Daah!! Kaka Adam umeweza Sana sio Siri Kama wanaume wote wangekua Kama wew bc mapenz yangekua matam Sana Kaka ni unajua kumbembereza mpk bc kwanza saut tuu uporeee daah mashallah😘😘
Movie nzuri na yenye kuelemisha jamii san san upande wa wanandoa kujuw na nimependa pia ni filamu hii haina mambo mengi wala watu weng wachezaji wadogo na kitu kikatoka vizur sn big up san mr Adam na team yako yote
I miss home .. I miss the Swahili ... Nlikua natafta kitu ambacho kita boresha lugha ... nimechoka kusikiliza muziki nikapata filamu hii ... Wakenya njooni tuboreshe lugha 🇰🇪
Much-loved Adam very creative keep up hii filamu imelenga mwangu ana matatizo ya kuchukia mumewe akiwa mbali anapenda akiwa karibu anamchukia thanks alot Adam
Bana weee huyu mwanaume anajua kubembeleza sana yaaani hiii ni Kila mwanamke anahitaji katika maisha yake kama uko hivi in really life basi Mungu anakupenda sana....natamani nimtag li ex langu lije lione sababu ya kumuacha All in All kazi nzuri sana Adam en team kip it up tumeinjoy ❤
Yes bonge la move huwa sipendi kuangaria bongo move Ila kwahii nimevutiwa Sana mungu awatie nguvu nyote mulio shiriki na kufanikisha kazi nzuri Kama hii
Adam thank you for bringing such interesting movie ❤️❤️ Great lesson.Huyu mdada na kakake daaaah Nimependa part yao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aiseeeee.Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.So Amazing movie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
Iko powa nimekipenda, wanaume tunaonewa sana sema tu tunajikaza. Matukio mengi ya Mchongo mbaya zaidi hakuna wakututetea kudhihilisha ukweli. Nice movie.
Hii movie kali san aisee adam uko vizuri mimi ua spend za za ivi lakini hii nmeiyelewa hongela sana nimejifunza vitu vitatu katika hii movie cha kwanza 1 dawa ya mwnamke ni mwanamke mwenzie ya 2 hasira hasara na 3 tamaa na udanganyifu sio jambo zuri. hongereni sana kazi nzur
Adam,all what your firm is telling has ever happened to me,I just managed to let her go instead of being stacked by high blood pressure. Thank you for your movies. It is indeed happening.
Kaka adam umeuwa Msukuma na mmakonde watisha sana wameipendezesha movie yetu mary x.mass and happy new year for those who watched this movie and all Tanzanian people
Aloooohh Ina mafunzo mengi mnooo yani inshort mnajua nini mnakifanya,, Hongereni sana 👏👏👏,,, na aliye kudanganya kwenye ndoa tendo ni kila siku ole wake tumkamate atajua hajui na uyo mmakonde msimuache 😂😂😂🙌🏻
Ila Adam anajua kubembeleza jmn na saut flan iv👌ya mahaba ngoja tukupe like zako na maua Yako🌹🌹🌹🌹Na kingine tukupe hongra zako za mov nzur yenye mafunzo Zaid❤️❤️
Oya adam unajitahidi kutunga films ila umeanza vizuri kutafsili hii film kwa kiingeleza inabidi uendelee kutafsili kiingeleza ili uweze kupata soko ata nje ya nchi kaka salute sana kaka yangu ndo ayo
Mwanamke si.kma mtoto ila tu gee anajisahau mwanamme n kma mtoto alie shinda malezi ya wazazi wake kwa hyo mwanamke anafaa amridhishe mumewe ipasavyo na yote n hayo mume hufurahia mapenzi mazuri kwa mkewe mwanaume nawe inafaa umdekeze mkeo ipasavyo sisi wanawake tunapenda vijizawad vidogovidogo vya kutufurahisha ili tudumishe ndoa zetu😍👌 Adam kaza kamba umdekeze mpenzi wako
Movie nzuri inastahil tuzo kabisa lakin nao wanawake iwe fundisho wapo wenye tabia za kununa nuna bila sababu et anapima upendo wa mume wake wew mwanamke acha majaribio hao katka mapenzi majaribio ni shuleni👏👏👏👍.
