639 3 года назад

      Ee mungu nakuomba uniinue juu ya utumishi wangu nikutumikie siku zote zamaisha yangu Amen

  • @agnecjoseph6223
    @agnecjoseph6223 3 года назад

    Radio ya mwanza ni ngapi ngapi

  • @hapinessobeth4131
    @hapinessobeth4131 4 года назад

    Mungu wa mbinguni anajua walio wake

  • @isunga1964
    @isunga1964 4 года назад

    AMEN MUNGU NI MWEMA

  • @MathaAdofu
    @MathaAdofu 2 года назад

    AMEN

  • @rechoraymond3396
    @rechoraymond3396 4 года назад

    Mungu yu mwema

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад

    huyo Mungu mwenyewe anakataa nyimbo kwani mnasoma bibilia gani nyie?
    Amo 5:23 SUV
    Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu.

  • @milliamwega3069
    @milliamwega3069 4 года назад +1

    Mungu mkubwa

  • @justicegoodluck4214
    @justicegoodluck4214 2 года назад

    mung ni mwema

  • @fredtarimo4596
    @fredtarimo4596 4 года назад +1

    Hallelujah

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 3 года назад

    Glory to God

  • @asiamushi1898
    @asiamushi1898 3 года назад

    Glory to god

  • @alutemdulu936
    @alutemdulu936 4 года назад

    Amen

  • @joycepeter1994
    @joycepeter1994 4 года назад

    Munguuu yupo

  • @mtumishiyusuph5849
    @mtumishiyusuph5849 4 года назад

    Utukufu kwa yesu

  • @rahmahamisi7604
    @rahmahamisi7604 4 года назад

    Mnagonga nini 🤔

  • @salomemotto5899
    @salomemotto5899 4 года назад

    Mungu n mwema

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 4 года назад

    Jaman hata Roho mtakatifu Hawa shuudii juu ya hayo manywelee si wahukumu daàahh

    • @apostlebenny5319
      @apostlebenny5319 4 года назад

      Atasema na yye wala km SSA ameanza kumtfuta Mungu, wacha mda utaongea

    • @lavianaalbert9038
      @lavianaalbert9038 4 года назад +2

      Mungu anamtaka hivo hivo alivo wewe msafi endelea kuhukum yesu mwenyewe ulisema sikutumwa kuhukum bali kutafuta kilichopotea wewe unajiweka kua hakim sasa pole sana

    • @dawhiteschola8847
      @dawhiteschola8847 4 года назад

      @@lavianaalbert9038 elewa nilicho kisema 👆 syo una rukia rukia Nani kasema mm ni msafi unge koment yako 😁😁😁

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 года назад

    Yaani huyo asaidiwe na mtume na bado asuke nywele na huku ni mwanaume??

    • @stanleyjacob6744
      @stanleyjacob6744 3 года назад

      Kwani nywele ni haramu kusuka Acha ushamba dhamira ya MTU ndio Jambo la msingi sio muonekano

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 года назад

      @@stanleyjacob6744 mwanaume mkristo Ni haramu kusuka maandiko yanakataa soma maandiko usijifariji tu

  • @restidaabeid1556
    @restidaabeid1556 4 года назад

    Nimecheka kwa furaha

  • @justinemrope9394
    @justinemrope9394 4 года назад +1

    H

  • @veronicasteven7116
    @veronicasteven7116 3 года назад +1

    Hivi kweli unamuombea mtu afanikiwe katika mziki anajifanya ilhali anamuimbia shetani jamani ni Mungu gani huyu basi ambae hana wivu hata chembe?
    Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu anasema msiabudu miungu mwingine ila mimi na ndiomaana Wana wa Israeli walipokua wakimuacha Mungu aliewavusha bahari ya sham walikua wakipigwa na maadui mpaka pale watakapo tubu ndio Mungu anawaokoa lkn wasipo tubu wanachukuliwa mateka Leo Mungu ambariki mtu anaetumikia miungu mwingine? Kwaiyo Mungu wa biblia ni Muongo? Tusimchezee Mungu nyakati hizi ni za mwisho tena za hatari. Watu watakua wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda pesa kuliko Mungu, wenye kiburi n.k. Mungu atuhurumie. Tufanye miujiza, tutendewe miujiza lkn lililo kuu ni kutubu na kuacha dhambi na kumuishia YESU KRISTO.

    • @adimmpole9439
      @adimmpole9439 3 года назад +1

      Acha unafiki mbona Suleiman aliziimba hizo nyimbo

    • @veronicasteven7116
      @veronicasteven7116 3 года назад

      @@adimmpole9439 lakini mwisho alisema yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo

    • @adimmpole9439
      @adimmpole9439 3 года назад

      @@veronicasteven7116 but lakini so aliziimba je mungu alimuhukumu?

    • @veronicasteven7116
      @veronicasteven7116 3 года назад

      @@adimmpole9439 hukumu za Mungu zipo kwenye bibilia. Ukilisoma neno, neno litakujuza kipi ufanye na kipi usifanye. Na kama hajui basi yule mchungaji au nabii ndie anapaswa kumuelezea nini Mungu anasema kupitia neno lake. Neno linasema usiwe na miungu mingine ila mimi! Na hukumu ya Mungu iliyo kuu ni moja tu ambayo ni jehanam hiyo inajulikana. Na neno linasema aaminie na kubatizwa ataokoka asieamini atahukumiwa.

    • @adimmpole9439
      @adimmpole9439 3 года назад

      @@veronicasteven7116 wew umejuaje kama hajaamini?

  • @monicamwajombe7418
    @monicamwajombe7418 4 года назад +1

    Amina Mungu anaweza yote

  • @kibasakiristoph7596
    @kibasakiristoph7596 2 года назад

    Ameen

  • @bestlifetz1991
    @bestlifetz1991 2 года назад

    Glory to God

  • @dotnathalazaro8078
    @dotnathalazaro8078 4 года назад

    Amen

  • @iddylemu8924
    @iddylemu8924 3 года назад

    Amen