Mchungaji Kimaro wewe ni wa juu wewe ni wa juu nasema wewe ni wa juu subiri Mungu atakupandisha viwango vingine vikubwa sana wewe ni dhahabu wewe ni Lulu you are of another level
From Kenya. Hakika wacheni Mungu aitwe Mungu. Mungu anasikia maombi ya watu wake. Asante kwa unyenyekevu wa mtumishi kimaro. Na pia asante kwa watumishi wote wa kkkt kwa kumsamehea mchungaji,kweli hii ni ishara ya upendo mbarikiwe nyote pamoja na kanisa lote.
Huyu ndo mchungaji sasa anayekubali majaribu maana alijuwa haya ni mapito yatapita tu siyo wale kanisa likitikiswa kidogo tu wanahama kanisa hongera mtumishi wa Mungu napendaga sana mahubiri yako
Hallelujah hallelujah hallelujah mwanakondoo ameshinda Hallelujah! Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako Mchungaji Kimaro, kwa mara nyingine tena kwa vitendo umetufundisha unyenyekevu, Mungu azidi kukuinua.
Heri wapatanishi Kwa maana hao wataitwa waana wa Mungu! Pole sana baba Kimaro Jesus loves You. Roho mtakatifu akufundishe zaidi ktk njia zake. Nawapenda Baba na Mama Kimaro!
Asante baba Malasusa kwa hekima zako. Pia Kimaro Mungu akujaze siku kwa ajili ya kondoo wa Mungu na hekima uliyonayo na unyenyekevu mkuu sana. We real miss you 😭😭😭. My heart hunger
@anthonychaula6362nyinyi ndo tatizo kubwa sana kama alivyosema askofu kuna waumini wa kweli na wasio hao kazi yao nikuleta tatizo tuepukane nao na kamuonya Kimaro kwa ajili ya hao waumini we mmoja wapo .Do not touch my annointed ones unapataje nguvu ya kuongea sentence kama hio instead ya kusema asante Mungu kwa hili unataka kuanza kebehi as a christians tujitafakari sana
Ni kweli kabisa Baba Askofu Wakristo linavyotokea jambo ndani ya Kanisa tusiwe mashabiki bali tuwe mstari wa mbele kusawazisha ilo Kanisa lisipate doa maana ndani ya Kanisa wapo washabiki wa Imani
Asante yesu kwa kumtetea kimaro,japo naomba viongozi wa kkkt muwe na hekima na HOFU ya Mungu mnapofanya maamuzi,Kimaro mlitaka tu kumshika miguu lakn Yesu amemtetea,huduma ni ngumu sana mnapoona mwenzeni anainuka mshikeni mkono
Kama kuna waliosifiwa kuwa na tabia nzuri ni kwa utukufu wa bwana na waendeleze tabia nzuri na wanaojitambua kuwa na mapungu tumo tumuombe mungu atubadilìshe kwa damu ya yesu.mchungaji hakutaja jina la mtu na yeye si msemaji wa KKkT na kila mtumishi anatumiwa na roho kwa namna tofauti kufikisha ujumbe .Tumshukuru MUNGU kwa nguvu ya msamaha.Tusiende kwa kukosoana bali kuelekezana na kuchukuliana mizìgo.
Mungu acheni aitwe tu Mungu na njia zake kamwe azichunguziki daima sala zetu zimejibiwa tulifurahi na tunazidi kufurahi zaidi kwaajili yako wewe kwangu ni baba barikiwa mtumishi kimaro leo na kesho uzidi kubarikiwa
Mungu ww ni Ebenezer asante kwa mtoto wko Eliona kama lilivo jina lake Eliona maana yake Mungu Angalia na akaangalia Asante Mungu usiesinzia ukampa mwanao kutokutetereka kwa yaliyotokea ukamshikilia hakutangtang kutamani kulihama kanisa🙏🙏 hadi leo tunaendelea nae pole sana Kimaro asanteni watumishi wa Mungu🙏🙏🥰
Mungu akutunze, ana makusudi na wewe, majaribu yasikurudishe nyuma, hata mwanae Mungu aliyapitia na akayashinda, usilie , mtumikie Mungu mpaka mwisho wa dahari. Amina
MUNGU ni mwema hakika nimependa hekima za baba askofu malasusa huo ndio ukristo kusameheana he is such a man of GOD am happy too kwa kimaro mafundisho yake huwa yananibariki sana.
