Si rahisi kama wengi wanavyodhani...Miaka 10 ya huduma ya injili sio rahisi bila msaada wa Mungu...sisi watazamaji tunaona nyimbo audio kwa video releases kila kukicha tunasogezwa karibu na Kristo na kufurahia pia na twaona ni kawaida tu..But naamini milima, mabonde na vikwazo naamini ni vingi huko nyuma ya pazia...Mungu aendelee kuwabariki na kuwainua pia azidi kuwapa moyo wa unyenyekevu katika huduma yake...Isiwe miaka kumi tena bali iwe milele kule Mbinguni....Mbarikiwe tena na tena..
Inasikitisha sanaa pale ambapo wanaoujua ukweli wach wanakua sehemu ya kula mvinyo ,ivii ni sda kweli hawa ambao wanahubiri ujumbe wa malaika watatu ,tunaofurahia secular music aisee mungu atusaidie sana na wachungaji wanachekelea kabisa
Danieli 3 5 wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, lazima kuanguka na kuiabudu sanamu ya dhahabu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha. Wachungaji fundisheni ukweli na si kuchekelea uovu
Excellent. Hongereni kwa tukio la kihistoria. Mungu na azidi kuibariki huduma yenu.
Mbarikiwe sana
Minawapenda sana kutokeya Congo Muji wa Goma🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nice to see you Israel Mugisha, spreading the gospel through Music caz Christ is coming
Hongeren jamn mungu awtangulie
See you Aneth congratulations with your family for good song
Amin,Amina nawaambia mnako elekea ni KUBAYA.
Congrats jmn
Si rahisi kama wengi wanavyodhani...Miaka 10 ya huduma ya injili sio rahisi bila msaada wa Mungu...sisi watazamaji tunaona nyimbo audio kwa video releases kila kukicha tunasogezwa karibu na Kristo na kufurahia pia na twaona ni kawaida tu..But naamini milima, mabonde na vikwazo naamini ni vingi huko nyuma ya pazia...Mungu aendelee kuwabariki na kuwainua pia azidi kuwapa moyo wa unyenyekevu katika huduma yake...Isiwe miaka kumi tena bali iwe milele kule Mbinguni....Mbarikiwe tena na tena..
Inasikitisha sanaa pale ambapo wanaoujua ukweli wach wanakua sehemu ya kula mvinyo ,ivii ni sda kweli hawa ambao wanahubiri ujumbe wa malaika watatu ,tunaofurahia secular music aisee mungu atusaidie sana na wachungaji wanachekelea kabisa
Mnaopinga vyombo tungeni za kwenu za bila vyombo.
Hakuna kanisa hapo kumbieni kungali mchana…
Danieli 3
5 wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, lazima kuanguka na kuiabudu sanamu ya dhahabu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha.
Wachungaji fundisheni ukweli na si kuchekelea uovu
acha kuchanganya maandiko..!
Kwahiyo hapo maandiko yamezuia kutumia hivyo vilivyotajwa katika kuimba??
Makasiriko 😁😁
Wahuni walivamia kabisa la sda.. hii sio sda alio iacha Ellen white.. mnaimba tuu kama wapagani kupata şifa za binadam…,
mnapiga makelele tu apo hamjui ata kuimba laiv. ile kanuni ya Go TO SCHOOL inawahusu. kinachoendelea hapo ni upagani muda si mref mtamsujud mnyama.
Wewe unajuaa uwo Muzik? au umekll