Tazama Tamthilia yetu mpya ya MAISHA hapa👇👇
ruclips.net/video/I5DWuCwoa50/видео.htmlsi=nkCRa6PzP-d_Szjh
Adam sema tu niigizo ila kama ndoo mke bora singo
Iyo zuri akome
Tazama Tamthilia yetu mpya ya MAISHA hapa
Tag links ☺️
🎉@@BarikiJohn-ik4vo
Nani i mwengine anangalia huku akisoma comments like hapa awesome movie great work 🙏♥
Thanks a lot.
Hatamimi namuangalia huyu gear8
@@moratikibiki8111 haha umeona eh
. , Nia but
@@AdamLeoStudios apapaylFllaapllcLJaat
Wenye wanangalia comments ndio wa watch movie pita n like
Hahahha kama zote likeee,,, jiachie tu na filamu nzuri
Tupoo
@@naalinneno3558❤
𝐕𝐞𝐩 𝐚𝐝𝐚𝐦@@AdamLeoStudios
Yn hii ni Zaid ya funzo kwa wana ndoa wote mke na mume kwani unapofanya makosa ndani ya ndoa unaweza sababisha makosa mengine....much lv team Adam
Shukrani sana aisee🙏🙏🙏
Tazama hii hapa ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html❤❤❤
Daah!! Kaka Adam umeweza Sana sio Siri Kama wanaume wote wangekua Kama wew bc mapenz yangekua matam Sana Kaka ni unajua kumbembereza mpk bc kwanza saut tuu uporeee daah mashallah😘😘
Asante jamanii🙏🙏🙏
Hatuwez kuwa sawa woteee ww
San mno
hiyo n script tu imeandikwa awe hvyoo... jichnganyee ktk maisha ujue yuko hvyo... utakula sana mbataa🤣🤣
Filamu hii ni mojawapo ya filamu bora zaidi ya Swahili. Katika kufunza sheria za ndoa kutumia lugha na tamaduni za ki-afrika asili. Pongezi sana!!!
Shukrani sana aisee, tunatambua hili.
Hongera sana Adam kwa kazi nzuri..ila mimi nimependa mama mkwe wallah ana mafunzo mazuri kwa watoto
Asante sana jamani, endelea kutazama filamu zangu nyingine hapa hapa RUclips.
Huyuuu mam mkweee n bongeee la mamaaa🔥🔥🥰 big up xanaaaa mam mkwee wtee wawee kam huyuuu mam aiseeee bac hata ndoaa ztadumuuu♥️♥️♥️
Umeeeonaaaa ehhh..✊✊
Huyo Mama mkwe anasitaili pongazi
Sana kwa kweli.
nikweli mama kamahuyu ndoanajua mahuiano ya familia
Movie nzuri na yenye kuelemisha jamii san san upande wa wanandoa kujuw na nimependa pia ni filamu hii haina mambo mengi wala watu weng wachezaji wadogo na kitu kikatoka vizur sn big up san mr Adam na team yako yote
Asante mno kaka nashukuru🙏
😂😂😂😂😂Mashallah movie nzuri sana na huyu mtu na kakake wasukuma wanibamba mie 💞💞from kenya 🇰🇪 watching in Saudiarabia 🇸🇦
Asante sana Bi hadija
Khadija nitumie wasap no nikutafute,uko mji gani
@@abuusirleh8196 Nitafute fb kwa jina hilo hilo
@@khadijaali4657 umeweka picha gani
Tazama hii hapa ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html❤❤❤
I miss home .. I miss the Swahili ... Nlikua natafta kitu ambacho kita boresha lugha ... nimechoka kusikiliza muziki nikapata filamu hii ... Wakenya njooni tuboreshe lugha 🇰🇪
Shukrani sana kwa kweli🙏🙏🙏nawapenda wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
No problem ndugu yangu
Okay
Tuko... Twangoja filamu zaidi kutoka kenya
Sawa soon tunaachia mpya
Shetani ni mbaya ataka kuharibu chenye kimeundwa vizuri na Maulana...filamu yenyewe imebaba kweli...naipenda naitazama kutoka Nairobi Kenya
Kabisa kabisa
Much-loved Adam very creative keep up hii filamu imelenga mwangu ana matatizo ya kuchukia mumewe akiwa mbali anapenda akiwa karibu anamchukia thanks alot Adam
Ur welcome kipenzi!! Asante kwa kutazama na kuelewa ujumbe.
Hongera sana Kaka Adam na kwawote walioshiriki nimeipenda move nimejifunza mengi🥰🙏
Asante sana kwa kweli.