Ashikuliwe Mungu wa mbinguni, nimelia sana Kwa furaha Kwa kuona mchungaji huyu kasemahewa na aendelee na kazi ya kituelimisha. Nimemuona mkono wa bwana ni kweli bwana hutenda Kwa wakati wake.
Msamaha kwa kosa lipi?? Na kama Kuna kosa inamaana washirika walikuwa wanaandamana huku wakijua makosa ya mchungaji wao??? Hii ni funika kombe mwanaharamu apite
Ahsante mchungaji Kimaro Kwa kujishusha pia Kwa kukaa kimya Kwa kipindi chote hiki bila kujitoa kwenye media kuongelea haya yaliyotokea. Ubarikiwe sana Mchungaji Kimaro. Pia nakupongeza askofu Malasusa Kwa kutoa msamaha Kwa Mtumishi wako hiyo inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa na upendo. Mbarikiwe wote
Nimeshtuka nimetetemeka nimefurahi changanya hizo hali zote kwa pamoja, cjui hata ninajisikiaje nikiwa miongoni mwa watu wanaompenda sana mtumishi huyu wa bwana.
Yaani machozi yamenitoka + huo mvurugano ulioutaja. Yaani hata sijielewi. Huyu mtu wa Mungu amekua baraka sana kwa wengi. Pia mwingi wa hekima. Mungu tutunzie huyu kiumbe wako
Tu samehewe kama tunavyowasamehee wengine waliotukosea,. Asante Baba Askofu kwa hekima yako kwa kizazi hiki.Heri wenye moyo safi maana watamuona Mungu. 🙏🏻🙏🏻
Kwa unyenyekevu huo baba hakika Mungu hatakuacha, hata Yesu kuna wakati alidharirishwa lakini alikuwa mtiii sana, Hakika Mungu anakwenda kukitumia kwa viwango vingine
Mchungaji Kimaro MUNGU amekuinua zaidiii, pito hilo lilikuwa la kukuinua, hata tusio walutheri sasa tumekujua sasa wewe ni mchungaji sahihi wa nyakati hizi
GLORY TO GOD .Hili ndilo nililotarajia kuwa Mch Eliona atashinda hii vita kwa kutambua kuwa maneno yake hayakuwa afya kwa wakristo na ukristo pia japo hakuwa na lengo baya.Washarika tusiwe mashabiki hasa waliokuwa wakiandamana,kiukweli walikuwa hawajui kuandamana kwao ni kumtukuza shetani.Mahubiri mbele kwa mbele Dr eliona.Ameen.
Ni kweli mungu ni mkuu hakuna kilichoshindikana kwake Asante baba wa mbinguni wote tuu wakosaji ndo maana baba alisema tuombe Toba Kila tuombapo asb mchana na jioni tuombe tuu yamkini umekosea mtu na hujitambui km ni dhambi
Mchungaji Kimaro wewe ni wa juu wewe ni wa juu nasema wewe ni wa juu subiri Mungu atakupandisha viwango vingine vikubwa sana wewe ni dhahabu wewe ni Lulu you are of another level
Mchungaji komaro
God is preparing you to high ranks
.b come God is on your side
Am bless6 with ir preachings
Nakushukuru kwa mtumishi wako mchungaji Eliona kurudi kazini,Mungu umwema Sana.Wskati Askofu anaongea nimejikuta machozi yananibubujika.Asante Mungu wetu wa mbinguni
From Kenya. Hakika wacheni Mungu aitwe Mungu. Mungu anasikia maombi ya watu wake. Asante kwa unyenyekevu wa mtumishi kimaro. Na pia asante kwa watumishi wote wa kkkt kwa kumsamehea mchungaji,kweli hii ni ishara ya upendo mbarikiwe nyote pamoja na kanisa lote.
