DAKIKA ZA MWISHO ZA DUDU BAYA | Reality Show episode 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • HII NI EPISODE YA KWANZA YA DAKIKA ZA MWISHO ZENYE MAUMIVU ZA MSANII DUDU BAYA REALITY SHOW INAYOONYESHA UKWELI WA MAISHA ALIYOPITIA DUDU BAYA UGONJWA UNAOMSUMBUA NA MAENDELEO YAKE YA KIAFYA UTAYAPATA KUPITIA REALITY SHOW HII YA DAKIKA ZA MWISHO

Комментарии • 17

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 22 дня назад +3

    Dudu hongera kwa ujasiri wako kaka mungu akutie nguvu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 22 дня назад +5

    mwisho wa siku sote tunakufa

  • @user-ex8ez2nc6g
    @user-ex8ez2nc6g 14 дней назад +1

    Mtangazaji una vijidharau flan

  • @issahvevo9430
    @issahvevo9430 14 дней назад

    Mwandishi anajiona mjanja lakini niseme tu mwandishi #amekaa_kimalaya_sana

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 22 дня назад +1

    Jamaaa kachooooka kwa gongo

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 20 дней назад +1

    Dudubaya anaumwa jamani. Taji number nikutumie chochote

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 22 дня назад

    🎉🎉🎉

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 22 дня назад

    iyo gari aisee

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 22 дня назад

    Mali ziko wapi, mbona wazunguka Dudu baya😂

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 18 дней назад

    Huyu mwandishi ni kama anamchimba dudu baya maswali yake ni kama ana ongea na mtu ambae hajielewi hicho kitu sijakupenda ujue lakin Mimi najua dudu ni mtu makini

  • @Alexbenon-ow5lh
    @Alexbenon-ow5lh 15 дней назад

    Mwandish kama hajasoma huyu.

  • @sirpaza8513
    @sirpaza8513 21 день назад +1

    Dakika za Mwisho kwani amekufa?

    • @Charlznimilwa
      @Charlznimilwa 21 день назад

      Dakika za mwisho katika muzik wake

    • @shukranisibale1739
      @shukranisibale1739 19 дней назад

      Hawa madogo wana heading za kihuni tofaut na content

  • @Kayange-iv2tn
    @Kayange-iv2tn 21 день назад

    Konk konk konk putin

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 18 дней назад

    Huyu mwandishi ni kama anamchimba dudu baya maswali yake ni kama ana ongea na mtu ambae hajielewi hicho kitu sijakupenda ujue lakin Mimi najua dudu ni mtu makini