MVUTANO BUNGENI KUHUSU GHARAMA ZA MWENGE WA UHURU "SIDHANI KAMA KUNA KITU MUHIMU KULIKO UHURU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 апр 2022

Комментарии • 123

  • @nuhumhagama8187
    @nuhumhagama8187 2 года назад +4

    👏👏👏 hongera Nusrat

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 года назад +2

    Mheshimiwa Nusrat, ubarikiwe Sana, kwa kutusemea Jambo Hilo bungeni, Nina hakika Mungu atafanya kitu,
    Maana hata Mungu anachukia Sana Hiyo sanamu

  • @adildewji
    @adildewji 2 года назад

    Wowwwwww, finally somebody brought this up. What a point. Thank you!

  • @festomsoffe3767
    @festomsoffe3767 2 года назад +6

    Mzungumzaji yuko vizuri wabunge msitupotoshe anachosema Nusrati ni nzuri kabisa vijana hawana ajira halafu mnapiga makofi

  • @bahatigwivaha2201
    @bahatigwivaha2201 2 года назад

    Asante sana Nusrat. Unaongea vitu vya maana sana vinavyogusa maisha ya Watanzania wengi vizazi na vizazi. Ila hao waheshimiwa wazee wetu walishalitumikia sana taifa, tunawashukuru lakini kwa sasa wamechoka wapumzike. Tunahitaji vijana kama Nusrat wengi ili tujikomboe. Mwenge hauna umuhimu tena kwa sasa, tuachane nao.

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 2 года назад +5

    Mwenge ni uchawi wa CCM

  • @mgangazephaniah230
    @mgangazephaniah230 2 года назад +4

    Nchi ilishauzwa ndugai kasema

  • @magembesitta5657
    @magembesitta5657 2 года назад +6

    Nusra unaakali kuliko wabunge wote wa ccm

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 года назад +7

    Africa kuendelea ni ndoto

  • @amosedward4326
    @amosedward4326 2 года назад +4

    Dada uko sahihi 💯✅

  • @joevang4685
    @joevang4685 2 года назад +5

    hawajamuelewa kabisa dada

  • @nuhumhagama8187
    @nuhumhagama8187 2 года назад +4

    Miradi haiwezi kukaguliwa bila ya mwenge!!!!!

  • @floriankissinda6446
    @floriankissinda6446 2 года назад +4

    Hoja na majibu ni tofauti 100%

  • @shabaniissa3163
    @shabaniissa3163 2 года назад

    Asante nimekuwlewa sana , serikali ndio haina huruma na wanaichi wake

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 года назад

    Hongera mbunge wetu Nusra, huo mwenge Ni sanamu ya bure,

  • @BONGOLEO
    @BONGOLEO 2 года назад +4

    Nafikir nusrati hawajamuelewa wanamjibu tofauti na anachouliza

  • @donatusmwenda4624
    @donatusmwenda4624 2 года назад

    Jamani huo Mwenga sio kuwa haujadiliki. Utetezi wake bado ni hafifu sana. Nusrati safi sana.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 года назад +4

    We ole sendeka kwa akili yk mwenge unaweza Murika nje ya mipaka!

  • @bozbun3994
    @bozbun3994 2 года назад +2

    Dada. Umeongea point
    Afu kunajitu linasema ...hakuna value of money.
    Afu kunamajitu inapiga makofi.

  • @marselojr9884
    @marselojr9884 2 года назад +2

    Nusrat nakuombea mema ww ni msomi wa kweli, hoja zako zina-u takatifu fulani hv. Hao wenzako hawaeleweki pande zote wanatwanga makofi tu ilimradi zao zinawaendea. Mungu akutunze daima

  • @nuhumhagama8187
    @nuhumhagama8187 2 года назад +4

    Mwenge unaleta amani gan,i upendo gani na heshima gani kwa tanzania!?!??? Ni upuuzi mtupu

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 2 года назад +3

    Hapana mwenge siyo mhimu sana

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 года назад +6

    Mwenge ni upuuzu mtupu. Kila kitu munaweka jina la Rais. Ujinga gani huwo?

  • @saketnicholaus9962
    @saketnicholaus9962 2 года назад +3

    Dada uko sahihi kabisa

  • @nasibumakweta6896
    @nasibumakweta6896 2 года назад +2

    Yupo sahii kabisa..hawa wakosoaji wananufaika kuna namna

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 года назад +1

    Kuendelea kutumia Mwenge Ni Sawa na kutumia mawazo na mfumo wa Anarog wakati tupo katika mfumo wa Digital.