kwani alikosea nini jmn😳
Nimelia nimelia Yesu nashukuru kwa upendo
Mi binafsi ni mroma lakini nampeda bure huyu baba🙏
Hongera sana baba askofu kwa kuachilia msamaha kusamehe sio kitu rahisi hongera mchungaji kimaro
Kumcha bwana ni chanzo Cha maarifa,ubarikiwe sana mchungaji kimaro, Mungu yu nawe siku zote.
Huyu ndo mchungaji sasa anayekubali majaribu maana alijuwa haya ni mapito yatapita tu siyo wale kanisa likitikiswa kidogo tu wanahama kanisa hongera mtumishi wa Mungu napendaga sana mahubiri yako
Amen Asante kwa Hekima kubwa Baba Nuru na giza vinapingana mimi namshukuru Mungu kwa Hekima Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu.
Haleluyaa,shujaa umerudi karibu sasa ",Let be light",Glory to God.
Watu wa Mungu kweli wanaongozwa na Roho wa Mungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hallelujah hallelujah hallelujah mwanakondoo ameshinda Hallelujah! Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako Mchungaji Kimaro, kwa mara nyingine tena kwa vitendo umetufundisha unyenyekevu, Mungu azidi kukuinua.
Heri wapatanishi Kwa maana hao wataitwa waana wa Mungu! Pole sana baba Kimaro Jesus loves You. Roho mtakatifu akufundishe zaidi ktk njia zake. Nawapenda Baba na Mama Kimaro!
Ahsante bwana yesu kwa kusikia sala na maombi yetu juu ya mchungaji wetu 🙏🙏😭😭😭😭
Binafsi Nampenda sana Mchungaji Kimaro, Mungu Akusimamie katika neno na kweli Barikiwa mnoo
Mungu ni mkuu sana,makanisa mengine yaige mfano kwa kkkt,nimeipenda sana hii.Baba askofu nakupongeza sana
Mchungaji kimaro anaongea point sana..... Hakuna mkamilifu ila Mungu atazidi kukupigania na kutupigania sote Amen
Mungu akuinue zaid....pole sn Rev Kimaro napenda sn mahubir yako
Mungu akuinue zaidi mch Dk Eliona, uishi maisha marefu sana umtumikie yeye , na mwisho tufike mbinguni.
Mmemuumiza saizi mnasema pole Sana, kimaro saizi najua Mungu atakuweka ktk viwango vingine usijar songa mbele
Asante baba Malasusa kwa hekima zako. Pia Kimaro Mungu akujaze siku kwa ajili ya kondoo wa Mungu na hekima uliyonayo na unyenyekevu mkuu sana. We real miss you 😭😭😭. My heart hunger
@anthonychaula6362nyinyi ndo tatizo kubwa sana kama alivyosema askofu kuna waumini wa kweli na wasio hao kazi yao nikuleta tatizo tuepukane nao na kamuonya Kimaro kwa ajili ya hao waumini we mmoja wapo .Do not touch my annointed ones unapataje nguvu ya kuongea sentence kama hio instead ya kusema asante Mungu kwa hili unataka kuanza kebehi as a christians tujitafakari sana
Asanteee yesu kiristo we wa haki mbele za wanadam na mbel za wanym pia jina lko litukuzwe
Mchungaji kimaro Mungu akulinde kwenye huduma yako utafika mbali Sana
Pastor Kimaro wewe ni bonge la mtumishi wa Mungu,umeonyesha unyenyekevu mkuu,huku jiinua na MUNGU akujalie neema.
Tunamshukuru sana Mungu wangu kwa Hekima iliyofanyika kumsamehe Mchangaji Kimaro Mungu akubariki sana Malasusa
Safi sana Baba Askofu na Mchg Kimaro hii ndo maana halisi ya upendo tuliofundishwa na BWANA YESU...
