Azam FC 5-1 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 25/05/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024
  • Feisal Salum amefunga magoli mawili Azam FC ikiibugiza Kagera Sugar mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.....
    Magoli mengine kwenye mchezo huu yametoka kwa Gibril Sillah dakika ya 50’, Kipre Jr dakika ya 65' na Iddy Nado dakika ya 90, huku Feisal akifunga yake dakika ya 72 na 79.
  • СпортСпорт

Комментарии • 5

  • @fatumabashari8358
    @fatumabashari8358 20 дней назад +1

    Mmenunua mechi AZAM

  • @erikoctavian748
    @erikoctavian748 21 день назад

    walizidiwa tu aisee

  • @dismasfandi8756
    @dismasfandi8756 21 день назад +1

    Kagera wamejivunjia heshima kwa kuuza mechi hiyo.Wapenzi wa soka hawatasahau jambo hilo ingawa ndo wanagawanaka mkwsnja

  • @Jacobwilliam-ii6gk
    @Jacobwilliam-ii6gk 21 день назад

    Kagera sugar wamefungwa na timu Bora walizidiwa kiwango tu hawajauza mechi.

  • @IslahiMohamed-qi2jf
    @IslahiMohamed-qi2jf 21 день назад

    Hawajauza wamezidiwa