  • @leonardgodliver9043
    @leonardgodliver9043 2 года назад

    Mwenge ni ishara ya umoja, mshikamano na amani...Acha Mwenge uendelee

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 года назад

      Amani ipi ktk nchi hii? Haki isipokuwepo amani haipo

  • @nuhumhagama8187
    @nuhumhagama8187 2 года назад +2

    Mwenge uchawi tu uondolewe kabisa hauna faida kwa watanzania

  • @brittoyes7747
    @brittoyes7747 2 года назад +2

    Dada mngu akuongoze nausonge mbele Zaid yahapo

  • @rwechungurajohn3592
    @rwechungurajohn3592 2 года назад

    Ww umejibu kwa kupiga tu ilimladi kuongea dada anaongea points

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 года назад +1

    Matumiz tu mabaya ya pesa

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 года назад

    Museum to be remembered at one time we had Kama kitu Cha kuzindua miradi! Elimu jamani! MWENGE uliletwa becoz watu hawakua na Elimu

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 2 года назад

    Big up Nusrat. Hawa wapuuzi wa Ccm wamefail mpk kufikiri ndio Mana value for money hawaon umuhimu wke sbb ya kunuka rushwa. Zero brains tunawasubiri kwny sanduku la kura 2025 mtafurahi na show.

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 2 года назад

    Dah

  • @ibrahamis8795
    @ibrahamis8795 2 года назад +1

    Nusrat tumekuelewa

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 года назад +2

    Mwenye hauna faida yoyote zaidi ya hasara tu

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 2 года назад +1

    Nimoooooo

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 года назад +4

    Mwenge Ni Dili la Upigaji Kujaza matumbo Ya Wachache.

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 2 года назад +1

    hoja za msingi mnajibu kisiasa huu mweng unatuongezeea gharama nyingi ambazo hazikutakiwa kuwepo ata kimaadili una disadvantages nyingi

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 года назад +4

    Nusrat ana hoja ila hawajamuelewa kabisa na majibu ni ya kisiasa sana tofauti na logic iliyoko kwenye swali.Nadhani kuna chakula wanajaribu kukilinda

  • @joevang4685
    @joevang4685 2 года назад +2

    swala la mwenge serikal ingejua... unapigwa vita sana mtaani. ila watu wanashindwa kusema. labda serkl ikiri kwann mwenge... kwann usitengewe siku yake kama siku ya uhusu. kukawa na tamasha na kuuwasha na kuuzima kuhamasisha.

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 2 года назад

    Mzee sendeka unaheshimika, acha kujishushia heshima

  • @eddyempire9797
    @eddyempire9797 2 года назад

    Tatzo ni kwamba hawajamwelewa Dada ...
    #alisema hv.. Kama Kuna namna ya tofauti tunaweza fanya tupate namna ya kuenzi mwenge

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 2 года назад +2

    Dada yupo vzr sana lakin tatizo hawataki kumuelewa kabisa

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 года назад

    Kweli kabisa, Mbunge wetu Nusrat umeona mbali sana, Mwenge imekuwa Kama igizo tu.
    Hata baba wa taifa angekuwepo angeshaachana na mbio za Mwenge, hauna maana yoyote, zinatumika gharama bure tu.

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 года назад

    Imbukwe Mwalimu Nyerere aliwahi kukataa mfumo wa vyama vingi, lakini alipoona faida za vyama vingi, alikubali kusaini.
    Mimi nashauri mbio za Mwenge ziondolewe, tuangalie mbinu Mpya ya kumulika Amani na mshikamano,

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 2 года назад +1

    Kumbe kuwasha na kuuweka ktk mlima Kilimanjaro na siyo kuukimbiza

  • @rodenmgata4927
    @rodenmgata4927 2 года назад +1

    Jaman mbona Dada yuko vizur kikos kikubwa sana kinachokwenda huko

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 2 года назад +2

    Sasa naibu spika mbunge anakuuliza hakuna njia nyengine ya kufanya ili kupunguza gharama?
    Hukumuelewa hoja yake mbungu!

  • @shabanihamidu5599
    @shabanihamidu5599 2 года назад

    Kweli kabisa dada mbona hawaweki wazi gharama

  • @frankhaule8570
    @frankhaule8570 2 года назад

    Amejchanganya Sana hapo alipotach huyu Mdada vtu vngne nivyakumute tuu

  • @bernsterproduction7724
    @bernsterproduction7724 2 года назад

    MWENGE UTAFUTIWE MAHALA PAKE PA KUWASHWA CYO KUZUNGUSHWA!!