Huyu mdada mmakonde amenifurahisha😂😂 safi sana Adam na timu yako much love from 🇰🇪
Thanks jamani wa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Kazi nzuri.... Kama mnaikubali nipeni likes zenu🙏🙏🙏
Za kutosha tu chukuaaa
Chukuwa😃😃😃
❤❤
KAZI nzuri.Tazama hii hapa pia Kali ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html
Tazama hii hapa ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html❤❤❤
Waaah filam nzuri sana nmeipenda kwa kweli🔥🔥🔥👏👏👏 alafu Adam umzuri ❤❤❤❤ watching from 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Hahaa jamani Beyonce, nashukuru Mnoo
Mmbo
@@AdamLeoStudios❤
Bana weee huyu mwanaume anajua kubembeleza sana yaaani hiii ni Kila mwanamke anahitaji katika maisha yake kama uko hivi in really life basi Mungu anakupenda sana....natamani nimtag li ex langu lije lione sababu ya kumuacha
All in All kazi nzuri sana Adam en team kip it up tumeinjoy ❤
Nipo hivi hivi jamani🙏 Asante.
MUNGU wa mbinguni natamani ningepata Mme mzuri hivyo mwenye upendo hivyo daaa ningemshukuru saana MUNGU
@@rebecasaidi hawapo dada hata huyo kaigiza tuuu😔😔
Una uhakika gani nimeigiza tu @rukia
Utapata Rebeca, wanaume wa kweli tupo.
Adam Leo hii movie ni nzuri kali na ya kipekee..... Haichoshi kuangalia inachekesha na kuelimisha... Congratulations 🎉
Asante mno Wastara🙏🙏🙏
Tazama hii hapa ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html❤❤❤
Yes bonge la move huwa sipendi kuangaria bongo move Ila kwahii nimevutiwa Sana mungu awatie nguvu nyote mulio shiriki na kufanikisha kazi nzuri Kama hii
Shukrani sana,
What a great movie...mob love Adam..your big fan from Kenya🇰🇪
Thanks my love Lynne❤❤ I appreciate.
Naifagilia movie hii pia nikiwa254,pongezi
Shukrani
Tazama hii hapa Kali ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html
❤
Hongera sana damu yangu kwa hatua ulifika 🙏🏾👊🏽🏁... Hii kali mmakonde na msukuma waliikuzengua😁😁
Sana kwa kweli aisee... nashukuru mno jamaa.
Hongera Adam aki nimecheka sana uko mwisho big up bro 🇰🇪 🇸🇦
Shukrani sana🙏🙏🙏
Ndoa ndoano kaka yataka uvumilivu kabsa hongera kwa kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤bureèee
Shukrani sana
Wamama mujikirebishe kikweri mupeni wawumezenu hakizawo🙄🙄🦋❤️🤣 Adamu love tu somach for Oman 🇴🇲😍🦋🦋🎉🦋
Asante sana mnoo...!!!
This one,for real! Good.umecheza,Mr! Pongezi kwa tunzi zako,maadili kibao.asante.
Adam thank you for bringing such interesting movie ❤️❤️ Great lesson.Huyu mdada na kakake daaaah Nimependa part yao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aiseeeee.Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.So Amazing movie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
Thanks a lot aisee🙏🙏🙏
You are talented Adam keep going 🙏🙏🙏🙏
Asante jamani
Tazama hii hapa ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html❤❤❤
Hongera sana kaka adamu mungu akufungulie milango ya kazi zako mungu akubariki uzidi kutupa filamu nzury zaidii ya hii
Shukrani sana, tuko pamoja..
Broo Adam umetixha xana..nimekubali xana kazi yako pambana xana broo
Sawa mkuu naongeza juhudi.
Iko powa nimekipenda, wanaume tunaonewa sana sema tu tunajikaza. Matukio mengi ya Mchongo mbaya zaidi hakuna wakututetea kudhihilisha ukweli. Nice movie.
Asante kwa maoni yako hata taasisi za kutetea haki zetu nazo hazina nguvu au sijui ni vipi...!!! Ila kuna siku maonevu haya yataisha pia.🙏🙏
Hii movie kali san aisee adam uko vizuri mimi ua spend za za ivi lakini hii nmeiyelewa hongela sana nimejifunza vitu vitatu katika hii movie cha kwanza 1 dawa ya mwnamke ni mwanamke mwenzie ya 2 hasira hasara na 3 tamaa na udanganyifu sio jambo zuri. hongereni sana kazi nzur
Shukrani sana barikiwa🙏🏻🙏🏻
mashallah!Adam your movie is much interesting may God bless you so much for your good job,, watching from kenya❤❤❤
Thanks for watching
Akh mpaka nkalia,,,,bt at the end love 💕 wins much love 💕 from kenya.currently at gurlf naomba nkirudi niwajoini
Asante sana, usiache kusubscribe ili usipitwe na zijazo.🙏🙏
Mkaka anasauti nzuri sana yakumbereza Dem wake duh wanawake kueweni na hulumaa
Yaani ila huyo Geah hana huruma hata kidogo.
