- Видео 95
- Просмотров 260 122
Emmanuel Mpaliye , Nutritionist
Танзания
Добавлен 21 окт 2018
Suluhisho la wanga.
( The carbohydrates solution)
( The carbohydrates solution)
Fahamu namna Tumbo kujaa gesi inavyopelekea tatizo la UKOSEFU WA CHOO , na tiba yake.
Fahamu namna Tumbo kujaa gesi inavyopelekea tatizo la UKOSEFU WA CHOO , na tiba yake.
Просмотров: 319
Видео
VYAKULA VINAVYOFAAA KUTUMIKA KWENYE KIFUANGUA KINYWA KWA MGONJWA WA KISUKARI.
Просмотров 18116 часов назад
VYAKULA VINAVYOFAAA KUTUMIKA KWENYE KIFUANGUA KINYWA KWA MGONJWA WA KISUKARI.
MGONJWA WA KISUKARI USITUMIE MCHELE MWEUPE KAMA HUJAFATA KANUNI HIZI MBILI.
Просмотров 237День назад
MGONJWA WA KISUKARI USITUMIE MCHELE MWEUPE KAMA HUJAFATA KANUNI HIZI MBILI.
VYAKULA HATARI KWA MGONJWA WA KISUKARI.
Просмотров 34221 день назад
VYAKULA HATARI KWA MGONJWA WA KISUKARI.
VYAKULA SALAMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI.
Просмотров 471Месяц назад
VYAKULA SALAMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI.
MATUNDA SALAMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
MATUNDA SALAMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI
Tahadhari kwa wagonjwa wa KISUKARI wanaotumia Avocado 🥑🥑🥑🥑.
Просмотров 249Месяц назад
Tahadhari kwa wagonjwa wa KISUKARI wanaotumia Avocado 🥑🥑🥑🥑.
Madhara ya UJI kwa wagonjwa wa kisukari, vitondanda vya tumbo na acid reflux.
Просмотров 939Месяц назад
Madhara ya UJI kwa wagonjwa wa kisukari, vitondanda vya tumbo na acid reflux.
Vyakula na mazoezi kutumika kutibu upungufu wa nguvu za kiume.🍆🍆🍆🌶️
Просмотров 217Месяц назад
vyakula na mazoezi kwa sasa vinasaidia dhidi ya upungufu wa nguvu za kiume vifuyatavyo ni vyakula maalumu kama una tatizo la nguvu za kiume. 1) vyakula vilivyosheheni nitrates (mboga za majani na matunda) 2) vyakula vilivyosheheni amino asidi L-Arginine (jamii ya kunde na jungu na nafaka) 3) vyakula vilivyosheheni kemikali ya citrulline (matunda kama tikitimaji) 4) vyakula vilivyosheheni flavan...
Tangawizi inadhibiti upungufu wa nguvu za kiume.
Просмотров 969Месяц назад
Tangawizi na upungufu wa nguvu za kiume. Tangawizi inasaidia katika kudhibiti upungufu wa nguvu za kiume. Kuna namna 4 ambazo tangawizi inasaidia dhidi ya upungufu wa nguvu za kiume. Ambazo ni 1) Tangawizi Inazuia na kudhibiti vihatarishi vya magonjwa. 2) Tangawizi inaongeza mtiririko wa damu 3) Tangawizi inaongeza uzalishwaji wa nitric oxide 4) Tangawizi inasaidia uzalishwaji wa Testosterone.
Tikitimaji tiba tosha ya upungufu wa nguvu za kiume.
Просмотров 1 тыс.2 месяца назад
Tikitimaji Limejaa kemikali aina ya citrulline ambayo huchochea uzalishwaji wa nitric oxide. Nitric oxide inasaidia katika kusinyaa na kutanika kwa mishipa ya damu, inasaidia mishipa ya damu kuteleza. Hivyo tikitimaji inasaidia katika kutibu upungufu wa nguvu za kiume. Tunda hili ndo mbadala mzuri wa Viagra.
Jinasue na tatizo la tumbo kujaa gesi
Просмотров 2312 месяца назад
Jinasue na tatizo la tumbo kujaa gesi
Fahamu Nini kinapelekea tumbo kujaa gesi.
Просмотров 2,2 тыс.2 месяца назад
Fahamu Nini kinapelekea tumbo kujaa gesi.
