"GUNGA NDO HUWANGA MARASHI,NDIO WANINOTICE NIKIINGIA KWA BASI" SMOOTH KA HULETI KEROMA KWA MEZA USIKAE KUDISHI" WOW BUDA UNAPENDA KULIA NA UKO BAZE UNAKAA TU" KALI
Mtaa Lyrics 🔥 Mi na boyz wangu wa mtaa yah Si hu freestyle palipo cash yah Rusha dice na hizo madoo zitoke saisai Toka teke hao masanse wakifika Wakizidi rudia Mi na boyz wangu wa mtaa yah Si hu freestyle palipo cash yah Rusha dice na hizo machain zifuate saisai Toka teke hao masanse wakifika Wakizidi rudia Money the motivation hapa nje Toka mtaa a hell of a ninja Nimeleta rungu kwa rap, sitaki wajunior Shida nimerun out of rubbers Huku mtaa si hu lead by example Pussy niggas huanga pia tuna sample Cheza na mimi nakata kichwa Nani anatesa nikate ? Ka huleti keroma kwa meza usikae kudishi Na hustle ni ka hamna kitu kwa dish Lazima ni stack mabunda nifuate nivunje sheria haijalishi kitu Hao makarau ndo mikono refu, mwizi akapewa bunduki Ati hadi kijana ashafika 18 ashakuwa mwizi aisee So mi najipanga lately naamkanga fiti nikimedi asubuhi Amen Mbogi imeitana mi ntatokea quickly penye nia pana njia Amen Mi hufinness design ya Odozze baby ka ni chain nimebeba za Mtaa Mbona nikose pesa na naweza gamble zikikam nanunua hii mtaa, Loci Mi na boyz wangu wa mtaa yah Si hu freestyle palipo cash yah Rusha dice na hizo madoo usitoke saisai Toka teke hao masanse wakifika Wakizidi rudia Mi na boyz wangu wa mtaa yah Si hu freestyle palipo cash yah Rusha dice na hizo machain zifuate saisai Toka teke hao masanse wakifika Wakizidi rudia Mi na boyz wangu tuko njaa Hakuna choice babu tunakuvaa Unaforce sana unaburn Mi and the whole Army iko kwangu incase unakam yah yah Nlidunga macuffs G before nidungwe macufling Kibera nimevaa sling mi tu ndo celeb Kenya anaweza panda mat D Addicted to hustling mi huanga ngati keja siwekangi masti Ngunga ndo huanga marashi ndo waninotice nikiingia kwa basi Nina boyz ukipitia atakuwasha unavutishwa mabongo tuskizia mashash Na usibonge ghasia takataka na mbona nkitokea wanaingia kwa vichaka Si huvurugana na nguvu za giza napiga mbu rungu ka una swali uliza Si humumunyanga wasupa kadaily anapigwa lugha anakuruka anarudi na mimba Mi na boyz wangu wa mtaa yah Si hu freestyle palipo cash yah Rusha dice na hizo madoo zitoke saisai Toka teke hao masanse wakifika Wakizidi rudia Mi na boyz wangu wa mtaa yah Si hu freestyle palipo cash yah Rusha dice na hizo machain zifuate saisai Toka teke hao masanse wakifika Wakizidi rudia Mi na boys wangu dabo tatu Tukifika Mtaa watu wanafyatu Buda unapenda kulia na uko base Unakaa tu We buda tulia utapigwa ma one two. Vile mi na come through Nafanya bado mi na undo. Vile mi naburn dope nazoza venye mi na earn dough Wananiita John Doe, sipatikani kwa mitambo Ni Bady toka kitambo Nawamurdernga tu Kama Rambo Uhh Na nahope mnanipata Take your girl then I put her on a platter Wacha vile mkisii ntaikata Leo ni Mimi na makaka Nina Madada na madawa Nimekam nimecome na Hii power Nimecome na Madoba Kama kawa sawa hii verse nshainawa
The last guy verse was well balanced interms of cadence I just wish he switched it up more a lil bit with machine gun rap the last part of the verse ....Good job though ... I'm always a fan of hiphop 😎
ENJOY #MTAA
STREAM FREEWILL ALBUM
BOOMPLAY : bit.ly/3BUacjV
SPOTIFY : spoti.fi/3k2y5Qt
APPLE : apple.co/3BPK7Cy
noma
keep up the good work..ngoma imeweza
Mbona nikose pesa na naweza gamble zikicome nanunua hii mtaa
Penye nia pana njia AMEN!!!