Shetani kaaibika mchana kweupeee
from Kenya,kwa kweli Mungu n mwema,we love you Mr Kimaro
Haya sasa na sisi tuwasamehe wezutu, tuazie hapa, MUNGU ni mwema sana 🙏🏾🙏🏾
Kwa kwel
11
Am happy for you Mch Kimaro,mahubiri yako ni mazuri na ya kisasa endelea mbele baba Mungu ni mwema sana🙏🙏
hata mimi nimelia kwa ushindi yesu kashinda amani yabwana kwa asikofu mama kimaro kwa ushauri muzuri ubarikiwe mke mwema
@@lindakapongo8421 sorry lkn km utojal Yesu na Bwana sio yesu
Asante Yesu
Mungu ni mwema🙏
Mahubiri ya kisasa ndio maandiko yanasema siku za mwisho watu watapenda mafundisho lainilaini!
Huyu mchungaji kimaro anaonekana ni mnyenyekevu Sana Mungu atazidi kumuinua viwango vya juu sana
Namwona Mungu anamwandaa Mchungaji Kimaro, kutokea KKT kuwa mtumishi mkubwa Tanzania na kwa mataifa
Umemwonaje Mungu
Kwan saiv sio mtumishi mkubwa Tanzania
Wacha uongo hawezi tokea KKKT,hapo tu wameshampiga stop,kama atahuburi kwa spidi ile Tena,Niko paleeee nimekaa nakunywa Pepsi ya baridi
Tuendelee kumuombea!
@@mwajumamohd7930 Kama nimemuelewa ni kua atakua mkubwa akiondoka KKKT, hapo kweli amepigwa speed gavana
Katika kazi ya mungu vikwazo lazima viwepo....simama baba Piga injili kupitia Hilo imani yako imezidi kuimarika.
Nimefurahi sana mch Kimaro kurudi hakika nimebubujikwa na machozi
Jamani nampenda Mch.Kimaro mpaka Shetani anaona wivu, Mungu amsaidie katika yote, hakika nguvu ya Mungu imeshinda.
Mungu ni mwema, asante Yesu maombi yetu yamejibiwa. I can't wait. 🙏
Gosh! Ile kulia nimelia jamani!!! Eeh napenda kuwa mkatoliki mimi!!! Tunaunganishwa na msamaha wa kristo
Asante baba askofu hakika hii imenibariki mno.
Mungu metuagiza upendo askofu umeonyesha upendo asante tumefurahi mno shetani ameshindwa !
Sijui hata kwa nini machozi yananitoka nimefurahi sana kwa ajili ya mchungaji Kimaro Mungu azidi kumuinua
Utukufu kwa Bwana Yesu...Mchungaji, endelea kuchapa Injili isiyoghoshiwa.
Ni kweli kabisa Baba Askofu Wakristo linavyotokea jambo ndani ya Kanisa tusiwe mashabiki bali tuwe mstari wa mbele kusawazisha ilo Kanisa lisipate doa maana ndani ya Kanisa wapo washabiki wa Imani
Hiyo ndiyo dini siyo kuwa na majungu mungu ni mmoja Asante askofu
Asante yesu kwa kumtetea kimaro,japo naomba viongozi wa kkkt muwe na hekima na HOFU ya Mungu mnapofanya maamuzi,Kimaro mlitaka tu kumshika miguu lakn Yesu amemtetea,huduma ni ngumu sana mnapoona mwenzeni anainuka mshikeni mkono
Asante Mungu wa Utatu Mtakatifu,wewe ni Mungu usiyeshindwa na hakika hutenda kwa wakati huchelewi wala huwahi.Maandalizi mema ya kipindi cha Kwaresma.
Afadhali alivyojishusha kweli analipenda sana kanisa lake kkkt.Mungu ambariki mchg Kimaro😍.Kasameheana ni vizuri sana Agizo la KRISTO YESU ❤️
Sio tu kulipenda kanisa lake bali ndo sehem yake ya biashara yake angekula wap sasa...
