HADITHI YA KIFARANGA - Kuku Mwenye Akili | Wise Little Hen Swahili Fairy Tale | Hadithi za Kiswahili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024
  • Kuku Mwenye Akili! Hii ni hadithi ya kuku mmoja aliyekuwa na akili sana.
    Swahili Moral Stories for Kids | Wise Little Hen in Swahili | Hadithi za Kiswahili za Watoto | Swahili Stories for Kids | Hadithi za Watoto | HD
    Hapo zamani za kale, palikuwa na kijiji kizuri. Karibu na mto, palikuwa na nyumba ya nyasi ambapo kuku aliishi. Kuku alitaga mayai kumi na miwili. Mayai kumi yaliweza kuhangau akawa na vifaranga kumi.
    Kuku aliyaacha mayai mawili kisha akaondoka na vifaranga kumi kwenda kutafuta chakula.
    Baadaye, kifaranga mmoja aliweza kujiangua katika mayai ambayo yalikuwa yamesalia. Uyo kifaranga alipotoka kwenye yai, hakumpata mamake. Akaamua kuondoka kwenda kumtafuta....
    Please Subscribe for more videos and stories like this:
    / edewcateswahili
    #HadithizaKiswahili #SwahiliFairyTales

Комментарии •