WATU MAARUFU ULIODHANI NI WAZUNGU KUMBE WAAFRIKA, WENGI HAWAJUI HILI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 авг 2023
  • КиноКино

Комментарии • 113

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 5 месяцев назад +1

    Wote ulinyo wataja kasoru huyu wa mwasho ndo sijawahi mjua ila niliwafaha jisi walivo na tabia km za wa Africa naniliisi kabisa hao nidugu zetu ila nahukuru wkutufamisha now siisi teea bali niwaketu❤🤗wa African tunavitabia vyetu tafauti nawengene kaza wachshi saan masiara kam yote ikikutana na pisi ataitongozoje😊 kwahiyo vitu ivi vipo African 2 kaka love 💕 African naimisi pia saaan

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 9 месяцев назад +1

    Huna Kazi mbaya... Justin

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 9 месяцев назад +10

    Woote ulio wataja nilijua wazungu kumbe wenzangu tu broo Upewe mauwa yako🎉🎉

  • @user-ik7kt3id1e
    @user-ik7kt3id1e 9 месяцев назад +2

    Big up broh

  • @user-ie7ju3bq9p
    @user-ie7ju3bq9p 9 месяцев назад +3

    Mzungu ni mtu mwenye white skin, lakini kuna bright au brown skin people, yani Hawa kutoka Asia, na Mabara ya America wazungu ni Kutoka Bara Ulaya, Australia na nchini Urusi

  • @paulomaneno5936
    @paulomaneno5936 9 месяцев назад +2

    Vp kuhusu wanasoka Neymar, Van dijck, kyle walker,Varane,

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 9 месяцев назад +6

    Wazungu ni wale watu waliyoingia africa nakufanya maovu maana ya mzungu ni Mungu kwani watu weusi wenyewe wakati huo waliwaita hivyo kwasababu ya kuwawa kwa bunduki kitu icho kiliwashangaza basi hapo wakawafanisha na Mungu au Mulungu au jina linguine Nnungu yani Mungu,
    Basi jina la mzungu kwa sasa uitwa watu weupe na haijalishi mzungu huyo wakutoka upande gani ata hao machotara wakitwa Wazungu ni sawa ata mtu mwafrika aliyekulia na kuzaliwa katika jamii hiyo basi ni mzungu tu kama jina lakuitwa kwani kwanza kiasili jina ilo waliopewa ni wageni, mwisho nyakati hizi si kila mtu mwenye ngozi nyeusi au brown skin ni mwafrika,

  • @Alkaburu
    @Alkaburu 9 месяцев назад +2

    Kweli

  • @thebananapeddler4573
    @thebananapeddler4573 9 месяцев назад +23

    Anza story Kaka. Sisi wakenya twawa-support hata kama mnatuchukia.

    • @msumbufu_
      @msumbufu_ 9 месяцев назад

      😂😂😂

    • @osakyosaky
      @osakyosaky 9 месяцев назад

      Ngapi huko

    • @kingcole60
      @kingcole60 9 месяцев назад +1

      Hivi kati ya Wakenya na WaTZ akina nani wanawachukia wenzao

    • @noelmunuo4660
      @noelmunuo4660 9 месяцев назад +3

      Kwanza wa TZ sisi tunajulikana dunia nzima ni watu wa amani, serikali yetu inatujua ni wananchi wenye adabu na wasikivu hivyo hatuna chuki tumefundishwa upendo sasa wakenya mnatuchokoza alaf mnataka tukae kimya

    • @Giant349
      @Giant349 9 месяцев назад

      Kenyans people mnatutambia na English ya wazungu alaf Bado hamna aman Bado mna tudis Tz kinoma sana kwaio bakini uko na sisi tubaki uku

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 9 месяцев назад +2

    Sasa twende kaziyyy

  • @EzakielNgeywo-cg2vl
    @EzakielNgeywo-cg2vl 9 месяцев назад +1

    Thanks bro

  • @angelmwaimu3676
    @angelmwaimu3676 9 месяцев назад +4

    Hata mm nilijijuaga kuwa ni mzungu. Kumbe ni black kutoka Dom pale

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz 9 месяцев назад +2

    Wewe kiboko🎉

  • @osakyosaky
    @osakyosaky 9 месяцев назад +2

    Hakika bro nakubali sana makala zako.

