Nini kifanyike Kama mtoto ana tatizo la Upungufu wa damu???:

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 16

  • @annamgulunde-z7k
    @annamgulunde-z7k Месяц назад

    Doctor Mtoto wangu ana miezi 9 sasa hajakaza shingo wala kukaa kila nikienda hospital wanampa dawa na Bdo hajakaa sawa naomba msaada jamani

  • @mamahidaya9566
    @mamahidaya9566 29 дней назад

    Jee mtoto mwenye upungufu wa damu inasababisha tumbo kuuma na kutoka jasho nakuregea??

  • @zachariangembe4655
    @zachariangembe4655 5 месяцев назад +1

    Nimetumia kila dawa ila mtoto damu haiongezeki kila nikipima ipo vile vile

  • @MiriamAlex-nv7uf
    @MiriamAlex-nv7uf 11 месяцев назад +1

    Nina mtoto ambae hanyonyi miezi miatatu Sasa naanapungukiwa amu Mala kwa Mala sijui nimpe nn

  • @meaningoflife651
    @meaningoflife651 Год назад

    Damu 9 kwa mtoto wa mwaka mmoja ni sawa?

  • @WinfridaUrio-zc1nb
    @WinfridaUrio-zc1nb 5 месяцев назад

    Thanks

  • @faridasalum4543
    @faridasalum4543 5 месяцев назад +1

    Nmefanya kila kitu but dam haiongezek nifanyaje dr

  • @PaskariaMrango
    @PaskariaMrango 4 месяца назад +2

    Chai gan

  • @FloraKimario-lt7nf
    @FloraKimario-lt7nf Год назад

    je kama n mtoto mdg chin ya miez 6 anaupungufu wa damu unamsaidiaje mf aliungua

    • @emmanuelmpaliyenutritionist
      @emmanuelmpaliyenutritionist  Год назад

      Yafuatayo yatfanyika.
      1)Tibu hiyo infection inayomsumbua.
      2) apewe iron supplement.
      3)Anyonyweshe ipasavyo mtoto.
      Hapo upungufu wa damu kwisha habari yake

    • @OmbeniJairos
      @OmbeniJairos 4 дня назад

      Samahani dakitari mwanangu anatatizo l upungufu wa damu, damu yake ni 9ana miaka miwili na nusu, na happening kula pia anaugua kila mala