Nafikir kukumbukwa isiwe issue ya msingi sana. Viongozi wafanye vitu sahihi kwa taifa lao. Wajenge utaratibu wa kuenzi mazur ya watangulizi wao. Individual popularity itokee tuu isiwe ni jambo tunalokimbilia kama viongozi. Tutambue Kuna watu wanajitoa sana, wanajituma lakini hawaonekani. Kuwaheshimu watu kama hawa ni kuachana na suala la popularity katika ofisi za umma. Tujenge taifa letu kwa uzalendo na uwivu mkubwa na watu waone uzalendo wetu. Na bila shaka waseme viongozi wetu ni wazalendo.
Huwezi kuwa popular kama haufanyi mambo sahihi. All best president was also popular i.e Lincoln, Nyerere Nkrumah. And Lincoln himself said you have have to do the work for common people because God loves common people that's why he created so many.
Hukumpenda Kwa sababu hukutaka kukubali kazi zake. Lkn Kwa kukubali kwako hakua mjinga huo ni mwanga wa mapenzi Kwa Magu umekuzukia. Ipo siku utasimulia yake mengi mazuri na utajiri kumpenda na kummiss. RIP MAGU!
Sio ya magufuli tuu hata mama aliofanya atakayofanya kwa kuwa hamna shukurani wezi wa fazila hamna kheri hamtomkumbuka wala kumsifia mpaka afe ndop sifa nyiiingi wanafiki wakubwa magu klia leo mlikuwa mnamsema japo kwa siri kubwa kwa kumuogopa leo amekufa ndio mnamsifia msiokuwa na fadhila
Katika marais watakao kumbukwa kwa ubaya ni huyu. Kuteka watu kwaajili ya hofu ya kushindwa uchaguzi huu ni unyama ambao vizazi sikuzote vita hadithiwa
Anachofanya Samia ni sawa. Nyinyi ndio mnaofanya nchi isiendelee. Kwa hiyo unataka kodi ya wananchi ipotee bure kwa kutomalizia miradi? Samia na Magufuli wote wametekeleza ilani ya CCM.
Umeongea vzr ila Samia hajakosea kuendeleza miradi ya jpm,,,maana jpm katumia kodi zetu kuanzisha iyo miradi bahati mbaya kafariki,sasa ulitaka izo hela ziende bure au miradi ichelewe ku wake out na yeye aanzishe miradi yake isiishe aje tena mwingine nae isiishe litakuwa ni Taifa la aina gani,,kwenye kuendeleza miradi ya mtangulizi wake Samia nampongeza sana,kikubwa haya mambo ya utekaji ni ushamba na anapaswa ayakomeshe hii nchi haijatulia hatuna amani tena😢
Vipi mbona huwa hatumtaji na kuenzi mkazi yake yule aliyebuni, kutafuta fedha za ujenzi wa daraja la Rufiji hivyo kuondoa adha ya usafiri ambapo kwenda kusini ilikuwa ni zaidi ya siku 7? Wako wapi machawa wamsifie huyo mtu (hayati)!
We mpumbavu hii serikali sio ya magufuli wala mama samia ni serikali ya ccm kwahiyo lolote linalofanyika basi ni ccm alafu wewe mjinga sasa ukiwa rais itakuwaje ikiwa chama chako tu umewauzia wa Zanzibar je ukipewa nchi hata wiki tutafika haujauza nchi?
Sasa hapa ndio unaponichanganya zitto. Huwa unasema nchi hii kila Kiongozi akija anataka kuanzisha mambo yake, na Hilo husema ni tatizo. Now unasema samia afanye na vitu atavyo kumbukwa yeye. I think kama msukumo wa ufanyaji utakuwa ni kukumbukwa binafsi basi it's A very poor reason ever. Nadhani hoja ya umuhimu wa mradi ndio unatakiwa umshuri nayo. hiyo ya kukumbukwa binafsi Haina afya kwa taifa. And it can even demoralize our president kutekeleza yaliyo achwa na mtanguzi wake. Our president ajue kuwa every rational tanzanian lazima atamkumbuka na kumpa credit kwa kumalizo waliyo Anza na wenzake.
Kama ninavyoelewa maana ya kiongozi Kukumbukwa hasa haina maana ya " just to be remebered after leaving the high office", bali maana yake ni pana mfano ni kuheshimika, kupendwa na hususani kuombewa dua njema baada ya watu kuona vitu mtu alivyofanya kwa nchi yake, it is something like paying a tribute to someone. Nyerere anakumbwa katika njia hiyo pia Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli wote hao wanakumbukwa katika mambo waliyoyaanzisha, vipi Samia naye akumbukwe kwa lipi??, I mean her own devised prejects.
