Dahh. Mashaallah Sheikh Muhammad Allah Akuhifadhi natamani nurudi zanzibar nikuone wallahi. Nasoma sana kapitia darsa zako Allah akuongeze na akuzidishie elimu ya kuweza kufundisha hakki. Nakupenda sana kwa ajili ya Allah na mahabba yako ya dhati kwa kumpenda Rasuli llah. Allah akubarik YARABBI MLINDE SHEIKH MUHAMMAD TUNATHIBISHA KWAKO TUNAMPEDA SANA. ALLAHUMMA AMIN. Mimi niko na mtihani wa maradhi ya muda mrefu sasa ni miaka 12 na hospital hawajuwi Allah ndie mjuzi juu ya maradhi haya. Na mimi ombi langu kwenu na sheikh Muhammad pia, naomba DUA tu wallahi.
Subhana Allah Mungu akupe afweni yaharaka Ameen
Dahh. Mashaallah Sheikh Muhammad Allah Akuhifadhi natamani nurudi zanzibar nikuone wallahi.
Nasoma sana kapitia darsa zako Allah akuongeze na akuzidishie elimu ya kuweza kufundisha hakki.
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah na mahabba yako ya dhati kwa kumpenda Rasuli llah. Allah akubarik YARABBI MLINDE SHEIKH MUHAMMAD TUNATHIBISHA KWAKO TUNAMPEDA SANA.
ALLAHUMMA AMIN.
Mimi niko na mtihani wa maradhi ya muda mrefu sasa ni miaka 12 na hospital hawajuwi Allah ndie mjuzi juu ya maradhi haya. Na mimi ombi langu kwenu na sheikh Muhammad pia, naomba DUA tu wallahi.
Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr