Zanzibar Heroes walivyokabidhiwa kombe la ubingwa wa Mapinduzi Cup 2025
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- #MapinduziCup2025 Mabingwa na kombe lao….anayekabidhiwa ni Faisal Salum na kuweka historia ya kuwa nahodha wa kwanza wa Zanzibar Heroes kubeba Kombe la Mapinduzi.
FT: Burkina Faso 1-2 Zanzibar.
#MapinduziCup #MapinduziCup2025 #MapinduziCupPemba #KombeLamapinduzi #KombeLaMapinduzi2025
Heriyatimu
Watanganyika fani yao muziki Diamond anaheshimisha Wala ugali mpira wazanzibar
Hogereni zanzibar
Brazili ndogo
Huwezi Ona Hizi habari Sns wa Mird Ayo
Mbona highlights za magoli ya yanga hampost azam tatizo nn
Hata mimi nmeanzisha club yngu ntakua naja hapo Malaga jangombe nifate maplayer
Heriyatimu
Heriyapimu