Huwajui wanasiasa wewe hapa kuna kifungu chake cha udalali kwenye huo mradi sio mtu mzuri kabisa hawa ndio waliopinga miradi mingi kama ya umeme, SGR NK ilifikia hatua hadi kwenda ulaya kupinga Tanzania isikopeshwe pesa.
Tunazungumzia rasilimali zilizoko ardhini lakini tunasahau zilizoko vichwani pa watu. Chuma na makaa ya mawe kuwepo sio ishu. Ishu ni waliopo JE WANAO UBOBEZI? AU NDO YALE MAMBO YA KUAJIRIWA KAZI ZA NGUVU ZAIDI KULIKO AKILI HALAFU KAZI ZA AKILI AFANYE MZUNGU NA MCHINA
Ni kweli kabisa,, mama angefanya hivo! angetengeneza alama ya kukumbukwa zaidi,, japo kua yeye nialama kubwa isiyo sahaulika vizazi kwa vizazi,, alama ya samia ni sawa na nyerere.
Akili yako inawaza kama yangu ,huyu bwege kuna udalali kwenye huo mradi si bule ukiona mpaka magufuli hakuufanya huo mradi ujue kuna vitu havipo sawa kwenye mikataba.
Ukweli ni kwamba Rais Samia atakumbukwa sana na kwa kiasi kikubwa kuliko ma Rais wote waliopita kama akifanya hiyo miradi miwili. Sababu ni rahisi. Ni mikubwa sana na faida zake ni kubwa kiasi cha kubadilisha uchumi wa Nchi.
Huyu ni mbinafsi kweli pia anarohoo mbaya saana alitaka samia atelekeze miradi ya magufuri ili aanze yake, ukiona mradi magufuri kauacha ujue kuna ulakini ndani yake.
Kwanza Samia alipoga kampeni 2015 na Magufuli. Samia hajapiga kampeni baada ya Magufuli kufariki. Anafanya na kuendeleza ambayo amepigia kampeni 2015. Yeye atakua na ya kwake kama yeye 2025
Yani kama nchi hatuna kitu tunachojivunia tuna export na hii sijui uchumi kukua ni propaganda tuu ukweli unajionesha kwa kuangalia thamani ya TZS Vs Currency nyingine na hapo hapo ongezea mfumuko wa bei najua wachumi mnanielewa
@@mamboshepea8888 lakini miradi aliyoitaja, ule wa Liganga na ule wa LNG ni mikubwa mara dufu ya hiyo iliyofanyika. Tumuombee Rais wetu apate nguvu aitekeleze hiyo miwili..Akifanya hivyo, Nchi itapiga hatua kubwa muda mfupi. Kubwa kuliko yoyote tangu Uhuru!. Atakumbukwa kwa vizazi na vizazi🙏
Nafikir kukumbukwa isiwe issue ya msingi sana. Viongozi wafanye vitu sahihi kwa taifa lao. Wajenge utaratibu wa kuenzi mazur ya watangulizi wao.
Individual popularity itokee tuu isiwe ni jambo tunalokimbilia kama viongozi. Tutambue Kuna watu wanajitoa sana, wanajituma lakini hawaonekani. Kuwaheshimu watu kama hawa ni kuachana na suala la popularity katika ofisi za umma. Tujenge taifa letu kwa uzalendo na uwivu mkubwa na watu waone uzalendo wetu. Na bila shaka waseme viongozi wetu ni wazalendo.
Huwezi kuwa popular kama haufanyi mambo sahihi. All best president was also popular i.e Lincoln, Nyerere Nkrumah. And Lincoln himself said you have have to do the work for common people because God loves common people that's why he created so many.
Kumbe mnataka sifa za Rais mmoja mmoja kwa mtindo huu tutachelewa kufika
Zito kabwe hongera kwa ukweli wako na ufahamu wako, hakika si mchoyo wa maarifa.
Ndio siasa ,hatokumbukwa kwa miradi aliyoianzisha dr magufuli,babu yangu alisema siasa "SIASA SADKI UKIPENDA"
HIZO NI ISHARA ZA SAMIA KUWA SIO MBINAFSI
Hawa wana siasa. Kama Samia anamalizia miradi kwa manufaa ya nchi kuna shida gani?
Uwezi kuwa na. Chuma na. Makaa hapohapo alafu upate asilimia 20 ni ujinga sana.
Simpendi magu lakini hakuwa mtu mjinga kama nyie
Hukumpenda Kwa sababu hukutaka kukubali kazi zake.
Lkn Kwa kukubali kwako hakua mjinga huo ni mwanga wa mapenzi Kwa Magu umekuzukia. Ipo siku utasimulia yake mengi mazuri na utajiri kumpenda na kummiss.
RIP MAGU!