Watu wenye roho ya Mungu ,siku zote ni wanyenyekevu. Hongera baba Kimaro kwa unyenyekevu wako. Hii ndio kweli ndani yako
@@MtuSafi 😃🤣🙋
@@MtuSafi 😂😂😂 Halafu kweli
@@MtuSafi unawaza kula tu, kazi ya Mungu mi zaidi ya kula na kunywa.
Kilicho cha Mungu bila Shaka kina lindwa na Mungu, Yesu anakupenda baba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
Kama kuna waliosifiwa kuwa na tabia nzuri ni kwa utukufu wa bwana na waendeleze tabia nzuri na wanaojitambua kuwa na mapungu tumo tumuombe mungu atubadilìshe kwa damu ya yesu.mchungaji hakutaja jina la mtu na yeye si msemaji wa KKkT na kila mtumishi anatumiwa na roho kwa namna tofauti kufikisha ujumbe .Tumshukuru MUNGU kwa nguvu ya msamaha.Tusiende kwa kukosoana bali kuelekezana na kuchukuliana mizìgo.
Mungu acheni aitwe tu Mungu na njia zake kamwe azichunguziki daima sala zetu zimejibiwa tulifurahi na tunazidi kufurahi zaidi kwaajili yako wewe kwangu ni baba barikiwa mtumishi kimaro leo na kesho uzidi kubarikiwa
Mungu ww ni Ebenezer asante kwa mtoto wko Eliona kama lilivo jina lake Eliona maana yake Mungu Angalia na akaangalia Asante Mungu usiesinzia ukampa mwanao kutokutetereka kwa yaliyotokea ukamshikilia hakutangtang kutamani kulihama kanisa🙏🙏 hadi leo tunaendelea nae pole sana Kimaro asanteni watumishi wa Mungu🙏🙏🥰
Mtumishi.songa.mbele.usiangarie.kulia.wala.kushoto.asante.kushuka.na.kuyeyekea.bazikiwe.sana
Mungu akutunze, ana makusudi na wewe, majaribu yasikurudishe nyuma, hata mwanae Mungu aliyapitia na akayashinda, usilie , mtumikie Mungu mpaka mwisho wa dahari. Amina
Hongera mtumishi wa mungu kwa unyenyekevu mungu aendelee kukutumia
MUNGU ni mwema hakika nimependa hekima za baba askofu malasusa huo ndio ukristo kusameheana he is such a man of GOD am happy too kwa kimaro mafundisho yake huwa yananibariki sana.
Mungu awabariki sn watumishi wa Mungu baba Askofu Malasusa na mch Kimaro
Mungu awalinde nashukuru kwa kumsamehe kwa kuwa Mungu husamehe pia...nimefurahi sana..
Utukufu wote ni wako Mungu, mchungaji umeonesha mfano mzuri Sana kwa Jamii, kweli wewe ni mchungaji, Mungu akubariki
Mungu ni mwema , mchungaji kimaro hongera endelea kumtumikia Mungu kwa nguvu zote barikiwa sana
Hawezi tumikia kivile tena
Amina nimefurahi sana kuweka tofauti pembeni. Huo ndio ukomavu ktk imani. Mungu awabariki sana
Wameona waumini na wamechachamaa mno,wakaona wamsamehe tu arudi kazini
Kikubwa mchungaji ni mnyenyekevu sana!!! Nimejifunza.
Hii ndio dini ilio safi.
Mtumishi wa Mungu Ongera sana.WATU WANAO MTUMIKIA MUNGU AWAWEZI KUTIKISIKA WATAKUWA KAMA MLIMA SAYUNI.
