MWIJAKU AMCHANNA MWAMBINO KUNUNUA TUZO MTV, HARMONIZE, ALIKIBA NIMEWAKATAZA, BABA LEVO SIMTAKI, MKE
HTML-код
- Опубликовано: 9 ноя 2023
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny - Развлечения
NIKUREKEBISHE KIDOOGO BRO....PARIS... !! Umechemsha ama niseme umepitiwa tu kiubinaaadam.. PARIS NI MJI MKUU WA UFARANSA ...PARIS SIO NCHI KAMA UNAVYOELEWA WEWE 👐Ila nakukubali san bro..✌🙌🙌
Nawapenda sana From RWANDA
Ila nyinyi jitambueni uyu jamaaa anajua mengi mcmzarau yupo sahh
Nyinyi mnayemzarau mpo kzan,mwijaku PGA Kaz
Ukweli kabisa mwijaku unaongea
uyu mwajuma anaongea sanaa
Watu walio chelewa kufika mjini na kusafiri nje ya nchi ndio hawa
Kwani Paris ni nch??? Bangi wewe na unafki unao kusumbuwa!!😮😮
Ngoma gani ya mondi ya kumpa tuzo 2023? Kumzidi rema na burna boy?
Ata mim najiuliza 🤔🤔
Nenda na wewe basi ukanunuwe chawa chawa tu kazi kunyoya damu tu
Wa kwnza Leo kwny comment nipeni Likes zngu
Paris nchi? Au mji ndani ya france😂
Jamaa la kushika chuchu za wanaume
😅😅😅Mwijaku
Mkumbusheni Mwijaku coz hajui kama Turkey 🇹🇷 haipo Asia ila ipo Europe vitu vingine asiongee kama havijui
Huyumwijaku kwn anayosema utfkr nikweliee
Uyuuu jamaaa anawivu kwel acha uwivu weewe wee nichawaa uchwalaa mwenzako kapewa galiii sijui ww utapewa nn sasa labda
Huuu jama hawajuwi wana wake ...sijawahi kuona mwana ume kama uyu kweli
Mwanamke ni akili jamaa Yuko parfect kabisa kua na uzuri wa sura na shepu kama huna akili it's none sense
@@Edgar_49wanaofata Makalio n wajinga na walevi!! Akili ndio Cha kwanza!!
Uyu jamaa muuongo 😂😂😂😂 wajukuu wake watakuwa wanacheka sana kuwa babu aliwahi kulidanganya Taifa.
Mwambie uyo mwijaku
Nitaanza kukupinguza kwa sababu huna mwaswari mazuri uko kikuda hii tuzo ilikua inapigiwa kula hata mimi nilipiga iweje uinunue tena acha ukuma na mwijaku wako
Almando snich sana
Kuhusu tuzo ni kweli hata kwa wasanii wakubwa inafanyika
Mwinjaku Katar sio Asia Ile ni UAE Kasome Tena wacheni kujisifu Asia ni China, Japan, India, n.k
Hivi kuna mtu bado anasikiliza hili pimbi😂😂
Wakaanza ni wewe 😂ndiye
Mwijaku wew mpumbafu mukubwa hapo Tanzania
Pariiiì😂😂😂si paris
Ni Paris
@@user-cb2us2nu2muwongo ni Pari-s I'll en silence hiyo s iko silent unaelewa au vous voul' explication?
Mwijaku hyu mpuzi .