  • @tonnyford5782
    @tonnyford5782 2 года назад +1

    Mh anaongea ya maana🤣🤣🤣 upande wa pili Sasa wanamponda?

  • @frank01tz
    @frank01tz 2 года назад

    Uchawi mptupu na si zaidi ya hapo! Ndo maana Hutoona Budget yake, Watanzania hatuhitaji mwenge tunahitaji viongozi bora, waadilifu na wenye kujielewa. Tanzania tunahitaji siasa safi na sio mwenge, toka tumemulikwa na mwenge mbona wala rushwa hawapungui? Kila kukicha tunazalisha viongozi wezi na wasiojielewa ndo maana hatuendelei. Kifupi hatuhitaji mwenge

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 2 года назад +2

    Mjumbe anachangia kwa woga sana lkn ana hoja

  • @bungesabaya8062
    @bungesabaya8062 2 года назад +3

    Mweshimiwa nusurati uko sahihi kabisaa.

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 2 года назад +1

    Miradi kwani mawaziri husika kazi zao ni nn

  • @bernsterproduction7724
    @bernsterproduction7724 2 года назад

    Huyo anaetetea mwenge kuendelea kuzunguka lazima anapata chochote kitu.

  • @smarty1064
    @smarty1064 2 года назад +1

    Utamaduni...nembo...ila ndo bajeti yake haipo bungen...zinapigwa juu kwa juu hapo

  • @musaisandeko8352
    @musaisandeko8352 2 года назад +4

    Puh! Puh! Puh! Puh! Taarifaaaa mheshimiwa naib spika too much Ili binge Ili mmh!! Kwanza huo mwenge umeshiliki kueneza maambukiz ya HIV kwa kias kikubwa katika nchi yetu

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 года назад

      Upo sahihi. Ukienda mwenge unapolala,kuna uchafu mkubwa.

  • @marthakirahi3209
    @marthakirahi3209 2 года назад

    Mwenge uendelee kwani hata usipokuwepo iyo hela itaenda wpi acha waliopewa wapewe tusionavyo acha tukae

  • @methuselamethusela9020
    @methuselamethusela9020 2 года назад

    sendeka bona mmemkatili kumbe nyinyisote wapigadili

  • @annakletayohana4561
    @annakletayohana4561 2 года назад +1

    We Olesendeka wewe Amani inaletwa na Mungu

  • @agripinaaudax168
    @agripinaaudax168 2 года назад

    Mwenge ni upigaji tu

  • @agripinaaudax168
    @agripinaaudax168 2 года назад

    Zungu ndo amnazo kbsaa

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 2 года назад +1

    Wabunge kila kitu makofi

    • @mwinyikadhi2870
      @mwinyikadhi2870 2 года назад

      Wajinga Sana Hawa watu kama.sio wapumbavu

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 2 года назад

    Utamaduni huo wa mwenge ni wenu nyinyi tu watu wachache mnaojinufaisha sisi wengine siutamaduni wetu hasa zanzibar

  • @magembesitta5657
    @magembesitta5657 2 года назад +2

    Majambazi wakubwa nyie

  • @agripinaaudax168
    @agripinaaudax168 2 года назад

    Siasa kwenye uchumi ndo mnaharibu pakubwa ccm oyeee

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 2 года назад

    Eti nembo ya Taifa, Taifa lina nembo ngapi mbona nembo zingine hazitembezwi.

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 2 года назад +1

    Uko sahihi Mheshimiwa, Mwenge utafutiwe njia mbadala,vinginevyo hawa wengine wanatafuta ulaji wa hizo hela hamna cha nembo ya nchi

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 2 года назад

    Mhuu siasa ni ki2 Cha ajabu sana Hadi wazee wanatetea chakula 🤔 nawaza kwa saut

  • @magembesitta5657
    @magembesitta5657 2 года назад +2

    Mungu ndio analeta matumaini na aman sio utaila wa mwenge

  • @magembesitta5657
    @magembesitta5657 2 года назад +1

    Utaila mtup kuibia hela za walipa kod

    • @allysuleiman6022
      @allysuleiman6022 2 года назад

      Yani ujinga hata mtoto anaweza kujibu huu upunzi wao mwenge kitu gani kumamazao mijizi tu hii wanatumia mibilion kwa mibilion wakti kuna kata mpka kesho hazina maji hii miccm haifai tena kuongoza Tanzania

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 2 года назад

    Cccm tatizo kumbwa sana mtu anatoa hoja yamsingi sana kwani tusiweke anae taka kuona aende aone jamani

  • @annakletayohana4561
    @annakletayohana4561 2 года назад

    Basi tufanye ivi limwenge liwe linawashwa kwe TV linatazamwa siku moja na watz wote

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 2 года назад

    Wabunge wa ccm bana hawana uchungu kabisa na kodi za wananchi.