  • @DaressalaamTv-rb2io
    @DaressalaamTv-rb2io 9 месяцев назад +2

    Naomba video asili ya wazungu walitoka wapi maana kwenye biblia wameeleza lakini sijaona mtu mweupe nimeona mtu mweusi soma ayubu 30:30 na suleimani amesema yeye ni mweusi, wimbo ulio bora 1:5 na kama daudi wote na suleimani ukoo mmoja na Yesu amezaliwa kupitia hao watu weusi kwanini movie za wazungu wanaigiza Yesu mweupe, nahitaji majibu ulete video

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 9 месяцев назад +2

    Good job

  • @ElisioVicenteMadimba
    @ElisioVicenteMadimba 9 месяцев назад +2

    Watu weusi dio ni original.

  • @stonemsaku7416
    @stonemsaku7416 9 месяцев назад +2

    Hii inachekesha mtu ni mweupe lakini anajaribu kuu aminisha uma kuwa yeye ni mweusi

  • @yusufumilah
    @yusufumilah 9 месяцев назад +2

    Good job🎉

  • @anuaryfernandez7230
    @anuaryfernandez7230 9 месяцев назад +3

    Hapa Kwa Logic Ndio Nmejua Leo Mshkaj Nilikuwa Najua Mzungu 😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 месяцев назад +2

    ✌️👊👍.

  • @muddymwunjuma5532
    @muddymwunjuma5532 9 месяцев назад +1

    kaka hii hujaelezea vizuri,uasema ni mtu mweusi,tupe asili yake kama ulivyomuelezea dada wa superman

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa Месяц назад

      Unataka upate wa Tanzania , awe family 😂

  • @officialtino58tino
    @officialtino58tino 9 месяцев назад +2

    Chrisbrown

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 месяцев назад +1

    UTAZANIAJE MZUNGU WAKATI MNAMWONA KABISA NI MWAFRIKA. LABDA WEWR NDO ULIKUWA HUJWAJUI.

  • @khaifanboyofficial972
    @khaifanboyofficial972 9 месяцев назад +2

    Tuko wengine alafu ndugu zangu bonyeza kapicha pembeni tujuane zaidi

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 9 месяцев назад +2

    Mo nilijua ni muhindi Kumbe ni mnyatulu

  • @wilondjajeanpierre
    @wilondjajeanpierre 9 месяцев назад +1

    Storiyabts

  • @EnjoyLocation
    @EnjoyLocation 9 месяцев назад +2

    Tunaomba kujua kuhusu Andrew tate habar zake na kaka ake wamefikia wapi

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 9 месяцев назад +2

    Mimi mwenyewe ukiniona utadhan sio muafrika😂

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 9 месяцев назад +2

    Justine naomba utuzungumzie mshiriki wa filamu za zamani Clint Eastwood na Van cleen

    • @abduldjay3034
      @abduldjay3034 9 месяцев назад

      Hata kutofautisha rangi ya asili haujui 😂😂

  • @aprilrosaliapanda4895
    @aprilrosaliapanda4895 9 месяцев назад +1

    Mbona wotee wanaonekana kabisa mie maria carey ndio nilishangaaaga kama n black ja wengn unanua kabisa ukiangalia nywele

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz 9 месяцев назад +3

    Vipi nitapata film hii ya The Rock?