So,so happy to hear that Mungu ni Mungu tu hata maadui wakupangie nini atabaki kuwa Mungu,🙏🙏
Wew ni mfalme Suleiman alimuomba mungu hekima naakampa vyote vizur nakupenda sana 🥰
Mimi ni muislamu ila nimependa sana mlivyo sameheyana amekukosea na yeye akajuwa.akakuomba msamaha na ukasamehe mbarikiwe nyote AMEEN
Glory to God....lipo la kujifunza hapo👏🤝
Haki hadi nimebubujikwa na machozi, tumuache Mungu aitwe Mungu🙏🙏
Ameen yesu ni mwema tumeshukuru na.musamaha mubarikiwe watumishi wahusikawote thanks
Amen Baba askofu Kwa hekima uliyotumie
Amen
Acha umaandazi wewe, yaani ulie wewe kisa mwingine 😂😂🚮🚮
Nimefurahii kumuona tena baba yetu,. Mungu aendelee kukupigania ktk yotee
Nafurahia sana kutoka Kenya kkkt kinyelezi nikanisa langu Mungu yupo na anatupenda sana
Ashikuliwe Mungu wa mbinguni, nimelia sana Kwa furaha Kwa kuona mchungaji huyu kasemahewa na aendelee na kazi ya kituelimisha. Nimemuona mkono wa bwana ni kweli bwana hutenda Kwa wakati wake.
Wewe ni MUNGU unaetenda Tena na Tena, lusifa umeanguaka lusifa umeaibika, Asante YESU kwa kuwa ulisema hutatuacha yatima Asante MWOKOZI wetu
Mungu ni mwema na mwaminifu sana, mwingi wa Rehema. Msamaha ni muhimu. MUNGU wabariki Watumishi wako wote, asante kwa hekima iliyotumika.
Msamaha kwa kosa lipi?? Na kama Kuna kosa inamaana washirika walikuwa wanaandamana huku wakijua makosa ya mchungaji wao??? Hii ni funika kombe mwanaharamu apite
Amen
Ahsante mchungaji Kimaro Kwa kujishusha pia Kwa kukaa kimya Kwa kipindi chote hiki bila kujitoa kwenye media kuongelea haya yaliyotokea. Ubarikiwe sana Mchungaji Kimaro. Pia nakupongeza askofu Malasusa Kwa kutoa msamaha Kwa Mtumishi wako hiyo inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa na upendo. Mbarikiwe wote
Chanzo n nn et
He really practiced what he preaches.
Good say.AMEJISHUSHA SANA ASUBIRI MUNGU MWENYEWE ATAMPANDISHA Binadamu NI Nani ? akuyangazie MSAMAHA wa kutengenezewa
@@issayashesha9403 Hiyo ni kukubali yaishe Issaya. Duniani hakuna haki, haki IPO mbinguni
Mungu akutunze mchungaji kimaro mi co mrutheli lakn huduma Yako naielewa
Ongera kwa unyenyekevu baba Kimaro nakupendaga mno huduma yako ni njema sana
Nimeshtuka nimetetemeka nimefurahi changanya hizo hali zote kwa pamoja, cjui hata ninajisikiaje nikiwa miongoni mwa watu wanaompenda sana mtumishi huyu wa bwana.
Ameni
All honor and glory belong to our good God.
Watu wenye Mungu ,hujinyenyekeza na kujishusha ,hutii viongozi hata kipindi kigumu
Yaani machozi yamenitoka + huo mvurugano ulioutaja. Yaani hata sijielewi. Huyu mtu wa Mungu amekua baraka sana kwa wengi. Pia mwingi wa hekima. Mungu tutunzie huyu kiumbe wako
Kwani alifanya kosa gani?
Tu samehewe kama tunavyowasamehee wengine waliotukosea,. Asante Baba Askofu kwa hekima yako kwa kizazi hiki.Heri wenye moyo safi maana watamuona Mungu. 🙏🏻🙏🏻
Amina,,, 🙏🏽🙏🏽
Amen
@@subiramussa1428 Amen
Mungu nimwema nakufatilia Sana Mchungaji Kimario
Mungu ni mkuu sana achelewi kujibu
Kikubwa ni kuwaombea Sana Maaskofu, na wachungaji kazi yanayoifanya ni kubwa na pia Ina vita
Asante Yesu nimefurahi sana,Mungu wetu ni mwema kila wakati.