Kazi nzuri sana adam na group lako keep it up ❤❤❤much love from kenya
Thanks
Filamu hii inamafundisho tosha. Ni yakuelimisha, kuburudisha na pia yenye furaha kuitazama. Nimeipenda zaidi. Ni moto sana.
Asante
👍♥️ shema huyo dada mpigaji kapatia Sana 👏👏👏
Sanaa aisee yupo vizuri
pongezi sana Adam mungu asidi kukupea hiyo ujasiri na kipaji🙏🙏
Asante
Adam,all what your firm is telling has ever happened to me,I just managed to let her go instead of being stacked by high blood pressure. Thank you for your movies. It is indeed happening.
Thanks a lot, we appreciate for ur time to watch our content🙏🙏
Tazama hii hapa Kali ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html
Heri kuashilia iende sometimes hii watu mang'aa ni bure waumiza mioyo
Mama kisrani inapatiangwa slap, take🙄
Hahahha @Johnstone
Yaaaan mmetisha Kama huyo mmakonde aiseee ni fundi Sana hongereni kazi nzuri Sana mwamba Adam👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Shukrani sana jamani🙏🙏
Bro hongera Sana duh! Mie sina Huo moyo uko vizuri kwa kweli
Shukrani
Daah Iko pow sanaaa mwanzo imeixha vizurii 🥰
Shukrani mno
Umetisha kaka ..... kazi njema
Asante
@@AdamLeoStudios barikiwa kaka kwa kazi yako
Elimisha kizazi hiki
Jamani kazi nzuri sana kicheko mwanzo hadi mwisho nawapenda
Shukrani mno
Kaka congratulations 🎉 Kwa kutuelimisha na kutuburudisha na wenye wivu watabaki kuumwa sanaaaa keep going bro we love u
Asante sana kaka...!! Nashukuru kiukweli🙏
Wow bonge la movie sema nmeipenda sana na pia inamafunzo mno mungu awabariki nyote kwa jumla
Shukrani sana, asante kwa kutazama🙏 usiache ku subscribe ili usipitwe na zijazo.
Pamoja bro usijal
🙏🙏
Adam leo picha moja kali saaana hii kwanza huyu msichana na huyu kijana msukuma na mmakonde wazimu saaaana😅😅😅😅
Hahahaha jamani. Asante🙏🙏
Filamu nzuri yenye mafunzo kabisa. Hongera sana bro
Shukrani sana aisee.
Mashallah 💙💙💙nawapenda nyote mlio shiriki big up Adam
Asante sana Bi Khadija.
Twakupenda pia mpendwa wetu
Nzuri na muda mzuri.
Good movie and perfect time. Sio ndefu sana wala fupi sana. "Mafundisho bien."
Shukrani mno🙏
nawapenda sana mumecheza vizulisna ❤❤❤❤ mungu azidi kuwabali katika kaziyenyu na kama muna pendana nivizuli muna pendeza sana tu🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Asante mno
Haki mpo vizuri Mungu awabariki mzidi kuendelea
Asante sana, endelea kutazama nawe usipitwe na filamu mpya uaiache ku subscribe.
kazi nzuri❤🎉adam waongea kama suleiman hemedi🎉
Asante sana
Adam jina la mwanangu, nimeipenda sana hii movie. Gaga na mama big-up kwa sana. super talents, very composed in acting
Thanks a lot, we appreciate. Make sure u subscribe so u wont miss any of our new movie.
Tazama hii hapa Kali ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html
😢Wiw great movie Adams the lady bana nope ❤❤ watching from Kenya ❤
Thanks
Masha Allah kaz nzuri nimejifunza kitu may god bless you and keep going 😍😍 😍💞
Thanks a lot, I will.
Much love from Kampala Uganda. Bonge la movie bro . Yani hadi cc waganda imetushika.. Yaigiza mengi kuhusu mambo ndani ya ndoa.. Hongera bro
Shukrani sana ndugu zetu wa uganda.