As Kalamashaka's first manager waaaaay back in 1998.....it's very refreshing to see dope Hip Hop like this. BIG UP. 🔥
Watch out for me..ukoo flani 4eva
Davie K-Shaka waliwasha moto unao teketea hadi wa leo, kesho na forever 🔥🔥🔥
🔥🔥
Mimi mahali scar ako sitawai kosa
I will say it again hakuna rapper Kenya anafika ligi ya wakadinali wote but scar man scar
Loci fiva, Mr Riz Mangwai, Evry B.A.D.Y , moto ka pasi... Mafans bado mpo..!
Eish scar rada gani? Umekill
Japicha been on it🔥🎥
Unavutishwa bongo tukiskizia shash😆
Apa ndio nimeona macho nyanya mara Kwanza..(the boy at the end of the video). DOPE VIDEO!!!!!
Wasibonge gasia takataka 😂😂, Scar 🔥
Imebidi nmepull up verse ya scar💯💯🔥🔥
Nimenyamazisha wasee hapa tusjie hio verse ya scar🔥🔥
YO!! hii ni moto.
Scar is always a banger🔥🔥
"Mbona nisote na naeza gamble ni buy ii mtaa"😅♨
Dabo tatu 33 representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.....BADY Toka kitambo kuwamada tu kama Rambo
Money ndio motivation hapa nje
Baddest nakuskia 🔥🔥
Mojo hapa
Vijana wako seti...support big from🇰🇪🇺🇸🇺🇸👌
"GUNGA NDO HUWANGA MARASHI,NDIO WANINOTICE NIKIINGIA KWA BASI" SMOOTH
KA HULETI KEROMA KWA MEZA USIKAE KUDISHI" WOW
BUDA UNAPENDA KULIA NA UKO BAZE UNAKAA TU" KALI
KALI
Si huvurugana na na nguvu za giza,mi hupiga rungu mbu kaa una swali uliza🔥🔥🔥🔥😆😆😆😆😆SCAAAAAR
BADY killed it on this track!!!🔥🔥🔥
Kama Boyz wangu wa mtaa can't fuck with this vibe, peace G!!✌️
mtaa 33 ngoma ni mbyaa respect
Mi na boys wangu wa mtaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Me na boyz wangu tuko njaa 🔥🔥🔥
😂😂😂Muluya umetetewaaaa
Si Tufike 100 K 🔥🔥🔥🔥
Double tatu.. Route ni 33🔥..ghetto ngori
Imeweza..piga mbu na rungu !
Nyamario hapo!!💥
#Scar mkafinali to the world 💥dope kibera ni meva sling mindio rapper anaeza ingia mat d
Mahali Scar ako naeza ingia na mlango 😂😂
Hawa maninja wangu. SALUTE 🔥🔥 on replay
Mtaaaaa !!! Now this is a home run to track
Creativity 💯💥💥💪
Mbona sikuwa nimesikia hii🐏GOAT's 🐏💯
Nlidunga macuffs before nidungwe macuffling.....its lit scar
bady....reppin area code..kweli😎
tatuTisa...
FREE WILL COP THE ALBUM 🔥🔥🔥
Mtaa
*Dope video, Japicha bigupyourselfMAN, the song is 🔥 beat pia imeweza*
Bady Nyamwariooooo🔥🔥🔥 classmate way back my G
Kubwaaaaaaa....MR. T n T did it again
Vijana hatari..mziki imekomaa..
just felt like i was in prison, BARS ON BARS 🔥🔥🔥🔥
finesse design ya Odozze Baby⚡⚡
My new favorite song cant wait for other bangers from the #Freewill Album
My G.👌🔥 Wagwan Cuz. 👊
Mtaa Lyrics 🔥
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoo zitoke saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machain zifuate saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Money the motivation hapa nje
Toka mtaa a hell of a ninja
Nimeleta rungu kwa rap, sitaki wajunior
Shida nimerun out of rubbers
Huku mtaa si hu lead by example
Pussy niggas huanga pia tuna sample
Cheza na mimi nakata kichwa
Nani anatesa nikate ?
