Umeuliza maswali mawili mazuri sana ushoga na kijiuwa. Swali wapili niaibu hata kuliuliza ati kwenye kuowa utoe shariti yako twaambiwa kwenye dini ni wa inne
Wengine wanauliza sio kwamba hawajui, bali wanauliza kwa faida ya wengine waliohudhuria... Tuweni ni dhana njema kwa wenzetu. Maana Allah pekee ndiye anayejua yaliyomo vifuani mwetu.
Shukran sana sheik 😊
Shukran sana Sheikh wa jazaka Allah khayra
Barakallahu fiyka
Umeuliza maswali mawili mazuri sana ushoga na kijiuwa. Swali wapili niaibu hata kuliuliza ati kwenye kuowa utoe shariti yako twaambiwa kwenye dini ni wa inne
Mimi hata siwezi kuuliza swali hilo nasikia kichefuchefu shoga haswaliwi
Utaswaliaje maiti iliyolaaniwa????
Sheikh apo uliposema saiv hakuna tena mashahidi wa kuuliwa kwenye vita naomba ukapaangalie tena vizur zaid
Kwani ww unaona wapo? Au uneskia lini na wapi kua Kuna vta ya jihad?
Kwa sasa hakna vta ya jihadi
Mbona mabasha huwa hawaongelewi nnn hukumu yao
hukumu yao moja
Sasa muulize sheikh wako ni maiti zipi zilolaaniwa????
MTIHAN TULIANAO LEO WATU HATUULIZ MSWAL KWA KUTAKA KUJUA MAMBO ILA WATU WANAULIZA ILI WAJUE KAMA UNAJUA
صدقت أخي
Wengine wanauliza sio kwamba hawajui, bali wanauliza kwa faida ya wengine waliohudhuria... Tuweni ni dhana njema kwa wenzetu. Maana Allah pekee ndiye anayejua yaliyomo vifuani mwetu.
Kweri
Dhana nzuri
dhana nzuri