Its stupid and it's hypocritical not to speak Swahili, the French speak French, the Italians speak Italian and Germans speak German. For you as a Kenyan to stand there and say you can't speak Swahili it's an embarrassment.
@Yami Marik Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa, hana Mke wala Mtoto, Adam hakuwa na Baba wala Mama mbona haitwi Mungu? Hiyo ni Shirk na ukafir Mkubwa
@Yami Marik Acha Ushirikina, Mungu hana Mtoto, maandiko yamechezewa ndo maana huwezi kuta myaudi anaamini Utatu, Mungu ni mmoja tu, Wazungu wamewatengenezea miungu, we wakati Yesu yuko tumboni nani alikuwa anaongoza Dunia? Huo ni ukafiri acha kabisa, nipe andiko moja Yesu anajitaja yeye ni Mungu tumuabudu?
Kweli, lugha ni maelewano, sio msamiati wa kamusi...lugha ya Kiswahili sio ngumu,ila wakenya wamepuuzulia na kuidharau, ngali ni lugha ya mababu zao...
Huyu swahiba aliuliza neno gumu kutoka kwenye Kamusi. Kama hata neno rahisi kama 'nyingi' wengi hutamka 'mingi' bila kuzingatia ngeli, hawangeweza kung'amua maana ya neno 'msukudishi'.
Hili si jambo la kutania bwana kiswahili ndiyo lugha yetu kama waafrika kwa hivyo tujitahidi kiingereza ni lugha ya kikoloni ebu tuwache mafikra ya kikoloni
Millon's of Tanzanians don't know the meaning of msukudushi but they are fluent in kiswahili. What is important is knowing how to use 'ngeli'. That is grammer. They speak kiswahili in English accent what a shame.
Justo Oluoch I actually want to relearn Kiswahili sanifu. It’s a shame that most Kenyans can’t speak fluently in kiswahili when the birth place of the language was actually the Kenyan coast not even Tanzania. Most Kenyans prefer to be westernized. We chose English over our African language
HUNA KOLOTE MTANGAZAJI HUKUTAKIWA UULIZE MAANA YA NENO ULITAKIWA UWAONGELESHE KISWAHILI SIO NENO MAANA ..MIMI NIPI ZANZIBAR LKN SIJUI MAANA YA NENO ILO
Kenyans be proud of your languages.Your tribal language and swahili. It's sad to see some Kenyans are ashamed of swahili.
we are proud of our language we know English more than kisw
People who are prouder of other people languages to their own suffer from mental slavery. Mimi ni mkenya na napenda kuongea Kiswahili
Its stupid and it's hypocritical not to speak Swahili, the French speak French, the Italians speak Italian and Germans speak German. For you as a Kenyan to stand there and say you can't speak Swahili it's an embarrassment.
So
Nyie Wanahabari mnakosea saana, hata uwaulize Wa Tz wengi neno Hilo hawalifaham, Lugha Ni mawasiliano Sio misamiati migumu
@Yami Marik Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa, hana Mke wala Mtoto, Adam hakuwa na Baba wala Mama mbona haitwi Mungu? Hiyo ni Shirk na ukafir Mkubwa
@Yami Marik Acha Ushirikina, Mungu hana Mtoto, maandiko yamechezewa ndo maana huwezi kuta myaudi anaamini Utatu, Mungu ni mmoja tu, Wazungu wamewatengenezea miungu, we wakati Yesu yuko tumboni nani alikuwa anaongoza Dunia? Huo ni ukafiri acha kabisa, nipe andiko moja Yesu anajitaja yeye ni Mungu tumuabudu?
Kweli, lugha ni maelewano, sio msamiati wa kamusi...lugha ya Kiswahili sio ngumu,ila wakenya wamepuuzulia na kuidharau, ngali ni lugha ya mababu zao...
Kakudanganya nani
Huyu swahiba aliuliza neno gumu kutoka kwenye Kamusi. Kama hata neno rahisi kama 'nyingi' wengi hutamka 'mingi' bila kuzingatia ngeli, hawangeweza kung'amua maana ya neno 'msukudishi'.
That's not the measure of knowing a language... You can't know all the words of a language.....That's not how language works
Hili si jambo la kutania bwana kiswahili ndiyo lugha yetu kama waafrika kwa hivyo tujitahidi kiingereza ni lugha ya kikoloni ebu tuwache mafikra ya kikoloni
huyo nani alishika reflector😂
Millon's of Tanzanians don't know the meaning of msukudushi but they are fluent in kiswahili. What is important is knowing how to use 'ngeli'. That is grammer. They speak kiswahili in English accent what a shame.
Kiswahili nichawatanzania siyo wakenya
Justo Oluoch
I actually want to relearn Kiswahili sanifu. It’s a shame that most Kenyans can’t speak fluently in kiswahili when the birth place of the language was actually the Kenyan coast not even Tanzania. Most Kenyans prefer to be westernized. We chose English over our African language
@@Hadda23 acha uongo Kiswahili hakijaanzia pwani ya Kenya huwa mnajifariji tu lakini ukweli lugha ya Kiswahili nyumbani kwao ni Tanzania
And what about Ugandan accent,you all have problems with Tanzanians
simon kobero Unataka kushindani na mimi ? Kiswahili kilianza kama lugha ya miji kama vile kilwa Kenya. Rudi shuleni ukasome
East Africa should speak swahili official then may all of Africa why not 2/8/2020
Wakenya tukipende na kukienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili
Wow
That's the game... where it's a 9x9 sqaure.. and you have to plug in the numbers? Sukodishi?
I know this is 3 years down the line but is it msukudishi or msudukishi?...Hapo tulichezwa.
Wauu
HUNA KOLOTE MTANGAZAJI HUKUTAKIWA UULIZE MAANA YA NENO ULITAKIWA UWAONGELESHE KISWAHILI SIO NENO MAANA ..MIMI NIPI ZANZIBAR LKN SIJUI MAANA YA NENO ILO
Mtangazaji alichanganyikiwa. Si neno hili ni msudukishi uaani msutaji
Huo ni.msimu ambao haujaishi
Hii ni aibu watu weusi kama makaa, wanajivunia lugha za kimombo.....watumwa..
Ua wauu
Msukudish is the person that who is asking you
Kukufajibu mweee
Swahili Bible App
Arabic Bible App
Afrikaans bible App
English Bible
Labda hio ni kimasai😂