Nimefurahi sana Mchungaji Kimaro kusamehewa tunaupenda sana
Tunakupenda sana kaka yangu Mungu awe nawe
We love you rev Kimaro welcome back
Kwa unyenyekevu huo baba hakika Mungu hatakuacha, hata Yesu kuna wakati alidharirishwa lakini alikuwa mtiii sana,
Hakika Mungu anakwenda kukitumia kwa viwango vingine
Na jina la Mungu ainuliwe siku zote....mitokapo kenya 🇰🇪 Mwenyeenzi Mungu anisamehe!! Forgive me Lord ...
Hii ni shirki kubwa sana, yani msamaha wa mtu unakua na nguvu kama msamaha wa Allah. Islam will always be my Way of life.
Mchungaji Kimaro Mungu wako unayemtumikia hatakuacha na Kwa kuwacha ulitumika Kwa Mungu na machozi ya watakatifu hayatapotea.hapo Mungu ajitukuze.
UYO NDIE MUNGU MKUU KULIKO Miungu THANKS GOD YEHOVA
Amen, Glory to God Almighty 🙏
Hata Yesu alihukumiwa pasipo kosa , ukweli utabaki kuwa kweli . Karibu tena baba, nayapenda mafundisho yako. KRISTUU......TUMAINI LETU. AMINA
Ahsante Mungu mchungaji Kimaro wewe ni gold inayon'gaa sana songa mbele askofu mtatajiwa
Hakika nimefurahi sana mchungaji kurudi katika huduma .
Kulia kulia sio vizuri unakufuru msalia mtume umesamehewa angalia ni wapi ulikosea usirudie kosa. Naomba kuwasilisha.
SEMA na kelele za mitandao zimesaidia.. Mungu awabariki kwa kumsamehe❤️🙏
Mchungaji Kimaro MUNGU amekuinua zaidiii, pito hilo lilikuwa la kukuinua, hata tusio walutheri sasa tumekujua sasa wewe ni mchungaji sahihi wa nyakati hizi
Hakika
Mungu ni mwema kila wakati. Karibu Mtumishi Injili isonge mbele
Duuh alifanyaje jamani 😭 duuh Yani ila mungu ni mwema amerudi jamani
Mungu atabaki kuwa Mungu hakuna wa kufananishwa na yeye na ,Mungu yupo anatenda ,kusudi lake lazima litimie.🙏🙏🙏
Mungu akulinde
Irua Ave naiwe nshungaji
Aba ikuda inini la Irua
Ndio ukome .usiropokeropoke kanisani Kama upo kijiweni.etihoooooo wakristo sio waaminifu!!!!! Umejuta.usirudie Tena.nimekusamehe.
Jamani nimetokwa na machoz Hakika Mungu anawafaham walio wake pole baba futa machoz songa mbele😭😭😭
Barikiwa kwa kushuka , Mungu akutunze zaidi
God Bless u Mch Kimaro..
GLORY TO GOD .Hili ndilo nililotarajia kuwa Mch Eliona atashinda hii vita kwa kutambua kuwa maneno yake hayakuwa afya kwa wakristo na ukristo pia japo hakuwa na lengo baya.Washarika tusiwe mashabiki hasa waliokuwa wakiandamana,kiukweli walikuwa hawajui kuandamana kwao ni kumtukuza shetani.Mahubiri mbele kwa mbele Dr eliona.Ameen.
Kwa kweli
Pr Kimaro Pole kwa Pito hili
Ni kweli mungu ni mkuu hakuna kilichoshindikana kwake Asante baba wa mbinguni wote tuu wakosaji ndo maana baba alisema tuombe Toba Kila tuombapo asb mchana na jioni tuombe tuu yamkini umekosea mtu na hujitambui km ni dhambi
Utabaki kuwa Mungu ! Umewajibu watoto wako! Hakika Bwana Mungu nashangaa kabisa nikitazama jinsi ulivyo😭🙏🙏🙏