Mbona ninyi viongzi mnaojiwa waambieni hawa waandishi wannaowaji waambieni wakawawahoji viongozi wa serekali mbona wanawahoji ninyii tuu
Hovyo kabsa
Sio ya magufuli tuu hata mama aliofanya atakayofanya kwa kuwa hamna shukurani wezi wa fazila hamna kheri hamtomkumbuka wala kumsifia mpaka afe ndop sifa nyiiingi wanafiki wakubwa magu klia leo mlikuwa mnamsema japo kwa siri kubwa kwa kumuogopa leo amekufa ndio mnamsifia msiokuwa na fadhila
😂😂timing😂😂mradi utaanza tu,,mkondo wA mafanikio utaenda wapi😂😂😂???( nani awake wapi mrija wa asali)😂😂😂 wapi kwa KUPIGA😂😂😂!!!
20%😂😂😂 chuma na makaa yapo hapohapo😂😂😂
20%😂😂😂 chuma na makaa yapo hapohapo😂😂😂
Nakuona rafiki yangu Mfaume
Tanzania ndo Nchi ya Ajabu sana Duniani inawatu Makini sana lkn hawatumiki Kwa Manufaa Kwa Taifa Lao.!!
Huyu mnafki tu ukiona Jambo analipigia debe ujue kuna udalali wake.
Katika marais watakao kumbukwa kwa ubaya ni huyu.
Kuteka watu kwaajili ya hofu ya kushindwa uchaguzi huu ni unyama ambao vizazi sikuzote vita hadithiwa
Mungu atakusameh kwa dhaba mbaya..
Mbona barabara toka kipindi cha jpm imeshindikana kujengwa ajari zimekuwa kira wakati ,mchina akichimba siku 2 anakaa mwaka hafanyikiti
Mwamba anajua sana nimepata sehem ya kuweka kura yangu 2025 mana wengine ni walaji tu
Huyu ana roho chafu sana hata aliwahi kutaka ulaya isi atusaidie katika shida zetu mtu si mzuri
Anachofanya Samia ni sawa. Nyinyi ndio mnaofanya nchi isiendelee. Kwa hiyo unataka kodi ya wananchi ipotee bure kwa kutomalizia miradi? Samia na Magufuli wote wametekeleza ilani ya CCM.
Umeongea vzr ila Samia hajakosea kuendeleza miradi ya jpm,,,maana jpm katumia kodi zetu kuanzisha iyo miradi bahati mbaya kafariki,sasa ulitaka izo hela ziende bure au miradi ichelewe ku wake out na yeye aanzishe miradi yake isiishe aje tena mwingine nae isiishe litakuwa ni Taifa la aina gani,,kwenye kuendeleza miradi ya mtangulizi wake Samia nampongeza sana,kikubwa haya mambo ya utekaji ni ushamba na anapaswa ayakomeshe hii nchi haijatulia hatuna amani tena😢
Amani ipo ya kutosha tu kwani utekaji umeenza kipindi cha mama samia? Wewe utakuwa huijui Tanzania
Napenda sana hoja za huyu jamaa
Hostoria ya jpm imeandikwa aridhini na mbinguni kila goti litapigwa na kila kinywa kitakili
Vipi mbona huwa hatumtaji na kuenzi mkazi yake yule aliyebuni, kutafuta fedha za ujenzi wa daraja la Rufiji hivyo kuondoa adha ya usafiri ambapo kwenda kusini ilikuwa ni zaidi ya siku 7? Wako wapi machawa wamsifie huyo mtu (hayati)!
Akuna asie kumbukwa ata siku moja akuna mtu usipo kumbukwa kwa mazr bas utakumbukwa kwa mabaya aiwezekani mtu asikumbukwe kwa lolote lile
Mbona miradi ya kikwete anakumbukwa Magufuli
Atakuwa ni mtu mjinga kuwaza hivyo
Huna mawazo sahihi wachina maendekeo Yao yameletwa na vyama vingi Wacha njaa
Zito mwambie na yule kichaa wa chadema (mbowe)yeye vipi hana ukomo?
Akili kubwa hiyo lakini haitumiki
Wewe zito kila siku kulaumu tu hakuna kheri kwako usidhani unajua sana huweleweki msimamo wako kisiasa
KUSHAURI SIO KULAUMU.....................acha siasa kwenye UCHUMI
Wewe ni kipofu sisi watanzania hatujaona uliokamili wa magufuli ndani ya miaka mitano isipoku ni michache sana
Unapo sema Sisi wa Tanzania, mimi sipo na simo ni wewe na wengine
Sio Hawajaamua Sio Kweli Hawana Uelewa
We mpumbavu hii serikali sio ya magufuli wala mama samia ni serikali ya ccm kwahiyo lolote linalofanyika basi ni ccm alafu wewe mjinga sasa ukiwa rais itakuwaje ikiwa chama chako tu umewauzia wa Zanzibar je ukipewa nchi hata wiki tutafika haujauza nchi?