  • @rimnjenga
    @rimnjenga 9 месяцев назад +1

    🎉it's just a matter of skin but ni watu Kama wengine

  • @bettychebet6860
    @bettychebet6860 9 месяцев назад +1

    Wazungu wanatuchukia hata Richardson yule mkimbiaji alisema wamekuwa wakimtuzi juu ye ni black woman

  • @sebatech3951
    @sebatech3951 9 месяцев назад +1

    Vanedizle sikujua kama ni mtu mweusi

  • @mudhihirinjinjo3791
    @mudhihirinjinjo3791 9 месяцев назад +1

    The rock ni red indian

  • @aprilrosaliapanda4895
    @aprilrosaliapanda4895 9 месяцев назад +1

    Umemsahau maria carey

  • @willy_breeze
    @willy_breeze 9 месяцев назад +1

    Kwa LOgic ht km cna prov ila huyo na muongo

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 9 месяцев назад +1

    Vip kuhusu drake

  • @Dennis_Okelo
    @Dennis_Okelo 9 месяцев назад +1

    Yani Watanzania hamjawai juwa kuwa hawa watu ni Weusi?

  • @kingcole60
    @kingcole60 9 месяцев назад +2

    Bruno Mars pia

  • @silageorge1638
    @silageorge1638 9 месяцев назад +2

    Kumbe sivyo ninavyo wajua

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 9 месяцев назад +1

    Kwa nilivyo sikiliza basi hukupaswa kumuongelea Vine Dissel, maana hapana ukweli dhidi ya baba yake

    • @user-zr8be7ep4g
      @user-zr8be7ep4g 9 месяцев назад

      Tangu mda huyu jamaa Huwa haupend uzungu Tena hii fast x ndyo kaonyesha kabisa

  • @loyking86
    @loyking86 9 месяцев назад +1

    Sasa kaka unataka chotara wawe weusi kama wewe, maana wote uliotaja hakuna aliyezaliwa baba na mama mweusi

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 9 месяцев назад +5

    Bro hapo kwa the rock kila mtu anamuona kbs ni mweusi wa kiafrica

  • @user-qi2sk2os5k
    @user-qi2sk2os5k 9 месяцев назад +1

    Kama vin diesel nilijuwa ni mzungu hata the rock

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 9 месяцев назад +2

    Hao uliowataja si watu weusi , hayo ni maneno ya wivu katika kundi fulani la hao uwasemao wazungu

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 9 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @afrocushitic
    @afrocushitic 9 месяцев назад +1

    The weeknd ,drake,Tyga,chriss brown

  • @danteanton8411
    @danteanton8411 9 месяцев назад +1

    ao wote ni wazungu na ata wangerikua ni weus kama mkaa bado ni wazungu tu kwa maana wamezaliwa nje ya africa na kukulia uko uko na wana utambulixho wa nchi za uzunguni.

    • @azizanassoro1937
      @azizanassoro1937 9 месяцев назад

      Kwaiyo muhind akija bongo akizaa ywatt wake ni waafrica

    • @danteanton8411
      @danteanton8411 9 месяцев назад

      xaxa uta waitaje waindi wakat wamezaliwa tanzania na wamekulia umo na wanavitambulixho vya taifa. ni watanzania wenye asili ya india. kwan waindi na waalabu ni wangap umu bongo

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 9 месяцев назад

      ​@@danteanton8411bro ameongelea race zao hakuongelea utaifa bro☹️☹️☹️

  • @Paschalmachang
    @Paschalmachang 9 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤

  • @YustinaMasawe-ex2cs
    @YustinaMasawe-ex2cs 6 месяцев назад +1

    Vis deesel

  • @wilikornel8518
    @wilikornel8518 9 месяцев назад +1

    Mariah carey

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 9 месяцев назад +1

    nilizani wote wazungu

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 9 месяцев назад +1

    Drake

  • @devmwalabu3193
    @devmwalabu3193 9 месяцев назад +2

    Asnte hatukuyajua yote ila umezingu ila makala yako ni fupi sana

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu 9 месяцев назад +4

    Ningependa kujus mzungu ni mtu gani

    • @MohamedIbrahim-bn1gz
      @MohamedIbrahim-bn1gz 9 месяцев назад +1

      Mzungu ni mtu mwenye kizunguzungu

    • @LindaKway-yn4xw
      @LindaKway-yn4xw 9 месяцев назад

      @@MohamedIbrahim-bn1gz 😂😂😂

    • @user-kd1fj8lp4b
      @user-kd1fj8lp4b 9 месяцев назад

      Mtu mweupe ni mzungu

    • @user-ie7ju3bq9p
      @user-ie7ju3bq9p 9 месяцев назад

      Mzungu ni mtu mwenye white skin, lakini kuna bright au brown skin people, yani Hawa kutoka Asia, na Mabara ya America wazungu ni Kutoka Bara Ulaya, Australia na nchini Urusi