  • @kitambiamiri3644
    @kitambiamiri3644 2 года назад

    Hili neno Taarifa NACHUKIA

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 года назад

    Mbusese huyo aliyetowa taharifa mjinga mmoja huwo baba hanithi mmoja

  • @frankhaule8570
    @frankhaule8570 2 года назад

    Be care utanyooshwa na hlo binge uslione

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 года назад

    Kwani huu mwenge unamanufaa gani si uwekwe makumbusho.

  • @immahkobeh7620
    @immahkobeh7620 2 года назад

    Kweli wabunge wa ccm Ni mabuchuchu

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 года назад

    mimi siku hizinilishaacha kuwasikiliza hawa watu sioni la maana

  • @saiguranlaurent441
    @saiguranlaurent441 2 года назад

    Munamuooteza semeni mnatua shilingi ngapi ajue Kama itapunguzwa

  • @jayjuma3186
    @jayjuma3186 2 года назад +2

    Ujingaa Sanaa mwenge Wiz mtupu

  • @festomsoffe3767
    @festomsoffe3767 2 года назад

    Nusrati andika kwa maandishi watakuelewa tu

  • @loxlox150
    @loxlox150 2 года назад

    Wewe wataarifa umezingua nembo ndo nn kikubwa uwo mwenge unatumia ghalama nyingi ndo point ya uyo nusrat nusrat yupo sahh munamtoa katika njia yake mwenge hauna mn au kunaswala lipo katika uo mwenge

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 года назад

    R.I.P MDADA WETU

  • @judithkabisa8834
    @judithkabisa8834 2 года назад

    Fedha zinatoka wap8

  • @adrushassaan9948
    @adrushassaan9948 2 года назад

    Utamaduni wenye hasara

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 года назад

    Yaani watu wafe eti kisa nembo! MWENGE UWEKWE KWENYE KUMBUKUMBU

  • @agripinaaudax168
    @agripinaaudax168 2 года назад

    Hivi hao ni vijana wa wawapi vile

  • @eliadsimbaya5156
    @eliadsimbaya5156 2 года назад

    Ukiitumia akili yako sawasawa bila kuchanganya na mawazo ya kisiasa yaliyojaa uongo na upgaji mkubwa wa fedha bila kujali maslahi ya taifa,,,utagundua ukweli kuwa, Mwenge ni ujinga ujinga ujinga ujinga,,,, Tamaduni ya kishetani hizo pesa mngegawa kwa wananchi Kama gawio kutoka serikali yao mngepata baraka Kubwa,,,,au pelekeni kwa yatima wakale bata na wao

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 2 года назад

    Huyu nusurat fala tu

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 2 года назад

    Unapambana na hoja usiyo ijua. Kila taifa lina taratibu zake na desturi zao ambao ndo utambulisho wa taifa husika. Mbona hujawahi kupinga kifimbo cha malkia? kina faida gani kwetu. Afadhali mwenge unachagiza maendeleo ya taifa.

    • @mohamedsalum8933
      @mohamedsalum8933 2 года назад

      Kifimbo Cha malkia kinatuhusu nn hpa tunazungumzia mwenge? I swear this kind of ignorance disgusts me to the maximum.

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 2 года назад

    Mbunge unae tetea mwenge tunakusubiri kwasababu unatuonyesha usivyo na akili na nikwasababu mnakula kodi zetu

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 2 года назад +1

    Huyu dada mbunge nadhan atakuwa chadema ndio maana anapingwa

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 2 года назад

    Hujui historia ya nchi wewe nusurat

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 2 года назад

    Dada hata Kama wamekukataa ila wanachimba tumekuelewa. Spika hutakiwi kupinga hoja za watu,,,simama katikati ya hoja

  • @ernestgamba3732
    @ernestgamba3732 2 года назад +1

    Pumbafu sana...huyo anaitwa Mbunge kwa sifa zipo za kuwa mbunge wkati ni mwizi tu kwa Michongo ya Ndugai,Mahera na sasa Tulia???!. Ovyo kabs💉👊