Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Tazama tukio lote la dua kwa jili ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga SC, Yusuf Manji iliyofanyika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
    Rais mstaafu Jakaya Kikwete azungumza ukaribu wake na Manji.

Комментарии • 17

  • @andrewjosephhezron23
    @andrewjosephhezron23 7 месяцев назад +3

    I am Roman Catholic but I love this mufti.

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 7 месяцев назад

    ... I was very young when everything was happening ...
    Huo mstari uzingatie sana.

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 7 месяцев назад +1

    Mufti Allah akuhifadhi naningekuwa karibu yako ningekuja kusoma kwako umeongea maneno mazito sana kwa mtu mwenye akili.mwanadamu ni hasidi mbaya sana kwani Allah s.w. kujaalia masikini na tajiri yeye ni mjinga? Wewe mwanadamu unataka wote wawe sawa hizo mali unagawa wewe?huo ni ujinga!mufti ameongea maneno ya hekima kwa mwenye akili na mwerevu ameelewa. Allah s.w tunamuomba awahifadhi watoto na hao watoto
    Bado ni wadogo hizo ninyama tu.wasipowahurumiwa watapoteza maisha kama baba yao .sote tupokee dua ya mufti Aaaamin yarabbil aalamina.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 7 месяцев назад +3

    Waislam ni harum kufanya haya matatu:
    a). kumdhuru mtu
    b). Kufanya dhuluma
    c). Kumvunjia mtu heshima (disrepect)
    kasema huyu mufti 9:09-12:42

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 7 месяцев назад +1

    Azimio la arusha linakinzana na uislamu

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 7 месяцев назад

    Ya Allah tusamehe makosa yetu, tupe subra na nguvu

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 7 месяцев назад +1

    Waislamu sisi tumezoea kudhalilishana nakutiana aibu kila siku muislamu mwenzako kakosea muite mueleze mkosoe pale alikokosea siyo lazima mpaka umpekeke polisi akae lokap kitu kidogo tu unamdhalilisha muislam mwenzie mpaka mwisho ushushe heshima yake mpaka mali aione chungu mangapi tunamkosea mungu kama hamna toba na msamaha hakuna mtu angeingia peponi .mtu akikosea kidogo tu tayari kwenye vyombo vya habari na polisi .unaambiwa ukihifadhi aibu ya mwenzako nawewe mungu atahifadhi yakwako wewe huna aibu? Mueleze mtu umekisea hapa rekebisha pale huo ndiyo ubinadamu .yusufu manji asikosee kwani yeye mungu? Mungu peke yake ndiye hakosei na ndiye kakamilika .ridhika na mungu alichokukadiria.sasa hivi watu walivyomahasidi wataanza kuwasakama watoto nakuwawekea vikwazo.ombi langu kwa watu wote pawe toba na msamaha na huruma pia iwepo.huwezi kuwaridhisha binadamu wote.hata mungu pia baadhi yao hawaridhiki nae pamoja nakuwaumba nakuwapa kila kitu bado wengine wanamuabudu asiyekuwa mungu.

  • @hilarymark7583
    @hilarymark7583 7 месяцев назад +5

    Mehbub wewe utaweza kuvaa vizuri viatu vya mzee wako. Inaonekana

  • @shutheprincess4633
    @shutheprincess4633 7 месяцев назад +1

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 месяцев назад +1

    Toeni ktk mali yake kidogo mumjengee mskiti hapo mbagala kuu iwe sadaka yake marehemu inaitwa sadakatul jaria. Mskiti uitwe yusuph manji masjid

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 7 месяцев назад

    1:13 🙌

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 месяцев назад

    ✌️👍🙏.

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 7 месяцев назад +1

    Wahindi ni watu wa kimkakati sana kuwasimamisha hawa watoto lipo kusudi lao.

  • @khatimabdallah8143
    @khatimabdallah8143 7 месяцев назад

    sasa hii dua ya kumrehem au mkutano

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 7 месяцев назад

    Mufti amesema hapa hadithi ya mtume s.a.w msidhuriane msidhulumu msitiane aibu mimi nawewe tujiangalie sifa hizi tatu hatuna? Umesikia mwenzako amekufa ni meseji hiyo kwamba nawewe ujipange utaondokaje? Unakwenda nanini?haowatakaokupokea watakupokea kwa mapokezi gani?na mola wako atakutizamaje au atakuhukumu vipi?motoni au peponi ? mwenzako anakufa unamjadili na kumsema vibaya unajua nawewe utasemwa vipi?usipoteze muda kila mtu ajiandae na safari hiyo unamsema mwenzako vibaya kumbe kesho nawewe unazikwa .