Mithika Linturi amempiga vijembe Rais William Ruto akiteta eneo la Meru limetengwa na serikali

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 36

  • @davidlubanga5527
    @davidlubanga5527 28 дней назад +5

    What about the rendille, Turkana, Dorobo etc??

  • @onthelatestnews
    @onthelatestnews 28 дней назад +12

    Linturi ni bure sana na fertilizer yake fake

  • @solomonisolio8874
    @solomonisolio8874 28 дней назад +8

    Huyu mwizi wa fertilizer has nothing.Restore your respect from fertilizer

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 27 дней назад +2

    We are 55 million Kenyans

  • @ViceAdmiralVasilyArkhipov
    @ViceAdmiralVasilyArkhipov 27 дней назад +3

    Aache ujinga na aseme ni account yake ya benki ndio imetengwa

  • @edwinopata2342
    @edwinopata2342 28 дней назад +9

    King of fake fertiliser.😅😅

  • @ianjoseph5325
    @ianjoseph5325 28 дней назад +3

    Heshima gani ingine simlikuwa kwa ruto....mkikosana ni personal wacheni kuchochea watu mkiwa na gachagua

    • @njenganjehia6041
      @njenganjehia6041 27 дней назад

      Na wametoka pia wameru ruto ame achwa na luos na meno

  • @derickkim8101
    @derickkim8101 27 дней назад +1

    Only fighting for their self interests

  • @bettykaguri2904
    @bettykaguri2904 27 дней назад

    Must go..

  • @GeneralAbdul-bh4lm
    @GeneralAbdul-bh4lm 25 дней назад

    Hio time hadi January tutakuwa tumeshawapanga msijali😎

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 27 дней назад +1

    Kwani ukipewa kazi ni wameru wote wamepewa? Ruto stood with you hata kwa scandal ulitakiwa kuwa kamiti

    • @simiyuwekesa7388
      @simiyuwekesa7388 27 дней назад +1

      And that "standing with him" was a crime. One of the reasons Ruto must be voted out

  • @gee2638
    @gee2638 27 дней назад

    😂😂😂anataka apewe kiti pia

  • @gracegathuru5741
    @gracegathuru5741 27 дней назад

    Over 50 m kenyans let's wake up

  • @user-tiki22
    @user-tiki22 28 дней назад +1

    Uliza makarina ako na jibu ya meru

  • @abrahamtoo
    @abrahamtoo 27 дней назад

    After giving us soil in name of fertilizers

  • @EvansMugalitsi-v6k
    @EvansMugalitsi-v6k 27 дней назад

    Fala anatafuta government position

  • @wilsonkinyua2154
    @wilsonkinyua2154 28 дней назад +3

    Tribalism of highest order for only political class always complaining

  • @villas6822
    @villas6822 28 дней назад +3

    Kenya is not all about mt. Kenya kwenda uko mfisadi wewe

  • @jamesngunjiri1215
    @jamesngunjiri1215 27 дней назад

    Kwedeni uko mukinyimwa kazi munaraumu president munalia mukipitisha ile bill ilikuwa gzhamukujua

  • @BernardMorop
    @BernardMorop 27 дней назад

    Sema ni kazi unataka..maneno mingi ya nini..kindiki kwani ni mluya ama

  • @jjo-485
    @jjo-485 27 дней назад

    Madharau gani wakati ulipewa cs ukaiba , hata hivyo mlipewa kiti kubwa ya dp tena mnataka nini...wacha unafiki wewe

  • @lazaroonyango7686
    @lazaroonyango7686 28 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @yaya9164d
    @yaya9164d 27 дней назад

    People have no shame, these people from mt kenya should shut up!

  • @Elvis-mo9sy
    @Elvis-mo9sy 27 дней назад

    You've exhausted the fertilizer money, now what you can do best is to wail like a widower 😮😮😮 Burukenge wewe

  • @wallacelee182
    @wallacelee182 27 дней назад

    Huyu mtu amefanya hatujavuna hata nusu ya kiwango cha kawaida cha mahindi sisi huvuna.Alituuzia mbegu Na mbolea gushi.Tulipoteza maelfu.Alaaniwe shetani yeye

  • @daprince7545
    @daprince7545 27 дней назад

    Ukiskia chuki ya ukabila ndio hio sasa, mbona makabila mengi yameamua kiongozi yoyote ni wataifa lote haijalishi kabila gani muhimu maendeleo

  • @fablovesaadi9879
    @fablovesaadi9879 28 дней назад

    😂😂😂😂

  • @hamisimzara1698
    @hamisimzara1698 28 дней назад +1

    Wacha kulialia ruto lazima asukume Kenya yende mbele so acha afanye kazi ulipewa kazi ikakushinda ukanza kuletea watu mavi ya kuku mjinga kabisa kwenda uko wameru wana shida zao wewe watafutia tumbo lako msifanye wameru awakujui

    • @njenganjehia6041
      @njenganjehia6041 27 дней назад

      1 m meru votes forget lets see where ruto will get the votes mt kenya have 5.8m + the valley kikuyus + meru 1m ..tukutane 2027 numbers dont lie ..Gema is the next preaidency

  • @zakayomwamba7475
    @zakayomwamba7475 27 дней назад

    Mwizi sugu wa mbolea

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 27 дней назад

    Fertiliser tu ulishindwa, you are not a performer, kwani maisha ni kuwa waziri tu?

  • @gm-c3161
    @gm-c3161 28 дней назад +2

    These guys don't say a word when in government. Wakitoka they cry to their tribe about tribal prosecution and marginilization. Carry your own cross!