Si nikakutana nayo RUclips, nkasema ngoja nichungulie, nmetoka basi😅😁 adam brother, nothing to say, tupe vitu👐🏽
Thanks a lot my brother Bemjamin tupo pamoja. Usisahau ku Subscribe ili usipitwe tu.
Kutazama muendelezo wa tamthilia yetu ya SLAY DANGA bonyeza hapa👇👇
ruclips.net/video/8ZQEcDFnqwE/видео.html
Wasia wa mamaaa uko level ingine movie tamuu sanaaa #watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shukrani mno🙏🙏
Bariki weni wa chezaji wa yi filamu nimejifunza mambo mengi sana kupitia filamu yi kabisa Mama Adamu MUNGU apate ku kubariki sana asante sana.
Shukrani sana🙏🙏
Uko makini sana broo Adam endelea kutuelimisha wana ndoa unapitia changamoto nyingi ila inshaaallah tuko pamoja sanaa
Asante sana kaka, tutaendelea kupeana darasa taratibu taratibu hivyo hivyo.
Naumia sana kuiona ii movie imechukua maisha yangu alisi ya ndoa yangu mpaka imevunjika n week 2 tu toka imevunjika
Pole sana kaka, hakuwa chaguo la MUNGU kwako hilo, bila shaka wako atakuja siku moja na utafurahia ndoa yako.
Dada mmakondee 😀😀😀😀😀😀umejua kunifurahisha
Asante mnooo🙏🙏
Bro unguza akili ulete doz ya pili,, hii kali sana 💪💪💪💪💪
Naileta soon
Kiekie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 muko ngufu kiekie 🤣🤣🤣🤣 aseme tena wana salimiana ata je suis par terre kiekie 🤣🤣🤣🤣 vraiment aksanti Sana wa sanii kiekie 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Shukrani sana!
Naitwa suneiya...ubrikiwe sma kka Adam 🥰🇰🇪
Asante sana.🙏
Much Love from Kenya.... Good work brother
Thanks a lot mwanangu wa kenya🇰🇪🇰🇪tuko pamoja sana.
Duh aiseeh Kweli kuna watu matapeli sana 😢 Yan kulewa kwake brother ndo kumjazia uongo kias hich😢
Ovyo kabisa huyo muuza Bar😂😂😂
good achievement bro nimependa sana filamu yako kaka haki imenifunza mengi MUSA huyu kutoka malindi kenya
Shukrani sana Musa🙏
Kaka adam umeuwa
Msukuma na mmakonde watisha sana wameipendezesha movie yetu mary x.mass and happy new year for those who watched this movie and all Tanzanian people
Nakubali sana kaka Fred, I appreciate🙏🙏🙏
Mama mkwe ongera !
Kwafundishoo
Shukrani sana.
I'm from Kenya bt I watch from Dubai nawapenda wote ♥️♥️♥️
Thanks a lot🙏🙏🙏
Tazama hii hapa ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html❤❤❤
Nice one.wanaume hupitia mengi whilst drunk coz ya stress🤯😱 mbana
Kweli kabisa
Aloooohh Ina mafunzo mengi mnooo yani inshort mnajua nini mnakifanya,, Hongereni sana 👏👏👏,,, na aliye kudanganya kwenye ndoa tendo ni kila siku ole wake tumkamate atajua hajui na uyo mmakonde msimuache 😂😂😂🙌🏻
Hahahahah jamanii😂😂😂hapa nipo namsaka aliyenidanganya huku nikipanga nguvu za kumkamata mmakonde upya
Hii filamu naiona kila sku ila naipita leo nmeitizama jamani ni tamu kolea maana sio tamu tuuuu yamu koleaaaa hongereni sanaaa 💕💕💕
Asante sana jamanii🙏🙏🙏
U subscribe sasa zisikupite nyingine...!!!
@@AdamLeoStudios wee nani atakubali kupitwa na vtu vtamu kama hvyo nishasubscribe muda sanaaaa💕💕
Sawa
jamani ongereni sn kwafilamu nzuri nilikua nahiona yutub lakini nilipo ihangaliya kihukweli kazi nzuri Sana tupo kongo drc ,😂
Asante sana.
Wadada muache ku2chukia bila 7bu mta2poteza big up broo Adam
Shukrani sana aisee.
wow congratulations 🎉 absolutely great 🎬 job well-done l just had to come and comment...job well done 👍👌
Thanks a lot.
Hujawai feli kwenye kazi yako hongera sana
Shukrani sana asante mnoo.