Zingatia haya Mambo 3 kujinasua na Tatizo la kukosa choo/kupata choo kugumu
Просмотров 2012 месяца назад
Zingatia haya Mambo 3 kujinasua na Tatizo la kukosa choo/kupata choo kugumu
Vyakula vinavyotibu tatizo la ukosefu wa choo/ kupata choo kigumu ndani ya siku 7.
Просмотров 1,2 тыс.2 месяца назад
Vyakula vinavyotibu tatizo la ukosefu wa choo/ kupata choo kigumu ndani ya siku 7.
Fahamu chanzo cha kupata Choo kigumu Kama cha mbuzi/kukosa Choo.
Просмотров 1,4 тыс.3 месяца назад
Fahamu chanzo cha kupata Choo kigumu Kama cha mbuzi/kukosa Choo.
Mambo 7 muhimu Kwa wagonjwa wa kisukari.
Просмотров 673 месяца назад
Mambo 7 muhimu Kwa wagonjwa wa kisukari.
Ujue ugonjwa wa kisukari aina ya pili
Просмотров 1114 месяца назад
Ujue ugonjwa wa kisukari aina ya pili
Namna pombe inavyoharibu nguvu za kiume za mwanaume taratibu Bila kujua.🍆🍆🍆
Просмотров 1004 месяца назад
Namna pombe inavyoharibu nguvu za kiume za mwanaume taratibu Bila kujua.🍆🍆🍆
Mambo 6 yanayopelekea usipone vidonda vya tumbo.🌶️
Просмотров 5024 месяца назад
Mambo 6 yanayopelekea usipone vidonda vya tumbo.🌶️
Vyakula Kwa ajili ya kutibu upungufu wa nguvu za kiume Bila madhara yoyote🍆🍆🍆🍆🫑
Просмотров 1,8 тыс.4 месяца назад
Vyakula Kwa ajili ya kutibu upungufu wa nguvu za kiume Bila madhara yoyote🍆🍆🍆🍆🫑
Fahamu Vitu 4 Vinavyosababisha Upungufu wa nguvu za kiume Kwa mwanaume.🍆🍆
Просмотров 5 тыс.5 месяцев назад
Fahamu Vitu 4 Vinavyosababisha Upungufu wa nguvu za kiume Kwa mwanaume.🍆🍆
Vyakula Kwa ajili ya kuongeza damu na kutibu upungufu wa damu.🫛🫑
Просмотров 4475 месяцев назад
Vyakula Kwa ajili ya kuongeza damu na kutibu upungufu wa damu.🫛🫑
Vyakula Salama Kwa wenye acidi reflex, gesi tumboni na kiungulia.🫛🫑🥭
Просмотров 9 тыс.5 месяцев назад
Vyakula Salama Kwa wenye acidi reflex, gesi tumboni na kiungulia.🫛🫑🥭
Jinasue na tatizo la acid reflex na kiungulia.
Просмотров 1,1 тыс.5 месяцев назад
Jinasue na tatizo la acid reflex na kiungulia.
Vyakula salama Kwa mwenye shida ya vidonda vya tumbo.🥭🫑🫛
Просмотров 10 тыс.6 месяцев назад
Vyakula salama Kwa mwenye shida ya vidonda vya tumbo.🥭🫑🫛
VYAKULA HATARISHI KAMA UNA VIDONDA VYA TUMBO.
Просмотров 3,2 тыс.7 месяцев назад
VYAKULA HATARISHI KAMA UNA VIDONDA VYA TUMBO.
Fahamu vyakula vya wanga na faida yake.🥔🌽🍍
Просмотров 4959 месяцев назад
Fahamu vyakula vya wanga na faida yake.🥔🌽🍍
Fahamu chakula sahihi na muda sahihi wa kula ili kutibu vidonda vya tumbo bila dawa.🥦
Просмотров 3,1 тыс.11 месяцев назад
Fahamu chakula sahihi na muda sahihi wa kula ili kutibu vidonda vya tumbo bila dawa.🥦
Unajuwa kiongozi sahihi unachoongea
Ahsante sana.kwa ushauli mzuli sana
Ahsante 🔥
Bjr
1:18
je maziwaa na tende vnasaidiaa kutibu vdond vya tumbo
@@eddymalove hapo sina uhakika, ila fahamu maziwa hayaruhusiwi kama una vidonda vya tumbo.
group lako linapatkanaje daktar
Docta nitumie namba zako za Whatsapp tafazali
Nini tiba yake?