Baba levo ndio humpaka
nonsense anaongea pumba tupu huyu jamaa
Mjinga huyu boya
Wadhani watu wote hawajsafiri
Gharama ya Paris tower kupanda ni 20 dollar 💵 only
Me huwa najiuliza kwani hawa waandishi huwa hawawezi kuuliza maswali bila kumuhusisha diamond kitu ambacho nimegundua diamond ndio content nzima bila yeye watu hawatazami😂😂😂😂😂😂😂
siyo diamond tu hata harmonize
Wew Kwan hauelewi maana ya celebrity...sas yeye sini msaniii ndio kioo cha jamiii
mwijaku hana jipya na haw wandishi one line ni wandishi wababaishaji kila kitu mwijaku mwijaku ni mungu wenu hyo washenzi tu
Kwani we ndo unajua leo kuwa diamond ni content mbona umechelewa sana bob
@@adaboychibu1659noma kwel aisee🙄🙄🙄🙄
ovyoo
Ulifukuzwa wasafi bet kwa sabbu ya upuuzi huu....kamununulie harmonize na wewe..😮
🎉🎉🎉
Ipo siku utajuta unavyo kumkandika Simba wa watu bila aibu
Mikunfu tu awa
Huyu jamaa lazima anajinsia ya kike haiwezekani anawababikia wanaume ndi maana Dotto magari anamchana
Yan uyu jamaa kungekua hamna serikali ,ningekua nsha mpelekea moto kitambo ,live Simba alone asee
🤣🤣
Propisak ajui kingerwza hajasoma
😂😂😂daaa mwijaku🤣🤣🤣🤣
Hata nyie waandishi ni wapumbavu sana, hamuwezi kumhoji mtu kwa kumhoji kwa kumuuliza maswali ya akili!
Pumbavu sana nyie
Umeenda jerumani😂😂
Nisaidieni jmn Kuna A + kwl 😀
😂😂😂😂
Kabisaa ipo ni ushamba wako
" HOW SURE YOU ARE " 😅
Tunakutaka tena paris mwijaku
Jamaa kwenye uongo niwa kwanza
Ivi kwani hao watoaji wa tuzo wamekua wajinga kwa kiasi gani mapaka wawe wanauza tuzo
Ni wewe mwijaku😅😅😅
WATANZANIA TUNAAKILI WE MBWIGA...TUNAJUA MNAMPENDA KUFA DAI...ILA NDO HIVO MMETUPWA KAPUNI..WE NA YULE CHIZI MWENZIO ANAEPEWA MAGARI AUZE SURA..IDIOT
Zinauzwa Bei gani?
ndiyo maana dotto magari anawatukana kila siku anasema bora yeye ambaye ajasoma kuliko nyie mnaojifanaya mmesoma kumbe useless
Turkey si Asia wewe Turkey ni Europe
Turkey 🇹🇷 ni Europe sio Asia
Turkey iko katikati ya Europe na Asia
Kama vifaa vyake si aende Mahakamani akadai kama stakabadhi anazo na ushahidi upo wa kununua kwanini kila siku anadai tu vifaa vyake?
Huyu kenge akizeeka atakua mchawi tu lazima ana mambo yakikuma ile mbaya
kumbe huyu jamaa chenga sana
Kwenye tuzo mwijaku kaongea Point
Point gani?
Mwabieni Kiba na Harmonize wanunue pia
@@kilungahamis1270 yaani wajinga ingekuwa zinauzwa Harmonize anavyo penda sifa angekuwa amezijaza kabatini mtu alichukuwa tuzo ya H baba kwa nini asi nunuwe tuzo ya maana ili aendelee kujidai numbe1
Hatuwezi kuwa sawa.......... Sio rahis kuelewa
Huyu nu graduate? University za bongo wanagawa degree kama muhogo?
😂
hawafahamiki wewe fala alikiba na harmo hawana vigezo vya kuwania izo tuzo
Kuhusu tuzo kweli unaweza kununuwa tuzo
Ingekuwa unaweza nunuwa wengi saana wengenunuwa kwanza Harmonize angenunuwa nyingi then he will be writing I'm number 1 in africa mpaka tz mngekoma na kuchoka kwenye instagram yake na hayo magazeti huoenda kuandika
Basi wewe ni kunguni sio chawa tena
Nakumini mwinajaku hunafanya saba nVunjabeu
Baba jinga hili kuwahi tokea😂😂😂😂 Msomi mpumbavu😅
Hili pumbavu ndo linajiita lisomi? Turkey ipo Asia kweli 😂😂😂😂 stupid kabisa
Sijui nani labda una wajinga wenzake
😂😂😂😂