Sasa hapa ndio unaponichanganya zitto. Huwa unasema nchi hii kila Kiongozi akija anataka kuanzisha mambo yake, na Hilo husema ni tatizo. Now unasema samia afanye na vitu atavyo kumbukwa yeye. I think kama msukumo wa ufanyaji utakuwa ni kukumbukwa binafsi basi it's A very poor reason ever. Nadhani hoja ya umuhimu wa mradi ndio unatakiwa umshuri nayo. hiyo ya kukumbukwa binafsi Haina afya kwa taifa. And it can even demoralize our president kutekeleza yaliyo achwa na mtanguzi wake.
Our president ajue kuwa every rational tanzanian lazima atamkumbuka na kumpa credit kwa kumalizo waliyo Anza na wenzake.
Kama ninavyoelewa maana ya kiongozi Kukumbukwa hasa haina maana ya " just to be remebered after leaving the high office", bali maana yake ni pana mfano ni kuheshimika, kupendwa na hususani kuombewa dua njema baada ya watu kuona vitu mtu alivyofanya kwa nchi yake, it is something like paying a tribute to someone.
Nyerere anakumbwa katika njia hiyo pia Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli wote hao wanakumbukwa katika mambo waliyoyaanzisha, vipi Samia naye akumbukwe kwa lipi??, I mean her own devised prejects.
viongozi wetu wangekuwa namaono kama ya zito tungekuwa vizuri sana.
hii ni maneno na porojo,
Huwajui wanasiasa wewe hapa kuna kifungu chake cha udalali kwenye huo mradi sio mtu mzuri kabisa hawa ndio waliopinga miradi mingi kama ya umeme, SGR NK ilifikia hatua hadi kwenda ulaya kupinga Tanzania isikopeshwe pesa.
Tunazungumzia rasilimali zilizoko ardhini lakini tunasahau zilizoko vichwani pa watu. Chuma na makaa ya mawe kuwepo sio ishu. Ishu ni waliopo JE WANAO UBOBEZI? AU NDO YALE MAMBO YA KUAJIRIWA KAZI ZA NGUVU ZAIDI KULIKO AKILI HALAFU KAZI ZA AKILI AFANYE MZUNGU NA MCHINA
Ni kweli kabisa,, mama angefanya hivo! angetengeneza alama ya kukumbukwa zaidi,, japo kua yeye nialama kubwa isiyo sahaulika vizazi kwa vizazi,, alama ya samia ni sawa na nyerere.
Hapo unapigia debe upate chakwako chajuu
Akili yako inawaza kama yangu ,huyu bwege kuna udalali kwenye huo mradi si bule ukiona mpaka magufuli hakuufanya huo mradi ujue kuna vitu havipo sawa kwenye mikataba.
Ukweli ni kwamba Rais Samia atakumbukwa sana na kwa kiasi kikubwa kuliko ma Rais wote waliopita kama akifanya hiyo miradi miwili. Sababu ni rahisi. Ni mikubwa sana na faida zake ni kubwa kiasi cha kubadilisha uchumi wa Nchi.
Hii pumba hii sasa unataka afanye vitu kwa sifa za kukumbukwa mtu binafsi badala ya kufanya vitu vya maslahi ya taifa.
Huyu ni mbinafsi kweli pia anarohoo mbaya saana alitaka samia atelekeze miradi ya magufuri ili aanze yake, ukiona mradi magufuri kauacha ujue kuna ulakini ndani yake.
Kwanza Samia alipoga kampeni 2015 na Magufuli. Samia hajapiga kampeni baada ya Magufuli kufariki. Anafanya na kuendeleza ambayo amepigia kampeni 2015. Yeye atakua na ya kwake kama yeye 2025
Yani kama nchi hatuna kitu tunachojivunia tuna export na hii sijui uchumi kukua ni propaganda tuu ukweli unajionesha kwa kuangalia thamani ya TZS Vs Currency nyingine na hapo hapo ongezea mfumuko wa bei najua wachumi mnanielewa
Watanzania tuna watu makini kama akina Zitto lakini isivyo bahati hawawezi kuongoza hii nchi sababu ya mifumo mibovu ya kidemokrasia
Hakuna kitu ni unafki tu...aliefanya makubwa yalioshindikana nchi hii alikua anamkejeli kila siku😓😓
Sio lazima aongoze Nchi, anaweza akatoa mchango wake na ukasaidia Nchi bila kuwa Kiongozi
@@1961nungwi Mchango wa kupinga kila kitu hata mazuri anapinga kwa sababu tu yamefanywa na mtu asiemkubali...It's a fool who never change😟😟