Mimi nimependa huyu dem wa msukuma ywanichekesha na anvyoongea😂😂😂😂 wangapi wanampenda❤❤❤
Wengii🤣🤣
Nimejifunz upenda na pia nimepata funza kuhus tamaa kwli hii story imenibamba sana na wapenda kutok kenya❤❤❤❤❤
Asante sana!
Wooow amazing teaching according to our young ladies
Thanks a lot
Tazama hii hapa ruclips.net/video/RlAdbiFvMKo/видео.html❤❤❤
Ila Adam anajua kubembeleza jmn na saut flan iv👌ya mahaba ngoja tukupe like zako na maua Yako🌹🌹🌹🌹Na kingine tukupe hongra zako za mov nzur yenye mafunzo Zaid❤️❤️
Shukrani sana sana🙏🙏
Thanks for good movie, its teaching, Enafudisha Sana asantene
Shukrani sana🙏🙏🙏
Nmejifunza mengi.... Thanks alot watching from kenya
Thanks for watching
Oya adam unajitahidi kutunga films ila umeanza vizuri kutafsili hii film kwa kiingeleza inabidi uendelee kutafsili kiingeleza ili uweze kupata soko ata nje ya nchi kaka salute sana kaka yangu ndo ayo
Shukrani nalifanyia kazi hilo.🙏
You gain a Kenyan 🇰🇪 fun 😊 your doing good job Bro 🥰🥰👌 hongera Sana.
Thanks a lot wakenya🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪nawapenda sana
Movie inamafunzo ndn yke Asante kazi nzuri
Asante sana usiache ku subscribe ili usipitwe na filamu ijayo.
Asante Adam huwa napenda movie zako❤️❤️❤️
Shukrani sana uskache ku subscribe
Mashallah kwa filamu zako nzuri sana mkaka hongera sana nazikubali mno
Asante sana kwa kweli.
@@AdamLeoStudios karibu sana kazi nzuri yaifanya
Good more than good bro bngo l move kwa kweli uko vzr bro
Shukrani sana kwa kweli🙏🙏
Mashalah 😅❤❤❤ very interesting movie ,,, watching from Saudi Arabia 👌👌👌
Thanks for watching
Hii filamu ina mafunzo mazuri ,😍😊👍🏾
Umeeonaa eh, tunashukuru sana kwa hilo usiache ku subscribe ili usipitwe na kazi zetu zijazo.
Mwanamke si.kma mtoto ila tu gee anajisahau mwanamme n kma mtoto alie shinda malezi ya wazazi wake kwa hyo mwanamke anafaa amridhishe mumewe ipasavyo na yote n hayo mume hufurahia mapenzi mazuri kwa mkewe mwanaume nawe inafaa umdekeze mkeo ipasavyo sisi wanawake tunapenda vijizawad vidogovidogo vya kutufurahisha ili tudumishe ndoa zetu😍👌 Adam kaza kamba umdekeze mpenzi wako
Hahahha nimempelekea UA kaninyari😂 nimepika chakula kakisusa sa nimpe roho au.. jamaniii haya nitakaza buti.
@@AdamLeoStudios 😅😅kaza buti alfu una hasira wewe baba 😂😂😂
Hahahah kwenye movie tu🤣🤣
Safiiiiiiiii sana mpendwa wetu mungu akulinde uzidi kutufatilia amina
Adamu nimependa kaz Yako big up sana kaka🎉🎉🎉🎉❤
Naomba uniunge kwenye filamu Napenda sana lakini cna support kak adamu
Tutafute kwenye mitandao yetu ya kijamii instagram @adamleotz
Movie nzuri inastahil tuzo kabisa lakin nao wanawake iwe fundisho wapo wenye tabia za kununa nuna bila sababu et anapima upendo wa mume wake wew mwanamke acha majaribio hao katka mapenzi majaribio ni shuleni👏👏👏👍.
Kabisa kabisa umeona eh...!!!
Wow amazing good work 👍🏼 nimependa sana 🙏 shukurani movie yenu
Asante kwa kutazama, usiache ku subscribe ili usipitwe na filamu ijayo.
Yaani kila nikikaa nairudia kuangalia hakika ni kazi nzuri
Shukrani sana aisee🙏🙏🙏
Watching from Saudi Arabia napenda hi filami sana
Shukrani mno aisee🙏🙏
Keep up good work. Umechangamsha siku yang. From kenya
Shukrani aisee