Ka huleti keroma kwa meza usikae kudishi
Na hustle ni ka hamna kitu kwa dish
Lazima ni stack mabunda nifuate nivunje sheria haijalishi kitu
Hao makarau ndo mikono refu, mwizi akapewa bunduki
Ati hadi kijana ashafika 18 ashakuwa mwizi aisee
So mi najipanga lately naamkanga fiti nikimedi asubuhi Amen
Mbogi imeitana mi ntatokea quickly penye nia pana njia Amen
Mi hufinness design ya Odozze baby ka ni chain nimebeba za Mtaa
Mbona nikose pesa na naweza gamble zikikam nanunua hii mtaa, Loci
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoo usitoke saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machain zifuate saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu tuko njaa
Hakuna choice babu tunakuvaa
Unaforce sana unaburn
Mi and the whole Army iko kwangu incase unakam yah yah
Nlidunga macuffs G before nidungwe macufling
Kibera nimevaa sling mi tu ndo celeb Kenya anaweza panda mat D
Addicted to hustling mi huanga ngati keja siwekangi masti
Ngunga ndo huanga marashi ndo waninotice nikiingia kwa basi
Nina boyz ukipitia atakuwasha unavutishwa mabongo tuskizia mashash
Na usibonge ghasia takataka na mbona nkitokea wanaingia kwa vichaka
Si huvurugana na nguvu za giza napiga mbu rungu ka una swali uliza
Si humumunyanga wasupa kadaily anapigwa lugha anakuruka anarudi na mimba
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoo zitoke saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machain zifuate saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boys wangu dabo tatu
Tukifika Mtaa watu wanafyatu
Buda unapenda kulia na uko base Unakaa tu
We buda tulia utapigwa ma one two.
Vile mi na come through
Nafanya bado mi na undo.
Vile mi naburn dope nazoza venye mi na earn dough
Wananiita John Doe, sipatikani kwa mitambo
Ni Bady toka kitambo
Nawamurdernga tu Kama Rambo
Uhh
Na nahope mnanipata
Take your girl then I put her on a platter
Wacha vile mkisii ntaikata
Leo ni Mimi na makaka
Nina Madada na madawa
Nimekam nimecome na Hii power
Nimecome na Madoba Kama kawa sawa hii verse nshainawa
Japesa take lessons fire 🔥 😍 😋 👌 😫 😩
Eeish noma sana💯💯🔥🔥
Scar Mkadinali 🥶
Wapi likes za SCAR 🔥🔥🔥
Mbwaaaya 💪💪💪
Noma🔥
I just keep replaying this dope song ,😮Gai fafa,the aura,the game,the bars,the beat and the talent to top it off.
wakidi rudia💯🔥🔥
Mi na boys wangu tuko njaaa🥺
My G!!!⛽️🦅
BARAKA ESTO!!!!!!!!!!
Moto sana hio clip
Japicha production good job
Fans: Adrian Loci is too hard
Adrian loci: tell me something I ain't heard
JAPICHA innit 🔥
KEEP GOING,, GREAT WORK... IKO BEE- A
Hapo sawa Loci
Album track no 1 and it's like this 🔥🔥🔥🔥bro all the best ✌🏾
Mumble rapping mixed with trap very lit broh big up, 💯💯🇰🇪
Mumble rapping???????????????
@@gabrielnyali8443 maybe you don't get hiphop at all, learn more about hiphop community
@@gabrielnyali8443 😅😅😅
@@fredriqueqybett6501 hip hop
Apa akuna mumble rapping bro😂
Napiga mbu rungu ka una maswali uliza 🚀 scar ❤️🇰🇪
LOCI TO THE WORLD, STIMA HII
Chorus manze 🔥🔥🔥
Still sounding fresh!
Kenyan Talents Rock!!!!
Eeiiy eiiiiyy...🔥🔥🔥big up loci
Bigup my ninja Scar. Salute for the collabo
They ain't ready 🔥🔥
Watched coz scar is featured but adrian deserves a like🔥🔥🔥🔥
kali
MOTO SANA
wanashika Scar kwa video hawajui akona number ya commissioner😂😂😂
The last guy verse was well balanced interms of cadence I just wish he switched it up more a lil bit with machine gun rap the last part of the verse ....Good job though ...
I'm always a fan of hiphop 😎
🔥🔥🇰🇪🇰🇪 Njege masanse 🤦🏾♂️
kazi safi Sana...flow iko top
Liiiiiiiiiittttt
Nice music everybady
Noma sana🔥🔥
ayayayaa uzito tupu hii
Hakuna choice babu nakuvaaaaa😮💨🔥🔥🔥🔥
Boys wa Mtaa....pandisia iyo volume
Kali!!
B.A.D.Y TO the world.... 🔥🔥
kali sana
For reeeal💯
🔥🔥🔥💥💥ivo ivo
🔥🔥🔥Fire bro ....wasee tushare hii stuff ifike 10k views bana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥🎤🎤🚦🚦🚦🚦🚦🚧
Noma sana scar big up lit 🔥🔥
Uuuuuuwi🔥🔥🔥🔥💯💯💯
For real📌
Scar for life for life for real
imewezaaaaa
ngoma ni mbaya walai🔥🔥🔥🇰🇪