    • @user-ie7ju3bq9p
      @user-ie7ju3bq9p 9 месяцев назад

      Mzungu ni mtu mwenye white skin, lakini kuna bright au brown skin people, yani Hawa kutoka Asia, na Mabara ya America wazungu ni Kutoka Bara Ulaya, Australia na nchini Urusi

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 2 месяца назад

    Mim mwenyewe nilijijua ni mzungu mim kumbe mim ni mwafrica aloo😂

  • @DTkichima-he5pn
    @DTkichima-he5pn 9 месяцев назад +2

    Beyonce je?

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 9 месяцев назад +1

    And wat roman reigns

  • @stevetoocool2880
    @stevetoocool2880 9 месяцев назад

    Umemsahau michael scofield

  • @user-sy5wc8jx4r
    @user-sy5wc8jx4r 9 месяцев назад +1

    Domi

  • @PaulinaNikolausi-uu3ix
    @PaulinaNikolausi-uu3ix 9 месяцев назад +1

    Apo ndounanichekeshaga wakufokafoka

  • @DaudiMsanzya
    @DaudiMsanzya 9 месяцев назад +1

    Chris brown

  • @annasolomon9855
    @annasolomon9855 9 месяцев назад +2

    Nampenda Obama sana😂

  • @aoloathumani10
    @aoloathumani10 9 месяцев назад +1

    Vp Beyonce

  • @furahaadam723
    @furahaadam723 3 месяца назад

    Criss brown

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 9 месяцев назад +1

    Kaka Mimi naomba utujuze je warabu NI wazungu au NI wahindi au watu gani tafadhali nifanyie video nijue

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 9 месяцев назад

      Ushasema waarabu halafu unauliza ni wazungu au wahindi???😂

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 9 месяцев назад

      Kuna makundi matatu ya binadamu wa Leo,negroid(hapo wapo watu wote weusi,kuanzia wanaoishi Africa,wahindi weusi,nakwingneko),kundi la pili ni mongoloids(hapa nikundi la wachina,wamongoli,japani,na wote wa mashariki ya mbli),na kundi la tatu,ni Caucasoid(hapa ni wazungu,waarabu,wahindi weupe na wekundi,pamoja na watu kutoka Africa ya kaskazini),,naamini kidogo nimekupa mwanga☺️☺️☺️

  • @noelmunuo4660
    @noelmunuo4660 9 месяцев назад +1

    Beyonce pia

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 9 месяцев назад

    SASA TWENDE KAZIIIIII

  • @user-jz3ku9pv1y
    @user-jz3ku9pv1y 9 месяцев назад +2

    😂

  • @Benjathekingofficialtv
    @Benjathekingofficialtv 9 месяцев назад +1

    The rock sio mtu kutoka afrika acha kudanganya , kuna mtu anaweza kuja hapa na kupinga na kuanza matusi ila nawapa challenge ebu ingia google andika TONGA hicho ni kisiwa kilichopo kwenye bara la oceania-pacific huko ndo origin yake ila sio african kabisa , ebu fuatilia mbele ya kubisha . Nimegunduwa watu wanadanganywa sana

  • @tamimbinaltan1325
    @tamimbinaltan1325 9 месяцев назад +1

    Drake

  • @angelmwaimu3676
    @angelmwaimu3676 9 месяцев назад +2

    Hata mm nilijijuaga kuwa ni mzungu. Kumbe ni black kutoka Dom pale