Don't a Mimi nages hafunakosa choo hatanikipata kinakuwa kidogo kama chamtoto. Kingine kingulia kinanisumbua. Piamoyo kwenda unagonga kwakasi. Wakatimwingine. Napumua kwashida. Naomba ushauri don't ninishida jucijawahi Pima
@@florah-jw9wk karibu: 0763209516
Kwa wenye shida ya gerd vyakula gani tule
Kuna video ambayo inaelekeza ule Nini nilishaileta mkuu
Uko vizub mkuu
Nakuomba unitafute tushauliane
Nini dalili ya kuwa na mawe kwrnye kifuko Cha nyongo?
Nimejifunza jambo ubarikiwe Doctor 🙏🇰🇪
Amen
Doctor naomb kuliz mm tumb lng huw linangurum snaaa tatz huw nin
@@FahillahMamy nenda hospital ukapime kwanza
asantee sanaa
Nitumie namba yako tafadhali kaka
@@SleimanMohamedSaid 0763209516
Je vidonge vya magnesiu 11:23 m kwa wenye vidonda vya tumbo ni vibaya?
@@mapengolajan9072 hapana siyo vibaya
Mungu wangu,tutakula kitoweo kipi dr?
@@Mouilya-i4v subiria upone kwanza ndo uwaze kitoweo mkuu
Upo sawa
Asante doctor 🙏
Asant umenisaidia sana🙏🙏
Of coz doctor uko tofat na wataalam weng kuhus hil but nashkuru najaribu kupractise maelekezo yako unayotoa kwenye video zako tofaut of coz naanza kuona mabadiliko na maumiv yanapungua kwel nashkuru sana
Ok, vizuri, karinu 👍
Dr vp kwa mtoto wa mwezi mmoja na kuna dr ya kuwatibu ?.
@@alikoboniphace6732 kwanza inatakiwa ufahamu chanzo Cha tatizo kwa mtoto huyo
Kingereza inakua mingi ongeya swahili nzuli ya kongo tunakusikiliza,tupe piya( namba(WhatsApp)
Naomba unisaidie mawazo docta mimi koo inakuwa inanikauka unadhani imesababishwa na nini Hali hiii?
Mimi docta naomba msaada japo wa maelekezo, Maana koo yangu inanikauka mpaka nakosa amani Tafadhali naomba msaada
Tafadhali kwa kesi yako hiyo fika hospital kwanza ufanye vipimo
Doctor
Doctor
@@tinajohn6296 naam
Asante
Mbona mtihani tunateseka asubuhi chai ya bila sukari na kamhogo tusile heee asante Dactari wa lishe
Ujafanya utafiti vizuli docta tunakula viazi vyakuchemsha atutii mafuta ilakiungulila kinatukaba
Asante kwa somo ...lkn ni kama ulivyotangulia kusema somo hili ni tata...kila mtaalamu anakuja na hoja zake sijui twende na yupi😴😴
Angalia yanayokupa matokeo mazuri unayoyataka ndo uende nayo
Acid reflux ndo gesi au
Docteur ngano ambayo haijakobolewa naweza kula? Ninamatatizo ya acid na gas
Pongezi
Jaman mm nimeshakunywa dawa hadi nimechoka sahiz na hata kupona sipon nimeshamwachia mungu
❤
Ahsanyeee doctor man naon nlikuw na misconception nying sana juu ya hili ila sahv umenfumbua macho
Mimi ninashida ya kujamba hasa Niki kaa muda mrefu bila ya kula chakula au nikila chakula Cha moto na kupata choo kama Cha mbuzi
NAMI pia naomba whatsaap namba yako
@@janelutego7593 karibu: 0763209516
Asante sana Mtaalamu, MUNGU akuinue katika viwango vya juu sana
Amen
22:45 Mbona wengine wanasema maziwa ya mgando sîyo mabaya Dr
Maziwa siyo mazuri hata kidogo kama una vidonda vya tumbo, reflux
Docta unapatikana wap
Nipo Hospital ya Wilaya karatu-Arusha
Unapatikana wapi
Mimi Dr nasumbuliwa na mfumo wa mmengenyo nitumie vyakula gani dr
Karibu kwenye program ya tiba : 0763209516
Doctor nasumbuliwa na acid
Karibu kwenye program: 0763209516
Tupeni dawa jamani nazingatia chakula tatizo bado lipoo tu
Karibu kwenye program ya matibabu 0763209516
Tusaidie yule nini maana Kila tulacho gesi sanaa Protini nimeacha Bado shida inaendelea